Tabora United 2-0 Biashara United | Highlights | Mechi ya Mtoano 16/06/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 24

  • @chattingsmile
    @chattingsmile 7 месяцев назад

    Hongera wanajeshi wetu wa timu ya Tabora🎉❤

  • @hajiShabani-g6t
    @hajiShabani-g6t 7 месяцев назад

    Tabora naipenda sana timu ya nyumban leo na furaha sana ❤

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 7 месяцев назад +2

    Hiki kiwanja nacho kitafungwa V.A.R.... Sio sawa

  • @User255tv
    @User255tv 7 месяцев назад +1

    Anayeua kwa upanga atauawa kwa upanga! Well done Tabora United.

    • @makejamaduhu7618
      @makejamaduhu7618 7 месяцев назад +1

      Hii kitu niliamini sana alo. Hawa jamaa yule dada aliwaonea sana siku Ile ya gem ya kwanza huko duuu

  • @chattingsmile
    @chattingsmile 7 месяцев назад +1

    Mama yetu Mkuu wa mkoa tunaomba uwanja uboreshwe nyasi hazitoshi. Tunaimani nawewe Mama yetu

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 7 месяцев назад

    Malipo ni hapa hapa ama kweli leotabola imelipa🎉

  • @sixtonnyofficial
    @sixtonnyofficial 7 месяцев назад

    Namnahiyooo 🎉🎉

  • @africanboyamani8640
    @africanboyamani8640 7 месяцев назад +2

    Nakibinge hatari

  • @AtuAtu-v9f
    @AtuAtu-v9f 7 месяцев назад +1

    Biashara leo hamjabebwa kimewalamba

  • @godfreymanyilizu5789
    @godfreymanyilizu5789 7 месяцев назад +7

    Hivi nyie Azam mlitutangazia miezi miwili mizima kuwa mtaonesha EURO 2024 watu tukalipia na vifurushi kabisa but mmeonesha mechi moja tu mkapotea Shida nini au ndiyo mmeanza ujanja ujanja na nyie.?

    • @geraldgogadi7054
      @geraldgogadi7054 7 месяцев назад

      Washamba sana hawa

    • @AmosSniper
      @AmosSniper 7 месяцев назад

      Nnchi hii ngumu sana

    • @barackmoses7003
      @barackmoses7003 7 месяцев назад +2

      Kuna haja ya TFF kubadilisha kanuni Championship wacheze play offs zao atakaye fuzu kupanda, apande ligi kuu bila kucheza tena play off na timu ya ligi kuu hivo hivo kwa Timu za NBC premier league atakaye feli kwenye play off ashuke😢

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 7 месяцев назад

      ​@@barackmoses7003 Wakushuka moja kwa moja wapo wawili na wakupanda moja kwa moja wapo wawili sasa shida iko wapi?

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 7 месяцев назад +2

    Uwanja gani vumbi hilo jamani

  • @MohamedKinega-jt4vi
    @MohamedKinega-jt4vi 7 месяцев назад +2

    Mm nauliza hawa walinzi wenye vikoti vya ulinzi wa uwanja wamekuja kwaajili ya ulinzi ama tofauti na ulinzi? Maana hvyo wanavyoshangilia magoli wameisahau kabisa kazi yao na hata hakitokea mwenye nia ya kuwadhuru wachezaji anawadhuru bila kikwazo chochote maana hawako kabisa kwenye majukumu yao yaliyowapeleka hapo kabisa. Japo ni timu ya nyumbani lakini angalia na majukumu yenu

    • @IssaTamba-qh1gi
      @IssaTamba-qh1gi 7 месяцев назад

      Na polisi je?😂

    • @JosephAtanazi-hs3gw
      @JosephAtanazi-hs3gw 7 месяцев назад

      Marefa wenyewe wanakuaga na timu zao zinapokua uwanjani sembese ya Hawa walinzi ni lazima washangilie ili vibalua vyao viendelee

    • @HamisiKalatula
      @HamisiKalatula 7 месяцев назад

      𝙣𝙖 𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙬𝙚𝙣𝙥𝙞𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙢𝙖𝙥𝙚𝙣𝙯𝙞 𝙟𝙢𝙣

  • @KisururaSimon
    @KisururaSimon 6 месяцев назад

    Aragija huenda alikula kitu kdg maamuzi yake yanatia mashaka ya wazwaz

  • @MichaelMavoa
    @MichaelMavoa 7 месяцев назад

    Azam wanazingua si kidogo Hadi nimeamua2 kununua distv maaana Azam miyeyusho2 wametangaza miezi miwili uero wataonesha mataifa 51 nashangaa hawaoneshi tena

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 7 месяцев назад

    Biashara tangu mwanzo gemu iliwagomea mkalazimisha tuu hadi wenzenu wakapigwa red card na huyo mwamuzi .

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 7 месяцев назад +1

    Huo.uwanja.duh