PATANISHO : UNAJUA GIDI NINGEFIKA KWA OFISI YENU HAPO KWA GATE HII MAMBO TUNGESORT BEFORE KIPINDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 88

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 11 месяцев назад +11

    Hii ni red flag huyu dem kama yuko na akili asijibembeleze kwa hiyo familia juu hawatawai mkubali a move on...kwani huyu dem hajipendi?😮😮😮😮

  • @rebeccanyariki6990
    @rebeccanyariki6990 11 месяцев назад +8

    This guy makes me feel like the lady ndio anamtaka! There's someone who can value you woman.

  • @loraineosuto9355
    @loraineosuto9355 10 месяцев назад +2

    In the name of love😢😢

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 10 месяцев назад +4

    Ati we nenda nyumban mimi Nairobi natafuta😢💔huyu ni red flag

  • @Mamajoy-l1f
    @Mamajoy-l1f 11 месяцев назад +3

    Watching from Saudi Arabia

  • @FlorenceMokaya
    @FlorenceMokaya 11 месяцев назад +18

    Valentine huyo sio bwana tafuta passport kuja gulf 2yrs rudi kenya anza biashara yako bwana atajileta wako sasa

  • @Trizah072
    @Trizah072 11 месяцев назад +8

    Joseph alihanya sna akaletea mtoi mashida, it's painful

    • @EstherMwale-m8x
      @EstherMwale-m8x 11 месяцев назад +2

      We call it chiraa huyu bwana alikulana inje na akaguza mtoto

  • @princesschrisphine8903
    @princesschrisphine8903 11 месяцев назад +4

    Ghaii sometimes i wonder some ladies. 😂😂hii c mwanaume anakaa mgumu kama mawe yawa..mm uwesi niongelesha ivo alfu nikubeg 😂😂maybe mm si mkisii😂😂😂

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 11 месяцев назад +8

    😮waschana amuken akili utakaeje na mtu anataka ukae kwao na yeye ako nairobi hyo bwana hakutaki karbu nae juu amwpanga wanawake wengi barabaran jipange

  • @tiberiusochieng8590
    @tiberiusochieng8590 11 месяцев назад +19

    I will never direct my wife to my family, she's my business forever... hapana Dhalalisha mtoto wa wenyewe ...

    • @lindagitonga
      @lindagitonga 11 дней назад +1

      God bless you 🙏🙏 you are a real man,

  • @lizchaka8924
    @lizchaka8924 2 месяца назад

    Aah hiyo ni rimonia

  • @lilianatieno4898
    @lilianatieno4898 11 месяцев назад +18

    😢😢 mtoto kuendesha na maji Kuisha mwilini ni chira 😢aki Mimi mtu aniongeleshe hivi alafu nimbeg 😂😂😂😂maybe sio Lilian mimi😂I love myself owada

  • @emilyMulama
    @emilyMulama 11 месяцев назад +10

    Akufukuzae akuambi ondoka iyo n red flags

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 11 месяцев назад +3

    😢😢😢😢huyu dada namuhurumia hapo hakuna ndoa ,

    • @veronicahmagovi8814
      @veronicahmagovi8814 11 месяцев назад

      Kwanza anaambiwa aende kisumu mzee akae nairobi wooiih atachezwa😂😂😂😂

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 11 месяцев назад

      @@veronicahmagovi8814 eeee sasa atakuwa mochi WA wazazi,tena huyu jamaa kumtaka NI vile gidy amejaribu kumpa ushahuri,bt kulingana Tu vile anaongea alishaoa

  • @virginiawangui7372
    @virginiawangui7372 11 месяцев назад +5

    Mami jipende aki...that man does not love you at you at all..rudi soko.
    Young women are suffering with love 😊

  • @KurashigeSir254
    @KurashigeSir254 10 месяцев назад +4

    My wife will stay where I am....bibi ni wangu sio wa wazazi

    • @METRINEOKELLO
      @METRINEOKELLO 5 месяцев назад

      Mwanaume kama wew ulibaki wapi jamani

  • @moreh462
    @moreh462 11 месяцев назад +2

    Hapa hakuna love. Wasichana jueni kujitegemea

  • @rahabmwaura1990
    @rahabmwaura1990 11 месяцев назад

    U r still young baby girl ebu jitoa weww kwa huyooo jamaa

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 11 месяцев назад +5

    Mtu.anakutuma kwa wazazi kwani ni wazazi na nyumba nzio zimekuoa huyu dem awache ujinga ajitambue aoge arudi soko atapata wa kumpenda alafu kwani kuwa thingo" ni crime😮

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 11 месяцев назад

    Here we go

  • @veriverana882
    @veriverana882 11 месяцев назад +4

    I wish this lady can practice self love 💕,the kind is no more you can move on and look for a job coz you are really young. Is not a must to get married when young.

    • @virginiawangui7372
      @virginiawangui7372 11 месяцев назад

      Very true dear. Ati aende kwa wazazi ni kama ni wazazi wanamuoa..mwanaume Very useless

  • @agnesandalo6936
    @agnesandalo6936 11 месяцев назад +5

    This lady hajipendi,she should move on and avoid that family kabisa,akufukuzae hakuambii toka,tena mwanaume nkama amewachia bibi ,wazazi nyumbani😢so nkama wazazi ndio kusema,,,,this lady should run away as fast as possible

    • @patrickj.136
      @patrickj.136 11 месяцев назад +1

      She's desperate at a young age so unfortunate I wish she realizes her worthy

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 11 месяцев назад

      So unataka watanga tange nae akiendesha gari ama hujasikia ni dereva wa masafa marefu

    • @gracewangari8121
      @gracewangari8121 11 месяцев назад

      Wasichana hawajipendi bwana ndio anafaa kufuata bibi....kwatu bwana ndio hufuata mtu but it's like uko kwao ni vise versa this guy it's like Ako na bibi hio ya marafiki na majirani anaambiea avoid ni juu kunakitu wanajua chyny yy hajui

  • @valentinelifestyles
    @valentinelifestyles 11 месяцев назад

    Namesake valentine 😊 age mate kidogo nishangae mbona napatanishwa😂

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 11 месяцев назад +1

    😢😢 msichana utafwata huyo mtoto wako, tafuta mme mwingine , 😂😂😂 hapo akna ndoa

  • @joanmbarani5934
    @joanmbarani5934 3 месяца назад

    Parents....please educate your girls....wapate kazi wajitegemee.hii ni upizi aki😢

  • @Quilant749
    @Quilant749 11 месяцев назад +4

    Mmoja wapi alikua anahanya, mtoto kuendesha hivyo inaonyesha uchafu y kuhanya

    • @ShisShiks
      @ShisShiks 11 месяцев назад

      Alichira mtoto

  • @ValeriaAlusa
    @ValeriaAlusa 11 месяцев назад

    Uyu ana bibi watu wangu bt kitu inafanya nirudi kuna vile anajuwa kitu alinifanyia nizuguke t nikirudi kwake ata nikitoka kwake alinishow nitazuguka mwishowe nitarudi mwenyewe

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 11 месяцев назад +1

    First 😂

  • @janetmartinESQ
    @janetmartinESQ 10 месяцев назад

    Ladies ladies ladies..... Sisemi kitu

  • @magdaleneatieno767
    @magdaleneatieno767 11 месяцев назад +2

    l wish ni jue hii kisumu ni upande gani, huyo kijana ako na mchezo sana😢

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 11 месяцев назад +2

    Hyo ndio shida ya kuolewa na mtu anakushinda umri

    • @JohnMutuku-cm7fi
      @JohnMutuku-cm7fi 10 месяцев назад

      So watu waoane wakiwa same ama wamaanishaje

    • @Josephineonyango-cl6ql
      @Josephineonyango-cl6ql 10 месяцев назад

      @@JohnMutuku-cm7fi mume asikushinda saidi ya 3yrs kwenda juu .ata mkepia usiwe juu ya mumeo na 3yrs kwenda juu

  • @gracewanjiru3593
    @gracewanjiru3593 11 месяцев назад +1

    Walhi if I was u I would try to move on

  • @solomonoduor
    @solomonoduor 8 месяцев назад

    uchawi na hospital haziendani.hio ni kifo

  • @damariskemuntoorina6018
    @damariskemuntoorina6018 10 месяцев назад

    Sasa huyu dem anaenda aje kwa wazazi na ako pekee yake.walai i can't beg for love from a man,the first thing sina mtoi wake.she will be used like a dustbin walai she will regret later

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 11 месяцев назад

    Woii huyu dem ange move on tu huyu mwanaumme hapana kiukweli ,,,mtu anafata ya wazazi issa No Kwangu

  • @sirpatrick1120
    @sirpatrick1120 11 месяцев назад

    This just a mama's boy, let the lady plan her future alone.

  • @westheguitarist8546
    @westheguitarist8546 11 месяцев назад

    Huyu ako na bibi Nairobi

  • @patrickmutinda2574
    @patrickmutinda2574 10 месяцев назад

    Talaka

  • @ShisShiks
    @ShisShiks 11 месяцев назад

    Yani bibi ajipeleke kwa wazazi ajirudishe, ngai mwathani Kai guthiaga atia, Wacha nifanye kazi nkwa bidii coz siwezi pembeleza mwanamume Mimi, Wacha nikae single,

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 11 месяцев назад +1

    Mzee hana.neno.mwanmke ndio.hajui kulea boma

  • @Mankipz05
    @Mankipz05 10 месяцев назад

    The this man talks tells me that there is another woman in the house where he is living in.And for this woman,she needs some counseling and advice that she can do even without this guy.😔😔

  • @hnaf6279
    @hnaf6279 10 месяцев назад

    Huyu jamaa anaongea kama jamaa amechanuka lakini ako na kauprimitiveness...bibi ni wako au wa wazazi

  • @iindanjiro2510
    @iindanjiro2510 11 месяцев назад

    Huyo mwanamke namjua abadilishe tabia ya uongo, heshima kwa wazazi wa bwana but ajue hata hakirudi hakirudi kwa boma ni stress tupu woman up dada

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 11 месяцев назад

      Ushakuwa motivational speaker wake ama? Mbona hiyo tabia bwana hajasema wewe ndio unajuwa vile yuko na tabia mbaya,wee ni mwanakamati😅😅

    • @ValeriaAlusa
      @ValeriaAlusa 11 месяцев назад

      😂😂😂😂afadhali wewe uko bwana mzuri tena unaeshiku wazazi wacha mm mwenye sijuwi kueshimu poa uzuri nikwamba iyo miaka mbili sijawai kaa nahao wazazi poa ww pia nimwanamke sawa

  • @Zena766
    @Zena766 11 месяцев назад

    Nyumba ndio.ilimuoa msichana jipange

  • @Eunice-lefty
    @Eunice-lefty 11 месяцев назад

    Huyu dame atarudi kuteseka kabisa

  • @mawama6719
    @mawama6719 11 месяцев назад

    Valentine! Find a way to go to Gulf countries like other women, make money come back start a business even build yourself a house! this man wants you to go to Kisumu and work for his parents without a salary, so better go and work where you get a salary, once you are empowered this man will come looking for you! He just said he will marry another wife!

  • @nancyoduor9291
    @nancyoduor9291 9 месяцев назад

    Ati nyumba nimepiga plaster...what nonsense! Run maam run!

  • @rebeccanyariki6990
    @rebeccanyariki6990 11 месяцев назад

    Who is marrying who here? And is this lady married to the house!! Don't let someone make you feel desperate! Oh please

  • @harrietharriet5443
    @harrietharriet5443 11 месяцев назад

    Mwanaume alihanya akaua mtoto

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 11 месяцев назад

    Jamaa hana haja nawe kabisa usijirudishe ako na bibi mwingine tu

  • @wanjikuwaweru8541
    @wanjikuwaweru8541 11 месяцев назад +1

    This man is a waster Valentine 😢 please try and forget him!!!
    STOP wasting your time with him. He will waste you PROPER!
    Mtoto aliaga ju ya sumu ya dawa. Nani ndiye alimpatia? Maybe they are blaming you for the death of the baby.
    May God give you peace. ❤

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 11 месяцев назад

      Wee hakuna kitu unajua just shut your beak

    • @bristee702
      @bristee702 11 месяцев назад

      Ety sumu?ata si savere dehydration bcse of diarrhea?

    • @wanjikuwaweru8541
      @wanjikuwaweru8541 11 месяцев назад

      @@bristee702 Hapana… doki alisema sumu ya dawa! Hukusikia?
      Ajikate tu aanze maisha upia. God will bless her with the right man to marry her😞

  • @dondonellsimeon9017
    @dondonellsimeon9017 11 месяцев назад

    The guy ain't straight, he has someone else. The lady sounds young but she needs to set her priorities right. Leave him and work on yourself first, he should be looking for you not you begging

  • @beb829
    @beb829 11 месяцев назад

    Women please,tuwache kuforce mapenzi yawa

  • @margaretwambui2306
    @margaretwambui2306 11 месяцев назад

    Jipe shughuli msichana, amesema anaweza oa bibi mwingine hana haja na wewe

  • @JoyceAndeyo-m5o
    @JoyceAndeyo-m5o 11 месяцев назад

    Jamaa ni joker nothing serious hapa dem ajipange Joseph ako na vidosho wengine