Mtumishi wa Mungu Asante Kwa mda wako na kuitikia mwito wa Mungu Kwa utumishi huu, Mungu anisaidie ili namimi nitumie Kwa nafasi ya wito wangu, haki nahitaji msaada wa Mungu nimeokoka ndio ila itakuaje Yesu akirudi na kunipata nimeitika ila sijatekeleza Mona nashindwa! Ee Mungu wangu nisaidie . Nashukuru Mungu Kwa ajili yako Mwl Joyce ukipata nafasi nikumbuke Kwa maombi nami nitaendelea kukuombea , hata watu wasipo comment usiache Wala kulengea nimeona kitu ulichopewa ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo
Mtumishi wa Mungu Asante Kwa mda wako na kuitikia mwito wa Mungu Kwa utumishi huu, Mungu anisaidie ili namimi nitumie Kwa nafasi ya wito wangu, haki nahitaji msaada wa
Mungu nimeokoka ndio ila itakuaje Yesu akirudi na kunipata nimeitika ila sijatekeleza Mona nashindwa! Ee Mungu wangu nisaidie . Nashukuru Mungu Kwa ajili yako Mwl Joyce ukipata nafasi nikumbuke Kwa maombi nami nitaendelea kukuombea , hata watu wasipo comment usiache Wala kulengea nimeona kitu ulichopewa ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo