MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU BY.COLMAN UFUNGUO. KWAYA YA MT.JOHNBOSCO KIBAHA (TUMBI) official video 4K

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 11

  • @AnnaBundalla
    @AnnaBundalla 19 дней назад

    Hongereni sana kwa utume. ❤❤❤❤❤

  • @chrisbowrn9735
    @chrisbowrn9735 18 дней назад

    Nimeenjoy Sana kumuona brother Andrew

  • @maishayangu9216
    @maishayangu9216 18 дней назад

    A Beautiful Classic! Pongezi.

  • @tempochoir
    @tempochoir 21 день назад

    Nice ❤

  • @chrisbowrn9735
    @chrisbowrn9735 18 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @edinakatalaiya8773
    @edinakatalaiya8773 23 дня назад

    Hapa mliimba, ila Kanisani mnatubaniaga😂

    • @Mt.johnboscokibaha
      @Mt.johnboscokibaha  22 дня назад

      Tupo vizuri sana sana

    • @Mt.johnboscokibaha
      @Mt.johnboscokibaha  22 дня назад

      Labda ulikuja siku mbaya kazini

    • @KibahaPwani
      @KibahaPwani 22 дня назад

      Siku mbaya kazini kivipi. Mnafanyaga makusudi tu sisi tunaimani na nyinyi ila mnatuangushaga sana tu. ILA HAPA MMETISHA SANA HONGERA YENU

    • @Mt.johnboscokibaha
      @Mt.johnboscokibaha  22 дня назад

      @KibahaPwani Asante sana kwa maoni na tumeyapokea mazuri yanakuja

    • @Mt.johnboscokibaha
      @Mt.johnboscokibaha  22 дня назад

      @KibahaPwani kikubwa tunachoomba ni kutupokea na kutupa support kwa kila hatua