WILLY PAUL X NADIA MUKAMI - NIKUNE (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2020
  • #WillyPaul #NadiaMukami #Nikune #Ziiki
    WILLY POZE X NADIA MUKAMI - NIKUNE
    AUDIO - SAV/SALDIDO INTERNATIONAL
    DIRECTOR - SAMMY DEE
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,4 тыс.

  • @EkoDydda
    @EkoDydda 4 года назад +384

    I still have respect and love for you fam, from wayyyyyyyyy back

    • @robertmurimi8209
      @robertmurimi8209 3 года назад

      What

    • @pnbentertainment
      @pnbentertainment 3 года назад +6

      Eko Dydda Na Willy Paul nliwajua way back from Htown Walai Music iliwatoa Ghetto saa hii Willy ako international

    • @sharonayuks4426
      @sharonayuks4426 3 года назад +2

      I too😋😋😋

    • @josephmacharia9204
      @josephmacharia9204 3 года назад

      💯💯💯

    • @edwineduz9306
      @edwineduz9306 3 года назад +1

      I can recall you did a song with Poooooozzzzzzeeeeee...........
      Shaaaaaaaaaambaaaaaamba.

  • @bombateakay552
    @bombateakay552 4 года назад +29

    C mtu anipe like me Ni fun wa pozze kuruka

  • @mceebomblast9526
    @mceebomblast9526 4 года назад +4

    willy alikata kucha saa kazi ni kukunwa

  • @benchase254
    @benchase254 3 года назад +15

    Nani amekuja hapa juu ya "nikune" ? nipe likes. Sijawahi pata likes hapa youtube

  • @brayowaruaka6297
    @brayowaruaka6297 4 года назад +40

    Willy Paul si umekunwa sanar yawa😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
    Likes za pozze apa💯👌🏻💢
    👇🏿👇🏿👇🏿🔥

  • @susanonyango8616
    @susanonyango8616 4 года назад +474

    Willy Paul kindly train Mulamwa on how to deal with haters 😂😂 kwa mtandao. I love your energy.

  • @iszychan24
    @iszychan24 4 года назад +336

    Gonga like kama ume notice Willy Paul anapenda kuketi kwa stairs.

  • @makenabeth9709
    @makenabeth9709 4 года назад +1

    Pozee waogopa kuswera na umeletewa ...watubwaga

  • @princenewton
    @princenewton 4 года назад +306

    Ka NADIA katambe 😍wapi likes za Kanadia manze the best female artist in KENYA 🇰🇪♥️.

  • @sirallantoiske6250
    @sirallantoiske6250 4 года назад +53

    Was the first to listen this beautiful song on NRG RADIO..then here i am just on time...piga like jameni

  • @faithwambui3869
    @faithwambui3869 11 месяцев назад +3

    Sign hapa kama you still here hii 2023🔥🔥❤️💯

  • @briankimarta8519
    @briankimarta8519 4 года назад +2

    Nadia is the next big thing..believe me

  • @shortfunnyvideos5444
    @shortfunnyvideos5444 4 года назад +126

    If u ar a Ugandan and jaming to this tune let me see u,kudos to willy ft Nadia big love from Uganda 🇺🇬 to 🇰🇪

  • @theelantern9548
    @theelantern9548 4 года назад +8

    WILLY POZEEEEEEE HUJAWAI ANGUSHA EAST AFRICA 🇰🇪.....PITA NA LIKE APA

  • @ibrahimsalim124
    @ibrahimsalim124 4 года назад +1

    Acha tu apoko apige mdomo na izo mapua zake zinakaa kuinhale hewa yote...ebu kunwa kabisaa uko juu msee

  • @danieltuke96
    @danieltuke96 3 года назад +3

    OMG..🙈eti ujui kudance.ouch bro acha kunichuna🙉🥵

  • @kelvinmasha2360
    @kelvinmasha2360 4 года назад +76

    Bwana MKUNAJI...talent√√√√
    Nadia...💓
    likes zikuje👍

  • @KingYutty
    @KingYutty 4 года назад +3

    I can't help to say the video Quality is on top... Bigup Mr Director

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 3 года назад +4

    Every morning you have two choices continue to sleep with your dreams or wake up tomorrow and start Chase them

  • @rongcrmediaentertainmentclub
    @rongcrmediaentertainmentclub 4 года назад +1

    song iko poa sana willy tupe basi ya quarantine moja n ww tu hujatupa kali tuselfquantine

  • @deejaysam2545
    @deejaysam2545 4 года назад +58

    The duo did a good song.
    The director was on point.
    Producer smashed it.
    Video was 💥💥💥.
    My homeland🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
    Who disagrees that bwana mkunaji isn't our simba?
    Kaka wenzetu wa Tanzania njooni huku kumechacha burudani

    • @sundadennis9331
      @sundadennis9331 4 года назад

      Is ths gospel

    • @deejaysam2545
      @deejaysam2545 4 года назад

      @@sundadennis9331 Nope..it's a well blended secular.😂 from our unpredictable pozee

  • @tnscrewkenya5767
    @tnscrewkenya5767 4 года назад +230

    "Niguse Six-pack hii si kitambi" kama umerelate hii mistari ya Willy gonga like✊✊🔥🔥🤣

  • @_rukwaro_4580
    @_rukwaro_4580 4 года назад +432

    Willy Paul did what no one else has been able to do...Make Nadia sound different

  • @bellaatieno1252
    @bellaatieno1252 3 года назад +2

    Hii song hata kama ni last year lkni bado ina hit I love it

  • @isaacdemore3367
    @isaacdemore3367 4 года назад +4

    njoo nkukune nadia mie ndo kakake mkubwa wa bwana mkunaji lol...ngoma iko konki moto fire

  • @dennisngetich2015
    @dennisngetich2015 4 года назад +4

    Next week hii ngoma itakua trending
    Inakuja kupita 'utawezana'

  • @willie-techcyber2326
    @willie-techcyber2326 4 года назад

    Adui ni wa maana kwa maisha kama rington hangeropoka singejua kuna uhondo mahali, anway nimetaka kuona madem wanatingiza haga hawako, tell that man to respect his age. biga up willy pozee. usijali na rington nile anamarket your song tu. hana job ya kudo kwa sahizi.

  • @vincentambita499
    @vincentambita499 4 года назад +1

    Pozeee big things,nakubali sana pitia BIG FISH

  • @dennistheacrobat8701
    @dennistheacrobat8701 4 года назад +32

    Pozee never disappoint us, whose here because of @Nadiamukami,
    Much love from Spain 🇪🇸
    Piga like tukisonga,

  • @MpekuziMedia
    @MpekuziMedia 4 года назад +5

    Mimba ni ya muda Pozee, heshimu kitambo wacha kuichomea araaah. Kwanza ebu keep social distance with my crush Nadia😘😜🥰😷

  • @elmaapondi9135
    @elmaapondi9135 4 года назад +1

    I'm not from Kenya and I don't understand kiswahili but to be honest...hii song iko dope .....wapi likes za Nadia na pozee🤝

  • @mondaonyancha8823
    @mondaonyancha8823 4 года назад +2

    The song promotes immortality. God is watching you people.

    • @Sunshine_Amy
      @Sunshine_Amy 4 года назад +1

      Atleast you the only person looks sane.. Total disgrace

    • @mondaonyancha8823
      @mondaonyancha8823 4 года назад

      @@Sunshine_Amy They don't know even why God is sending pandemics. We really deserve to maintain good morals for ourselves and the coming generation.

  • @mbuguzelmayo4517
    @mbuguzelmayo4517 4 года назад +56

    Isiwe scandal ki Willy Pozee. Wapi likes za Nadia na Pozee🔥🔥

  • @kinglemahboicah
    @kinglemahboicah 4 года назад +31

    Waow motooo nikune on top...
    Wapi like za pozeee 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nadia my Queen 🔥🇰🇪 big

  • @lenti-johnwest3581
    @lenti-johnwest3581 4 года назад +2

    Willy Paul mi nakuambia hizi ndo sauti zako dance hall sio league yako,your voice does good in this type of music

  • @frauleinbergerjaneaika4872
    @frauleinbergerjaneaika4872 4 года назад +81

    Kaa umeona willy pol ni kiuno cha kazi naomba like plz daaaa!

  • @jmuthoninjuguna8378
    @jmuthoninjuguna8378 4 года назад +13

    What makes Nadia hit is her good soul,,she is the best female artist💖💖,, always ready to do collable with anyone

  • @eliaspeter5360
    @eliaspeter5360 4 года назад +4

    Pozeeeeee and kanadia....majirani wanateseka hpa,😂😂😂volume km yote

  • @jessicachivenda1128
    @jessicachivenda1128 4 года назад +40

    My first time kusifu Willy na Nadia,this is great.Makes me wanna go to the club and dance.

  • @BenyMwelango
    @BenyMwelango 2 года назад

    wangapi wamekuja kuhakikisha kama hii ngoma imefanana na kamata ya diamond....

  • @Jean22522
    @Jean22522 4 года назад +31

    Sawa bwana mkunaji
    Likes za Nadia ameweza mbaya
    +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @starstudio8
    @starstudio8 4 года назад +4

    Wakwanza kabisa

  • @faithwambui3869
    @faithwambui3869 8 дней назад

    2024 msign register n kulike❤

  • @magdalynnduta8361
    @magdalynnduta8361 3 года назад +1

    Yaani the entire song willy paul anabembeleza nadia amkune na song imeisha kama ata hajamkuna kazi nikumfuata to nyuma.... this
    N. A. I. R.O.B.I GURRLS...

  • @soulqypkenya
    @soulqypkenya 4 года назад +92

    Bwana mkunaji 🔥🔥🔥🔥🔥Nadia never disappoint 🔥🔥we need more of Willy n Nadia ama namna gang?????

  • @materejames
    @materejames 4 года назад +44

    Nadia Mukami setting the Standards so High for Kenyan Female Artists. Willy hii imeweza 🔥🔥🔥😎

  • @paparonahtv
    @paparonahtv 3 года назад +9

    Najua hi talent don't blem Willy he got big talent ..wapi like za willy vs Nadia

  • @Obizze254_TV
    @Obizze254_TV 4 года назад

    Ngoma kali,happy that Willy Pozze amejikubali kufanya secular music ya kiukweli.

  • @_Mark-junior254
    @_Mark-junior254 4 года назад +12

    Thanks for this @pozee....Finally Nandi's dream has come true..... Congratulations za Nadia ziko wapi!!!!!!!

    • @kiLLiF
      @kiLLiF 4 года назад

      Is it Nandi or Nadia u is talking bout

  • @catchdigitaltv
    @catchdigitaltv 4 года назад +75

    Hii kali willy paul and nadia Mukami najua mahali nandy ako anauma kidole sana 💯💯💯💯💯💯

  • @eliakimsaigilu1266
    @eliakimsaigilu1266 3 года назад +2

    Willy is the bazuu talanta

  • @wilsonodhiambo8578
    @wilsonodhiambo8578 4 года назад

    Ina faa uitwe Willy Paul mzito sasa..........ngoma kali kama kawaida

  • @miriamkombo5332
    @miriamkombo5332 4 года назад +6

    Willy poshee round hii ni kukunwa nonstop,imeweze💯💯

  • @WhiteMediaKenya
    @WhiteMediaKenya 4 года назад +5

    Like za pozee zikam...... Kenyan simba nani tuko pamoja hapa

  • @petermutiria9083
    @petermutiria9083 4 года назад

    Always penda nyimbo zako wenye wanakuhate wameze sindano

  • @jeffrey1261
    @jeffrey1261 4 года назад +1

    walai shetani ni mbaya.
    sasa hadi poze ameanza kutumia 'ooooh' kama Vybz. weeeh. tupeeni bwana sifa. hii dunia hatuwezi.
    Manze poze umenotice Kila kitu una touch inakua gold? bradhe, rudi tu kwa God nakuomba. hii dunia ni noma na ni bure, rudi tu hapo ilikua inakaa buree, God atakurudiishia baada ya hii world

  • @hotspotkenya5971
    @hotspotkenya5971 4 года назад +54

    Kesho tuko pale tik tok,,,,, lazima tutoe boredom 😍😍😍😍😍

  • @ogangakhadudu
    @ogangakhadudu 4 года назад +89

    Name a more relevant female artist in Kenya than Nadia right now!
    I'll wait!!

  • @estherrie6731
    @estherrie6731 4 года назад +13

    Katambe katambe watching this all the way from 🇬🇧 .. achana na apoko Acha aendeleze upoko wake .😁

  • @mjrashid7654
    @mjrashid7654 4 года назад +58

    This guy is giving wasafi headache. Keep up pozee. Wapi likes za +254 music

    • @emmanuelngongomi7869
      @emmanuelngongomi7869 4 года назад +2

      Don't compare WCB na mambo ya ajabu wewe

    • @gordonoloo2558
      @gordonoloo2558 4 года назад

      Which Wasafi did you intent to talk about? This is a total confusion.

    • @munirkamau7973
      @munirkamau7973 4 года назад

      Tukupee likes upeleke quarantine ama

  • @RelaxingMusicMonkey
    @RelaxingMusicMonkey 4 года назад +317

    I'm putting this in my next gengetone mix. Hot track right there. !!!!

  • @sir.edwardmwai4313
    @sir.edwardmwai4313 4 года назад +4

    First to watch...🔥🔥🔥
    If you believe Pozze is the top most artist nipe like..

  • @kihahu248
    @kihahu248 4 года назад +1

    Sikujua uko na song mpya till I saw udaku ya ringtone ikanileta hapa...

  • @lizbosibori7787
    @lizbosibori7787 3 года назад +2

    Hii noma sana. Nice one willy

  • @nickchanzu5068
    @nickchanzu5068 4 года назад +151

    At least have been the 1st one to comment. Ngonga like tukisonga

  • @mohammedmamo6177
    @mohammedmamo6177 4 года назад +5

    ladha ya kibara kilicho ongezwa nakshi, bizari,iliki karafu na zafarani za kipwani.
    Much love kutoka Kilifi, pwani

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 года назад

    Hivi Magix enga anaakili kweli anaesema Waandaaji Wa mziki bongo tunakopi biti zao, na hawa wasanii wanaoimba Bongo fleva acheni ukuda wakenya Wa bongo mpooo

  • @alladincartoon254
    @alladincartoon254 4 года назад +1

    Nikune season hii ya corona Diamond ugesig. Willy Paul Wasafi angewapita nynyi wote Willy Kwanza kudance,kuandika mistari ni motoo respect pozze

  • @ianbarry2423
    @ianbarry2423 4 года назад +41

    Enyewe Kuna Corona... POZZE amekeep distance hapa😂😂🤣

    • @SigarCescKuto
      @SigarCescKuto 4 года назад

      Zii Nadia ndo ana kiherehere anarombosa mbio pozze haezi isugua

  • @denchuofficial9331
    @denchuofficial9331 4 года назад +28

    Na willy amenona, nani mwingine amenotice🖐

  • @danielmunyaka5848
    @danielmunyaka5848 4 года назад +1

    *nikukate kituu bila ukabila.....🔥🔥🔥*

  • @winniemusimbi309
    @winniemusimbi309 2 года назад +1

    2022 I realized that Manzi wa Kibera Waz the Vixen in these song😘Pozze & Nadia,,my two favorite Artist💯big up manzee

  • @khalilasalim7868
    @khalilasalim7868 4 года назад +13

    Thanks Willy and Nadia for a beautiful masterpiece - drop another number soon

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 4 года назад +82

    Admittedly the current most versatile and hardworking musician who are going to revolutionize the music industry in Kenya, guys keep the fire 🔥🔥 burning high and carry the Afro east music to the world 👏👏👏, +255🇹🇿

  • @sarafinamwangi1647
    @sarafinamwangi1647 4 года назад +1

    It goes without saying good song,, producer lit ,,videos superb,,,dancing fashion style ,,na ofcourse the nikune hana kitambi ataweza kukuna vizuri

  • @asssdko8942
    @asssdko8942 4 года назад

    Enyewe ringtone abishane na mama mwenzake akotheee

  • @tinabae636
    @tinabae636 4 года назад +4

    Nadia was experimenting with boots 🔥🔥🔥

  • @jay-sr3js
    @jay-sr3js 4 года назад +3

    Jamani sijachelewa nipeeni japo likes kumi za nadia mukami our own rihanna

  • @philoblessed3311
    @philoblessed3311 4 года назад

    Pozze eo kazi safi wanaoongea waache, pia me nafanya mziki bt sina manangement

  • @maurinejepkorir2748
    @maurinejepkorir2748 Год назад +8

    Anyone in 2023??😊

  • @kenjostepper7499
    @kenjostepper7499 4 года назад +3

    Like yangu kwa hii song loving it here ana there

  • @dickenskenya5264
    @dickenskenya5264 4 года назад +4

    Hapa nimekubali Nadia kabisa but Niko hapa Kama shabiki wa pozeee👇👇

  • @klaus254
    @klaus254 4 года назад

    Mwana Mkunaji sasa anataka kukunwa. Hii twendy twendy ikona maneno.

  • @amadithegreat3172
    @amadithegreat3172 4 года назад +1

    after kutekenywa sasa una kunwa LIT

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 4 года назад +7

    Willy Paul is a barrier braker. He's so good at what he does.

  • @jerryamoni5347
    @jerryamoni5347 4 года назад +4

    Watching from Egyptian this song Z dope ilove swahili from tzt

  • @TRONIXX03
    @TRONIXX03 4 года назад

    ETI HII MDIO NDOMA UYO MOKORO ANADAI INACHOMA KWANZA MO FIRE POZE ENDELEA NA HIYO ROHO BIG UP NGOMA YENYEWE INAKUNA KEJANI NA MAMAA RINGTONE ECHA AENDELE KU RING TONE AKO NA JINA MBAYA KAMA IYO JINA YAKE YA MOSHENE

  • @jumamutiri1966
    @jumamutiri1966 4 года назад +2

    No social distance willy anadai kukuna

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 4 года назад +4

    Congo tupoooo 🇨🇩🇨🇬 ❤️ 🇰🇪🇺🇸

  • @linkbordangienda2260
    @linkbordangienda2260 4 года назад +9

    Nikune ni Kali sana pozze Nadia round hii willy umenibamba lakini bado nategea collabo tatu jibu usilenge Timmy ,otile na arrow boy mpango iko aje susumila pia aliongea kuhusu collobo iliendaje bro

  • @greezy0012
    @greezy0012 4 года назад

    Hili boko hatarii pozee our king of 254

  • @raphaelneff2251
    @raphaelneff2251 4 года назад

    AV never commented n your songs Ila hapa umeua kijana wetu..suhcta hit songs ..keep it up.

  • @ilhammohammed6541
    @ilhammohammed6541 4 года назад +8

    This song is a hit💪💪💪who came here after the argument with ringtone and King Willy paul

  • @kevinmutava8991
    @kevinmutava8991 4 года назад +3

    WILLY PAAAAAUL!! Ukifuatilia life yaake utakufa bure ..panatambua

  • @ashoopapa3595
    @ashoopapa3595 4 года назад

    Waaaa iyo gospel ni noma kama nabii nasema ongesa volume

  • @johnmarigx511
    @johnmarigx511 3 года назад

    willy paul anakuanga ameweza azin vibe zake ni natural talent

  • @Okasairo001
    @Okasairo001 4 года назад +10

    When this guy did kitanzi he was my inspiration but I listen to every song he does he has a sweet melody and a very big talent ...you have no reason to hate him .. he's doing it big ..am sorry to tell you is the biggest Kenyan artist ever ..ask me the reason..numbers don't lie...one day maybe pia utudropie Ka gospel bro Willy

  • @djscoobythemusicminion1851
    @djscoobythemusicminion1851 4 года назад +8

    Pozee....umefanyia ii beat Justice venye inafaa....,go on do yoh thing G....this one Featuring Nadia it's Lit🔥🔥🔥✔✔✔stamp ushawai💮

  • @josekachuodho1947
    @josekachuodho1947 2 года назад

    Somebody should call the police cause this jam men is too much,, love it

  • @simonkefa2772
    @simonkefa2772 Месяц назад

    the chemistry here was top notch