Alichekeshwa na mtoto....enye kunakuanga na myoi favourite kwa mzazi but that doesn't mean mtu hapendi hao watoi wengine.but hapa iko kitu mzee hasemi😢😢😢
Niliomba loan na title deed, nkabuy my piece of land, built it and now living with kids. There's no way tutafute na mtu alafu alete wife#2 aishi kwangu mimi nitupwe nje. Hao warent ama waende ushagoo.
Huyo mwanaume anaka ako na maneni mengi aki most men akiwa na watoto abonde raha na wanawake wengina ikiisha eti mama watoto wangu na wewe ndio najua ata familia nakutambua wewe mumoja munauthi sana 😢
Yaani Hadi hata mahari hajatoa Kwa kina Bibi,, instead amepotelea Kwa town....mmmh some men yaani hata Hana haya,sai wanawake wote wamemuacha ndio anataka kurudi Kwa mke aliacha nyumbani baada ya mambo kuumana🙄🙄
@@maxwellowade5258 hata usipolipa mahari kuna ng'ombe za watoto hulipwa🙄🙄did you say behave?!!when the same husband has no morals?!🙄🙄a woman is like an incubator,she gives back what you give,give her groceries and she'll make food...give her a house and she'll change it into a home but when you give her trash,,she'll definitely change it into a dump site.
Ambia Mzae Shetani Utumia kitu chochote Mtu mu anapenda ili akunase😳😳 Kama ni bwana una penda marinda ata kuletea iyo marinda kama una penda pesa ata kuja na iyo pesa sasa ww👆👆 mzae alijua una penda uyo mtt ndio manake🤦♂️🤦♂️ Ogopa MUNGU 🙏🙏 Mpinge shetani🙏🙏
Ujana ni moshi… take care of your family because you will need them once you hit old age… the side chics and “the boys” will not b there for you in old age… you don’t have to hit 50 for you to come back to your senses… make your hay while the sun is still shining… otherwise.. you will live to be a philosopher in your old age

Other men who play this type of games .learn this lesson
A BIG LESSON TO ALL MEN. TIME FOR FAMILY IS BETTER THAN WORK FOR FAMILY
Kwani wengine kuna watoto wanapenda na wengine hawapendi. Ati alituma mtoto nimependa.
Why do women behave as if their husbands are not there when kids are grown and stable economically forgetting the old man.God’s grace is the answer!
If the old man wasn’t there for them in his youth..they don’t need him in his old age
Gidi huyo mwanaume ni mkora lazima kuna kitu alifanyia huyo mwanamke
You right
Kitu gani mbna asijukue simu aongee
Aki ni jirani yangu ,huyo dume ni kipindi
Are you serious?
Ni ukweli aliwacha bibi akapotelea Nairobi. Ama ni story za jamba
Ebu tupee moshene alikuwa ana lea watoto wa wengina?
Niliomba loan na title deed, nkabuy my piece of land, built it and now living with kids. There's no way tutafute na mtu alafu alete wife#2 aishi kwangu mimi nitupwe nje. Hao warent ama waende ushagoo.
Hope you paid the loan? if not hujaponyoka bado.
Ukweli
Huyo mwanaume anaka ako na maneni mengi aki most men akiwa na watoto abonde raha na wanawake wengina ikiisha eti mama watoto wangu na wewe ndio najua ata familia nakutambua wewe mumoja munauthi sana 😢
❤❤
Wacheni kujichocha, kwani Ghost ako na miaka ngapi na ameishi Nairobi
Ghost amezaliwa kanairo yaani kanairo ni ushago kwake.
Hawa n wale hawanaga haja na familia wanapoenda town, kikiumana ndio wanatafuta njia ya kurudi
Like wangu alihepa kuchukua mtoto form 1 this yr,akiwa mkubwa sijui Kama ataanza kujirudisha na vile nahangaika yet he's employed.
Sikuizi wanaitwa deadbeat mnakaa wote town lakini hawana time.
Yaani Hadi hata mahari hajatoa Kwa kina Bibi,, instead amepotelea Kwa town....mmmh some men yaani hata Hana haya,sai wanawake wote wamemuacha ndio anataka kurudi Kwa mke aliacha nyumbani baada ya mambo kuumana🙄🙄
You behave mahari inalipwa
@@maxwellowade5258 hata usipolipa mahari kuna ng'ombe za watoto hulipwa🙄🙄did you say behave?!!when the same husband has no morals?!🙄🙄a woman is like an incubator,she gives back what you give,give her groceries and she'll make food...give her a house and she'll change it into a home but when you give her trash,,she'll definitely change it into a dump site.
@@maxwellowade5258you talk like men who stay in women's house, and not even rent you pay in that house.
@@maxwellowade5258 ooh sasa mwanaume asibehave..msitubebe ujinga
Noma
Ndoa ya Fuliza
Ndoa ya Mkopa imeenda hivyo😂😂
Huyo mwanaume hajielewi eti mama watoto wangu na hajamulipia mahali
Mahari hailipwi tu kimchezo.
@@maxwellowade525830yrs yote??joking akufie huko town
@@maxwellowade5258 usizalishe wasichana wa wenyewe..kama huna pesa ya mahari
Almkosea sana
That is where men go wrong
Am shock thats ma uncle kumbe izi viti si script
Venye anasema ni ukweli😅 ama your uncle alitupa familia
Wacha kamzee kaendelee kukaa nairobi yake😂😂😂😂😂....wacha mama aendelee na maisha yake
Mzee amefika andropause wanawake hawamtaki tena anataka kurudi familia ambao hakueajali kamwe
Kengele zime kuwa ndefu kuliko kamba sasa amekuwa rejeckt😅😅😅😂😂😂😂
Miaka sita Grace amejikakamua na Samuel anataka kurudi kuanza kumtegemea
Pay back years
Ambia Mzae Shetani Utumia kitu chochote Mtu mu anapenda ili akunase😳😳 Kama ni bwana una penda marinda ata kuletea iyo marinda kama una penda pesa ata kuja na iyo pesa sasa ww👆👆 mzae alijua una penda uyo mtt ndio manake🤦♂️🤦♂️ Ogopa MUNGU 🙏🙏 Mpinge shetani🙏🙏
Mimi nauliza radio jambo inashika mombasa bamburi ngapi plz
Mama hafai kumkana Mzee lazima Pia huyu mama si mzuri
Kwanza apimwe vizuri asiletee mama kisununu promax alafu a nyenyeeke kama maji kwa mtungi.Alikuwa wapi hizo miaka zote?
Gidi is not easy to deal na muyore there arey in-laws,yani kichwa yao ni ngumu hawambiliki,wacha akule ngumu,ata mimi niliwaondokea
Mwanaume bwege huyo
akaa
Ujana ni moshi… take care of your family because you will need them once you hit old age… the side chics and “the boys” will not b there for you in old age… you don’t have to hit 50 for you to come back to your senses… make your hay while the sun is still shining… otherwise.. you will live to be a philosopher in your old age
Huyu akule ujeuri wake ati alikua anapapaswa papaswa kipara na vidoshodosho wa Nairobi
Huyu alitesa hawa watoto vile nafeel😢
Woooi aki na shagz vile haitaji pesa nyingi ukijipanga huwezi lala njaa na watoi shule za shagz ni uniform tu.
huyu jamaa ni mkora sana
Uyu mwanaume ni mkora
Kitu huyu mwanaume atafanya.aende alipihe mahari
Hana pesa ukiona ananyenyekea.
Uyu mama awache mchezo izo miaka zte wcha arudi kwa boma
😂😂😂😂
Mwanaume akisema "(sawa)" simply means he is fed up 😢
Aende tu kuka town na warembo wake