Elimu yetu watanzania haitufanyi kuwa wabunifu wala WENYE kufikiri nje ya Box. Comments nyingi Zina lalamika juu ya maamuzi ya Mzee. Jifunze kuishi vile Mungu anakuongiza, epuka kuishi kwa mazoea. Mzee kafanya jambo la tofauti Sana na trust me Nchi nyingi za Ulaya ndivyo wanaishi. Tupende kuwa wabunifu na tuache mazoea. Hongera Sana Mzee S1BASITA.
Kulikuwa na baba mmoja Dar anaishi ilala karibu na mchikichini. Naye alifanya hivi eti asije kusumbua watu. Na aliishi sana na alipo fariki walimweka kwenye hilo jeneza lake na kumzika. Pole sana baba
Trust me,hii sio Hali ya kawaida Kuna majuto makubwa anayo kutokana na mambo Fulani aliyofanya ndio Maana nafsi haiwezi kutulia na psychological mara nyingi ni maisha ya majuto kwake.
Remember our forefathers had graves ready prepared for the dead. Jesus was one of the beneficiaries of these grave wen he died he was buried in a graves that belonged to smbody. It's ok
Ni jambo jema Ila namshauri ajiandae KIROHO pia namaanisha ATENGENEZE na Mungu wake ili amalize safari salama maandalizi ya moyo niuhimu zaidi kuliko ya mwilini so hakuna baya kwa alichofanya Ila kikubwa ATENGENEZE maisha yake na Mungu 👏
Mzee katumia pesa nyingi sana kwenye kujiandalia safari yake ya mwisho ikifika,ila kajisahau kama kuna kufa baharini, ziwani na kwenye mito, akaliwa na samaki, si atakuwa amepata hasara
Yarabb tujaalie mwisho mwema maana huko tuendako maisha ya kaburini ni mtihani sana. Ama kaburi liwe shimo kama shimo la motoni au liwe nyumba kama nyumba za peponi. Hayo yote anayajua Allah pekee ss ni kufanya mema tu na kumuomba Allah husnlkhatima.
Amefanya vizuri sana ila maisha yake ya rohoni yako vzr? Je Yesu kristo ni Bwana na mokozi wake? Adije amutupwa jehanamu buree asafishe moyo wake ili aondoke akiwa safi, Yohana 3 : 16 : 18
Kuna watu wanauhitaji mkubwa sana katika maisha haya,yamkini mzee umeshafanya Hilo la kusaidia watu, nafikiri bhado wanahitaji kuhudumiwa usiwasahau,usije uka bezi upende mmoja TU,hata kama Hilo lipo litatokea TU but usisahau , kumbuka dini iliyosafi ni kuwakumbuka wahitaji kama yatima,wajane , ......
Ni imani yake tu ndio sio alikuwa hakukosea kama vile mwisilamu anaruhusiwa kujiandalia sanda yake wazee wengi sana toka zamani walikuwa wakinunuwa sanda na kuweka ndani akifa inatumia hiohio
Je mungu akkikuchukua kwenye maji na kuliwa na mamba andaa moyo yaani roho na simwili pili kumbuka mwili wako unA chumvi ni lazima uoze na nyama zitaozesha mbao.hizo pesa wapi yatima
Hizo hela alizotumia angewapa maskini ninauhakika hata kuna baadhi ya ndugu zake wanahitaji msaada. ukifa hujijui unahangaika nini. Hizo hela nikufuru tupu watu wanalala njaa hizo hela zinaweza kubadilisha maisha ya mtu kabisa au hata watu. Lets say ukituzawadia million moja vijana kadhaa za mtaji utaenda na baraka zetu zote. Hata dhambi unaweza samehewa
Anahangaika na vitu visivyokuwa na umuhimu, njoo kwenye Uislamu huwezi hangaika na majeneza ya dhahabu wala kaburi la milioni 10, kwetu sisi hata rais sanda yake kama yangu kapuku, laki hamsini na ubao, mchimba kaburi 30,000/ lile jeneza la kubebea linakuwepo msikitini, hata rais naye anapanda hilo hilo la msikitini hachongewi jipya kwa sababu kafa yeye, labda iwe limeoza kuliwa na mchwa na uchakavu, lakini si kwa sababu kafa raisi aitwe seremala aunde jipya. Njoo huku, huku kimaisha kama upo kwa Yesu tu, unakua mtu wa kawaida, ukitaka kujikweza wewe mwenyewe tu, mbona Yesu alikua maskini, hata banda la kulala hakua nalo, yaani alisema mbweha ana pango na ndege ana kiota ile yeye mwana wa Adam hana hata pa kulala. Hela ya jeneza tu na kaburi milioni zote hizo, Yesu humuonei haya wewe?
hv kwann Huwa mnafnyaga hv na je usipo kufa miaka 40 ikapita mbn kabur litakuw shimo au ndo utakuw unarepair😭😭🙄🙄😭😭 okoka Yesu anakupenda najua mnaojitabiria umauti mnamikataba ya uchawi na nguvu za Giza
Mm naona angeandaa maisha yake ya mile mana mungu atakachoangalia siku ya mwisho ni moyo wako au maisha yako ya hapa Dunia I uliishije? Kuliko kuhangaika na majeneza hayo ni kutaka umaarufu wa Dunia bado Kwa mungu
Ashasema babaake alizikwa kwa tabu kipindi hicho ndio anaanza kazi hakuwa na hela. Yeye hataki asumbue watu. Nafikiri ataandaaa na ng'ombe,mchele na kuni😂😂😂
Ni mti mgumu sana mbao ngumu sana kwamba hauta oza uko ndani wala kuliwa na wadudu funza,tandu,,scorpion na wengine watafanya kukusikia tu 😂😂😂safi sana
Kujiandaa na kifo ni kumwamini na kumkiri YESU KRISTO Kuwa ni BWANA na mwokozi,yeye ndio mwenye makao mazuri na ya milele,hapo kazi bure maana itaishi mifupa tu ,jiweke tayari mbinguni
Sioni ubaya he is preparing his last home wat he wants to live in for the rest of live. He didn't want wat u will prepare for him cheap while on earth he lived well in good house. Congratulations that u know here on earth we are all tourists one day we will be back to our creator
Ni sawa hata kipindi Cha zamani,sijui vipi Kwa sasa wayanudi walikuwa wanaandaa makaburi. Hata Yesu al😊zikwa kwenye kaburi ambalo lilikuwa limeandaliwa tayari. Hii ni desturi ya Wayahudi. Sioni tatizo. Nadhani na Michele umeshachambuliwa!! 😂
Yuko sawa kabisa kwani kama anapesa zaze.pia kwanini arikali iliandaa sehemu ya makaburi na kuandaa mirathi kisheria?? Hili la kuaandaa jeneza sio ni ajabu maana watu wengi hawajipeni na wanakwepa gharama hata za kulisha watu misibani na maiti.kuzikwa haraka haraka kama vili imeiba cha mtu big up Sabasita tumoa pesa zako familia yako isihangaike❤❤❤
1:06 afya ya akili.Kifo sio suala la furaha kusubiri,ni jambo la shetani kudhania kifo ni kizuri na wakati ni madhara ya dhambi na shetani anajaribu kuhadaa watu ili dhambi pia iwe ya kawaida
Maisha nikweri sote tunapita alicho kifanya uyu mzee nisawa wayeye ila neno lamungu Lina sema nikwanin tunaangaika na vitu vya mwilini kuliko vitu vya rohoni nivyema Sasa wakati mwili utaoza kikubwa Sasa amuamini mungu amche bwa kama mwokoz wamaisha yake mungu aku saidie okoa nafsi yako mzee wangu.
Si mzima, angekuwa Muislamu hayo mambo ya kutumia milioni tatu kwa jeneza tu wala yasingemkuta. Kwetu jeneza moja ama mawili huwepo msikitini, yapo kwa miaka hata 20, yoyote katika sisi anawekwa humo kupelekwa malaloni. Ndio hapo ujue hawa wakristo wa sasa hivi si wafuasi ni tofauti na huyo wanateseka wanamfuata Yesu, mbona Yesu hakua hata na banda la kulala, wao majeneza na kaburi milioni 10.
Mmh huyu anamjaribu Mungu...aasichezee asili na utaratibu wa Mungu. Asishangae akiliwa na samaki baharini, asiingie jenezani. Au moto mpk awe jivu....Sasa anakisubiria wapi ,,,, hizo hela angesaidia maskini....maana hatujui siku wala saa, wana namna utakavyoondoka....na waza tu.hivi moto ukipita hapo itakuwaje?😢
Katika imani alichokifanya pia ni ibada maana kukumbuka kufa na kujiandaa tu ni ibada kama hujui, maana wapo wanaoshinda bar na kusema acha nileweee akishalewa anafukana watu na hata kusema we umbwa humalizi mwaka lazima ufe utuachie dunia yetu. Tuendelee kulewa na kula bata.
Haya ukifa kwa moto ukiungua tiati utafanya nn!!! Au ufe maji utobolewe bolewe na samaki uliwe uliwe itakuaje!!! Omba husnil khatma ndio muhimu maandilizi Wala sio muhimu mana hujui umauti utakukutaje
Aha. Ndio mana jeneza la nanii lilikua vile maskini nilishangaa lakini mnafanya vizur hakuna Cha tajir Wala maskini wote sawa hakuna ufahari Wala ujinga. Mko vizur
Nimeona comments nyingi Negative, ila ki ukweli sio dhambi kujiandalia keshoo yako, haina maana utakufa keshoo yake , ila jaalia Mungu kamhitaji hapo ni kuzika tu basi
Elimu yetu watanzania haitufanyi kuwa wabunifu wala WENYE kufikiri nje ya Box. Comments nyingi Zina lalamika juu ya maamuzi ya Mzee.
Jifunze kuishi vile Mungu anakuongiza, epuka kuishi kwa mazoea. Mzee kafanya jambo la tofauti Sana na trust me Nchi nyingi za Ulaya ndivyo wanaishi. Tupende kuwa wabunifu na tuache mazoea. Hongera Sana Mzee S1BASITA.
Kulikuwa na baba mmoja Dar anaishi ilala karibu na mchikichini. Naye alifanya hivi eti asije kusumbua watu. Na aliishi sana na alipo fariki walimweka kwenye hilo jeneza lake na kumzika. Pole sana baba
Trust me,hii sio Hali ya kawaida Kuna majuto makubwa anayo kutokana na mambo Fulani aliyofanya ndio Maana nafsi haiwezi kutulia na psychological mara nyingi ni maisha ya majuto kwake.
Yes inawezekana kuna siri anaijua yeye peke yake
ANAMAZITO ALIYO YAFANYA KWENYE UTUMISHI WAKE. SASA AMEPATA MARADHI Y SONONA.
Ila huyu jamaa alikomesha sana majambazi morogoro.....
Remember our forefathers had graves ready prepared for the dead. Jesus was one of the beneficiaries of these grave wen he died he was buried in a graves that belonged to smbody. It's ok
Umeongea facts sana HUYU mzee alitesa sana watu MOROGORO TENA aliwapola watu Mali zao mpaka msikiti aliuza KISA yeye police KWA hiyo anajuta moyoni
Ni jambo jema Ila namshauri ajiandae KIROHO pia namaanisha ATENGENEZE na Mungu wake ili amalize safari salama maandalizi ya moyo niuhimu zaidi kuliko ya mwilini so hakuna baya kwa alichofanya Ila kikubwa ATENGENEZE maisha yake na Mungu 👏
Mzee katumia pesa nyingi sana kwenye kujiandalia safari yake ya mwisho ikifika,ila kajisahau kama kuna kufa baharini, ziwani na kwenye mito, akaliwa na samaki, si atakuwa amepata hasara
Kweli kabisaaa🤝🤝
Watazikwa wengine😂😂😂😂
Sas jamani Mungu afungue ufahamu wako 🤲 mwenyez mungu akutoe uko fikra zako pengine zimefungwa na mwovu iyo roho ilio kushikilia ikuachie jaman
Mzee hongera sana, ilaa ungeanza kulala cku1 1 ili ukuzowee naujuwe nn uongezee
😂😂😂
Hhqhqhahqhahahahahaahah
😂😂😂
😂😂😂alale apandwe na kichaa,, subutuuu..
Honger baba kwa wazo lako ila ushauri andaa na kamati ya chakula, mapambo, usafiri. Ili unalizie kazi mwenyewe
Na kweli
Pole sana mzee mungu atakusaidia
Safi kabisa hataki kusumbua watu, aandae na hela ya chakula cha msimba wake ,
😂😂mi niwe mpesa yke kwakweli
Wewe umeongea ukweli kabisa
😂😂
Yarabb tujaalie mwisho mwema maana huko tuendako maisha ya kaburini ni mtihani sana. Ama kaburi liwe shimo kama shimo la motoni au liwe nyumba kama nyumba za peponi. Hayo yote anayajua Allah pekee ss ni kufanya mema tu na kumuomba Allah husnlkhatima.
Hongera sana hautaki kusumbua watu
Na tayar kashajiuwa naona R.I.P apo kwny jeneza 😢😢😢😂😂😂🙌🙌
Hiyo milioni kumi ungetoa kwa wajane.yatima Ni Bora zaidi kuliko ulivyofanya....
Amefanya vizuri sana ila maisha yake ya rohoni yako vzr? Je Yesu kristo ni Bwana na mokozi wake? Adije amutupwa jehanamu buree asafishe moyo wake ili aondoke akiwa safi, Yohana 3 : 16 : 18
Hao wajane watamzika au watanunua jeneza
Meku🙌
R.I.P 😢😢😢SABASITA
😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Au.sio.mzee
Nakuombea uishiii mpaka ulitupe hilo jeneza kwa jina la Yesu
Amina ni kweli Mungu anaweza kulichakaza jeneza mpka atashangaa
😀😀😀
Aminaa🙏🙏
Alifanye kuni
Akiona hafi atajinyonga huyu
Baba ake tunda wa whozu😢😢😢😢
Uyu mzee kapagawa sana Akili zake sio sawa
Kuna watu wanauhitaji mkubwa sana katika maisha haya,yamkini mzee umeshafanya Hilo la kusaidia watu, nafikiri bhado wanahitaji kuhudumiwa usiwasahau,usije uka bezi upende mmoja TU,hata kama Hilo lipo litatokea TU but usisahau , kumbuka dini iliyosafi ni kuwakumbuka wahitaji kama yatima,wajane , ......
God
Ni imani yake tu ndio sio alikuwa hakukosea kama vile mwisilamu anaruhusiwa kujiandalia sanda yake wazee wengi sana toka zamani walikuwa wakinunuwa sanda na kuweka ndani akifa inatumia hiohio
Subhannahllah
Umepatwa na kichaa meku
Jaman
Je mungu akkikuchukua kwenye maji na kuliwa na mamba andaa moyo yaani roho na simwili pili kumbuka mwili wako unA chumvi ni lazima uoze na nyama zitaozesha mbao.hizo pesa wapi yatima
Wakristo mnajua kumkufuru mungu
Huyu mzee nahisi malaika mtoa roho ameshampigia kengele na alamu,, 😂😂😂ameshtukaa huyo malaika anamzungukia 😂
Yaani huyu mzee yuko sawa kabisa mbele za Mungu na anafanya toba kila siku mbele za Mungu kwakweli Mungu atakusamehe sana kibibilia yupo sahihi
😢😢😢😢😢😢
Hizo hela alizotumia angewapa maskini ninauhakika hata kuna baadhi ya ndugu zake wanahitaji msaada. ukifa hujijui unahangaika nini. Hizo hela nikufuru tupu watu wanalala njaa hizo hela zinaweza kubadilisha maisha ya mtu kabisa au hata watu. Lets say ukituzawadia million moja vijana kadhaa za mtaji utaenda na baraka zetu zote. Hata dhambi unaweza samehewa
Mbona wanaojenga majumba ya kifahari na magari huwaambiii wawape masikini.kifo ni Mali yetu hivyo ni Sawa tu kujiandaa
Jamani
Baba ana akili sana Hataki kuwasumbua ndugu kuchanga michango.
Wazungu wanachukua bima. Sawasawa na alichofanya ndugu.Hongera sana❤
Kwa kweli me Mzee nskuona mpaka nashndwa kujumaliza!! Unajua waanajexh na maaskari walixhapigiwa marisas na vimecontror akili!!! Yangu macho
Anahangaika na vitu visivyokuwa na umuhimu, njoo kwenye Uislamu huwezi hangaika na majeneza ya dhahabu wala kaburi la milioni 10, kwetu sisi hata rais sanda yake kama yangu kapuku, laki hamsini na ubao, mchimba kaburi 30,000/ lile jeneza la kubebea linakuwepo msikitini, hata rais naye anapanda hilo hilo la msikitini hachongewi jipya kwa sababu kafa yeye, labda iwe limeoza kuliwa na mchwa na uchakavu, lakini si kwa sababu kafa raisi aitwe seremala aunde jipya.
Njoo huku, huku kimaisha kama upo kwa Yesu tu, unakua mtu wa kawaida, ukitaka kujikweza wewe mwenyewe tu, mbona Yesu alikua maskini, hata banda la kulala hakua nalo, yaani alisema mbweha ana pango na ndege ana kiota ile yeye mwana wa Adam hana hata pa kulala.
Hela ya jeneza tu na kaburi milioni zote hizo, Yesu humuonei haya wewe?
Wadudu watakao dili na wew hawazuiliwi na ilo jeneza la ml 2 mkuu
Utatafunwa vizuri sana kama wanavyo tafunwa makafiri wengine
hv kwann Huwa mnafnyaga hv na je usipo kufa miaka 40 ikapita mbn kabur litakuw shimo au ndo utakuw unarepair😭😭🙄🙄😭😭 okoka Yesu anakupenda najua mnaojitabiria umauti mnamikataba ya uchawi na nguvu za Giza
❤❤😊
Mm naona angeandaa maisha yake ya mile mana mungu atakachoangalia siku ya mwisho ni moyo wako au maisha yako ya hapa Dunia I uliishije? Kuliko kuhangaika na majeneza hayo ni kutaka umaarufu wa Dunia bado Kwa mungu
😅😅😅baba Tunda bhana.
mmmhhhh
Mzee anajua Kuna kufa,Yuko vizur
Huyu mzee anajua kwa nini kafanya hivi inawezekana kuna kitu kinamtafuna taratibu ndo maana anaandaa mazingira
Kabisaa
Usikute alifanya mambo ya hovyo sana sasa damu zinamuita
Ashasema babaake alizikwa kwa tabu kipindi hicho ndio anaanza kazi hakuwa na hela. Yeye hataki asumbue watu. Nafikiri ataandaaa na ng'ombe,mchele na kuni😂😂😂
Kazi ipo
Duuuuh 😢 inaogopeshaa mbonaa
Ya Mungu mengi hujui utaliwa na mamba
Ni mti mgumu sana mbao ngumu sana kwamba hauta oza uko ndani wala kuliwa na wadudu funza,tandu,,scorpion na wengine watafanya kukusikia tu 😂😂😂safi sana
😂
😅😅😅😅
@@JenesKereti-xy2dw hahaha siumemsikia yani funza, tandu,scipio watafanya kumsikia tu
Nani kakudanganya ukifa ukioza funza wanajitokeza wenyewe sio lazima watoke nje ya jeneza
@@lilyrose7983 punguza pank sio mimi ni mzee 7sita uyo
Maagano😮
Medical checkup to him quickly please... I hope his not mentally case.
Akifia baharini akapotea
😂😂😂😂😂😂
Litaenda kutupwa uko uko baharini 😢😂😂 halafu eti anasema jeneza ni zuri !!!
😌
@@MawaddaKhamis-zh3kclinatupwa Bahlini Mala mahiiti hiyo 😂😂
Huko baharini utampeleka?
Kwahiyo unangoja safari
Pesa za kwake Sasa ninyi mnaesema Ametoa pesa nyingi kwani zinawauma nini ? Wakati hamujachangia hata mia ? Watoto yatima pelekeni ninyi Sasa
Shangaaa watu wana makiriko
Kama hujaokoka basi sasa ndio muda mtafute Mungu ishi maisha matakatifu ili ukiondoka uwende kuishi na Yesu mbinguni,
Katika maisha tuishi vizuri ili baadaye usije fanya mambo kama haya
Broo acha vichekesho io ulaya ni kawaida yeye ajafanya kwa kua ana madhambi sana bali kuepusha mzigo kwa familia
Mbona kafanya vizuri tu. Badilikeni
Hii ni njema wala hakuna shida. Tafuta hela usisumbue watu ukifa
Kujiandaa na kifo ni kumwamini na kumkiri YESU KRISTO Kuwa ni BWANA na mwokozi,yeye ndio mwenye makao mazuri na ya milele,hapo kazi bure maana itaishi mifupa tu ,jiweke tayari mbinguni
Hakika
Mtu mjanja huwaza kifo. Hongera sana 7 6
Sioni ubaya he is preparing his last home wat he wants to live in for the rest of live. He didn't want wat u will prepare for him cheap while on earth he lived well in good house. Congratulations that u know here on earth we are all tourists one day we will be back to our creator
0:27 duuuh
Marehemu mtarajiwa😂
Ni sawa hata kipindi Cha zamani,sijui vipi Kwa sasa wayanudi walikuwa wanaandaa makaburi. Hata Yesu al😊zikwa kwenye kaburi ambalo lilikuwa limeandaliwa tayari. Hii ni desturi ya Wayahudi. Sioni tatizo. Nadhani na Michele umeshachambuliwa!! 😂
kwani yesu alizikwa
Hataki tu wagen kwake😂😂😂😂
Ya ni kweli kabisa 😂😂😂
Yuko sawa kabisa kwani kama anapesa zaze.pia kwanini arikali iliandaa sehemu ya makaburi na kuandaa mirathi kisheria?? Hili la kuaandaa jeneza sio ni ajabu maana watu wengi hawajipeni na wanakwepa gharama hata za kulisha watu misibani na maiti.kuzikwa haraka haraka kama vili imeiba cha mtu big up Sabasita tumoa pesa zako familia yako isihangaike❤❤❤
Saba sita😁😁😁
Free mason
1:06 afya ya akili.Kifo sio suala la furaha kusubiri,ni jambo la shetani kudhania kifo ni kizuri na wakati ni madhara ya dhambi na shetani anajaribu kuhadaa watu ili dhambi pia iwe ya kawaida
Nakubaliana na wewe.nipo kenya.anaumwa akili
Kweli Dunia tunapita lkn hii duh. Mwenyez MUNGU akuite mapema ili utimize ndoto zako mzee 7-6😂😂
Maisha nikweri sote tunapita alicho kifanya uyu mzee nisawa wayeye ila neno lamungu Lina sema nikwanin tunaangaika na vitu vya mwilini kuliko vitu vya rohoni nivyema Sasa wakati mwili utaoza kikubwa Sasa amuamini mungu amche bwa kama mwokoz wamaisha yake mungu aku saidie okoa nafsi yako mzee wangu.
Mmmmh
Huyi baba sio mzima😂😂😂
Mzima tu ila wewe ndo siyo mzima
Si mzima, angekuwa Muislamu hayo mambo ya kutumia milioni tatu kwa jeneza tu wala yasingemkuta. Kwetu jeneza moja ama mawili huwepo msikitini, yapo kwa miaka hata 20, yoyote katika sisi anawekwa humo kupelekwa malaloni.
Ndio hapo ujue hawa wakristo wa sasa hivi si wafuasi ni tofauti na huyo wanateseka wanamfuata Yesu, mbona Yesu hakua hata na banda la kulala, wao majeneza na kaburi milioni 10.
Huyu baba.hatari
Mzee Tubu dhambi zako achana na haya mengine Kifo ni fumbo usishangae ukapiga miaka 100
Amejikatia tamaa. Au kunaugonjwa dealy unamsumbua anajua mda umeisha?
Duuuh
Hata utengeneze jeneza na kabur au usitengeneze safari ipo pale pale na kuzikwa utazikwa tuu kama kawa 😅😅
Ni pale Mungu aseme 20 ijayo uwepo je utatengeneza jingine😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
But why sabasita😂
Namba yake akiwa jeshini
subhaanallaaah huyu baba huenda freemason anajua lini atachukuliwa dah imani gani hio potofu uliyonayo
Hata sisi waislam inakubalika kujiandalia sanda,ni thawabu, kwani hakuna mtu ataishi milele,pia yapaswa ajiandalie mambo ya akhera
Mmh huyu anamjaribu Mungu...aasichezee asili na utaratibu wa Mungu. Asishangae akiliwa na samaki baharini, asiingie jenezani. Au moto mpk awe jivu....Sasa anakisubiria wapi ,,,, hizo hela angesaidia maskini....maana hatujui siku wala saa, wana namna utakavyoondoka....na waza tu.hivi moto ukipita hapo itakuwaje?😢
Mbn marehemu atakua mnene afu jeneza jembamba 😂😂😂
Nahafi Leo huyo ad atambae
Hivi anajua nn kuhusu akhera jamani acheni kumkufuru mungu
Mzee chenji inabakia wewe ndio maana yake,nadhani ungetumia nguvu kubwa kwenye ibada ili hio safari yako ije iwe nyepesi.
Katika imani alichokifanya pia ni ibada maana kukumbuka kufa na kujiandaa tu ni ibada kama hujui, maana wapo wanaoshinda bar na kusema acha nileweee akishalewa anafukana watu na hata kusema we umbwa humalizi mwaka lazima ufe utuachie dunia yetu. Tuendelee kulewa na kula bata.
Haya ukifa kwa moto ukiungua tiati utafanya nn!!! Au ufe maji utobolewe bolewe na samaki uliwe uliwe itakuaje!!! Omba husnil khatma ndio muhimu maandilizi Wala sio muhimu mana hujui umauti utakukutaje
Hakika
Matatizo ya akili hayaa,.
😂😂😂
Mke wake au mama ake tunda yuko wapi?nauliza jmn
Duniaimeisha imeisha
Watoto wake wenyewe kina tunda kaona hataki shida Mzee wa watu,vichwa vya watoto wake anavijua huenda
Kama nyumba ikiungua je?
Awekee kwanza nguo afanye kabati maana hajui kesho yake na sk yake ya kufa😂😂
atakwamatuu kwasababu hajui atafia wapi anaweza kufia hata bahalin aliwe na papa au aliwe nasimba
Ndio maana waislam tunatumia jeneza la msikitin kwa pomoja
Aha. Ndio mana jeneza la nanii lilikua vile maskini nilishangaa lakini mnafanya vizur hakuna Cha tajir Wala maskini wote sawa hakuna ufahari Wala ujinga. Mko vizur
Kumbe ndy maana Tunda akili zake hazijatulia sasa naamini karithi kwa baba yake loh Whozu alee mwanawe hii familia aliyatimba😂😂😂😂
Akafilwe mbere
Kimeumana
Nimeona comments nyingi Negative, ila ki ukweli sio dhambi kujiandalia keshoo yako, haina maana utakufa keshoo yake , ila jaalia Mungu kamhitaji hapo ni kuzika tu basi
Shida ni akiishi miaka 20
Sasa akifa baharini na sionekane??...Yaani kifo ni siri na anaejua ardhi utayokufa ni Mungu tu..😂
MUNGU amuhurumie
Mzee hio jeneza italiwa na mchwa bure tu, Mungu ata kuongezae miaka na mikaka mpaka upate pijukuu, wazae vijukuu.
Msiba ulipofikia watu wawili wanatosha kuzika au yeye mwenyew akiona hali sio nzuri anazama mwenyewe😂😂😂
😂😂😂
Je ukifa bila kulala iweje maana kifo huja bila matarajio msimubipu mungu
😅😅😅
Mpaka aje afe litakuwa nimepitwa na Wakati akiishi miaka 30 mingine iyo mbao itakuwa imeliwa na mchwa
Fundi amesema Lina uwezo wa kuishi miaka hamsini mpaka Mia moja
Mchwa atoke wapi pale!!!
Hizo hela ungeezitoa kusaidiwa watoto yatima na wamama waliotelekezwa ingefaa sana