Umma unahitaj mtu mwenye kutoa dalili na rejea ili kuondoa mashaka. Kukubali au kukana ni jambo la mtu binafsi. MAASHAALLAH Tabaraka LLAH system anayoitumia Kijana Muhammad Bachu (ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amuhifadhi), ni dhidi ya longo longo na paukwa pakawa. "Tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA msamaha kutokana na sharri ya nafsi zetu. "
Katika jambo lolote la Dini ukishatanguliza tu maslahi ya duniani kama kutafuta umaarufu au jina, baaaaasi umeisha. Mwanzoni M. Bachu (ALLAH amuongoze) alitanguliza maslahi ya akhera ndio maana alibakia katika njia ya sahihi. Lakini alivyo anza kutanguliza maslahi ya duniani tu akageuka. TUNAMUOMBA ALLAH THABAAT NA TUNAWAOMBEA MASHEIKH ZETU ULINZI.
Uongo ,hayo ni maelezo yako, Maelezo yake shekh Muhammad bachu ni kuwa Alikukhalifuni njia yenu ya kukata kata ahlusunnah bila hojja na dall, Majadida wa zenji walimzuia asimkalibishe shekh abu mu'awiya, alipouliza sababu hakuambiwa, yeye akamkaribisha na kutoa mhadhara ndipo mukaanza kumkata, MBONA WAJITIA HAMNAZO ?
Allah Subhana wataala amhifadhi Mohamed Bachu ametoa ushahidi wa kutosha kumjibu Radi nyingi just ya Dr Islam na wengine urongo wa kassim Mafuta na grupu Lake. Mcheni Allah Subhana wataala.. wengi wame shuhudia kupitia video lake.
Bachu hajawahi kumtoa Sheikh Qassim Mafuta mpaka kesho bado anaitakidi kwamba sheikh Qassim ni mtu wa Sunna na ni nguzo muhimu isipokuwa mzozo upo kwenye namna ya sheikh Qassim kuwa na haraka ya kuwatoa watu katika sunna pasi za vigezo vya kutosha kufanya hivyo.Mwisho Bachu hata akiamka saa8 usiku ukimuukiza sheikh Qassim ni mtu wa sunna atajibu ndio.
Nyi hili kundi potofu la ujadida warudi katika hakki ni watu waloendekeza matamanio, kuja hili pote limevuruga umoja wa watu wa sunnah kiufipi sunnah imevamiwa vile.
Huyo ndo Mohammad Bichwa. Anageuka geuka Kila siku. Mara anawasifia Masufi wa Tablighi,Mara Yupo na Makhawaarij wa uamsho saiv wenziwe ni kina Barahiyani Na Dokta Feki Islam.
@@hafidhwajina6718 hakumzuria bali kamnukuu kile alichosema mwenyew kwa Nafs yake huyo Dokta wenu. Tena Amemnukuu Heruf baada ya Herufi kuwa yafaa kusoma Kwa yeyote na akatilia nguvu Huo msimamo wake kwa kumsingizia Ibn utheymeen kuwa Amejuzisha hilo kwa Mujib wa hadith ya Abuu Hureyra Kuwa Eti Abuu Hureyra Aliwahi Kusomeshwa Na SHETANI. kwa kiarab namnukuu hivii Ω Ψ§ Ψ¨Ψ§Ω Ψ§ΩΨ₯ΩΨ³Ψ§Ω...... Haya ndio maneno ya Dokta wenu. Sasa alipaswa Mohammed Bichwa Arud ktk maneno haya ya Dokta Ndio Awaraddi Masalafi Ambao wanapinga Kusoma Kwa yeyote na kumsikiliza Yeyote.Mpka Ajulikane ktk Manhaji yake ni ipi.Sio kuja kuleta Talbisi zake Na Kusema Uongo.Na kumfangia Difai Mtu kwa sabab mpo chama kimoja na hii ndio tabia Ya Mahizbi.Kuteteana ktk Baatwili Na tukamthibitishia maneno ya Ibn Utheymeen Ktk Kitab Sherhe ya Hilyat twaalib Al Ilm. uk.137- 140.
Na kassim ni mwana chama wa ccm , kama yaliyopita ni kigezo basi , basi tuambieni uwanachama wa kassim mafuta na ndugu yake mnaujua au hauna shida kwakuwa ni yeye β¦ .. masalaf wenye account za youtube mnakosa ufahamu , someni vijana acheni kugonganisha masheikh , yoyote afanyae hivyo ni mpumbavu
β@@sabrizamilalmendhrykusema dr islamu ni muongo,alafu leo tunafahamu shekh hajadanganya,na wewe umepost maudhui hayo, Huogopi wewe kukutana na allah akakuuliza jambo hilo, Mbona unashindwa kupost ,post zingine ukimtakasa kwa uongo aliozushiwa? Hii ni manhj gani ya kufunza hayo?
Majadida wajibu radd kazi imebaki kiki tu
Umma unahitaj mtu mwenye kutoa dalili na rejea ili kuondoa mashaka. Kukubali au kukana ni jambo la mtu binafsi. MAASHAALLAH Tabaraka LLAH system anayoitumia Kijana Muhammad Bachu (ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amuhifadhi), ni dhidi ya longo longo na paukwa pakawa. "Tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA msamaha kutokana na sharri ya nafsi zetu. "
Katika jambo lolote la Dini ukishatanguliza tu maslahi ya duniani kama kutafuta umaarufu au jina, baaaaasi umeisha.
Mwanzoni M. Bachu (ALLAH amuongoze) alitanguliza maslahi ya akhera ndio maana alibakia katika njia ya sahihi. Lakini alivyo anza kutanguliza maslahi ya duniani tu akageuka.
TUNAMUOMBA ALLAH THABAAT NA TUNAWAOMBEA MASHEIKH ZETU ULINZI.
Amin! Baarak Allah fiyk
Aamin
Uongo ,hayo ni maelezo yako,
Maelezo yake shekh Muhammad bachu ni kuwa
Alikukhalifuni njia yenu ya kukata kata ahlusunnah bila hojja na dall,
Majadida wa zenji walimzuia asimkalibishe shekh abu mu'awiya, alipouliza sababu hakuambiwa, yeye akamkaribisha na kutoa mhadhara ndipo mukaanza kumkata,
MBONA WAJITIA HAMNAZO ?
Allah Subhana wataala amhifadhi Mohamed Bachu ametoa ushahidi wa kutosha kumjibu Radi nyingi just ya Dr Islam na wengine urongo wa kassim Mafuta na grupu Lake. Mcheni Allah Subhana wataala.. wengi wame shuhudia kupitia video lake.
Bachu hajawahi kumtoa Sheikh Qassim Mafuta mpaka kesho bado anaitakidi kwamba sheikh Qassim ni mtu wa Sunna na ni nguzo muhimu isipokuwa mzozo upo kwenye namna ya sheikh Qassim kuwa na haraka ya kuwatoa watu katika sunna pasi za vigezo vya kutosha kufanya hivyo.Mwisho Bachu hata akiamka saa8 usiku ukimuukiza sheikh Qassim ni mtu wa sunna atajibu ndio.
Kusema ni salafiya jadida maana yake nini?
β@@UB40X1usalafy mpya
Huyu fala kaishiwa sasa anajificha kwenye mche wa karanga looo
Nenda kakoment kweny mizik rafiki yang
Huyu hamna kitu
Sjuw kasoma wapi jadida
Nachu hajawahi kusema qassim mafuta sio salafi ....bali nyie ndio mnaotoa wanasuna wenzenu
Kusema ni salafiya jadida maana yake ni nini?
Nyi hili kundi potofu la ujadida warudi katika hakki ni watu waloendekeza matamanio, kuja hili pote limevuruga umoja wa watu wa sunnah kiufipi sunnah imevamiwa vile.
Huyo ndo Mohammad Bichwa.
Anageuka geuka Kila siku.
Mara anawasifia Masufi wa Tablighi,Mara Yupo na Makhawaarij wa uamsho saiv wenziwe ni kina Barahiyani Na Dokta Feki Islam.
Thibitisha kama wewe mkweli,
Hoja ya msingi shekh qasimu kamzuria dr islamu kwa fahamu yake akamuita muongo, hilo hulijui?
@@hafidhwajina6718 hakumzuria bali kamnukuu kile alichosema mwenyew kwa Nafs yake huyo Dokta wenu.
Tena Amemnukuu Heruf baada ya Herufi kuwa yafaa kusoma Kwa yeyote na akatilia nguvu Huo msimamo wake kwa kumsingizia Ibn utheymeen kuwa Amejuzisha hilo kwa Mujib wa hadith ya Abuu Hureyra Kuwa Eti Abuu Hureyra Aliwahi Kusomeshwa Na SHETANI.
kwa kiarab namnukuu hivii
Ω Ψ§ Ψ¨Ψ§Ω Ψ§ΩΨ₯ΩΨ³Ψ§Ω......
Haya ndio maneno ya Dokta wenu.
Sasa alipaswa Mohammed Bichwa Arud ktk maneno haya ya Dokta Ndio Awaraddi Masalafi Ambao wanapinga Kusoma Kwa yeyote na kumsikiliza Yeyote.Mpka Ajulikane ktk Manhaji yake ni ipi.Sio kuja kuleta Talbisi zake Na Kusema Uongo.Na kumfangia Difai Mtu kwa sabab mpo chama kimoja na hii ndio tabia Ya Mahizbi.Kuteteana ktk Baatwili
Na tukamthibitishia maneno ya Ibn Utheymeen Ktk Kitab Sherhe ya Hilyat twaalib Al Ilm. uk.137- 140.
Toka uko lete hoja wew
Video mumeirimove baada ya kui uplod
Ya mwanzo ilikuwa na makosa akhiy! Baarak Allah fiyk
@@sabrizamilalmendhry
Maashallah Allah akufanyie wepesi katika kila jambo
@@BakarAlshiraziy Amin
Na kassim ni mwana chama wa ccm , kama yaliyopita ni kigezo basi , basi tuambieni uwanachama wa kassim mafuta na ndugu yake mnaujua au hauna shida kwakuwa ni yeye β¦ ..
masalaf wenye account za youtube mnakosa ufahamu , someni vijana acheni kugonganisha masheikh , yoyote afanyae hivyo ni mpumbavu
Akhiy kuyaweka maneno yake mazuri aloyasema hata kama ya zamani ni vipi itakuwa ni kuchonganisha?
β@@sabrizamilalmendhrykusema dr islamu ni muongo,alafu leo tunafahamu shekh hajadanganya,na wewe umepost maudhui hayo,
Huogopi wewe kukutana na allah akakuuliza jambo hilo,
Mbona unashindwa kupost ,post zingine ukimtakasa kwa uongo aliozushiwa?
Hii ni manhj gani ya kufunza hayo?