ORGANIST FABIAN SULULI Na AR-100

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии •

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 2 месяца назад +2

    Nakubali we ni nuksi... Unakigusa mpaka panapo takiwa...

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 месяца назад +2

    Another Banger from Maestro.

  • @bulysouth5796
    @bulysouth5796 Месяц назад +1

    Safi sana mwalimu

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  Месяц назад +1

      @@bulysouth5796 Tumshukuru Mungu 🙏 Mkuu Ahsante sana

  • @malodaedward
    @malodaedward 2 месяца назад +1

    Saf mwalimu wangu

  • @ReiphanLusungu
    @ReiphanLusungu 2 месяца назад +3

    Yaaani naiona AR100 alafu kuna mizigo mingine imetulia tu pembeni apo 😂😂 hongera sana kwakuwa na tools zakutosha😁😁😁👏👏👏

  • @zachariagervas5531
    @zachariagervas5531 2 месяца назад +1

    Hongera sana mkuu 🙌🙌

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  2 месяца назад +1

      @@zachariagervas5531 Ahsante sana Mkuu 🙏😂

  • @ReiphanLusungu
    @ReiphanLusungu 2 месяца назад +1

    Dah asee nimeikubali sana👏👏👏

  • @GerardMdui
    @GerardMdui 2 месяца назад +1

    👏👏👏, wap hapo

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  2 месяца назад +1

      @@GerardMdui Hapo ni Nyamongo Tarime, kuliko Madini mkuu

  • @augustinompeni
    @augustinompeni 2 месяца назад +1

    Safi sana kwa kutuinjilisha
    Lakini ningependekeza settings za sauti uziweke vzr ziskike kiibada itapendeza zaidi

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  2 месяца назад +1

      @@augustinompeni Amina Mkuu Ntashukuru Sana ukinidokeza ka uzoefu Ili tufaidike Wengi

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 2 месяца назад +1

    Hivi ile uliocheza ala ya xmass video yake sjui iko wapi siioni sjui umeifuta vile

  • @HermanShimbe
    @HermanShimbe 2 месяца назад +2

    Tunakupataje sululi hongera sana

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  2 месяца назад +1

      @@HermanShimbe 0763268842

    • @benedicttwamba2488
      @benedicttwamba2488 2 месяца назад +1

      Hongera sana Mwanamziki MTAKATIFU, upigaji wako Wa kinanda UNAIBADA🙏

    • @fabiansululi7511
      @fabiansululi7511  2 месяца назад +1

      @@benedicttwamba2488 Ahsante mkuu, Tumshukuru Mungu