OGA OBINNA BROTHER LESLEY HINTS ON WORKING WITH PAMELA AELI/ NEW MUSIC COLLABO WITH OBINNA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 72

  • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
    @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 13 часов назад +7

    Trudy mahali imefika wewe rundi kitui hii wivu yako na uchawi imezidi na ndio hunanga views, wewe ni pepo mkubwa na kama unangojea downfall ya babe you're in a long way to go.. Babe nyota yake itaendelea kushine to the whole world❤❤

    • @rechoumazi1773
      @rechoumazi1773 12 часов назад +2

      Ana wivu Na hamfiki ata robo umbwa hiii si amsaidie

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 11 часов назад

      Funny hw unamtusi na kumuongea vibaya hana views,ni mchawi,sijui anaonea dem wa fb wivu,imagine trudy is in no competition with anyone,the cake is too big for everyone and she has been in this industry for the past 3yrs,going na GOD'S SPEED.so heal guys and stop fighting GOD'S WILL

    • @shirleyachieng
      @shirleyachieng 8 часов назад

      😂😂ety harudi Kitui😂😂

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 8 часов назад

      @@shirleyachieng KAMA KUNA MWENYE ALITUMIA FARE YAKE KUMLETA NAIROBI HEBU AMRUDISHE

    • @shirleyachieng
      @shirleyachieng 8 часов назад

      @ramlamohamed2716 🤣🤣🤣 maybe alishakufa 🤣🤣🤣

  • @FranciscarMuye-ir3jd
    @FranciscarMuye-ir3jd 14 часов назад +17

    Sijakataa Pamela is talented but what I can see from you Trudy is you are just jealous of Dm wa fb you should be happy for your fellow woman progress coz kuna siku niliona you sre thanking people who were there for you in 2024 but hukutaja Dm wa fb and most of your interview huwa hukosi kumtaja ama huwa zinamhusu somehow didn't be like that you need to change 😢🤔🤔🙄

    • @SharonMusimbi-zs5ck
      @SharonMusimbi-zs5ck 14 часов назад +1

      Walai true

    • @elvinzihuramyezihuramye3939
      @elvinzihuramyezihuramye3939 14 часов назад

      I concur. She has a vendetta with DWFb.

    • @MarianaLiona
      @MarianaLiona 13 часов назад +2

      True she need to change ,and she is the one pushing this story of Pamela everytime

    • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
      @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 12 часов назад +3

      She's talented with broken English😂😂😂😂but where is the comedy

    • @rechoumazi1773
      @rechoumazi1773 12 часов назад +2

      Apo Kwa Pamela akuna kitu Kwa Ni talented Gani tungoje tutaona ama Ni Kazi Gani yenye atafanya apo abinna TV

  • @GRACEGR-f4c
    @GRACEGR-f4c 13 часов назад +8

    Trudy sipiya wewe nenda obina akushikiliye mukono ao unazani dm wafb akiaachana na obinna atakufa nja?dm wafb nimwana mke nanusu nenda na wew usaidiwe uwache kuangaika najuwa

  • @elvinzihuramyezihuramye3939
    @elvinzihuramyezihuramye3939 14 часов назад +7

    😂😂😂😂 but which talent??? Let Pamela start with Churchill show if really she has talent, and pull a crowd to laugh, from start to end.

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 11 часов назад

      You can not fight the will of GOD akisema ataanzia obinna tv nothing or no one can stop it,and you should know that every person's journey is different cz someone else started from churchill n made it doesnt mean the other one wil start from the same place

  • @EvalyneKinya
    @EvalyneKinya 14 часов назад +7

    Ata useme nini Bado bebii anaendelea wivu itakua trudy

  • @ElizabethKimetu-s2o
    @ElizabethKimetu-s2o 53 минуты назад

    True kabixa anapush vitu ata kuna comedy apo

  • @MourineAkinyi-n6i
    @MourineAkinyi-n6i 2 часа назад

    But trudy we have many bloggers na mbona wewe ndio ume insist na hii mambo ya pamela, kama obina atamchukua, atamchukua ata bila wewe kumtaja imgn, ju ata ukiona dem wa fb the first interview yake na obina ndio ilifanya akamchukua yaani hiyo reception ya watu na views zake..so dont stress your self ndio ukue mzuri ...

  • @nellyblessing584
    @nellyblessing584 10 часов назад +1

    What l can tell you guys just keep praying for our girl, cause if they can't appreciate the grace the girl brought in oby tv, give them time.l was fired in my place of work, little did they no l used to go for morning prayers to pray for the company, guess what within few months the company which use to make millions of money per week,is no more in market.

  • @trizakare13
    @trizakare13 14 часов назад +7

    Na kwani wewe Trudy huna talent Obinna aku support pia????? Anywho all the best Pamela ❤️

    • @YvoneAkinyi-f1r
      @YvoneAkinyi-f1r 13 часов назад +3

      uyu ni wivu ndo inamsumbua ,,,,,ata apush pamela aje hatawai kua kama dem wa facebook,,,,,, ,,,, kila mtu akona neema yake .

    • @ElizabethKimetu-s2o
      @ElizabethKimetu-s2o 48 минут назад

      True

  • @EvalyneKinya
    @EvalyneKinya 14 часов назад +5

    Si pia ww umushike mkono

  • @JOHNIE254
    @JOHNIE254 11 часов назад

    Kazi zuri director lesly🎉❤

  • @loicenjoki
    @loicenjoki 12 часов назад +2

    1st Thing's 1st.....let me say There's alot you people think you know that you don't know....
    -1st how will Trudy be jealous of DWF and she's the one who gave her the platform mpaka obinna akamrecognise
    -How is Trudy Jealous and she's the same person alitumia DWF fare akakuja mpaka nai kufanya interview...
    - You know just because Milly refused to recognise some things doesn't mean you guys you're right coz you're all wrong and confused..
    You'll don't even know what you're supporting mnaongea Tu huaaaa bila mpango.
    And why would obinna shouldn't support Pamela she's one talented lady if you don't follow her lives on tiktok she has a platform both West Africa and middle east to be specific the Arabs,she has a platform in India we make that clear.....
    Milly is one of the talents obinna supported and from the start he said Milly is not part of obinna TV he's only supporting her to be a brand now that she's a brand let him support someone else.....
    Mnavuka mwaka na makasiriko attacking Trudy right,left and center bila facts You'll go heal Don't yap yap like monkey's......oooh I forgot empty debes make alot of noise na hio NDIO mnaproof💔💔😡

    • @sheilakipetu6823
      @sheilakipetu6823 11 часов назад +1

      Whatever they decide to do with thiis information is up to them😂😂😂I wonder if they will understand anything 👏👏👏

    • @Fatuf4951
      @Fatuf4951 11 часов назад

      ghaii😂😂😂

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 11 часов назад

      NO ONE CAN FIGHT THE WILL OF GOD,IF GOD SAYS PAMELA WILL JOIN OBINNA TV NOTHING OR NO ONE WILL STOP IT,HATA OBINNA MWENYEWE CANT STOP IF GOD SAYS YES,SO IF YOU ARE SUPPORTING DEM WA FB AND PAMELA HAKUBAMBI SKIP POSTS NA VIDEO ZAKE KAMA AD USIWATCH NA MAKASIRIKO

    • @Patryksm
      @Patryksm 10 часов назад +4

      Umechizi unajua tofauti ya trudy na eve mungai wewe ama ndio umemchukua simu ya mkopo utese youtube?

    • @loicenjoki
      @loicenjoki 10 часов назад +2

      @Patryksm badala ya kunitusi na hunijui si utumie hip energy uko mayo kutafta pesa usikufe maskini!

  • @ChristineWambua-vm6mb
    @ChristineWambua-vm6mb 9 часов назад

    Kutoka time yenye Trudy alianza kuonea Dem wa fb wivu ndio views nzilianza kupunguka mchawi pepo nyeusi

  • @KarungiDinah-uy5mr
    @KarungiDinah-uy5mr 14 часов назад +3

    Which talent so broken English now days has also become talent ,,,wake up.

  • @LilianOnderi-ks9go
    @LilianOnderi-ks9go 13 часов назад +1

    Aki broken English n talent surely,si ata sis tuko kwa waharabu tuna speak broken English,kwa ivyo tukimaliza contract direct kwa obinna???aki Trudy milly pia n binadamu na ako na talent ya ukweli si kujiekelea

  • @ramlamohamed2716
    @ramlamohamed2716 12 часов назад

    One thing you should know just like leslie has said she got an interview in obinna show infact THE FIRST GUEST IN 2025 no cz trudy ndio alimuita but the management ya obinna show sat and come to an agreement,mark you obinna ndio alimpigia mwenyewe hata hakutumana so deal with it guys,YOU CAN NOT FIGHT THE WILL OF GOD,IF PAMELA IS DESTINED TO BE IN OBINNA TV NOTHING CAN STOP IT

  • @sharonkhayosa162
    @sharonkhayosa162 14 часов назад +5

    U r jealous Abt dwf, be open na useme u want pam in set sio dwf, fake frnds

    • @sheilakipetu6823
      @sheilakipetu6823 12 часов назад

      Wewe ndio fake friend 😂😂😂apaaa

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 12 часов назад

      @shiki i wonder kwani siku hizi trudy ni part of decision making panel obinna tv,weuh

    • @sheilakipetu6823
      @sheilakipetu6823 11 часов назад

      @@ramlamohamed2716 Hawa ata sijuii wataja elewa lini

    • @ramlamohamed2716
      @ramlamohamed2716 11 часов назад +2

      Hawaezi pigana na mipango ya mwenyezi mungu,pamela is entitled to be supported and am glad obinna has given her a chance,let them watch this space

    • @JanefferMwalili
      @JanefferMwalili 6 часов назад +1

      Kutumiwa even I wonder kwani yeye ni press WA obina bona Jacky hananga hii ushenzi iko na huyu one day u will regret for this

  • @sharonkhayosa162
    @sharonkhayosa162 14 часов назад +3

    Mtu akimuuliza talent gani yule dem anaitwa pam ako nao mtajibu? Ama hata cku hizi kususu kwa sahani n talent,,,be serious

  • @sheilakipetu6823
    @sheilakipetu6823 12 часов назад +1

    Comment section nyinyi wote hamtumii akilii kama you watched Obinna show on Monday sai hamngekua mnatusii Trudy lkn juu hamtumii akilii you cant understand anything from thiis interview so stop blaming Trudy and yees Pamela pia si n girlchild mbona hamtakii apewe support???? don't answer thiis question if you have too small minute

    • @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj
      @FunnyDalmatianPuppies-qd9mj 11 часов назад

      @@sheilakipetu6823 🙄wewe mjinga ndio huna akili nenda ukakufe hahuko nyoka kiwete😡

  • @DobisterKhasitsa
    @DobisterKhasitsa 8 часов назад

    Comment section mko na hasira na Trudy kwa nn

  • @hellenoponyo2415
    @hellenoponyo2415 13 часов назад +1

    No vibe na hiyo broken English yake

  • @JanefferMwalili
    @JanefferMwalili 6 часов назад

    Kuongea broken English ni talent!? Ama niko dunia ingine

  • @zipporahmuema
    @zipporahmuema 7 часов назад

    Nyoka mkubwa sana panya ya kuuma kupuliza stop.forcing issues uliharibua Dem wa fc ndio ulete huyu Pamela na ata hana talent apart from her broken English shame on you

  • @MagdalineMugure
    @MagdalineMugure 13 часов назад

    We want bebii 💕

  • @MarianaLiona
    @MarianaLiona 13 часов назад

    Trudy you need to style up , always appreciate others moreso your fellow women

  • @vinphilo1992
    @vinphilo1992 12 часов назад

    Trudy ,trudy ,trudy, is that you again pliz wacha wivu uko na mauchungu sana na dwfb why na hajawai ongea kwako vipaya ithink utakipata ukitakacho naona unaemea pembe sasa

  • @EverlynMark
    @EverlynMark 11 часов назад

    Kwani broken english ni talent

  • @Fatuf4951
    @Fatuf4951 13 часов назад

    Mmnm😂😂😂