mlima wa vita kati ya Russia na Ukraine na maeneo yote yenye mapigano yakawe na Amani yako Yesu na dunia yote ikakujue wewe ee Yesu mwana wa Mungu aliye hai... Amen
Huku Oman saizi saa 2:25 ROHO MTAKATIFU Amenileta nikae na huu wimbo baada ya kumaliza maombi ya muda mlefu usiku huu Barikiwa sana katika utumishi wako naomba Mungu aniweke niludi salama mwalimu wangu wewe uliye chaguliwa na Mungu BABA juu ya huduma yangu Amen
""Cancer,, kisukar,, ukimwi vina yeyuka"" Dr.ipyana,,,,,, kw maneno haya n Inspiration tosha kw vizaz n vizazi, Mungu akubarik mtumishi w mungu🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
For the first time to have the holy spirit I was listening this song and then I started speak in tongues wow I was almost fainted it was so powerful and deeper, God is very strong the atmosphere changed it was over welcoming I won't forget that day, Mungu akupe ufunue zaidi zaid kwa huduma yako inafanya makubwa tusiyotarajia
This is amazing!!! Your ministry is a huge blessing, I love that your music is scriptural. Hebrews 12:22 But you have come to Mount Zion, to the city of the living God, the heavenly Jerusalem. You have come to thousands upon thousands of angels in joyful assembly. Psalm 97: 5 The mountains melt like wax before the Lord, before the Lord of all the earth.
Kaka Mungu azidi kukutunza sana nyimbo zako huwa zinanibariki sana Naomba sana kama utapata kibali ufanye nyimbo na Joel Lwaga nyimbo moja ya kuabudu. Asante
Jehova ainuliwe milele.I used this song today to declare the melting of my mountain and God showed up without delay .........Lord you never disappoint....you a covenant keeping God ...Neno lako ni la hakika...God is so real .
In an exam room of a subject that’s full of confusion and then God brings me to this beautiful worship that change’s the atmosphere of the room to all of us in here. Glory to God, trusting God for better results maana HOFU IMEYEYUKA🙏🏽.
Tiba ya mifupa yangu Bwana nishike mkono miezi iliyo baki kumaliza mwaka nisikutane na makwazo kwenye safari ya kuludi home nisaidie nikae kwenye mlima Sayuni
My favorite person 😍,,,I've searched but none compared to you Yahweh.....we acknowledge your presence Lord 🙏🙏🙏 Mlima ya yeyuka mbele zako 🔥🔥🔥🔥mfalme🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️
Jamani jamanii MUNGU awainue sana maana ninyi mmeshuka chini!! zaidi sana mnampendeza MUNGU WA MBINGUNI,,napendaga sana vile mna mtumikia MUNGU MOTO ULAO,wewe Dr.Ipyana na minister Boaz danken na mkewe... love you in Jesus mighty name
Mungu akutie nguvu Dr. nabarikiwa sana na nyimbo hakika Tanzania tunajivunia kuwa na watumishi wa kariba kama wewe... Lakini yote katika yote Utukufu ni kwa Mungu mwenyewe kuyafanya yote haya.... be Blessed Dr. with your Ministry in praising Mighty God and worshipping him b'se is only one worthy to be praised .. Thank you Jesus for your exceeding joy
22 Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi, 23 mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika, 24 na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili. Waebrania 12
❤❤❤, Asante Mungu wa baba Yetu Ibrahimu- Isaka- Yakobo-Yusuphu- Musa-, Mungu anayetunza maagano, akamuaid atakuwa na Musa hata awaokoe wana wa Israel agano aliloweka na Ibrahimu kuwapa nchi ya Kanani- Misri ikafanywa mateka. Naipenda huu wimbo
More blessings brother napata Amani nikiusikiliza wimbo huu dah MUNGU alikutumia vile apendavyo katika kuifanya kazi yake azidi kukuinua zaidi na zaid AMEN
I am leaving this note so i can come back to testify after todays prayers Guys am back and am in years ...my God did it jamn ...nmekuja mlima sayuni kukusifu na kukuabudu naongana na maserafi na makerubi....thank you God ametunza maagano na milimama imeyeyushwa 🙌🙌🙌 my God jamn nyie
So many Kenyan fans in the comment section! Indeed man of God, you are a blessing to us. We love your Spirit-filled worship. May God keep using you for His glory.
Milima Yayeyuka Mbele za Baba Yetu. Atukuzwe Sana Milele MUNGU wetu Glory and Honor to Jesus God Bless you Dr. Ipyana
What a blessing you're too Minister Danken. Baraka.
Milele na Milele
👏👏👏👏🙏
Hallelujah 🗣🗣🗣
have been waiting for your collabo.....it was on fire
Milima yayeyukaa ,i believe hakuna jambo gumu kwa Mungu wetu mweza wa yote Mungu mfalme wa wafalme ,simba wa Yuda na Mungu asiyeshindwaaa.
Ulevi in the family of Musyimis wayeyuka in Jesus Name, nani kama wewe???????
Aamen🙏🙏🙏
mlima wa vita kati ya Russia na Ukraine na maeneo yote yenye mapigano yakawe na Amani yako Yesu na dunia yote ikakujue wewe ee Yesu mwana wa Mungu aliye hai... Amen
Ni lazima yatokee ili Kristo arudi Mathayo 24
Huku Oman saizi saa 2:25
ROHO MTAKATIFU
Amenileta nikae na huu wimbo baada ya kumaliza maombi ya muda mlefu usiku huu Barikiwa sana katika utumishi wako naomba Mungu aniweke niludi salama mwalimu wangu wewe uliye chaguliwa na Mungu BABA juu ya huduma yangu Amen
Naomba Mungu akafanye milima yote iliyo katika maisha yetu ya ndoa Mimi na dada zangu ikayeyuke katika jina kuu la Yesu❤
""Cancer,, kisukar,, ukimwi vina yeyuka"" Dr.ipyana,,,,,, kw maneno haya n Inspiration tosha kw vizaz n vizazi, Mungu akubarik mtumishi w mungu🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Depression na Suicidal thoughts vinayeyuka kwa jina la Yesu
Madeni ya yeyuka ,roho ya kukataliwa ina yeyuka ,magonjwa yanayeyuka hakuna kama wewe Mungu wetu
For the first time to have the holy spirit I was listening this song and then I started speak in tongues wow I was almost fainted it was so powerful and deeper, God is very strong the atmosphere changed it was over welcoming I won't forget that day, Mungu akupe ufunue zaidi zaid kwa huduma yako inafanya makubwa tusiyotarajia
Ni lbada kamili na utakatifu
AMEN!!!!!
Your so anointed brother..... receive more blessings from GOD ❣️❣️❣️ nazidi kubarikiwa kila siku kupitia nyimbo zako🙏🙏
This is amazing!!! Your ministry is a huge blessing, I love that your music is scriptural.
Hebrews 12:22 But you have come to Mount Zion, to the city of the living God, the heavenly Jerusalem. You have come to thousands upon thousands of angels in joyful assembly.
Psalm 97: 5 The mountains melt like wax before the Lord, before the Lord of all the earth.
Halleluyah 🙌🙌🙌🙌
Beautiful
Kaka Mungu azidi kukutunza sana nyimbo zako huwa zinanibariki sana
Naomba sana kama utapata kibali ufanye nyimbo na Joel Lwaga nyimbo moja ya kuabudu. Asante
Jehova ainuliwe milele.I used this song today to declare the melting of my mountain and God showed up without delay .........Lord you never disappoint....you a covenant keeping God ...Neno lako ni la hakika...God is so real .
Dr lpyana ni katika ya waimbaji 10 tz 🇹🇿 kwa sasa wanafanya vzuri tuwape support zetu 🙏🙏
Nani kama wewe ee Mungu Baba wa milele. Hayupo kama wewe hatawahi kuwepo milele 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tunaomba mtuwekee kwny Audiomack please 🤚🏾...
In an exam room of a subject that’s full of confusion and then God brings me to this beautiful worship that change’s the atmosphere of the room to all of us in here. Glory to God, trusting God for better results maana HOFU IMEYEYUKA🙏🏽.
Trusting is better knowledge
Matokeo yalikuwaje?
Can't get enough of this song. God bless you with more anointing of this kind. God yeyusha Kila mlima maishani mwangu
Milki yake.Ametuhifadhi.Tu wateule.Acha na wimbo Huu ukaguse mataifa
Mungu akubariki zaidi Sana nimepokea uwepo wa MUNGU
Hii ni Ibada kamili Ahsante sana Mtumishi
Nani kama wewe Mungu wetu
Magonjwa yote yayeyuka mbele zako😢Nani kama wewe Mungu wangu .shuhuda zako zanishangaza Jehovah
Natan kwel nije kuwa kama u bro🔥🔥
Magojwa na umasikini kwa familia yetu na ulevi zote zayeyuka katika jina la yesu 🙏 🙏 🙏
I find kind of you dr ipyana i see jesus in you BLESSED
Thank you Lord, Kila mlima unayeyuka mbele yangu, Hold me lord 😢🙏
Nani kama wewe Mungu wangu unaetunza maagano Bless you Dr Ipyana
I've been waiting for this release Waebrania 12:22. YAHWEH is THE MOST HIGH GOD
Mungu naomba uniponyee mgongo na tumbo
Pumzi yako imevifanya, unatunza maagano ❤❤ huna mwanzo wala mwisho.
Magonjwa sugu yayeyuka, kansa ukimwi, kisukar , uvimbe, tb 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vinayeyuka mudaa huu kukataliwa, mikosi kwishaaa kwa Jina la Yesu
Nilikuwa nasubiri kwa shauku kuu sana this song...Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu DR. IPYANA...MUNGU AKUPE MAFUTA MABICHI,UPAKO MPYA
Hallelujah 🙏 Mungu apewe sifa milele...
I can't get enough of this message from this song...usipungukiwe na neema ya Mwenyezi Mungu 🙏
mara ya 4 nawatch this holly song
Uplifting,,can't stop declaring!!Nani kama Mungu wetu?
Madeni yayeyuka mbele zako bwana ziende katika jina la Yesu
Milima yayeyuka mbele zako ....maadui wanayeyuka .., nani kama wewe Mungu wetu .
this is a daily dose
early in the morning late in the night until all the neighbours can sing it coz it plays daily in my house
Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya hii Ibada.Mungu akutunze mtumishi wa Mungu.
JINA LA YESU LITUKUZWE DAIMA.
I join you and your team Dr.Ipyana to worship Jesus...Milima yayeyuka mbele Zako,Nani kama WEWE MUNGU wetu..🙌🙌🙌🙌
Tiba ya mifupa yangu Bwana nishike mkono miezi iliyo baki kumaliza mwaka nisikutane na makwazo kwenye safari ya kuludi home nisaidie nikae kwenye mlima Sayuni
Vimbe zayeyuka mbele zako
Every mountain before me yeyuka katika jina la yesu. Make plain ABBA father every mountain and valley. For you alone you are my hope and only trust
Amen kweli milima yayeyuka Mbele za Mungu wetu
Mimi Ni mshamba siku zote wa uwepo na Nguvu za Mungu,
Milima inayeyuka😢😢who's like our God .......❤
Yes it's happening.... Every mountain Against your life they are melting right now before God of all flesh 🙏🏾 🙌🏽 in Jesus name 🙏🏾 🙌🏽 ✨ ❤
This is amazing,Jesus reigns
It's out. Glory to God.
Milima ya siasa Kenya itayeyuka pia
Ayyyyyiiiiiih this one is so deeeeep wuuuuueeeeeh thw atmosphere is heated up Mzee wa kazi yupo kazini
High blood pressure yayeyuka mbele zako
My favorite person 😍,,,I've searched but none compared to you Yahweh.....we acknowledge your presence Lord 🙏🙏🙏 Mlima ya yeyuka mbele zako 🔥🔥🔥🔥mfalme🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️
Bless the nations touching the world...more blessings to you brother
Nimesubirii sana ubalikiwe
Jamani jamanii MUNGU awainue sana maana ninyi mmeshuka chini!! zaidi sana mnampendeza MUNGU WA MBINGUNI,,napendaga sana vile mna mtumikia MUNGU MOTO ULAO,wewe Dr.Ipyana na minister Boaz danken na mkewe... love you in Jesus mighty name
Nammilikia jua mwezi na nyota
I have really waited for this
I bless God for you sir
God bless you
Akajako najumo Tata..untimi gwetu fikajako ifyamba ifi fikwema nkyeni mmyake
Amen magonjwa yanayeyuka,maadaui,madeni,umaskini,mitego yote yanayeyuka huduma,kazi,zinachanua amen
Hallelujah kila aina ya milima inayeyuka katika maisha yangu,milima stagnation unto my life inayeyuka in Jesus name
Mungu kumbuka inchi yangu ya congo piya n'a jamaa yangu 🙇🙇🙇🙇🙇🙆
Mungu akutie nguvu Dr. nabarikiwa sana na nyimbo hakika Tanzania tunajivunia kuwa na watumishi wa kariba kama wewe... Lakini yote katika yote Utukufu ni kwa Mungu mwenyewe kuyafanya yote haya.... be Blessed Dr. with your Ministry in praising Mighty God and worshipping him b'se is only one worthy to be praised .. Thank you Jesus for your exceeding joy
magonjwa,umaskini,ukosefu wa ajira,biashara kuyumba,madeni,mahusiano yasio dumu,desperation na stress vyote vya yeyuka kwajina la Yesu.
Hii ni uwepo wa hali ya juu kibinadamu🙏🙏🙏🙏.................
22 Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,
23 mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika,
24 na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.
Waebrania 12
❤❤❤, Asante Mungu wa baba Yetu Ibrahimu- Isaka- Yakobo-Yusuphu- Musa-, Mungu anayetunza maagano, akamuaid atakuwa na Musa hata awaokoe wana wa Israel agano aliloweka na Ibrahimu kuwapa nchi ya Kanani- Misri ikafanywa mateka. Naipenda huu wimbo
Nabarikiwa sana ,, Ulifanya maamuzi sahihi kutumika kwa Bwana
Milima mbele zako, nani kama wewe Mungu wangu
This song is a blessing to my life...God bless you sir.
Watching it again and again from Nairobi Kenya
Amen 🙏
I feel the presence here . Neno lake ni hakika.... God bless you Dr ipyana
Nani kama wewe bwana🙌hayupo
Yaani wimbo huu wanibariki sana ....Mungu aendelee kukubariki daktari
Barikiwa mungu azidi kuku inua viwango adi viwango
Barikiwa sana mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏😇😇😴😴😴
kaka Ipyana endelea kuwafanyika baraka kwa mataifa pamoja na Israel
kwa wimbo huu huduma ilojificha ndani yangu naanza kuiona sasa
Mlima Sayuni-- Nani Kama wewe Mungu wetu-- kila kitu mbele zake kinayeyuka- ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
More blessings brother napata Amani nikiusikiliza wimbo huu dah MUNGU alikutumia vile apendavyo katika kuifanya kazi yake azidi kukuinua zaidi na zaid AMEN
🔥🔥🔥nani kama wewe Mungu …. Milima yayeyuka …..Yahweh Yahweh utukufu ni wako
Naona mafuta mabichi yanafurika ya roho mtakatifu ubarikiwe dr
Tz 🇹🇿umeinulka katika mbele za mungu
Nilipo sikiya iyi wimbo limenipa nguvu asante kwako
Ammmmeeeeen 🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you man of God watching from kisumu City 🇰🇪
Milima Yayeyuka..... Mlima Sayuni. Blessings Dr Ipyana
Who is like you God you can't be compares God I'll keep to lift you up Jehovah because u've done for me
Jehova ainuliwe mulele!!!milima yayeyuka mbele za mungu wetu!!!
Powerful.
Representing 🇰🇪
Wow ❤️ Mungu pokea Sifa zote
I feel the presence of God in this song
Kabisa
Very beautiful and inspiring 🙏, Hallelujah 🙌, we need such ministers let's also learn to pray for them that God guides them and protects them 🙏
Yes yes...We have to pray for God's protection and guidance for them.
Milima yayeyuka mbele zake bwana 🙏 hakuna mwingine kama yeye mungu wetu.
Finally the song is here great song great job👏👏👏👏
Amen amen🙏🙏
I am leaving this note so i can come back to testify after todays prayers
Guys am back and am in years ...my God did it jamn ...nmekuja mlima sayuni kukusifu na kukuabudu naongana na maserafi na makerubi....thank you God ametunza maagano na milimama imeyeyushwa 🙌🙌🙌 my God jamn nyie
Nani kama Mungu wetu 🙏
Nani kama wewe Bwanaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
This song is really full of God's glory and deep. I've really been waiting for this song😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️God bless Dr.Ipyana Ministries.
So many Kenyan fans in the comment section! Indeed man of God, you are a blessing to us. We love your Spirit-filled worship. May God keep using you for His glory.
Ohhhh from Nakuru 🇰🇪🇰🇪....it has made me 😭...neema ikuzidie mtumishi