@@simonmuga2083 na nyongeza juu,. Kuna kitu wengi hawakioni au hawakijui,this guy,anaitengenezea yanga pesa sana! Watu wakiona vitu anavyovifanya ,wanafikiri ni masihara! Yanga-z,klabu iliingiza more than 20mil, wanachama wapya na wadhamini! Kila tukio analoandaa, zinatengeneza pesa! Offline na online! Watu hawajui! La kwenda kuangalia mech pemba,pesa hiyo! Yanga hawawezi kumruhusu kufanya haya mambo kama hamna maslahi! Waliosajili uanachama, Yanga -Z kwa mfano( 500,), ule ni mradi for the future of the club! Na pale hawakutumia more than 5mil( wadhamini ndo wanalipa) huyu jamaa ni asset kwetu! Naishi UK na mara moja moja naongea nae,aisee ana mipango lukuki,TUSIMDHARAU
🎉Congratulations MY BROTHER ALLY KAMWE. MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE AFYA NJEMA NA FURAHA NDANI YA MOYO WAKO. Walahi. Chukua Maua yako 🎉🎉🎉💐💐💐💐💐💯
Huyu ikija porojo yumo, uhamasishaji yumo,kwenye mambo serious yumo,vituko yumo, ubunifu yumo kila kitu yumo! God bless this son of Africa
Ameen
Ni full package
Thank you
@@simonmuga2083 na nyongeza juu,. Kuna kitu wengi hawakioni au hawakijui,this guy,anaitengenezea yanga pesa sana! Watu wakiona vitu anavyovifanya ,wanafikiri ni masihara! Yanga-z,klabu iliingiza more than 20mil, wanachama wapya na wadhamini! Kila tukio analoandaa, zinatengeneza pesa! Offline na online! Watu hawajui! La kwenda kuangalia mech pemba,pesa hiyo! Yanga hawawezi kumruhusu kufanya haya mambo kama hamna maslahi! Waliosajili uanachama, Yanga -Z kwa mfano( 500,), ule ni mradi for the future of the club! Na pale hawakutumia more than 5mil( wadhamini ndo wanalipa) huyu jamaa ni asset kwetu! Naishi UK na mara moja moja naongea nae,aisee ana mipango lukuki,TUSIMDHARAU
Alikamwe n mbegu nzuri mno tuitunze kwa hali na mali🥰🔰💚💛💚
Nakubali kazi Ali kamwe
Nakupenda sana kijana wangu BIG UP MWANANGU
Big up Kamwe, keep on going
Nakubali kaziako mwenyekiti wa wasemaji
.Alli Kamwe ni pro wa wasemaji
Genius🎉
🎉Congratulations MY BROTHER ALLY KAMWE. MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE AFYA NJEMA NA FURAHA NDANI YA MOYO WAKO. Walahi. Chukua Maua yako 🎉🎉🎉💐💐💐💐💐💯
Kila la kheri semaji le2 Allah akupe mafanikio mema🎉🎉🎉🎉
Kuna msemaji wa Yanga hlf kuna timu nyengine zina makatuni na wachekeshaji
Mwenyekit upo kutimiz wajib
Very very nice
Oi.semaji la yanga nakubali sana mungu atakujalia ufike mbali
Hongera
Hii ndio maanaya mwananchi
Honestly:NINATAMANI HAYA MAMBO YASINGERUSHWA KAMA HIVI ILI MAKOLO WASIJUE SIRI ZETU MAANA HAWATAKI KUJA KUJIFUNZA,,,😂😂😂😂😢😢
😂😂😂😂
Allaah Akbar
🎉🎉🎉💚💚💚💛💛💛
Mwenyekt wa wasemaji wote afrika upo na vijana wako unawapa elmu, ukija bars uwaite na wakina Ahmed ally uwape elmu
Kaka Big up
Mtu na nusu huyu🎉🎉
Sikupingi mwanetu ally kamwe pg kz tuko pamoj
Hii ndio maana halisi ya kuwa mwenyekiti 🎉🎉🎉
Edit: 677K and counting tuendelee kusubscribe wananchi target ni 1M msimu huu
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaah
Huyu jamaaaaa mbaya sana sio wa kumchukulia poa !
Msemaji ni Alikamwe wengine ni wachekeshaji😂
Nikweli kabisa
😂😂😂😂Kwann JKU, ila Ali mkorof
Ngoja nikae kimya semaji lina hutubia taifa
🎉🎉
😂😂😂😂Kwann JKU, ila Ali mkorof