TATIZO LA KUTOKWA NA MAJI MAJI UKENI | JINSI YA KULITIBIA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 58

  • @ArafaBoli
    @ArafaBoli 3 месяца назад

    Mashallah Allah akuzidishie ulipopungukiwa I🙏🙏

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 9 месяцев назад

    Mashallah Allah akuhifadh Asante

  • @VanessaPaul-d9c
    @VanessaPaul-d9c 10 месяцев назад +2

    mmh Mungu atusaidie maana tuko vibaya ingawa tunatembea

  • @nasrasaidi179
    @nasrasaidi179 3 года назад +2

    Maashraahaa mungu azidi kuku upeoo zaizii namm naumwa sheen dawa tunapta WAP yani nawashwa nauchafuu unatoka haruufu mbayaa

  • @ShazilaMakono
    @ShazilaMakono 2 месяца назад

    Asalm alykm dawa nishingapi na inapatikanaje

  • @YunussMasoudsaid
    @YunussMasoudsaid Год назад +1

    Sheikh mm nimejifunguwa nna cku 28 dam imekata lkn natoka maji yanaharufu mbaya uken naomba unisaidie 🙏

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 3 года назад +1

    Manhallah ustadhi akuliepe kwa hayo ujaliwa kutufikishia

  • @SaudaMdoe-bl6it
    @SaudaMdoe-bl6it 6 месяцев назад

    Assalamu aleykum warhmatullah wabarakat samahani m naliza je yakiwa yanatoka maji hayo kwamwanamke je yajuza kusali au mpaka ajitwaharishe

  • @trixylady01
    @trixylady01 Год назад

    We babaaa kiarabu kingi wengine wakristoooo

  • @latifahtifah3438
    @latifahtifah3438 Год назад +3

    Ahsante me niliogopa san ila me ni maji ya kawaida ila yamekuj baada ya kukutan na mwenza wangu nilikaa miak 2 bila ya kushilik niposhilik ndo nimepatwa na hal hii

  • @veronikaalfled
    @veronikaalfled 10 месяцев назад

    Mimi kunavidoge nimemeza by kutengenez mzunguko wa hezi lakin baada ya kumaliz dawa nimeazw kutokwa na maji meupe Aya alufu Wala ayawashi nitakupea ninashida gan😂😂😂

  • @ArafaBoli
    @ArafaBoli 3 месяца назад

    Inapatikana wapi sheikh

  • @KlavicMukayu
    @KlavicMukayu Год назад

    Can I get one ni shngapi pia

  • @YunussMasoudsaid
    @YunussMasoudsaid Год назад

    Sheikh mm natoka maji maji na harufu mbaya sana baada ya kujifungua nna mwez sasa ila bd haijakata hii hali pia hupata muwasho yanaharufu mbaya kweli yanachukiz naomba msaada wako kaka

  • @Dativa-t2y
    @Dativa-t2y 10 месяцев назад

    Asant san shkheee sass dawa inapatikn vipi

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +3

    Sinaona ndio maumbile 😊

    • @ashamasudi9441
      @ashamasudi9441 3 года назад +3

      wengine niugonjwa dd

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 года назад +1

      @@ashamasudi9441 kumbe

    • @ashamasudi9441
      @ashamasudi9441 3 года назад +2

      kuna maji yakawaida na yaugonjwa hata mtu akikaa akienuka nguo lnechapa maji

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 года назад +1

      @@ashamasudi9441 oo sijaona mm

  • @fatmarashid4643
    @fatmarashid4643 Год назад

    A/alaykum ukitaka iyo dawa unapataje

  • @maryngonzi4493
    @maryngonzi4493 2 года назад

    Can I get one?and how much it is daktari

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 9 месяцев назад

    kumbuka sisi wengine wa kristu sasa hiyo lugha atuhelewi

  • @zaudamressa3541
    @zaudamressa3541 10 месяцев назад

    Nikitaka naipataje?

  • @RestyPius
    @RestyPius 2 месяца назад

    Unapatikana maeneo gani?

  • @mariammungo605
    @mariammungo605 Год назад +1

    Tatizo ham reply ata tukikoment

  • @osamakhan5419
    @osamakhan5419 2 года назад

    Nime zaa then damu yaku, zaa ika toka ika isha alafu kuna maji yani toka siski kuji kuna wala si moto na wala hayina harufu ina toka tu bas lakini tumbo ina uma mara moja moja

  • @RayaFaruq
    @RayaFaruq 11 месяцев назад

    Naipataj

  • @khaithammohammed2241
    @khaithammohammed2241 3 года назад +1

    Ishaall

  • @priscaibrahim5660
    @priscaibrahim5660 Год назад

    Napataje hiyo dawa?

  • @rahmqomary4364
    @rahmqomary4364 2 года назад

    Shee hiyo rutub rohmi bei gan?

  • @joyjoysi3389
    @joyjoysi3389 Год назад

    Mim baada yakumaliza hedhi nayo yanatoka kwa siku tano kidogokidogo Kisha huacha Hadi niingie Tena

  • @ZuwenaRamadhani-eu2gb
    @ZuwenaRamadhani-eu2gb Год назад

    Bei Gani hiyo dawa shehe

  • @mayyansaid2842
    @mayyansaid2842 2 года назад +1

    Tiba yake nini sasa??

  • @aishaharerimana8134
    @aishaharerimana8134 2 года назад

    Mtu atatumia dawa gani?

  • @emmychitunga8192
    @emmychitunga8192 2 года назад

    Mnamsaidiaje mtu ambaye alikuwa anatumia njia za uzazi wa mpango na amepata tatizo kama hilo na piriody haingii?

  • @nzetusalum8329
    @nzetusalum8329 3 года назад +2

    Mwenyew ni miongoni nifanyaje

  • @tausysompo3217
    @tausysompo3217 3 года назад +2

    Ikiwa mama ni mzee je ni Jambo la kawaida kuwa na hiyo Hali?

  • @mariamzawady9397
    @mariamzawady9397 3 года назад +1

    dawa inapatikana wap

  • @TabithaMaghema
    @TabithaMaghema 2 месяца назад

    A/ alaykum ukitaka iyo dawa unapataje