A theologian observation. Dakika ya 24:20-25:04. "Wapo wanao taka na hawapati hiyo neema". Mchungaji, na mwalimu wangu ukazie hapo kuwa neema ni universal and unconditional. Yaani, Mungu anawapenda watu wote Sawa. Ila kwa Mkristo, Mungu ana wakati (muda) na sababu za neema (election to service) kwa kila aliyemkiri Kristo.
Pastor kisa cha huyo binti kimenigusa mtoa sadaka, Nakumbuka ata mm mungu nilimuomba mungu anipe kazi alafu pesa ya kwamza ntampa, Kiukweli alinipa kazi ofisi tu nzuli Na akanisaidia nikalipwa Na nika toa kama nilivyo sema ile pesa yote,, uwezi amini pindi natoa napewa na barua ya kuacha kazi soon baada ya kutoa,, unajua sikumuelewa mungu japo now naanza kumuelewa
Amen.. Nimebarikiwa Sana na hili somo nimelisikiliza usiku WA manane baada ya kukosa usingizi.. Ahsante Sana pastor nabarikiwa na mafundisho yako.
Pastor ubarikiwe zaidi. Ninamtukuza Mungu sana kwa kuniombea na familia yangu uponyaji na kufunguliwa.
Amen pastor barikiwa sana mwalimu wa neno la Mungu
Ubarikiwe sana mchungaji mafundisho yako ya na Nitia nguvu kweli ❤
A theologian observation. Dakika ya 24:20-25:04. "Wapo wanao taka na hawapati hiyo neema". Mchungaji, na mwalimu wangu ukazie hapo kuwa neema ni universal and unconditional. Yaani, Mungu anawapenda watu wote Sawa. Ila kwa Mkristo, Mungu ana wakati (muda) na sababu za neema (election to service) kwa kila aliyemkiri Kristo.
Barikiwa sana Mchungaji umenibariki kwa somo zuri
Amina Pastor nina dada yangu anaumwa naomba umuombee kichwa kinamuuma sana, yuko hospital.
Pastor ombi langu naitaji karo nimeelewa somo ubarikiwe
This is for mi🤦 may God's will be done in my life... Be blessed pastor
AMINA
mungu ainuliwe
Pastor kisa cha huyo binti kimenigusa mtoa sadaka,
Nakumbuka ata mm mungu nilimuomba mungu anipe kazi alafu pesa ya kwamza ntampa,
Kiukweli alinipa kazi ofisi tu nzuli
Na akanisaidia nikalipwa
Na nika toa kama nilivyo sema ile pesa yote,, uwezi amini pindi natoa napewa na barua ya kuacha kazi soon baada ya kutoa,, unajua sikumuelewa mungu japo now naanza kumuelewa
Aminaaaaaaa
barikiwa
Aminaaa
Amin
Ufalme wa Mungu kwanza,nadhamiria kusoma Bible yote by mwisho wa 2025,eeh Mungu nisaidie
AMEN
Amin
AMEN