Ali karanja apambana na mwanamke anayesomea bibilia study karaî Kikuyu constituency kiambu County

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 62

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 года назад +5

    Poleni Mashekhe wetu mna kazi ngumu kwasababu wakristo kitabu ni chao nahawakijui.

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 года назад +1

    MASHA ALLAH ALLAH Awajaze Kila La Kheei Kwa Kzi Mnayo Ifanya IN SHA ALLAH ALLAH Awape Elimu Zaidi Na Subra Na Hekma Amin Amin Amin

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 года назад +5

    Wewe mwanamke kama hukubali basi waulizia nini

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 года назад +1

    Allah akufanyieni wepesi masheikh wetu,hawa wakiristo wanashangaza kweli ni wabishi hata wakiona haki wanakataa hao wazungu wenyewe wanaowafuata huko ulaya wakiona haki wanasilimu kila kukicha huko ulaya.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 года назад +2

    Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 года назад +3

    Single Moja ya muziki hatari sana ambayo Yesu alitoa , mtuambie ambayo Yesu alitoa, maana jamaa Hawa wao ni kuimba tu', ..!...Yaani usishangae kumkuta mkristo Toka amezaliwa mpk uzeeni au kufa kwake hajawahi KUMUABUDU MUNGU...!...Hatari Sana

  • @aliyahya5785
    @aliyahya5785 2 года назад +2

    Shekh Ali saiv umeiva sana Allah akupenguv

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 Год назад +1

    Waksrito walikimbilia kusomea Dunia kuliko dini ndio maana Leo awajui mengi Yalioko ndani na ndio raisi kwao kutawaliwa na kupelekwa ata kama kitu wanao ni kweli awa amin.. Dua zetu lnshaallah watakuja jua kweli...

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +6

    Ma sheikh usikubili kitu kama hii. This people were sent to waste time ili wengine wasipata ujunbe. You need to have rules for anyone to sit and then get the microphone from them as you want because you are the ones that set the meeting. Let them set their own muhadara.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 2 года назад +1

    Assalam alleykum. Tembezenii Dozz💊💉 anga hizo #opperation #funga #kanisa

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 года назад +2

    Masha'Allah, ❤ leo ustadh Ali amenyorosha watu.

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +4

    Kwani humu oni mwa poteza wakati na Filippo. Filipo hana elimu yeyote! TIME WASTER!
    Tabarak AllahTeam!

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +3

    This questions are given to this people by the pastors who are scared from our sheikhs . They always I don’t remember the verse I will come with it tomorrow. Sija jipanga leo. It’s sad that this people are not educated and don’t want to be guided.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 года назад +1

    Safi sheikh Ali!

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +2

    MAJESTIC Plural ina patikana katika kwenye SEMITIC languages za IBRANIA, ARAMAIC, ARABIC, PERSIAN na language ZINGINE DUNIANI, ambao zime tokana na ARABIC. KAMA KI URDU!
    ELLOHI singular.
    ELLOHIM majestic plural.
    Allah or Ellohi, chooses when to use the Majestic plural!

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 2 года назад +2

    Masha Allah

  • @somane512
    @somane512 2 года назад +1

    ALLAHU AKBAR

  • @Binahmed1234
    @Binahmed1234 2 года назад +1

    Ma Sha Allah

  • @Blowcurlyhead
    @Blowcurlyhead 2 года назад +3

    Huyu mwanamke hata hajielewi anapinga mpka maneno ya kitabu chao 😂😂 na ni mbishi

  • @samikadar
    @samikadar 2 года назад +5

    English bado angeji arrest. "We" in Quran is majestic plural. Showing the power of Allah SWT.

    • @mosmart4718
      @mosmart4718 2 года назад +2

      It’s the same in the Bible. It’s just that wakristo hawasomi kitabu yao

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 года назад +3

      Huyu ni mbishi Tu hata ruto asema serikali yetu kwani raisi ni wangapi ? Sasa kma raisi tuu atumia lugha hio takua mungu mwenyewe alie tuumba aweza kutumia atakacho mwenyewe kutumia na kusema hakuna WA kumuhoji hawa wakiristo ni wajinga coz ya ubishi na kutafuta pesa tuu za sadaqa

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 2 года назад +1

      Jana nikiwa sokoni kongowea, nimemsikia pastor akiitisha sadaka ili aboreshe biashara.... Yani ikabidi mimi na mke wangu tuulize yule muuzaji maharagwe ambae tulikua dukani kwake "kwani Yesu aliitisha sadaka?"

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 года назад

      @@chiefmkalikibz1503 hakuna pahali yesu ameitisha sadaqa na aliwakataza wanafunzi wake Kula sadaqa ama kuchukua mapesa Yani so hio ni ubunifu wao mapastor na wafuasi ni wajinga WA akili wabishi hata kusoma hawataki na wajidai wao ni wasomi

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 года назад +1

    MashaAllah

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +2

    Shehe Ali kama mpira wewe Zidane huna mbaya

  • @am_fashabi3888
    @am_fashabi3888 2 года назад +1

    ALLAHawaongoze

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 года назад +3

    Ila huyu mwanamke ni mtihani kwakweli!! Sasa kwa nini anauliza wakati akipewa majibu anayakataa? Si angebaki kimya tu! Alafu anakatalia maiki anataka kuhubiri akidhani yuko kanisani akitoa ushuhuda wa uongo! Wakati mwengine watu kama hawa msiwape masaa mengi maana wapo tu kupoteza mda

    • @samxx411
      @samxx411 2 года назад

      Umeonaee hana hoja

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 года назад +3

    Huyu mama amekuja vuruga mkutano anajaribu watu maana akiuliza akitaka kujibiwa husema basi ako na suali lengne.

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 2 года назад +3

    Huyo ametumwa na kanisa asumbue tu, emeshafunga maskio na msalaba

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 2 года назад +1

    Kumbe masomo mingi haisaidii bali nikuleta siasa🤣🤣huyu dada anashida zake...

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +1

    Hawa wanampinga yesu sijui kwanini ikisha hujifanya wanampenda yesu

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 года назад +1

    Huyu msichana mbishi.. Mnyanganye mike.

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 2 года назад +1

    Wakristo mnapoona ukweli acheni ubishi ssa ikiwa yesu alivyo kuwa anaabudu amtaki kumfuata mnakuwaje wafuasi wake acheni kupoteza mda kuweni waislamu

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 года назад +3

    Haah huyu naye ni wa wapi?auluza maswali na akijibiwa anakataa na hatoi majibu sasa yuauliza nini?mitihani kwakweli.yaani hata haeleweki sasa watu wanajifunza nini?anapoteza mda wala hana swali lolote si aende kwanini mmemuachia Mike yuaudhi kwakweli hata siezi endelea kumsikiza

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 2 года назад +1

    Alaffu hawa wacristo mara nyingi hupenda kuifanya dini ya waislamu kua nauongo lakini hushidwa tu kwa maandiko

  • @mufunyiibrahim3655
    @mufunyiibrahim3655 2 года назад +3

    Huyo ni wakuharibu muda tu

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +1

    Huyu dada ukweli hana hoja ila ana majibu aliyofundishwa na hakutegemea kupata majibu kinyume na alivyofundishwa ikisha analazimisha yesu awe Mungu bila ya aya, ukristo uwe dini bila ya aya hii balaaa

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад +3

    Huyu mwanamke hana elimu yoyote ni ubishituu hana ushaidi

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 года назад +1

    Huyo ya Salim ndio tunataka mbona jamani tupeni hio

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 года назад +1

    Dadakishingo mbishi alafu ni mburula. Haelewi na hajui kama haelewi.

  • @yussufabdullahi7908
    @yussufabdullahi7908 2 года назад +3

    Assalam alaikum ..sheikh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 года назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +3

    Jameni hawa watu si wa Kenya. This people don’t want to speak their national language Kiswahili

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Год назад +1

    Am sharing untill we reach 100k suscribers

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 2 года назад +5

    THIS WOMAN IS SO ANNOYING. CLEARLY, SHE DID NOT COME WITH GOOD INTENTIONS OR COMING TO LEARN. SHEIKHS PLZ UNDERSTAND THE MOTIVES OF SUCH PEOPLE AND DO NOT GIVE THEM THE MIC.

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 года назад +1

      Kabisa wengine ni wapotovu kuja kupoteza time wengine wasisomeshwe so sheikh zetu muwajue muwapuuze

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 2 года назад

      Safi kabisa

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 года назад +3

    Huyu mwanamke anakiburi anaonyeshwa kisha anakataa mm nawaombea mashekh zetu subra mm siwezi mara nampiga kofi haaaaa

    • @mosmart4718
      @mosmart4718 2 года назад +3

      She was told to disrupt the meeting. You can see she doesn’t want the Bible to be read so others can hear.

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 2 года назад +2

    Tunaomba hizo clips mzipe namba ili tuzifuate vizuri tujue mwisho wake

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +2

    Asalaamu Alaikum.
    Jamani, part 2 with Salim iko wapi?
    We r waiting.

  • @234dultrasoundlad
    @234dultrasoundlad 2 года назад +1

    Huyu anafaa Qasim

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +2

    Huyu dada ni definitely msabato who believes in a faith started by a white woman in America which is not a land where no prophet has ever hailed from . It’s just making business in the name of God.

  • @EastleighDawah
    @EastleighDawah Год назад

    11:21 thank me later 😁

  • @Blowcurlyhead
    @Blowcurlyhead 2 года назад +3

    Huyu mwanamke hata hajielewi anapinga mpka maneno ya kitabu chao 😂😂 na ni mbishi

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 года назад +1

    Masha Allah

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 2 года назад +1

    MashaAllah