GB 64 AWAKA WANAOKATAA PENATI YA SIMBA, SIMBA HATUBEBWI, TUPO KILELENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 22

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 16 часов назад +1

    Ulichokuwa unakiongea kuhusu mzee saidi ni sahihi mfano angalia mechi ya Leo tumeshinda Moja lazima mzee saidi aonekane kwenye vyombo vya habari ila ushindi wa goli 5 hajaongelea Kabisa

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 16 часов назад +1

    Mdomo unatuponza Simba ebu tufanye vitendo lakini unapokuja kusema atushuki kwa mchezo gani wa timu yetu hakuna timu bado tunahitaji kuiboresha simba sio maneno mengi.

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 17 часов назад

    GB64 post match analysis are 💯 Top notch. He understands football.

  • @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl
    @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl 17 часов назад +2

    Nayatakasirika sana mwakahuu

  • @AugustinaJonas
    @AugustinaJonas 17 часов назад

    Sawa kaka

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 17 часов назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 18 часов назад +1

    Nyuma mwiko hawana lolote ila Wana taka kuji weka juu wao kuliko mnyama simba Tim kubwa

  • @PaulinaJuma-e5l
    @PaulinaJuma-e5l 18 часов назад +1

    Ahoua

  • @AugustinaJonas
    @AugustinaJonas 17 часов назад

    Saf Gb64 nimependa kingereza chako

  • @KazziyAbel
    @KazziyAbel 17 часов назад

    Inshaallah mungu katujalia tumepata hicho hicho mungu.

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 17 часов назад +1

    Jamaa anaongea kwa facts. Anajua hadi anakera😂

    • @AdamSaffi211
      @AdamSaffi211 17 часов назад

      I think he is a science graduate and also a secondary school teacher. I mean a university graduate! Maana siku hizi hata my grandson yuko chekechea naye Ali-graduate November. Nchi ya ajabu.

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 17 часов назад

      Napendaga sana Interview zake

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 17 часов назад +1

    Simba haikubebwa,ingebebwa mabao yangeongezeka au wangeyapata mapema tu.Kapombe anaangushwa,beki ananawa mpira hamjaona?

  • @shimagibson1568
    @shimagibson1568 18 часов назад

    Pa1 GB

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 15 часов назад

    Apo kwenye atushuki Mimi Sina uwakika kabisa

  • @AmissemuamedeMuamede
    @AmissemuamedeMuamede 18 часов назад

    mimi wakuza

  • @FrankKelebuka
    @FrankKelebuka 18 часов назад

    Wana jizima data

  • @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl
    @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl 17 часов назад

    Ubaya ubwera mpinzani bwege utatoa kivovote pumbavu

  • @FabianShera
    @FabianShera 18 часов назад