MAHAFALI YA TANO YA SHULE YA AWALI YA MSINGI JUBILATION
HTML-код
- Опубликовано: 25 дек 2024
- Wazazi wametakiwa kushiriki kikamilifu kwenye mambo yanayohusu Maendeleo ya Wanafunzi na Mazingira ya Shule ili kufikia malengo sita ya udhibiti ubora wa Elimu ikiwa ni Pamoja na kuimarisha uhusiano wa shule na wazazi Pamoja na jamii inayozunguka maeneo ya ufundishaji na kujifunzia
Taarifa na Nelson Munema.....
Hayo yamesema na mdhibiti ubora wa shule wizara ya elimu Sayansi na Teknolojia kwa shule za Jiji la Dar es salaam Grace Mgumba katika mahafali ya tano ya shule ya awali na msingi ya Jubilation ambapo amewataka wazazi kuwafuatilia kwa karibu Watoto ili kujua mienendo yao shuleni na nyumbani jambo litakalo ongeza ufaulu kwa wananfunzi
Naye Mwalimu mkuu wa shule ya awali na msingi ya Jubilation Japhet Bisama amesema shule hiyo imeandaa miongozo inayosaidia kuwajenga Watoto katika mtindo bora wa Maisha na maadili mema