Wimbo mzuri sana,hongera kwa mtunzi na bendi nzima ya Nchinga Sound,na wale wanamuziki waliotangulia mbele za haki Mungu awalaze mahali pema peponi Kari hi nzuri itabaki kielelezo cha ubora wa Kai yao ujumbe mzito .Hakika Muumini Mwinjuma ni Mina kubwa katika fani.
Nakumbuka safari ya Dar-Locale 2002 kipindi cha masika ilituchukua siku tano!...wakati ule daraja la Mkapa halijaisha, kivuko ni panton, barabara ni ya vumbi.....!
Tunao usikiliza 2023 kwenda 2024 gonga like zenu apa
aliye piga hiyo solo guitar daaah Mungu akubariki sana
Daaah nakumbuka mbali sana hizi nyimbo jamani .... umevumbua kitu bora sanaaa .... umenifanya nilie machozi
2024 tunatamba nao
Nipo tena 2024
duh naikumbuka huu mziki vzr san.ninatokwa na machozi san kipindi hicho ubwabwa maharage ilikuwa mia tatu tu kipindi cha mkapa
Asante wazazi wangu pumzikeni kwa amani ninyi ni watu bora mno asante mchinga hakika uhai ni zawadi mwanzoni mwa 2000
katapila nyamaza kulia😭 ukilia waniliiiza wanikumbusha ukiwa katapila nyamaza weee🤗
Watunzi walikuwepo walikuwa wanatunga nyimbo kwa vina vya hali ya juu
Good music! God job Mwinyi Juma Muumini
Endeleeni kupumzika mahali pema peponi wazazi wangu niliwapenda sana ila mungu amewapenda zaidi 🙏
Wimbo mzuri sana,hongera kwa mtunzi na bendi nzima ya Nchinga Sound,na wale wanamuziki waliotangulia mbele za haki Mungu awalaze mahali pema peponi
Kari hi nzuri itabaki kielelezo cha ubora wa Kai yao ujumbe mzito .Hakika Muumini Mwinjuma ni Mina kubwa katika fani.
Daah ila Muumini Mwinjuma alikuwa hatari😢😢🙌🙌🙌🙌
balaa na nusu
Uzuni huongezeka ukiwa hauna wazazi
Nyimbo ni nyimbo ila ni ukunbusho
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana na naipenda kusikiliza kuna isia zinznikumbusha
Nyimbo taamu
Hii nyimbo toka imetoka mpk leo cjawah kuisahau naipenda sana 2020 now aisee ni fire
Fadhila kwa wazaz wamepata tabu na mm. Ninapata tufurahi wote Mungu anawachukuwa.
Wapumzike kwa Amani wazazi wangu nawamisi Sana kupitia wimbo huu 😭😭😭😭....Bado Nawapenda sana
Nawakubali sana, wekeni nyimbo nyingi sana humu za sasa na za zamani 👏👏👏
wekeni za live
Wimbo huu huwa unaniumiza sana nikimkumbuka mamaangu aliniacha mdogo sana rip mama
Mwimbo huu una maneno kuntu, wakati mwingine unahuzunisha kwa tulio kosa wazazi wetu lakini pia unatukumbusha tuwaenzi wazazi
Napenda sana huwinbo
Kama nirudi zamani
Pumzikeni kwa amani baba zangu😢
Pumzikeni kwa amani wazazi wangu baba na mama
Safari ya Dar-liwale
Daaaa miss my daddy KENED MASINGA❤️❤️ and my mother MARTHA MASUDYA ❤️❤️ rest in piec 😭😭😭😭🙏🙏2023
Pole sana🤒
Thanks
Wimbo huu nawakumbu wazaziwangu walio tangulia mbele haki
Music ulikuwa enzi hizo aisee, unaweza kudondosha machozi
Hii nyimbo ina mafundisho
Hii nyimbo tangu inatoka mpaka leo 2022 naipenda sana
waoooo 2024
Nakumbuka mbali sana 2024
Kitambo ichoooo sauti ya muumini nilikuwa niataliiiiii
2025 tuko pamoja aisee
Nyimbo nzur Sana muumin uko wp kweli umeweka alama kwa nyimbo nzur
niliukubali sana huu wimbo na nyingine zilizokuwepo ktk hiyo albam ya mchinga sound
Nawapenda Sana wazaziwangu pumzikinikwaamani
Nakumbuka safari ya Dar-Locale 2002 kipindi cha masika ilituchukua siku tano!...wakati ule daraja la Mkapa halijaisha, kivuko ni panton, barabara ni ya vumbi.....!
who listen to this song till today 2020
Muumini alikuwa mtu na nusu aisee
Unashiba hta kma unanjaa kiukweli umlio na wazaz muwaenz
Dahuu! Nimelia kwa isia sana😭😭
Nikilia sana namkufulu MUNGU....
Nabaki na uchungu mwingi moyoni.....
Naipenda sana hii nyimbo na aichuji
Maskini ! Duuh! Mchinga sound mnatuhuzunisha!
Huu wimbo unaweza kukutoa machozi
Mchinga sound katika ubora wao muumini,katapila
Kitambo sana
asante kumbuku zimerejea hakika music ni kitu kizur kurudiaha hisia home
Rogati katapila
Zamani walikuwa wanatunga nyimbo nzuri Sana hawakujikita kwenye nyimbo zza mapenzi Kama wanamuziki Wa sikuhizi
Pumnzika Kwa amani nakumic mamaanguuu.
Special kwa cc yatima
Wanikumbusha mbali sanaaaeee
Rogart Katapila(Tanzaniiia). Dogo wake na Papaa Msangazi.
Bado nakumbu hii nyimbo naipenda
Huu wimbo hauishi ladha miaka yote
2/1/2025.Pumzika Kwa Amani Baba yangu
hii ndo mziki unaodumu aseee
Safi sana sana.da....h
Unakumbuka wap
Wimbo mzuri hautasaulika
18/9/2024 pumziken kwa aman baba zangu
Rip bibi mama wajomba daaaa😭😭😭😭😭
Hivi huu wimbo ulitoka mwaka gani, maana nakumbuka nilikua nausikia nikiwa mdogo kati ya drs la 1 au 2. Anayekumbuka pliiz
Yani maneno kayapanga kikamilifu na kayaweka ktk nafasi zake hysika nilazima kitu kitolezee
Rip Dad and mom ❤️❤️❤️🙏 🙏🙏.
02-02-2022
Sina chakusema😥😥😥😥😥😥
2021 twende pamoja
🔥🔥🔥
Tukimalizia 2020
Mchinga saumd
Yakale dhahabu
Wimbo mzuri sana kiukweli zamani ni zamani
Ni. Za. Mafunzo
Uwimbooo ulitba sana pia unaudhunisha sana kwa sisi tulio achwa yatima
Kwasasa,hakuna,watunzi
3/8/2021
Yakale dhahabu