Habari zenu team ugai gai vp mko poa za toka siku za nyuma haya tunalisongesha nimewahi leo like👍 zangu kwa wingi nimwagieni plz From Omani 🇴🇲 kazi iendelee
@@Saidkhel usjali mpnzi ila ukiwanyamazia wanazidi kwanza ukimuona ivo ndo hanza leo pngine kaangalia ugai gai kasoma comment ili atukane watu lazima tuwakomeshe humu ndani hatupnd ugomvi
Mkojan gang mnafanya vizuri Lakn mnaweza boresha zaid hizi episodes zilizopita mnaweza ziunganisha na kuziweka kwa urefu fulan kama masaa matatu hadi matano ili mtu anaetaka kuziona aweze kuzipata na kudownload kwa urahisi kwa sasa wanigeria ndivyo wafanyavyo
Kwahiyo samofi ameshapata milion 2 zake teyari ambazo haziguswi kabisa..na kwenye mgao wa milion moja atakuwepo huku akina mambwende wao wanajua dili ni la kaki tano.😂😂
MKOJANI , SAMOFI NI DEALER MSOMI ACHANA NAYEE, UKINGALI NA CASE YA UGANGA HUJAMALIZANA NABO. UNGALI NA CASE YA KUTAPELI BOUNCER KI FREEMASONI HUJA HUKUMIWA, KISHA UNATAKAONGEZA CASE YA MSIBA DUUUU PAGUMU APOOOO!!!!!! BAHADAYE CASE ITAKUJA KUWA NGUMU NA SAMOFI UTAKAPO GUNDUWA KIYASI CHA PESA ALICHO FICHA. LOVE YOU TEAM, FROM USA STATE
Haya tena kama kawaida yangu mchelewaji nipo nipewe 🤣🤣🤣🤣 like zangu
Fast from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 like zangu mkojani gang
Habari zenu team ugai gai vp mko poa za toka siku za nyuma haya tunalisongesha nimewahi leo like👍 zangu kwa wingi nimwagieni plz From Omani 🇴🇲 kazi iendelee
Tushakupa likes ndio utatafuta mume akuoe ama utakaa Tu KAZI ni kuitisha likes?
@@loganpoul mie mume nnae na watoto nnao nilikuambia mm natafuta mume hapa ama tafuta miwani na kma hujui kusoma pia tafuta teacher akusomeshe boya ww
@@Rizikialiamechannel763 haya niambie ww ulosoma likes zitakufaidisha nini?
@@Rizikialiamechannel763 sister achana na washamba usijibu khanis kama huyu
@@Saidkhel usjali mpnzi ila ukiwanyamazia wanazidi kwanza ukimuona ivo ndo hanza leo pngine kaangalia ugai gai kasoma comment ili atukane watu lazima tuwakomeshe humu ndani hatupnd ugomvi
Jmn ugai gai sio pouwa imekamata Sana upope yn ipo top salute Sana Machizi wote wa ugaigai
Hii twende nayo mpaka Episode 100 ni 😄😄😄😄🔥🔥🔥🇿🇦🇿🇦🙏🙏
Wa kwanz nipen like zangu
Samofi kwa chado umeyakanyaga pole yako
From milioni tatu to milioni moja to laki tano....daaah ugaigai
Hii move noma sana mzee umefunga mtaa mzee
Doha number moja🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Dah samofi kenge kweli eti umeitunza umepata nini
Kudadeeeeki ugai gai safi ila daàaaah mnaharibu kazi za watu
samofi mkojani mpo vzr
Mkojan ugai ugai umeshakukataa kila siku unaambulia mboko bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Mkojani sambamba na samofiiii upinzani mkali wa utafutajiii
Wamwisho leo naombeni likes zangu jmn
Mabwende na Mkojani jumba bovu limewadondokea
Nyie watu noma sana!!!! Maisha marefu mwishi🤣😘😘😘😘😘❣
Hiyo ugaigai toeni hiyo nyimboooo
Kwanini watoe nyimbo wakati istumento ya ugaiugai wacha wewe huku raha..aya kafunga mlango huyuuuu😂😂😂😂nimecheka mpaka nimecheka tena
kwenye kufungiwa langobumeua sana @mkojan
Heeeeey unafunga mlango wa nn mkojani fala sana hahahahaha
Wa 1 leo jmn nipeni like zenu wapendwa
Maunyama yule asema dagaa🤣🤣🤣💪🇰🇪🇰🇪🤝
Oyaaa sijawai kupewa like hata moja na mm ni familia ya ugai ugai...zifike hata 10 tu..oyaa uncle daruesh vipi
Haki mambwende akili hauna et umezeheka ukiwa mdogo
Bom Trabalho meus irmaos que deus vos abençoem e nao deixem de ser assim✅✅💛💛💙💙
Noma sana
Tuko ndani pamoja from 001🇰🇪
MI ndiyo nilietunga sheria yakutoka gest saa 4😂😂😂😂😂😂 dah Samofi na mkojani mnatukosha sana kama ugaigai isiishe vile
😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza like zang
Daah ujue munajua mpaka kero washenzi nyie
Love from mussa ibrahim ❤❤❤❤❤
Nipo na mm jamaan
😁😁😁😁😂😂😂😂 team mkojani hapa mumetisha asanteni sana
😂😂😂😂😂 mkojani weeeeeeee jamani acha kushindana na samofi mwenzio mipngo haibumi ila wewe kila sehemu inabuma pole nimecheka mpaka basi
Ungesema mapema kashazikwa uyooo samofiiii bwana
Daaah kila mtu kaipunguza hela samofi anapewa 3 kasema 1 mkojani kaambiwa 1 anasema laki tano duuuh
Namba moja mimi hapa
Wakwanza jamani naombeni like za kutosha
Ongereni sana Nkojani vs Samofi, tunawaitaji sana Mozambique UGAI GAI.🇲🇿
Igualmente meu King
Wa Kwanzaa leo
Nmba 1
Aaaaaaaaaaah mkojani umenichekesha sana ebu niwaishie epsod nikuone na uyo mait mkojan upo vizur na samof nimemkubal yupo juu
Aaaah nom sanaa
Samofiiii nitakupiga kma ngoma😂😂😂😂
Jamani hamlali nimejua niko wa kwanza leo kumbe wa 31🙆🏾♂️♥️🇧🇮👌🏽
Mie wa 141 😛😛😂hata cjui tutafika lini wa kwanza,ukisema umerauka wenzio KUMBE wamekesha😛😛🇸🇦ugai Gai 4life
Kweli huuu ugaigai yaani kaambiwa million tatu alafu ye anasema million moja jamani
Aah mkojani kweli ng'ombe wa maskin hazai hii ndo ugai Gai 👌👌♥️♥️ super kina samofi
😂😂😂😂 mkojan bhana hey kafunga mrangoooooooooo hahahahahahahahahaha
Hatari nimecheka sana😃😃
Mkojan gang mnafanya vizuri
Lakn mnaweza boresha zaid hizi episodes zilizopita mnaweza ziunganisha na kuziweka kwa urefu fulan kama masaa matatu hadi matano ili mtu anaetaka kuziona aweze kuzipata na kudownload kwa urahisi kwa sasa wanigeria ndivyo wafanyavyo
Shukran xnaa kwa ushaul tunaufanyia kazi
Mkojani gang please ongezeni Muda at least 30 min per Episode great show❤
Eti ameitunza mda mrefu umekusaidia nini
🤣🤣🤣🤣mbona wafunga mlango🤣🤣
Tamu 2 lyo
Tamaa Mkojani 😂😂😂😂 samofi tamaa mwisho utatumbukia nyongo 😂😂😂😂 hmtaki kuskia pesa jamani
Dah nime cheka sana leo
Kwahiyo samofi ameshapata milion 2 zake teyari ambazo haziguswi kabisa..na kwenye mgao wa milion moja atakuwepo huku akina mambwende wao wanajua dili ni la kaki tano.😂😂
🤣🤣🤣🤣
Mkojani na mambwende hamna bahati hasa mkojani una gundu 🤣🤣🤣🤣
From mozambique 🇲🇿. Ugaigai ❤️
Pitia frm 254💥💥
Mkojani kila siku dili zako zinafeli 😅😅😅😅
Umetunza miaka yte hyo imekusaidia nn dah
Mcbahat habakhtishi yaan mkojani chumvi na mambwende hawana daam ya pessaaa...
😂😂😂😅 Nimecheka kama Fala Wallah Mkojani weye ni 🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮
Salute
Mkojani misiion zako zote zinafeliiiii
Samofi piga huyo walitunga shelia mbaya sana wangefanyaga hata saa kumi 😂😂😂😂
Jay milango 7 bpa waiwi ugai gai ni habari ya mjini
Mkojani ka uko na kuduzi kila ushikalo alishikiki 😂😂😂😂😂
much ❤️ tu you wana Ugai gai ..from Kenya 🇰🇪
Daahh samofi na mkojani kiboko
Wa kwanza leo😀
1st
Yani mmeshindwa kunipoteza kabisa kuangalia
mkojani huna bahati kila unachofanya unafeli
Dennis From Kenya nawapenda maze
Baluti na kamgisha mniuzunisha mme kaaa kiuluma uluma
Samofe anauponza yy leo
Kaz kaz
We here Ugagai Another Episode Let's go My Friends 🤗🤗😉😉😉💯💯💪🤜🤛
Ugaigai crew naomba like zangu
Ugaigai on fire
Jamani mko vizur
Mkojani nimepata msiba bure bure
Wacha tusubiri tuone maiti ikizikwa 💪👌🇰🇪🇰🇪🤝
Mapema umetsha mjomba
Mkojani wewe mjinga...✔✔.
"Deal" ya msiba unakubali hivi hivi!
Kichupa kiko hewani tuedeni nalo sasa .....hodi wageniiii eeeh eeeh
Nimechelewa kidogo tu jaman
Mnajua sana mkojani gang
Duh wazee mmetishaaa
Jamani ile move ya kimeumana mbona hamtoi
Mkojn kweny hela duh
Hakika mnatisha sn👊
MKOJANI , SAMOFI NI DEALER MSOMI ACHANA NAYEE, UKINGALI NA CASE YA UGANGA HUJAMALIZANA NABO. UNGALI NA CASE YA KUTAPELI BOUNCER KI FREEMASONI HUJA HUKUMIWA, KISHA UNATAKAONGEZA CASE YA MSIBA DUUUU PAGUMU APOOOO!!!!!! BAHADAYE CASE ITAKUJA KUWA NGUMU NA SAMOFI UTAKAPO GUNDUWA KIYASI CHA PESA ALICHO FICHA. LOVE YOU TEAM, FROM USA STATE
Good my best
Ilo dili tu mi ndo nasubili kama lita tiki siyo kwa dili ilo
Huu ugaigai ni balaa yaani unyamaa
Ugaigai uko juu
😂😂 Kenya tuko ndani
Wapili leo
Big up Sana ugaigai