MTWARA NOMA! DUKA LINALALA USIKU KUCHA, HAKUNA MLANGO, HALIJAWAHI KUIBIWA, MMILIKI AFUNGUKA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • MTWARA NOMA! DUKA LINALALA USIKU KUCHA, HAKUNA MLANGO, HALIJAWAHI KUIBIWA, MMILIKI AFUNGUKA..
    UKISTAAJABU ya Musa mtayaona ya Firauni, mtu mmoja mkazi wa Mtwara, anayemiliki duka la vyakula, ameibua gumzo kubwa kufuatia duka hilo kutakuwa na ulinzi wowote, hajaweka mlango, wala geti, limewekwa pazia tu na hakuna mtu aliyewahi kuiba..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Комментарии • 33

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 4 года назад +4

    Hapo ndo anaibiwa sasa. Mmemfuatilia sana mpk siri itafichuka. Hapo angetembelea hiyo nyota mpk akapata mlango.
    Mazingira yanachangia kufanya hivyo, kuna msehemu zingine hata mlango si kinga ya kuibiwa ukipuuza taratibu zingine za kujihami

  • @ycliffbitabo3135
    @ycliffbitabo3135 4 года назад +2

    Mhhh eti mwenyezi Mungu nyinyi viumbe kwa kumshirikisha Mwenyezi Mungu na vingine mtakuja kuona

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 года назад +3

    Huko lindi shida nn mbona meno hamna??

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 4 года назад +3

    Mungu ni mwanzo na mwisho huyo huyo...Piga Kazi Konde Boy.

  • @maspro6294
    @maspro6294 4 года назад +1

    Ukupanda juu inchale ukishuka chini inchale mweeee

  • @princesnaomi2375
    @princesnaomi2375 4 года назад +1

    Kwani Ntwara kuna nn? Jamani maana wote hamna Meno

  • @everjohn833
    @everjohn833 4 года назад +1

    Mmmmmh kwaiyo sisi Hakuna mungu?

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 4 года назад +2

    MOLA PEKEE NDIO WA KUTEGEMEWA.

  • @eliudiafyusisye5674
    @eliudiafyusisye5674 4 года назад

    Hiyo Kali Ya mwaka

  • @trifonidesdery8707
    @trifonidesdery8707 4 года назад +2

    aje aliweke mtaani kwetu. ss wenyewe tunamuomba Mungu ndo tunakula biscuti.

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 года назад

    Huko ndio ntwara bana, ana hak asiwek mlango kaibe uone 🤣hyo ya kusem anamuomba Mwenyez Mungu ni kujivunga tu, eeh hapo iba uone inaitw

  • @adammjomba1554
    @adammjomba1554 4 года назад +2

    Imeandikwa Mji asipo ulinda Bwana Alindae Akesha Bure , ,Mtegemee Bwana wa majeshi aweza yote ktk yote ,

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 года назад +1

    Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa salama sio wizi

  • @eliasmwita390
    @eliasmwita390 4 года назад

    Lipo mtwara sehemu gan hapo

  • @rashidyyusuph4386
    @rashidyyusuph4386 4 года назад +2

    Hakuna Cha kuiba umo

  • @nalunalumanga2133
    @nalunalumanga2133 4 года назад

    Huyu jamaa nimfahamu mimi

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 4 года назад

    Mbona wote meno hamna🙄🙄

  • @henrytomohty6593
    @henrytomohty6593 4 года назад +1

    Wee acha kumtaja mungu apo mpk mashehe na wachungaji wanaibiwa unatumia ndumba wewe

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 года назад

    Sasa hakuna mlango mtu akiingia akaweka sumu kwenye sukarinau chumvi. Pia vumbi kwenye mali. Huyo ni chizi kweli, mlango unalinda vingi sio wezi tu na ubora wa mali zako

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 года назад

    Serikali lipen pesa ya korosho 6600000(mil6 na 600000))

  • @sabirjuma8544
    @sabirjuma8544 4 года назад

    Haaa aweke mlango asifanye hivyo

  • @issapaschal4772
    @issapaschal4772 4 года назад +1

    umejiwahi nguo chafu chafu

  • @mbishitariii8311
    @mbishitariii8311 4 года назад +1

    We mkali

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sabinarocky8656
    @sabinarocky8656 4 года назад

    Yan wote hamna meno jamani😁

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 года назад

    Mmmmmmmh

  • @eliudiafyusisye5674
    @eliudiafyusisye5674 4 года назад

    Hiyo Kali Ya mwaka