Asante Mungu kwa zawadi ya utumishi wa Askofu Ngalekumtwa ktk nafasi mbalimbali hata kabla ya kumteua kuwa Askofu ktk Jimbo la Iringa, alifanya kazi kwa bidii akitumia vipawa ulivyomjalia hata ukamteua kuwa Askofu. Ee Mungu, tunakuomba umjalie afya na amani mtumishi wako, ili aweze kufurahia matunda ya utumishi wake ktk kustahafu.
Hongera sana Baba askofu Mungu akutangulie ktk utumishi wako kwake na kwa taifa lake pamoja sana kwa sala
Hongereni sana Jimbo katoliki la iringa, Mungu amuongoze mteule wenu wa daraja la uaskofu.
Hongera sana Mhashamu, Ask. Tarcius Ngalalekumtwa. Ulitupa sacrament ya Kipaimara Mwaka 1993. Hongera sana na Mungu azidi kukulinda.
Ahsante sana baba tarcisius kwa upendo wako mkuu tunakuombea afyq tele baba yetu❤
Hongera sana askofu mteule na pia hongera sana askofu mstaafu ulinipa kipaimara kihesa jimbon mwaka 2006
Paroko wangu father Romanus miale hongera sana father
Tutakumiss babu ngalale, hongera kwa utume uliotukuka, baba askofu mpya utume mwema hapo unyalukoloni.
Askofu ngalalekumtwa ndiye aliyenipa ubarikio wa kipaimara mafinga.Apumzike kwa kweli,Mungu ambariki kwa utumishi wake baba askofu 🙏🙏
Kanisa katoliki halina sakramenti ya ubarikio , labda kama ulikuwa unamasnisha komunyo ya kwanza
@andrewmwanjonde5144 Am sorry ni kwamba alinipa sakramenti ya kipaimara .
Asante Mungu kwa zawadi ya utumishi wa Askofu Ngalekumtwa ktk nafasi mbalimbali hata kabla ya kumteua kuwa Askofu ktk Jimbo la Iringa, alifanya kazi kwa bidii akitumia vipawa ulivyomjalia hata ukamteua kuwa Askofu. Ee Mungu, tunakuomba umjalie afya na amani mtumishi wako, ili aweze kufurahia matunda ya utumishi wake ktk kustahafu.
Kwakweli amedumu kwa muda mrefu, nikikumbuka ndiye aliyenipa Kipaimara. miaka mingi Mungu ampe nguvu katika mapumziko yake
Ndio
Kumbe adi maaskofu wakuu w a jimbo wanateuliwa na papa🙄🙄