Elizabeth Michael - ROSTI MAINI (PISHI LA LULU)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 305

  • @upendoarbogast5635
    @upendoarbogast5635 4 года назад +172

    Ingependeza zaidi kama ungetoa maelezo kwa njia ya sauti , au ungeweka maneno kwa chini tuweze kujisomea na kuelewa Kila kiungo unachotumia na hatua unayofanya.

    • @marrymaganga8585
      @marrymaganga8585 4 года назад +4

      Huyu naye hata hatoi maelezo afu anaonekana hasomi text

    • @angelbwija9547
      @angelbwija9547 4 года назад +2

      Kabisa,kwa sababu atuelewi ni viungo gani katimiye 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @meriannamorris8623
      @meriannamorris8623 4 года назад +5

      Yeye anaweka tuu kama vile anatutambia kupika, toa maelezo ndo inapendeza kwani huoni za wenzako wanavyofanya, au umekuja na mpya?

    • @florarwegasila9484
      @florarwegasila9484 4 года назад

      100%

    • @zulfahhussein505
      @zulfahhussein505 4 года назад

      Ama sio yeye anayepika

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 4 года назад +45

    Bora nimuangalie Aroma Zanzibar tu unaangalia pishi lake huku na wewe unapika at the same time kitu kinatoka mule mule...
    Mwingine hataki kuvaa kofia anaachia minywele inaning'inia kama mti wa Muashoki,
    Mwingine hataki kutoa maelezo yaliyokamilika basi tabu tupu kuvamia fani za watu.

    • @aisammussa2947
      @aisammussa2947 4 года назад

      Kabisa

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 4 года назад +4

      Aroma kiboko yao

    • @neemarajabu3397
      @neemarajabu3397 4 года назад +4

      Bora we we umesema ukweli best hakuna mpishi hapo Kila siku kupika vitu laini tu ndio wanajua fani

    • @happybalama3591
      @happybalama3591 4 года назад +7

      Mimi najua kupika vitu vingi Tena vitamu kupitia Aroma of Zanzibar na mapishi rahisi

    • @tiamo726
      @tiamo726 4 года назад +4

      @@happybalama3591 anzisha yako utube mummmy

  • @missymissy2330
    @missymissy2330 4 года назад +10

    I wonder why some people disliked this video, thnx lulu don't stop teaching us .

  • @joycenyakiha8121
    @joycenyakiha8121 4 года назад

    Sijaelewa! We mw hufai kbsa. Wanafunz wako hatuelew kitu

  • @avierastevens5141
    @avierastevens5141 4 года назад

    Kwani sisi ni mabubu au vp. Mhuuum ungempata Shun kitchen au aroma of zanzibar. Ungeona shoo. Then nikaida sana. Hata kwenye Yale machapati yako huna tips za kutosha dada jifunze zaidi. Na unakuwa huzungumzi bcs hujui pishi ww.

  • @khadijaali3688
    @khadijaali3688 4 года назад

    Asanta sana lulu mwanamke jiko sio mashllh

  • @firstname600
    @firstname600 4 года назад +40

    Kufundisha watu kunataka uwe na roho Nzuri ila km unachoyo kidogo mtaishia kuliwa mb zenu na hamjaelewa kitu😅😂😅

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 года назад

    Mbona vitunguu na hizo mboga mboga zingine hazijakatwa vizuri

  • @khadijaali6167
    @khadijaali6167 4 года назад

    Ahsante Elizabethi kwa kutoa ombi langu nimependa sana nikija Tanzania lazima nikutafute

  • @wasilaali5081
    @wasilaali5081 4 года назад

    Mimi nazani hasomi comment za watu sasa apo tutajuwa umeweka nini na nini

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 года назад

    Yavutia 😋

  • @mwanaidramadhani9960
    @mwanaidramadhani9960 4 года назад +1

    Hilo sirosti maini shogaangu ayo yanaitwa maini yakupaka mana ukisema Rosti inakuwa rosti kweli nasikama hivo

  • @cozinhandocomakeide2695
    @cozinhandocomakeide2695 4 года назад

    Kituo chako ni nzuri! Ninaona hii kila siku! Njoo uone kituo changu cha jikoni! Ninatoka Brazil na natumahi umejiunga na kituo changu na ushiriki video zangu katika nchi yako! Asante!

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 года назад

    Maini pambe

  • @halimahamid9081
    @halimahamid9081 4 года назад +1

    Mbona kama roho imeniuma hayo maziwa kuoshea Maini

  • @shayonapatel1408
    @shayonapatel1408 4 года назад +33

    Haki Lulu tuekeze viungo ni vipi. We cannot tell by just looking at the video.

  • @mariamsuphian2397
    @mariamsuphian2397 4 года назад

    Ushauli uweunaonge maan hatuelew .

  • @nailaomar2587
    @nailaomar2587 4 года назад +1

    Mashaa Allah maini mazuri yanaonesha test kwa ugali hapo👌

  • @hamisaally2627
    @hamisaally2627 4 года назад +2

    Sio kwa mihoho hiyo😂😂

  • @sharonjovin1150
    @sharonjovin1150 4 года назад +1

    Mhhh ayo maini mabichi

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 года назад +3

    Tafadhali lulu uwe ukijieleza step by step sa cc tungependa kujua hila tunaona tu ukichanganya vtu. Hata hatujui n nn ni vyema ukitueleza viungo majina yake then vle unaweka kiasi kivi tafadhali dia upishi wako n bora hila tueleze mamaaa tafadhali kama utaona hii comment ningependa uzingatie haya hila nakupenda Sana

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 года назад

    Shukran

  • @julianankulila1277
    @julianankulila1277 4 года назад

    Hujui kupika mapishi ya aina hii mtu akila anajaza sumu mwilini viungo vina ukataji wake na vikaangwe kwa muda flani vilete radha angalia wapishi wenzio wa biriani, pilau,samaki,nyama wali na mapishi mbalimbali wanavyojua kupika wanataja viungo na muda.

  • @etpaix.praisegod7681
    @etpaix.praisegod7681 4 года назад +2

    Hi lulu, please come back like before don't panic because of others

  • @halimakimoto6230
    @halimakimoto6230 4 года назад

    Mbona Huyo Mpishi Hatumuoni Sura Wala hatowi maelezo ya Viamba Upishi Hapo Htujafaidika.

  • @mrtnm.k1984
    @mrtnm.k1984 4 года назад

    Lulu she is young and beautiful and a bright future ahead but...she luck confidence because most young people nowadays they like to use full English daily naye ana struggle na English .but is sad because swahili is one of the best language on the planet especially Tanzanian so she should put her cooking program in swahili instead of muting and hide her gorgeous face .who knows??it can be someone else. LULU you still young you can take English courses within 2years utaongeya vizuri and you look like you have a good financial stability means you can travel to countrys that they speak English fully so you can learn fast .this advise is from care not shading ❤🇬🇧

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 года назад

    Lulu tufundishe kupika chapati pia za kusukuma 🤝🤝🤝

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 4 года назад

    Unabowa kweli na hiyo miziki yako washindwa kutiwa sauti yako

  • @ollibaraka4759
    @ollibaraka4759 4 года назад +8

    I don't think I'm the only saying this to you but we need a voiceover about you explaining

  • @patriciakidaha8296
    @patriciakidaha8296 4 года назад +1

    Lulu napenda kuangalia mapishi yako, but at once unapanic sana kwenye upishi, 2. Hutumii sauti kutuelekeza na tufahamu viungo unavyotumia.... Sasa ndugu yangu hiyo sio recipe nzuri

  • @rukiadeo4783
    @rukiadeo4783 4 года назад

    ujui kupi
    kamain mama main gan ata nyanya aionekan

  • @ratiffahdolle9931
    @ratiffahdolle9931 4 года назад

    Hajui kupika

  • @florarose1626
    @florarose1626 4 года назад +28

    You can cook really good but sis try to explain more plz 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gloryjohnson5878
    @gloryjohnson5878 4 года назад +1

    tutajie pia viungo unavyoweka tuelewe vizur😮

  • @marymassawe9709
    @marymassawe9709 4 года назад

    Hongera lulu.ila jitaidi kuelezea kidogo viuongo unaweka ila hatuelewi unaweka kitu gani

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 года назад

    Lulu Mambo gani haya hata hatujui umeweka Nini jmn. Unataka kupika mwenyewe wengine tukuangalie tu km mazuzu. Sijapenda kwakweli, ungeongea tujue unachanganya viungo gani hasa vya unga ulivyo weka. Na Yale maziwa ulimwaga, ulioshea, uliloekea tu au?? Maswali ni mengi kwakweli

  • @zalkhsule2617
    @zalkhsule2617 4 года назад

    Lulu nakupenda I wish nikuone live

  • @ernestmbala3609
    @ernestmbala3609 Год назад

    Lulu wangu umebarikiwa tege

  • @bujsaudaselemani5562
    @bujsaudaselemani5562 3 года назад

    Asante

  • @shuwenaghandi9253
    @shuwenaghandi9253 2 года назад

    Majizo anafaidi😋

  • @judithsidi1087
    @judithsidi1087 4 года назад

    Hey lulu what did u use to wash ur maini

  • @pasuakaratu2601
    @pasuakaratu2601 3 года назад

    Mpishi ji bubu au

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 года назад

    Lulu kuna viungo vingine me sijavijua ungeongea ingekuwa bomba sana

  • @rahmaissa9989
    @rahmaissa9989 4 года назад

    Kwanini kaosha maini na maziwa

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 4 года назад

    Uwii lulu sima ninayo naleta bakuli huko

  • @stumaimdumbe5706
    @stumaimdumbe5706 4 года назад

    Uwe unatuambia viungo unavyoweka lulu

  • @lucywanjiku2325
    @lucywanjiku2325 4 года назад

    Explain pliz

  • @shamalehappy230
    @shamalehappy230 4 года назад +4

    Ingredients zingine kukuzionesha mwanzo alafu umekuja kuzitumia and sio zote umeweka majina

    • @priscajoseph2839
      @priscajoseph2839 4 года назад

      Mbona yamekua meus, rost main umekkosea lazma liwe jeusi

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 года назад

    Aroma of zanzibar ndio mpango mzima. Anakufundisha khaswa jinc inavyotakiwa na ukijaribu kupika bac chakula kinatoka kizuri to. Hujutii kutumia mb zako maana faida unapata. Sio akina ww hayo mambo sio yenu.

  • @brownbabygirl1284
    @brownbabygirl1284 4 года назад +11

    Nyc recipe thanx. Just a polite question please; Why should we wash the liver with milk before marinating? Thanks

    • @hellendinahlwesya3581
      @hellendinahlwesya3581 4 года назад

      I second this

    • @annekimeu59ak
      @annekimeu59ak 4 года назад +1

      To remove that bitter taste

    • @brownbabygirl1284
      @brownbabygirl1284 4 года назад

      @@annekimeu59ak Thanks for your reply.

    • @pamelapeter437
      @pamelapeter437 4 года назад +2

      soaking in milk helps to remove toxins (maana inafanya kazi ya kuondoa sumu mwilini) liver requires a good wash if need be

    • @brownbabygirl1284
      @brownbabygirl1284 4 года назад

      @@pamelapeter437 Noted thanks for the tip. 😘

  • @robertjohn2519
    @robertjohn2519 4 года назад +1

    apa tunaliwa tuu mb atasielewi

  • @hawakajoli3927
    @hawakajoli3927 2 года назад

    Mi maziwa yakuchezea kuoshea maini Sina jamni

  • @ashtonmzumara4020
    @ashtonmzumara4020 4 года назад +5

    Elezea ingredients hapo ndo somo la upishi liliposimama otherwise 👍👍looks yummy 😋

    • @irenealexander3844
      @irenealexander3844 4 года назад

      Huyu sio yeye lulu mpishi mwingine mbona aonyeshi sura wala sauti

    • @ashtonmzumara4020
      @ashtonmzumara4020 4 года назад

      irene alexander itakua ivyo ,you’ve got a point

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 года назад

    Ungekuwa unaandika maandishi kwa chini kunawengine hatujui hivyo ni viungo gani heli unaandika ushauri tu

  • @levinaelias1375
    @levinaelias1375 4 года назад

    My dear ungeweka sauti au hata maneno tusikie n kuelewa zaidi vitu ulivyotumia

  • @yumna128
    @yumna128 4 года назад

    Elizabeth pita Comment mama

  • @mondreznkorez4049
    @mondreznkorez4049 3 года назад

    Duuuh nampenda huyu Dada jamn...we upike vizuri au vbaya I wll always like Dr move on cwty

  • @nansikilovele1424
    @nansikilovele1424 4 года назад +3

    Maini na limao,ni jiwe latokea

    • @annalekule2180
      @annalekule2180 4 года назад

      Nansi Kilovele 🤣🤣🤣shida ya kucopy mapishi ni ubunifu ndo maana hatoi maelezo

  • @camelinenatuluku942
    @camelinenatuluku942 4 года назад +5

    What are the marinating ingredients

  • @shellanlinsey9295
    @shellanlinsey9295 4 года назад

    Ongea bas

  • @teclasimba5389
    @teclasimba5389 4 года назад

    Dada tunaomba maelekezo vingine una changanya hata hatuvijui angalau uwe unaandika hapo

  • @preciousanner9829
    @preciousanner9829 4 года назад

    Mbona avivutii

  • @misshemela5770
    @misshemela5770 4 года назад +24

    Unapika kutufundisha au unajifurahisha tu mwenyewe? Maana upishi wa kibubu hamna hata maelekezo ndo nn sasa

  • @rehemasalum2531
    @rehemasalum2531 4 года назад +2

    Umejitahidi Sana pishi laonekana traamu hatari Ila shost ingredients uwe unatuwekea kwenye description box, na kwenye video kila unapoadd something idesplay basi hapo pleaaaase lulu I love you 😘💕

  • @zainakipingu3488
    @zainakipingu3488 4 года назад

    Atujaelewa

  • @davidsedekia1337
    @davidsedekia1337 4 года назад

    Sijaelewa ata chochote hapa

  • @farish2899
    @farish2899 4 года назад

    Tell us which spices are those

  • @dipendijoseph873
    @dipendijoseph873 4 года назад

    Good

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 4 года назад +5

    Next time tag ivyo viungo unavyotumia..toa list ya ingredients before hujaanza

  • @christabelfavoured9759
    @christabelfavoured9759 4 года назад +2

    I love your work but a kind request please and don't be offended..... Atleast tell us what you are adding and when..... Tell us every process and do it slowly... You are too fast..... From kenya....

  • @edahbundala483
    @edahbundala483 4 года назад +2

    Ata sijakulewa umenilia MB zangu tu

  • @spaice995
    @spaice995 4 года назад +1

    Viungo vingine tuote 🤓

  • @asmahomar8489
    @asmahomar8489 4 года назад +4

    Heee vitunguu mapande,karot mapande hoho mapande, yanatakiwa ya we m akubwa ila sio vikubwa sana,na utuwekee maaelezo

  • @hadijamasanja4068
    @hadijamasanja4068 4 года назад

    Maelezo ndo yamekosekana hapa ila kaz ni nzuri

  • @peniejohn383
    @peniejohn383 4 года назад

    Mbona ata huongei ndugu.....basi ata ukiweka chumvi andika kwa chin chumvi il tujue

  • @dydahjahadhmy4920
    @dydahjahadhmy4920 4 года назад

    Speak speak...

  • @aminanzeyimana3676
    @aminanzeyimana3676 4 года назад

    Maini yanatakiwa kuchemshwa kwanZa kwa muda mrefu

    • @nuruhassan7626
      @nuruhassan7626 4 года назад

      Ukiyatoa ngozi maini huwa laini...hayachukui mda

  • @maryanmaxmud3290
    @maryanmaxmud3290 4 года назад +1

    Maansha Allah

  • @ngulowitness171
    @ngulowitness171 4 года назад

    Mwanike usipike kibubu hivyo ungeelekeza ingekuwa chiza sana.

  • @sakinamakau9879
    @sakinamakau9879 3 года назад

    Hyo recipe ya mwsho ya unga ni nini?

  • @annajackson9721
    @annajackson9721 4 года назад

    Hamna kitu hapa sijapewa chochote kwani unashindwaje kutoa maelezo

  • @amidasuleiman3983
    @amidasuleiman3983 4 года назад +1

    Mi hata sielewi unafundisha au unaonyesha unavyojua kupika??

  • @noelakimario3260
    @noelakimario3260 4 года назад

    Mbona huandika viuongo unavyoweka...tunaona unaweka tu

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 4 года назад +1

    Kupika hujui jp nakupenda sanaaaaaa

  • @ashaabdallah1718
    @ashaabdallah1718 4 года назад

    Taja majina ya viungo tafadhari wengine hatujuiii

  • @azizamnankale4418
    @azizamnankale4418 4 года назад +1

    nikweli ni pishi la LULU nasio mafunzo

  • @DainessDaniel
    @DainessDaniel 11 месяцев назад

    Katika watucawajui pika ww ni namba mo1 vingo nisawaila ulitakiwa pale ulipo weka vitunguu vilivo anza,kubadilika lani unge weka maini yako unge yakaanga afu unge ekaa na nyanya

  • @happydaniel1779
    @happydaniel1779 4 года назад +5

    Mapishi bila maelekezo ya vipimo na ingredients 😂

  • @monalisanjelekela1606
    @monalisanjelekela1606 3 года назад

    Yum yum😋😋😋

  • @leilanungu2365
    @leilanungu2365 4 года назад +2

    Uwe unatutajia unatumiya viungo gani please

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 года назад +1

    kwani na nyie munaosema muelekezwe kupika mara atoe mtelezo mara anaenda haraka hamusomi hii caption yake kasema PISHI LA LULU sasa muelekezwe nini na pishi sio lenu? na hajasema km anafundisha kupika yy kaja ma idea yk tizama bac wanaofundisha munaona wanatoa mafundisho ufasaha haswa #PISHI LA LULU😂😂😂😂😂😂

  • @nourbakhwar6342
    @nourbakhwar6342 4 года назад

    Kuna siri gani hapo kukosha maini na maziwa fresh?

  • @hannahpeterhannah585
    @hannahpeterhannah585 4 года назад

    Ata hatujui umeongeza nini

  • @janeymhando
    @janeymhando 4 года назад

    Mbona hauonyeshi unaweka nini ktk kila hatua unayopitia..? Ili tuone na Kuelewa. Ingekuwa bora zaidi

  • @mankakimaro4165
    @mankakimaro4165 4 года назад

    Lulu viungo vingine hutangazi na kila stage ya mapishi utuambie unaweka nn..... Its look good thou

  • @aminafonga2267
    @aminafonga2267 4 года назад

    Wa kwanza

  • @devothafredrick3911
    @devothafredrick3911 4 года назад

    Mbn naona mapicha tu bila maelezo?? Cjakuelewa

  • @sofiajackson9672
    @sofiajackson9672 4 года назад

    Toa maelezo ili tujifunze

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад

    Mashallah pishi zury lulu lkn pitia comments ujuwe tatizo la wanayo kufatilia

  • @nizigiyimanaclaudia2614
    @nizigiyimanaclaudia2614 4 года назад

    Anafundisha ao anaonyesha cakula cake