Nungunungu, Jonas Mkude, we ni Bonge la mchezaji na Bado una muda mrefu sana wa kuupiga, Mungu akubariki na akuzidishie Afya na akili ya kuupiga, love you, keep it UP🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana mkude mimi km mzazi naona upo vzr katika mazungumzo yako pia nilitamani muda sana uje yanga In sha Allah mwalimu atakupa nafasi utacheza vzr in sha Allah💛💛🙏
Mjitahidi sana kutumia nafasi mnazozipata Club bingwa ukichezea nafasi hairudi kunatimu unaweza kukutana nayo ikakunyima uhuru wa kutumia nafasi unapopata Moja ndio yakuamua matokeo mjitahidi kuwa katili langoni especially washambuliaji
Nakukubali sana mwanangu toka upo upande wa pili nilifurahi sana ulipo jiunga na jeshi la wananchi , ni moja ya talenti adimu sana zilizotokea kipindi cha miaka ya 2010s ,
Kajisifia sana, Cha kwanza anatakiwa ajue mechi ya mamelodi sowndowns ndo Mechi kubwa ambayo yeye amecheza kwenye Maisha yake, Cha pili,Mashabiki hawakutarajia kama atafiti kutokana na uhitaji wa Mechi yenyewe pamoja na consistent ya mchezaji, mungu si Athumani 😅 , game ilikuwa ngumu lakini Jamaa alimudu na tukasema Allahmdullilah
Mwamba ni muungwana sana kumbe... tofauti na wengi wanavyomzungumzia... Big Up Saaana Jonas.... Endelea kuwa na hofu ya Mungu.
Ndo wavuta bange walivyo
Muungwana sana Mkude hua sio mtu wa hovyo km watu wanavyomdhania
@@marykisara6692😂😂
Home boy hakuna kama Mkude Kwanza haringi hapendi misifa maua yako home boy 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷💚💛🙏🙏
Nungunungu, Jonas Mkude, we ni Bonge la mchezaji na Bado una muda mrefu sana wa kuupiga, Mungu akubariki na akuzidishie Afya na akili ya kuupiga, love you, keep it UP🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana mkude mimi km mzazi naona upo vzr katika mazungumzo yako pia nilitamani muda sana uje yanga In sha Allah mwalimu atakupa nafasi utacheza vzr in sha Allah💛💛🙏
Aje kivipi??
Mkude tunakubaliana sana🎉🎉🎉
Akhui Mkude upo vizuri kwakweli umeongea vizuri na vitu vya Ukweli and Uhakika kabisa
Genious🎉
Likes for nungungu boy🔋💪🏿💚💛✨✨✨✨✨✨✨✨🤲🏻
Mkude n pole sana wallh
Anajitambua anavyokuwa kwenye kazi yake💚💚💗💚💚💗🤝
Home boy anajielewa Sana 😊😊
Mtani wangu uko vizuri sekuru mwinyi banzi
Asante MKUDEEEE💪💪💛💚🙏🙏🙏
Big up Nungunungu Mungu wetu wa huruma azidi kukulinda 🎉🎉
Jamaa sio mnafiki hata kidg
Namkubali sana mwamba❤
This guy is legendary 🎉🎉🎉🎉
Napenda pass zako zinafika hatakama nimbali💓💓💓💓
Hamjatuwekea highlight ya mchezo wa CBE vs YANGA mtuwekee sasa jmn tuonjoy💚🖤💛
Ipo channel ya Azam
Legend of Tanzanian football
Big up uncle 🤝
Naipenda hi chanel mpk naumwa 💚💛💚💛💚
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri idala ya habari mtume clip nyingi ili tupete pesa nyingi
Jonas you man important footbol skil,beceaful everytime plactez.
Daima mbele nyuma mwiko kila la kheri 💛💛💛💚💚💚💚
Big Up Brother Mkude ....GOD BLESS YOU 🙏 🙌
Hongera sana mkude,Yanga bingwa
Maestro Nungunungu Gerald Mkude
hongera sana jonas
JONAS MKUDE NI LEGEND MWENYEWE NIDHAMU, ANACHEZA KWA MAELEKEZO YA MWALIMU.
Yanga daima mbel
Mm biuti binafsi napenda maisha ya mkude
Watoto waMORO WANAJUA SANA BALL NUNGUNUNGU MWAMBA
Jonas' Mkude❤
Brother uyo
Legend living
Mwamba kabisa hajawahi kufeli🎉🎉🎉🎉🎉
Akili kubwa Jonas
Unajua kijieleza sana
Na mchezaji mkubwa always ana deriver pale anapopewa Nafasi na kuaminiwa na mwalimu well said kiungo 👌👌
Huyu jamaa namkubari Sana kiukweli nahuyu ndio mchezaji wakibongo Bora kabisa
Home boy tunakukubari sanaaa🙏🙏
Casamiro ❤❤❤
Hivi kwanini stars haitwi? Maana ni mchezaji mzuri sana
Wa kwanza Leo naomba like zangu
Good sana jamaa anaongea fact kabisa
Mjitahidi sana kutumia nafasi mnazozipata Club bingwa ukichezea nafasi hairudi kunatimu unaweza kukutana nayo ikakunyima uhuru wa kutumia nafasi unapopata Moja ndio yakuamua matokeo mjitahidi kuwa katili langoni especially washambuliaji
Allaah Akbar
Mkude polea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana mwanangu toka upo upande wa pili nilifurahi sana ulipo jiunga na jeshi la wananchi , ni moja ya talenti adimu sana zilizotokea kipindi cha miaka ya 2010s ,
Jembe mwamba anajua mnoo
Anaongea kwa hekima sana
Piga Kaz kakaangu nakubali Sana..
Yanga mbele nyuma mwiko
Nimeangalia interview ya feisal..ni tofauti sana na hii
Kajisifia sana, Cha kwanza anatakiwa ajue mechi ya mamelodi sowndowns ndo Mechi kubwa ambayo yeye amecheza kwenye Maisha yake,
Cha pili,Mashabiki hawakutarajia kama atafiti kutokana na uhitaji wa Mechi yenyewe pamoja na consistent ya mchezaji, mungu si Athumani 😅 , game ilikuwa ngumu lakini Jamaa alimudu na tukasema Allahmdullilah
Mechi ipi aliingia akaharibu
He is midfielder master🎉
Mwamba anajielewa maashalllah hongera 🌹🌹🌹🌹
Safi sana mwamba Home Boy
Namkubali sana mkude hulinda sana eneo lake
Anaemhoji anafos aongelee sana mambo ya yanga kuliko alikotoka 😂
Ameongea kiprofeshenal sana I salut 🎉
Asante sana🎉🎉
Ubarikiwe sana kijana ❤❤❤
Mkude na kukubali sana
Tajiri Uko Vizuri
Mwamba Anajuwa Xana🎉❤💛💚💛💚
Kwakeli tangu nimjuwe Jonas mkude siku ya machine na mamelod aliupiga mwingi sana
Uko vizuri mkude uwanjani pia ww mvumilivo wanachi Bado tunaimani na wewe
Nungunungu master a.k.a xav
Sautiiiiiii sasa uwiiiii 🙈
Ila😂😂😂😊
Jamani jamaniii😂😂😂😂
Unatak sauti gani wew
Huyo ndo ongea yake
First one today more likes 😢
Huyu mwamba namkubali kweli ila nashangaa na inauma kuona Nungunungu hapati namba ya kudumu kikosini😢
Halafu hamna kitu kama kuloga kwa uchawi au mungu
Nungu nunguziiiii
Good
Jonas. Mkude. Blaza kiukwel. Ongera Sana.
NUNGUNUNG 👊👊👊👊🐐🐐
Penda sana mkude
Nice
kichwa sana mkude🪮🪮
Tunataka interview na diara
❤❤❤❤
Nungunungu sanamu lako najenga juuu
👏👏
Nungunungu ukikaa vibaya anakuchoma Miimba yake
Atiii nini yake 😂😂😂😂😂
@@MoajGraphics 😂😂😂 Miiba yake
Jamaa huwa anafanana sana 20percent
Mm ni shabiki wa Simba ila kaka nakukubali sana ww ni mchezaji wangu pendwa wa ndani ya tz
Mstaarabu Sana
sawa anco
💛💚
Mkude anajua kuongea, wakat abdulaziz anajarb kumuuliza maswali ili mkude aiponde Simba jamaa anaongea kisomi zaid
🌺🌺🌺🌺🌺👏👏👏👏
Wewe ni mchezaji ambaye unajutqmbua na una kipqji kikubwa kaka mungu awe pamoja nawe na akupe afya njema piga kazi kwani hunq ubaya na mtu
Mkude hakika 🐦🐦🐦ujumbe wako umetugusa wengi ushauli wangu kwako tuliza akili na MUNGIU ATAFUNGUA NJIA PASIPO NANJIA ,🙏
Inaweza ikawa huyu jamaa ndo mchezaji wa kwanza mzawa anaejua kujieleza mbele ya media
💛💚🙌
Ishi san J huna baya
Jamani sasa mbona mnamtenga sana kwenye mchezo?mnamuwka sana benchi 2 na nkane pia 3 na kibwana kwani wanashida gani ? Wapeni nafas jamani
Kocha wetu anakariri kikosi tofauti na nabi
Mwamba safi
sema mwamba ataki uchawa
Kaongea kiufund zaid
MWISHO WA SIKU