MUFTI AONGOZA SALA YA JENEZA YA DARUWESH MTI MKAVU MASJID KICHANGANI DSM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • MUFTI AONGOZA SALA YA JENEZA YA DARUWESH MTI MKAVU MASJID KICHANGANI DSM
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    RUclips: / @babdeomiladu

Комментарии • 25

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 5 месяцев назад +2

    Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiun... sitakusahau daima alhabib... hasa kwa mawaidha yako yaliyotutengeneza nyoyo kila ulipopata wasaa na kitutembelea na kujumuika nasi pale zawiyani Sinza Mori kwa alhabib marhum sheikh Ahmed bin Sheikh Msiya... hakika ulinijenga sana kiroho. Allah akuthibitishie kauli iliyothaabit, Aamiyn 😭😭😭

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 5 месяцев назад

    Pole sana Sheikh Abdurrazzak kwa Msiba wa baba yako na baba yetu kipenzi.

  • @ZainabuMwenejimba
    @ZainabuMwenejimba 5 месяцев назад

    Pole sana Alhabibi Abdulrazaq kwa msiba wa baba yet kipenzi

  • @RamZomboko
    @RamZomboko 5 месяцев назад

    Innalillah wainnalillah rajiu

  • @Zulfa-sc4bu
    @Zulfa-sc4bu 5 месяцев назад +1

    Swahiba yangu,Rafiki ya Babaangu kumbe Amefariki? Inna lillahi wainna Ilayhi rrajiuun,Allah awjaalie pepo ya firdous pamoja na Babaangu Sheikh Twaha bin Muhammad,Allahawape vitabu vyao kwa Mkono wa Kulia

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 5 месяцев назад

    Pumzika😭 kwa amani huko uliko sote tuko nyuma yako 🤲😭

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 месяцев назад

    Innalillah wainnailaih raajeooun!

  • @AdamuChenchere
    @AdamuChenchere 5 месяцев назад +1

    Allah amuwek pema daruweshi wet

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 5 месяцев назад

    Inalilahi waina ilayhi rajuun

  • @omaryramadhani6664
    @omaryramadhani6664 5 месяцев назад

    Huyo aliyeshika bendera wakati wenzie wanasalia jeneza yeye hataki thawabu za kusalia mayyit? Au ndo anaogopa asiposhika bendera atakosa radhi za shekhe lake?. Allah atuhifadhi ili kaburi la huyu aliyefarik lisijegeuzwa kuwa ni sanamu liabudiwalo au sehemu ya kwenda kuomba kutatuliwa matatizo au kupata barka.

  • @QaisqaisQais-s2z
    @QaisqaisQais-s2z 5 месяцев назад

    Napenda hiyo dhikri

  • @Zulfa-sc4bu
    @Zulfa-sc4bu 5 месяцев назад

    Sasa Amepelekwa kwake Arusha Au amezikwa Dar es salaam???

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 месяцев назад

    Kumbe huyu msanii wetu Abdurazak mtoto wa sheikh mkubwa😳😳

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 5 месяцев назад

      Mi mwenyewe ndo nimejua leo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 месяцев назад +1

      Huyo dogo alikuwa anatumia jina la baba yake vibaya... na ndiyo maana alikuwa akijiita Sheikh.... Ni muda wa kumnasihi aachane na mambo ya kilimwengu na arudi kwa Mola wake.

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 5 месяцев назад

      Mi nashangaa Diva alivyo kuwa anamtusi huyu mzee sijui alikuwa hajui km ni mtu mkubwa Subhannallah

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Mimi nimechoka na mambo ya diva😭😭😭 please 🙏

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 месяцев назад

    Abdulqadir ndio amsamehe marehemu dhambi?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 месяцев назад

      Acha ukafiri yahudi wewe, unafata nini hapa si uenda kwa wazayuni wenzio wa kusalafi khabithi wewe.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 месяцев назад

      @@rayisadesigns2646 hahahaha,,,,, hujajibu swali, Abdulqadir Ndio amsamehe dhambi marehemu?

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 5 месяцев назад

    Sasa hapo panaswaliwa nasheed ya kazi Gani?

    • @OmantelCm
      @OmantelCm 5 месяцев назад

      Mdomo tu uliokuwa nao

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 5 месяцев назад

      Nyamaza tu ndugu yangu na mengine utazidishiwa au kama vipi unauliza swali na utajibiwa maana Bado na hata milele elimu ni bahari

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 5 месяцев назад

      Kwani Wanaoswali Watu. Au Inaswali Nashidi. Yaani Nikimbelembele Tu. Uonekano Mwanachuoni Mkubwa.