You do know that Muguka made people to stop consuming hard drugs right. So the market went down and the drug cartels in the Coast are not happy so they sponsored the ban.
@@bonfacewachira3297 kete ni ka puru kwa hawa wasee 😂. Imagine jamaa anadai jaba ni ngori kuliko kete bro? 😂... Huyo si ni fala na anajaribu kutupima 😂. Mbona hizi alleged effects gavana wao anadai zinafanyika zinafanyikia wasee wa coast pekee? 😂 😂
Km hamjui madhara yake pls keep off kitambo gavana atoe uamuzi huo anajua so wacha wauze sehemu nyingine na hiyo theory ya kuwa coastal pple ni watu wa raha mnafaa mfute kwa midomo yenu.
This agenda is probably being driven by big fish or corporate coz they have something to gain as alcohol and drugs is big business in Kenya, controlled by a few very powerful people. Muguka is a choice just like alcohol, BUT ni business ya Hustlers, why can't they also ban alcohol, miraa or other drugs? Infact, alcohol and drugs are worse coz they contain dangerous man-made chemicals but the business is backed by big fish, dynasties and corporates, and someone wants to put out the competition.
Day ones kuchonga nilipeddle black mamba from pipeline to my uncle's place in kagio.
😂😂😂😂 Boss
haha wewe uliweza
😂😂😂
😂😂😂
😂😂Jabaaa
Big shout out,, atleast ya Leo si cutscene ya kitambo😂
Miraa n mogoka effect will never compared to Any other drug , from accidents, broken families, robbery n violence..mugoka is such a cool stimulant
Wat do you mean
kaa coast uone bro,,,,maboyz wanakaa base the whole day wakikula goks...hawana haraka na life
Muguka achana nayo please sio time yako wanawaste
But it never makes them a zombie
@@bonfacewachira3297my cuz is going mad
@@bonfacewachira3297my cuz is going mad
You do know that Muguka made people to stop consuming hard drugs right. So the market went down and the drug cartels in the Coast are not happy so they sponsored the ban.
Karibuni Kangeta .Tuwapatie alele ya black .
Jaba ni strong sana kushinda veve na ni cheap
Hio kuhesabu mabati sasa😂😂😂
Nomaaa
Coast hakuna kitu ya duniani huwezi pata. All socioeconomic levels. Kuna big boys mausers mbaya, na ju wana pesa kuruka wanaleta kila kitu
Wapigane na unga wachane na siasa mbaya
Mkiban hii kitu sisi huku meru tunawatch hizo news na taxine 😂😂😂🔥🔥
Hata ndio natema now...jaba all the way
Ian, huku coast muguka ni menace sana, vijana ni madwanzi jamaa hutafuta tu 50 bob
Bro we all know coast ni cocaine na heroin imewawaste .. mogoka imeua Nani
@@bonfacewachira3297 jingazzzz
@@bonfacewachira3297 true
@@bonfacewachira3297 kete ni ka puru kwa hawa wasee 😂. Imagine jamaa anadai jaba ni ngori kuliko kete bro? 😂... Huyo si ni fala na anajaribu kutupima 😂. Mbona hizi alleged effects gavana wao anadai zinafanyika zinafanyikia wasee wa coast pekee? 😂 😂
@@nodayzofff kwani kete ni legal Kenya kama jabA?🧠
Mugoka ina mawazo sana,mimi nyakati nilikua nachonga nikitema tu nataka dem,hata saa ngapi natoka home,wacha ipigwe marufuku.
Kwani hauwezi pata denge? 😂 Sa unataka raia isikule jaba sababu hauna rizz? 😂🤣
Cigarettes Huwa Kuna tahadhari ya afya na mbona zinauzeaa.... just control yourself and your kids
Switch off 😂😂😂😂
During KDF recruitment many boys were returned back due to effects of mugukaa at the Coast.
Kdf kama hauna pesa ya kuhonga hautaingia 😂 sio story na Jaba
me watching while puffin'
Mary Jane is your only girl uh
Rapcha n chizi😂😂😂😂
Ths guyz..😂
Mwaf tumia hizi raiya iyo iphone yako, hii visuals hazileti shangwe😅😅😅😅
Km hamjui madhara yake pls keep off kitambo gavana atoe uamuzi huo anajua so wacha wauze sehemu nyingine na hiyo theory ya kuwa coastal pple ni watu wa raha mnafaa mfute kwa midomo yenu.
Mombasa raha iltokapi basi?
@@tonym4953 wachana na hawa wasee wanakuanga wamejam 24/7 😂
Rapcha acha kutuchomea...coast kuna wakurauka hio 5
Muadhin pekee ndio mtu ameamka ngware hio time coasto 😂. Siku zenyu zinaanza saa sita na by saa nane mshachoka 🤣
Unaongea hivyo na hutumii goks
Maze mnaongea slow motion nikama mumeiva kitu🤔🤔
Raptcha ananumwa na meno
Labda wee ndio unasikia in slow motion 😂
Miraa na mogoka users in Nairobi west own Range rovers ...hawa wa mombasa ni cocaine sniffing inawalemea ,mogoka imeua nani
Ni mugoka ama miraa they've done away with?
Shisha ziko ban bado
Na bado tunapuliz mbaya, hadi Sai kuna ngale ya shisha siku hizi
Lazima watu watashikisha ata waburn
Venye nagoja nirudi mtaa nishikishe bana
Hawajaburn wameban😂
@@amken zote Bora unaget 😆
Yeah it's our own cash crop recognised by law...hawa druglords wanataka kucreate market ya cocaine 😂
😂😂😂kuwa serious bana
@@dmtume Niko Istanbul 2yrs na soko ya veve hijafika huku
Nikirudi labda nihamie meru😆
This agenda is probably being driven by big fish or corporate coz they have something to gain as alcohol and drugs is big business in Kenya, controlled by a few very powerful people. Muguka is a choice just like alcohol, BUT ni business ya Hustlers, why can't they also ban alcohol, miraa or other drugs? Infact, alcohol and drugs are worse coz they contain dangerous man-made chemicals but the business is backed by big fish, dynasties and corporates, and someone wants to put out the competition.
I have to admit, Mwaf binds the pod.
💯 he's the avocado
Weed hufanya msee a overthink, jaba nayo ata siwezi explain
Correction inakufanya Wewe na wasee ka wewe waanze ovethinking. The rest of us tukiseti tuko fiti
@@nodayzofff msee ni singular boss, sijasema wasee, ama hukuenda shule
@@KIM-xl6zs and naongea juu ya mse ka wewe in plural meaning wasee ka wewe. Sitakutusi bro I was raised by humans
Ian, start your podcast !
Dont live in anyone shadow
We tulia mzee
mogoks hutoka embu sio meru.
Muguka hutoka Embu not meru