PATANISHO : BENARD - NILIMSHUKU MKE WANGU IVY AKO NA MPANGO WA KANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 110

  • @babieakawanga9127
    @babieakawanga9127 11 месяцев назад +8

    😢😢huyu dame akae mbali aki😢😢😢story from ngugi mcee makes me chill

  • @thogonuii
    @thogonuii 11 месяцев назад +8

    WANAWAKE wakikuyu huchukia wanaumee wao,ata huyo mtoto unaeza pataa sio wa huyuu jamaa.Madem Wakikuyu wanapendaa pesa za Kikuyu men,na miti za waluhya, wakisii na wajaluo. Mwanaume mkikuyu tafuta tuu msichana mkamba,hao ndio wanatupendaga genuinely. Roho safi ma bro.

    • @skinnyzebra8626
      @skinnyzebra8626 7 месяцев назад +3

      It’s pretty ignorant to generalize all kikuyu women are that way,people are full of faults across board regardless of tribe,race or creed, most kikuyu women claim that majority of kikuyu men are not romantic & command their wives like little kids hence the break down in relationships,I’m sure it’s not isolated to one tribe or race but to all human kind
      Women wants exactly what what men want,love,respect,faithfulness,loyalty, money,communication & intimacy, but there’s misconceptions of many African men who think that when they have provided materialistically..it gives a man a free pass to do whatever they want,it does not work like that respect & love all the way for both genders,been married for 28 yrs & growing

    • @charitykamau4785
      @charitykamau4785 3 месяца назад +1

      Talk sense do u know all kikuyu women how they behave??? Nonsense

  • @deborahmoige2363
    @deborahmoige2363 11 месяцев назад +12

    This lady will regret later the guy seems genuine,,aint judging ndoa ya watu lakini the lady ameona mtu mahali mayb better than the man

  • @Debbyobabi
    @Debbyobabi 11 месяцев назад +12

    Huyu mama mpango wa kando ndiye anamdanganya anaharibu ndoa yake,huyo mwanaume venye anaongea hakai mtu wa madharau anakaa anapenda bibi yake ,ile siku kitamramba ndio atakuwa na akili aendelee kutafuta tu wanaume atapatana na chenye anatafuta

  • @pattykosse9932
    @pattykosse9932 10 месяцев назад +2

    Managing expectations should be one of the life skills for life.

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 11 месяцев назад +3

    Achika tu mungu atakufungulia mlango mwingine

  • @immaculatendinda3900
    @immaculatendinda3900 7 месяцев назад

    Unapenda hakupendi anayependa hampendi..hii dunia tutapumzika mbinguni kwakweli ..😊 ewe mwenyexi mungu tunusuru..

  • @b.3940
    @b.3940 11 месяцев назад +14

    Huyo Njeri ni jirani na siku hizi ana uhusiano na bwana wa mtu kwanza bwana mlevi ile kupindukia.

  • @virginiawangui7372
    @virginiawangui7372 11 месяцев назад +6

    Mwanaume akikosa mtu wa wakufanya kufanya madharau huwa anateseka ,my sister move on..I understand you 😢😢

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 11 месяцев назад +2

    Huyu Njeri na yeye 🙄 communicate with youre husband that you are not coming back.
    Awache utoto🙄🤦🏽‍♀️ hio mchezo anacheza haileti shangwe😢
    Huyu Bernad awachane na yeye..its painful.But its better to move on.
    Hakuna haja ya kujifix mahali hutakikani.
    Aki vile huyu Benard an sound asiende kufanya kitu mbaya🥲🙏

  • @kamwaraeric5743
    @kamwaraeric5743 11 месяцев назад +17

    Na Gidi unakuwanga biased sana against the male child even if he is not the one on the wrong side. Cjui mbona.
    There's no justification whatsoever for anyone to cheat. It's a just a choice

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 11 месяцев назад +3

    That guy has no mistake

  • @alicenyambura1130
    @alicenyambura1130 11 месяцев назад +1

    HUYU MWANAMME NI GUTEE... HE IS A SLAVE IN LOVE. MIJINGA

  • @ErickMwangi-si1fr
    @ErickMwangi-si1fr 9 месяцев назад

    Benard you will find another one bro its not over

  • @bruce001
    @bruce001 10 месяцев назад

    Some men😢😢😢

  • @Tarkwen
    @Tarkwen 7 месяцев назад

    Which is true....in Kalenjin community...huwezi peana mahari kama mama yako mahari yake aijapeanwa

  • @kamwaraeric5743
    @kamwaraeric5743 11 месяцев назад +9

    I'm a man but I hate such kind of men. Yaani she has given you everything to end everything and you are there begging. Wake up young man and move on. As long as hujamkosea , stop this nonsense of begging a woman to love you.

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 11 месяцев назад

      Move on, huna chako hapo

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 11 месяцев назад +3

      He must be a narcist playing games.Men who are good know they can get another woman.

    • @christineamlinger5630
      @christineamlinger5630 10 месяцев назад +1

      ​@@mwendapoleee you throwing the word narcissist is so wrong if this guy was narcissistic she wouldn't have had even the chance to cheat believe you me.

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 10 месяцев назад +2

      @@christineamlinger5630 one thing is for sure most psychopaths can even cry for a woman just to mistreat her.

    • @christineamlinger5630
      @christineamlinger5630 10 месяцев назад

      @@mwendapoleee you know those are disorders that need diagnosis and listening to somebody for 20 minutes doesn't make it possible for anyone to diagnose them not even a doctor? I'm going to leave it at that and move right along. Byeeeee

  • @motheroftwo-rs5nx
    @motheroftwo-rs5nx 10 месяцев назад +1

    Brother Benard ww songa mbele njeri ashaonja doshi ya inje

  • @patrickj.136
    @patrickj.136 11 месяцев назад +11

    Brother move on don't show a woman that you're desperate

  • @EricAbega-n1e
    @EricAbega-n1e 11 месяцев назад +1

    Gidi kuna watu walifanya harusi kubwa mwishoe wakatengana,na kuna watu hawakufanya harusi,kulipa mahari na wanaishi kwa upendo.Kwa hivyo kutolipa mahari sio hoja Gidi.

    • @agnesandalo6936
      @agnesandalo6936 11 месяцев назад +5

      Nyi ndio aina ya watu hamjielewi,,mahari na certificate ni vitu muhimu kwa wana ndoa,,wacha kwa Bwana mbaya buana akufe ndio utajua umuhimu wa vitu kama hizo.....na tena kama hajai toa mahari inamaana huyo ni girlfriend tu,hata akienda kortini haezi said ikan juu hakuna kitu chochote kinaonyesha huyo ni bibi yake

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 11 месяцев назад +3

      Kama ww ni bibi unakaa tu nalibwana bila cho chote kesho anapata msichana mwingine na kufanya arusi ama kulipa mahari utaskia aje?Huyo bwana ata kesho asiporudi nyumbani kwako huna kitu chochote cha kusema ,akisema sitaki tena huna haki yoyote.Ladies stop cheating yourself ata maid ana title you are wasting your time those services you are providing have a price but you are giving yourself away like you are worthless.

    • @Debbyobabi
      @Debbyobabi 11 месяцев назад

      Well said Gidi anaamini eti kuoa ni kulipa mahari , Kuna watu hawajailipiwa na wanaishi na amani na HESHIMA ndoa sio mahari

    • @hildainziani7147
      @hildainziani7147 2 месяца назад

      ​@Debbyobabi you people should stop consoling yourselves because mumeolekea wanaume wenye hawajatolea kitu so you're guilty , wewe na sidechick wa bwanako hamna tofauti

  • @princesschrisphine8903
    @princesschrisphine8903 11 месяцев назад +5

    Honestly ladies munatakanga nn surely😢😢i wish nipate mume kama uyu nitamficha kama nyasore..for onces ladies style up

    • @vellamonyangi3667
      @vellamonyangi3667 11 месяцев назад +1

      Bwakire ekiababa 😂😂😂😂

    • @princesschrisphine8903
      @princesschrisphine8903 11 месяцев назад +1

      @@vellamonyangi3667 🤣🤣🤣🤣bwakire bebz

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂am here

    • @princesschrisphine8903
      @princesschrisphine8903 11 месяцев назад

      @@clintonobegi8458 sema wallia 🤣🤣

    • @vellamonyangi3667
      @vellamonyangi3667 11 месяцев назад

      @@princesschrisphine8903 ninki ekebe nabakungu tunataka WA kutupost wenye wako nayo wanasema n embarrassment

  • @KevinGichohi
    @KevinGichohi 10 месяцев назад +2

    Women are like shadows; when you chase them, they run from you; when you run from them, they chase you

  • @AlvinOnyancha-rx6bi
    @AlvinOnyancha-rx6bi 20 дней назад

    Mapenzi imeenda digital wale tuko analog 😅😅

  • @jacintawanjiru1342
    @jacintawanjiru1342 11 месяцев назад +18

    Aki mapenzi wewe👉Mungu nakuomba unipee mwanaume kama huyu,I wonder why mtu unampenda hakupendi,na mtu hupendi hakupendi 😂😂

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 11 месяцев назад +4

      Wueh aibu ya maiti aijuaye muosha,usitamani bwana mwenye hujawai kaa na yy.Kama nimzuri ivo ,kwani bibi ni mwendawazimu.

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 11 месяцев назад +1

      Posting you isn't a prove of love 😂

    • @PriscillahNjogu
      @PriscillahNjogu 11 месяцев назад +1

      Weeeuh wanaume wa kirinyaga utachoka Weeeuh

    • @jacksonmutua1238
      @jacksonmutua1238 10 месяцев назад +1

      Hahaha

    • @bikoflavious2903
      @bikoflavious2903 10 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅

  • @samkaharotv7964
    @samkaharotv7964 11 месяцев назад +3

    wakikuyu tulisema patanisho niza waluyha,luo na wakisii 😂😂

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 7 месяцев назад +2

    Next time mtuekee number ya mwaachwa 😅😅ata sisi tunamtaka

  • @martinwathika251
    @martinwathika251 11 месяцев назад +5

    Boss this lady is doing you a favour.Achana na yeye.She has another person mpee time.Vile anakuambia hakutaki atarudi akilia .Na usimtake

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 11 месяцев назад +1

      Ni kweli

    • @moreh462
      @moreh462 11 месяцев назад

      Aende aoe another lady 5 years younger and pretty than her. The lady will never recover

  • @GiftRyan-u4f
    @GiftRyan-u4f 10 месяцев назад +1

    Wachana Na huyo mwanamke hataki kukaa Na wewe that's why hataki ukimpost anataka mwanaume mwingine

  • @cheluleN
    @cheluleN 11 дней назад

    Bernard should leave this lady. Any serious lady here, you can never find a better man than Bernard.

  • @JoanAnyango-yg9vy
    @JoanAnyango-yg9vy 11 месяцев назад +1

    Radio jambo haishiki meru😢

  • @inspectorquick
    @inspectorquick 10 месяцев назад +1

    Mapenzi ya mgikuyu inaishanga kama blueband

  • @Ladypeace12312
    @Ladypeace12312 11 месяцев назад +2

    This girl is losing a good man. She'll regret once he finds a good woman

  • @augustinekabuba8489
    @augustinekabuba8489 10 месяцев назад

    Njeri ako na huyo mwanaume.Wacha hyo ghasia utapona n get yourself another lady she will regret.

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 11 месяцев назад

    Gid hyo mke amepata mwingine..lazima atafute sababu..brother wachana naye Azunguke kwa wanaume Ashapata pesa kukuliko..atakurudia dunia ikisha mtema

  • @bossb8989
    @bossb8989 2 месяца назад

    Wakati mwingine tujue kulet go. Badala ya mtu akutende maovu, Kenya nzima ihuzunike, heri akuondokee. Bernard, ridhika tu.

  • @virginiamuthoni793
    @virginiamuthoni793 10 месяцев назад

    she will come to regret but it will ne tooo late for her,such men are not available!!!

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 11 месяцев назад

    Mara oooh patanishow nia Waluyha hapa n wapi Kiambu😂😂😂😂Madem wa kiambu hawana nyota ya kuolewa kwaza hizo jina Njery

  • @moreh462
    @moreh462 11 месяцев назад

    Usisimp sana jamaa. Uyu dem ni mkora

  • @b.3940
    @b.3940 9 месяцев назад

    This man needs to learn Loves Golden Rule. Don’t be attached to no one. You were born alone and will die alone. Even your shadow leaves you at sundown.

  • @janejanenjeri8350
    @janejanenjeri8350 7 месяцев назад

    Njeri's get tired of men just like that,hawezi rudi😂😂😂

  • @MusyokaAlex-h8b
    @MusyokaAlex-h8b 10 месяцев назад

    Bernard kuja nikupee sister angu

  • @edmondanyonaombaye3340
    @edmondanyonaombaye3340 9 месяцев назад

    Woooooooi.... uyo ameonja kuni nje ni noma to contain her... let it slide....get another Njeri.

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 10 месяцев назад

    Things are not Njeriing 😂😂😂😂 this woman is not serious!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 месяцев назад

    Bro wachana na hilo jike malaya.Tafuta mke mwingine.

  • @bornfe5127
    @bornfe5127 11 месяцев назад

    Mimi naskia ujeuri kwa sauti ya huyu jamaa

  • @nurngigi
    @nurngigi 11 месяцев назад

    This boychild need to live that crazy woman. Leaving her, he will have dodged a bullet

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 11 месяцев назад

    Ooh limwaribia soko kumwanika na alikua anatafuta mwingine

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 9 месяцев назад

    Stop chasing after women bro

  • @ericonchangu7830
    @ericonchangu7830 9 месяцев назад

    Leave such a woman alone

  • @obashentertainment9600
    @obashentertainment9600 4 месяца назад

    uyo dem ni mtoto ki akili acha a explore, jamaa apeleke mtoi kwa madhake atafute do madem ni kibao uyo si wako bro

  • @handsonnyambariga3902
    @handsonnyambariga3902 4 месяца назад

    Move on Mr. Bernard this lady doesn't love you. She has found another guy. However, take care of your child if it's yours. Take DNA before you do that. Women cannot be trusted these days. You might be taking care of some other guy's kid.

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 9 месяцев назад

    Kma jamaa wa fb ndo anadanganya njeri hiyo ni scam,,, njeri rudi kw mmewe kma si ivo ngojea mwingine achana na fb ni ya wakora wenye wamejilemewa

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 10 месяцев назад

    Wanaume tujipende haki tuache kua desperate huku inje

  • @jeremymbugua2979
    @jeremymbugua2979 11 месяцев назад

    Wewe enda tafuta bibi ingine bona unaka desperate hivo

  • @jongcheng5517
    @jongcheng5517 11 месяцев назад

    That woman is immature and trying to play the victim card……. Dude should move on for his own sake

  • @wanjikuwaweru8541
    @wanjikuwaweru8541 11 месяцев назад +1

    Hutu tusichana twa these days aki… yani mwanaume na si kuhanya amekuhanya unamtoroka na una mtoto wake?!
    My daughter, please think twice. 😢
    Huku nje ni kubaya 😒

  • @marykafietrasha4532
    @marykafietrasha4532 11 месяцев назад

    Aki boychaud hananga mwenyewe,Gidi you're always against ad hard on boychaud,cheating ni kawaida

  • @joshuamwangi2358
    @joshuamwangi2358 11 месяцев назад +1

    NJERI MOVE ON TAFUTA MALAIKA AKUOWE MARRIAGE NI NGUMU

  • @TracyMorgan-ek1jz
    @TracyMorgan-ek1jz 10 месяцев назад

    That's why we get killed