Tokeo La Fatima: Mwanzo Kutokea Kwa Mama Bikira Maria Na Malaika.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024
  • Sehemu Ya Kwanza: (Tokeo Ya Fatima S10EP01)
    Tumsifu Yesu Kristo ... Milele Amina
    Tukizidi kujifunza yale yote yahusuyo imani na nafasi yetu katika kufanya yampendezayo mungu basi tumekuelete simulizi kutoka kwenye kitabu kinachoeleza mengi juu ya Mama Bikira Maria haswa katika tokeo la fatima
    Msimuliaji : Jenifa Joseph Nkulula
    Editor and Design: Nemes Victor Michael
    Karibu Katika Channel Yetu Yenye Lengo La Uinjilishaji
    Tufuatilie Hapa Zaidi Kwa Link hii www.youtube.co....
    Daima Tunafurahi Katika Kuitangaza Injili ( Tumebatizwa Na Kutumwa )
    IMANI NI MATENDO.
    Kwa Mujibu wa Tovuti :
    Bikira Maria alitokea Fatima kwa mara ya kwanza 13/5/1917 na aliendelea kutokea mara sita mfululizo hadi 13/10/1917 alipotokea kwa mara ya mwisho.

Комментарии • 1

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 года назад +2

    Mama bikira maria uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina