STEP FATHER | 04 | Love Story ❤️

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 344

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 3 месяца назад +17

    Hii iwaendee wasiojali utu na ubinadamu kwa maisha ya wawili safari ni safari ndefu, hapo brown amechemsha kama umeliona hilo weka like yako hapo chini ila nawapendeni sana❤❤❤ haya loveness mtawala wa Ibrahim

  • @Doshwacaptain
    @Doshwacaptain 3 месяца назад +48

    Like za team strong 💪oyaaaahh nawakirisha from riyadh 🎉

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 3 месяца назад +18

    Daaah love wee ni noma sana nakupenda bure ongereni sana 🎉❤❤❤😂

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 3 месяца назад +14

    Nyimbo tamu sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WinnieNtoiti
    @WinnieNtoiti 3 месяца назад +22

    Kazi Yako naipenda sana dear loveness kwa kumnyongeza brown wah

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 3 месяца назад +12

    Lovenes nimekupenda Bure na kinyimbo chetu kunambi jicho limemtoka kama amebanwa na mlango chukueni hongera zenu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 3 месяца назад +76

    Nimekua wakumi na Tano wapi like za team storing Kwa loveness wetu nakupenda loveness from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @Fatuma-th3ni
      @Fatuma-th3ni 3 месяца назад +3

      Team strong hoyeeeee

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 3 месяца назад +1

      Pamoja ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 3 месяца назад

      @@Fatuma-th3ni hoyeee

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @RehemaMwegele
      @RehemaMwegele 3 месяца назад

      ​@@MwaJuma-x3t❤❤❤❤

  • @SharksSimba
    @SharksSimba 3 месяца назад +26

    Ivi lovenee mbona nakupenda Bure 😂😂😂 good job lovenee.

  • @Chebet254
    @Chebet254 3 месяца назад +32

    Episode y Leo 🔥🔥 alfu huo wimbo nyuma yake nzuri sana All the way from Kenya 🇰🇪 tunawapenda sana my fellow Kenyans wapi likes

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 3 месяца назад +2

      Yaan hii ya leo imenoga sanaaaaaaaa😂😂 kunambi jicho limemtoka kama fundi saa kapoteza mshale🤣🤣🤣 lovenesss nae kwakumkomoa sasa dah kwel ni 🔥🔥🎉🎉

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 3 месяца назад +1

      Pamoja ❤

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 3 месяца назад +38

    Kazi nzuri sna 🎉🎉🎉 like tukisonga team strong hoyeeee 😂😂❤❤❤🇸🇦🇰🇪

  • @Tice_tz
    @Tice_tz 3 месяца назад +5

    Nakubali kaka kelvin san,pia wahuska wot Kwa ujumla pia nawaombea😊

  • @DoreenKabeby-kw4bj
    @DoreenKabeby-kw4bj 3 месяца назад +19

    Kazi nzuri jamani mungu awatie nguvu zaidi❤❤❤ nawapenda sana

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 месяца назад +16

    Wangp wanaamin io ndoto ya loveness itatimia jmn ila ilo Kofi loveness 😂ungemrudia apo ndipo angejua hajui😢😢😢love from 🇰🇪🇸🇦♥️

  • @antonyRuth
    @antonyRuth 3 месяца назад +9

    Ata me nawapenda xna kelvin, loveness na nyuki

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 3 месяца назад +12

    Movie nzuri inamafudisho mazuri sn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 3 месяца назад +3

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 3 месяца назад +2

    Ama kweli Nyuki wajua ku act romantic scenes,hayo mashairi ya mapenzi,u r the mastery,mpk nkatamani yngu upya😂❤nko 🇰🇪🇰🇪

  • @milkahmachana
    @milkahmachana 3 месяца назад +7

    Kiukweli episode ya leo nimeipenda sana much love donta family pokea maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉wimbo nao ni mtanu waendana na movie yenyewe❤❤❤❤❤

  • @SammyEkai-r2x
    @SammyEkai-r2x 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri loveness nakupenda bure tu

  • @BAZUMWESHNDEREBA
    @BAZUMWESHNDEREBA 3 месяца назад +7

    Hii movie saa zingne inanichanganya,movie 🎥🍿 nitamu sana

  • @AnnaWaswa
    @AnnaWaswa 3 месяца назад +6

    Eyo goma ni tamu sana ❤❤❤

  • @ChristopheMufariji-kh3kq
    @ChristopheMufariji-kh3kq 3 месяца назад +11

    Jamani haka kalavnes kwanini kazuri hivi ?nakapenda sana natamani nikaowe

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 3 месяца назад +3

    NDONTA tunawakubali sana kwa mafunzo jema kwa jamii much ❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @KatavalyKambale
    @KatavalyKambale 3 месяца назад +4

    Whaoo, nzuri❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉

  • @WisemanDamas
    @WisemanDamas 2 месяца назад +2

    Nawapenda piya vijana kwa kazi njuri kama hii

  • @mercymsemwa7020
    @mercymsemwa7020 3 месяца назад +3

    Kazi nzuri lisa,dawa ya moto ni moto

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 3 месяца назад +2

    We hii move inamafuzo mazuri sana kwa wanaume brown kaubuka kweupe mau ya loveness na Ibrahim 🎉🎉🎉 mnanifunza sana milima haikutani ila binadamu tunakutana kweli

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu 3 месяца назад +3

    Donta family hoyeeee kazi nzuri sana wapendwa napenda sanaa kutoka Jeddah

  • @ElizabethRodgers-lm9xs
    @ElizabethRodgers-lm9xs 3 месяца назад +31

    Wakwanza leo wapi likes jamani 🎉🎉❤❤ from Kenya

    • @TeshmonyAntonio
      @TeshmonyAntonio 3 месяца назад +1

      mnakulanga likes ama mnafanyaga nini nazo nyie waomba likes

  • @LilianBhoke-g3c
    @LilianBhoke-g3c 2 месяца назад +1

    Nakupenda Sana loveness popote ulipo maana tunajifunza mengi kutoka kwako Mimi ni kutoka Kenya napenda Sana movie zenu

  • @FaithMusili-xx1ml
    @FaithMusili-xx1ml 2 месяца назад +1

    This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 3 месяца назад +16

    Wakwanza hapa😂😂nipeeni like kama mia tano tu😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤hiki kihouse girl naeza kigonga hdi kishangae.mtu unajifnya unageuka ukinipiga😂

  • @gideonchipepo8405
    @gideonchipepo8405 3 месяца назад +6

    Loveness napenda macho Yako yalivyo

  • @THOMASMATIKA
    @THOMASMATIKA 5 дней назад +1

    Skuzote Penzi likifika mwisho ainaga aja ya kulazimisha oya weeeee BABA kijacho kubali kuwa Lissa ushampoteza😂😂😂

  • @EvaMwabulambo
    @EvaMwabulambo 3 месяца назад +3

    Safi sana vijana Nawapenda sana Kev na Loness na Kendy na baba Kev

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 3 месяца назад +2

    😅😅😅😅😅Jamani loveness kila movie ni masoimba sasa hapa unapinga mateke yausinginzini do from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 3 месяца назад +3

    Nyimbo tamu san team donta family ❤❤❤❤

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂 Lisa and kunambi apo watu wangu❤❤❤❤ Kenya

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 3 месяца назад +14

    Jamani hpa ss tumeoana nn kumbukumbu za loveness tuu krbu episode nzimaa, alfu loveness usiipoteze bahati hyo Kw ajili ya kunambi mpuuzi

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 3 месяца назад +3

    Wow umepigaje hapo laveness❤❤❤

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 3 месяца назад +3

    Dah 🔥🔥🔥🔥to much hongera zenu❤❤❤

  • @SharksSimba
    @SharksSimba 3 месяца назад +14

    Good job kunambii. Upo siku nta wa join. Watching from Kenya. Nairobi.

  • @THOMASMATIKA
    @THOMASMATIKA 5 дней назад +1

    Kwenye Episode ya 3
    Tuliona Lissa alivyoota kuwa yupo na huyu mmachinga Sasa kwa iki anachofkiria huyu mzazi mwenzake uhenda kikaja kutimia kama ndoto Huwa nikweli basi tutaona

  • @elosygatwiri-r4l
    @elosygatwiri-r4l 3 месяца назад +2

    Movie tamu sana ila brown anasikia wivu juu ya loveness bro ulimtelekeza n ujauzito n mungu naye akawa upande wake ,wimbo tamu eti umenikata ulimi nisiseme kila kitu haaaaaaa love you guys from kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MshuaLongest
    @MshuaLongest 3 месяца назад +2

    Nyie watu jamni unajua sana kuigiza🎉🎉🎉🎉

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 3 месяца назад +2

    Wacheni ubanaifu na kutusumbua,mtoto wa boss,ya delay haijaisha,mnaanzisha game mpya..hovyo sana !🇰🇪

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 3 месяца назад +3

    Brown ukome kabisa ulifikili umemuaca kijijini hamutokutana wona sasa mawumivu ukonayo na ukamupatia mwenzako kelvin kukulelea mutoto nakucukiz brown😢😢

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 3 месяца назад +12

    😂😂😂😂ila loveless umejua kumkomesha brown 😂😂😂😂😂😂😂brown unaiyonaje hiyo 😂😂😂kula chuma hicho

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 3 месяца назад +4

    😂😂😂😂😂😂 loveness wakubalije makofi hayo😅😅😅

  • @MusaElisha-k8o
    @MusaElisha-k8o 2 месяца назад +1

    Na kupendaa loveness Kwa Kaz nzur

  • @webnet5652
    @webnet5652 3 месяца назад +1

    Ongera San ibraa na Lavness❤❤❤

  • @InêsJaimeZacarias
    @InêsJaimeZacarias Месяц назад

    ❤❤❤❤ kutoka Mozambique 🎉🎉🎉 Napeza sana kazi mzuri❤❤❤

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 3 месяца назад +4

    Loveness umefanya vizuri wanaume wenye awajitambui kama brown nawapa pole

  • @MwajayChamshama
    @MwajayChamshama 3 месяца назад +3

    ❤❤❤❤Love ndg yang nakupenda mnoo

  • @kotapodosk
    @kotapodosk 6 дней назад +1

    ❤❤❤ ntaandika script kurasa mia tano nitoke 🇰🇪 nije kuigiza na Lisa.

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 месяца назад +1

    Love habbty nakupendaa hayatii❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 3 месяца назад +1

    ila loveness 😂😂😂😂😂nakupenda bure kazi yako nizuti sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kanduvulashukuru
    @kanduvulashukuru Месяц назад

    Munacheza vizuri sana nilishaka wakubali tena sana , je vous aimes tellement mes chers

  • @Tabu-r1i
    @Tabu-r1i 3 месяца назад +5

    Kazi ni nzuli lakin mkiongea punguzen sauti ya mziki

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 месяца назад

    Nyote mko vizuri ila love nes 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChachaMatoka
    @ChachaMatoka 3 месяца назад

    Hongera sana kwa kazi nzuri ❤

  • @JdbdJdnr
    @JdbdJdnr 3 месяца назад +2

    Nawapenda sana wana donta💕💕💕💕

  • @oscarmwanawaboi4253
    @oscarmwanawaboi4253 Месяц назад

    Kazi nzr sana ila mwambieni mshika buum awe makin sana 😅😅😅😅😅

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 3 месяца назад +3

    Brown kimekuramba kaka 😂😂😂😂 sikizia sasa

  • @MargretMburu-z2x
    @MargretMburu-z2x 3 месяца назад +11

    Kazi mzuri donta we love you from kenya❤❤

  • @MartinOpiyo-khalid
    @MartinOpiyo-khalid 3 месяца назад +1

    Aki lovenes unajua kuigiza sana penda ww sana from kenya

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 3 месяца назад

    Safi loveness nakukubari sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chidzodunda
    @chidzodunda 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂hongera sana Loveness ❤❤🎉🎉

  • @BrianWanjala-fd9zp
    @BrianWanjala-fd9zp 3 месяца назад +1

    inapendeza sana ❤❤

  • @TeshmonyAntonio
    @TeshmonyAntonio 3 месяца назад +7

    guyz hao wanawake wawili kwenye mtoto was boss hatuwataki wanabore movie sana kupitia wao mnaeza mkakosa hata subscribers

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana❤

  • @SelineKwamboka-h5h
    @SelineKwamboka-h5h 3 месяца назад

    Kunambi makes me happy the way anareact ❤❤❤❤

  • @Sabrasaid-o6j
    @Sabrasaid-o6j 3 месяца назад +1

    Sabra jaman kumbe yupo pia❤❤❤❤

  • @Ruth-gw3dt
    @Ruth-gw3dt 2 месяца назад

    Waah si Kuna drama mingi hapa😂😂😂😂😂

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 3 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂 ila huyo sada amenishinda tabia kha ametushinda sote wivu tu kunenepa aaah😀😀🤣

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 3 месяца назад

    Noma sasa😮

  • @123rehema-q9h
    @123rehema-q9h 3 месяца назад +1

    Kazi safi sana ❤❤❤

  • @Mary-cm3tt
    @Mary-cm3tt 3 месяца назад +2

    Sada jamani😅😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 3 месяца назад +3

    Sada and kunambi are writing and deleting 😂😂😂😂nauza sunflower jmni mcniache bila😂😂😂

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ak hatari hii jamn haaaah😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shahrayn93
      @shahrayn93 3 месяца назад

      @@MwaliSuleih umeonaeeeeh,,,hatari na nusu wallaaaiii😆😆

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 3 месяца назад +3

    Muvi mzuli🎉🎉

  • @ZenaKhamis-pv1un
    @ZenaKhamis-pv1un 3 месяца назад +2

    Shogaangu anatia huruma uyo dada wa kaz😂

  • @LorrieDiella
    @LorrieDiella 3 месяца назад +1

    nawapenda sana kazinzuri

  • @NeemaFrancine-z3u
    @NeemaFrancine-z3u 2 месяца назад +1

    Nawapenda nyote munaceza vizuri mungu awajalie furaha naupendo

  • @RehemaRacheltumba
    @RehemaRacheltumba 3 месяца назад +1

    Nawakubali saaana watu wangu hongereni saaana

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 3 месяца назад +1

    Lisa na kukubali sana move inanoga❤❤❤

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 Месяц назад

    Mamboyo ❤🎉🎉🎉❤mutu na rafiyaye

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 3 месяца назад

    😂😂❤❤❤❤❤kabisa Lisa nakubali

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 3 месяца назад +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri

  • @PaulaJackson-w5x
    @PaulaJackson-w5x 3 месяца назад

    Nakupenda lovenes

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 3 месяца назад

    Jamani itakuwa vita kabisa nawapenda

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f 3 месяца назад

    Braun hapo Badoutachemuka kwalavuness❤

    • @ShadiaIdrissa-r2f
      @ShadiaIdrissa-r2f 3 месяца назад

      Anayemusapoti musimamo wa levunessi weka pa likes

  • @dorotheasamwel8071
    @dorotheasamwel8071 3 месяца назад

    Huyu nesi anavyompiga mabanzi Kwa kisingizio cha ndoto kanichekeshaaaa😅😅

  • @salhamsekeni907
    @salhamsekeni907 3 месяца назад

    Kaz nzur mtuletee muemdelezo haraka ❤❤❤

  • @AmarZaharan
    @AmarZaharan 3 месяца назад

    Love nakpenda sn umrfanya vizur

  • @athanacyvenance9629
    @athanacyvenance9629 3 месяца назад

    Nawapenda wote from 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲

  • @Araphrqra
    @Araphrqra 3 месяца назад +3

    Napenda kunambi akiumizwa ndo movie inanoga😂😂😂

  • @chrismwendemwende4100
    @chrismwendemwende4100 3 месяца назад

    Uyu brown ataniulia love ness🎉🎉🎉 koma

  • @CalebMogak
    @CalebMogak 3 месяца назад +1

    Nataka jina ya wimbo ni tamu

  • @FatmaSuleiman-q4w
    @FatmaSuleiman-q4w 3 месяца назад +1

    Safi sana broo kwa kazi nzr❤❤❤