Davistar bro nakukubali sana mwanangu.Wewe ni mmoja wa watangazaji ambao mnabadirisha gemu ya RUclips Tanzania ambao wengi habari zao ni za Daimond na mama Dangote tu hawana creativity yoyote.
Hahah kama mimi nilikuwa naonekana mtundu sana jaman nimefukuzwa shule kibao 😭hata kama sina kosa au sijafanya tukio au sipo kwenye wapiga kelele lkn nitaonekana mtuhumiwa wa kwanza
Leo nimekuwa no 1 gonga like ✔️
Hongra
Hongera
Hongera
Davistar bro nakukubali sana mwanangu.Wewe ni mmoja wa watangazaji ambao mnabadirisha gemu ya RUclips Tanzania ambao wengi habari zao ni za Daimond na mama Dangote tu hawana creativity yoyote.
Uko juu kaka davister Leo naona umeji Para Una smaili sana
🤣🤣🤣🤣
Number one from 254💃💃💃💃💃💃
Jaman hii story mboma tamu sanaa.Dada anajua kusimulia sanaa😍😍😍😍
Kabisaa
Ww zuchu za kutususa maana sioni comment yako 😁😁😁😁
@@sapnaabdallah1084 nipo mwayaa kipenz semaa zinaogopeshaa sanaa jaman silali usiku 😪😪
Davistar leo nakuona umekuwa m cute sana yani umekuwa bonge la handsome sijui ushaambukizwa majini 🤔🤔😍😍😍💚💚
🤣😂😂🤔
@@oscarkibate1913 Leo namuona mzuri sana jamanii nshampenda 😂😂😂😂😂
Midango inaanziaga ivyoo
@@zuleyvendor6577 jmn mnataka kuninyag'anya Davistar usikubaliii😥😥😥😔😔😔😔😔😔😔
🤣🤣🤣tia bidii mama 😂😂
Story nzuri kweli😍😘
💃💃💃
safi kabisa,nafuatilia nairobi
Shukran sana bro kwa simulizi zako
My Hb Mr fact
Safi sana wadada walikuwa hawajitokezi
Kabisaa
Davistar kaka uwe unatuambia kama story imeixha mi sielewi yule muendaxha baskeli uchi sikaenda kwa mgaga au bado hajarudi
Mimi pia
Kwakweri
Na marasta
Nimekaona kasura kake kwa kuibiaibia ni ka cute,au davista naongopa maana we mwenzetu unafaidi
@@ikabako2454 😂😂😂
Pole sana duuu
Hapa natamani nizunguke nyuma ya simu nimuone huyo dada 😂😂😂
Zunguka tu😂😂😂😂
😄😄😄
@@aishajuma712 Nisaidie. 😃😃
@@dotosalim5090 😂😂😂
Leo top 10. Davista tumeipenda Leo mwanamke safi Sana.
Mmmh mungu tunusuruu
Hahah kama mimi nilikuwa naonekana mtundu sana jaman nimefukuzwa shule kibao 😭hata kama sina kosa au sijafanya tukio au sipo kwenye wapiga kelele lkn nitaonekana mtuhumiwa wa kwanza
Pole
Uyu Dada mzr anaonekana japo kuwa ajageuka
Davistar mata unameza mate bite. nimzuri sana
Wale wataalam wa movie final destination kumbe yawezakuwa ni kweli kiasi chake
Welcome back davistar 🌹🌹
Gogo like hapa anae muona davistar anaxhauxhika na huyu msichana davistar yupo very happy 🥰🥰🤪
Daa kwel neema unamaono davista kashapendaaaa jaman...🥰🥰🥰 Na akaamua kutumia mic ya kushika kabisaa amshikieee😂😂😂 sema story tamu jaman
Waja nyinyi😃
Kwa kweli maisha ni ya kiroho lakini wengi hawafahamu hivyo.
Br kuna kitu kikubwa sn umeninyima mimi nilitamn sn kuona sura yahuyo mdada nakuonea wivu umemuona wewe tu daaah!😂😂😂
This is very true.
Hiiii karecord zaman na hili li mic lake za zaman, saiv ndo kaamua kuiweka
Mwenyewe nimejiuliza mbona limaik kubwa au zile zimezingua
Leo ni Mwana dada !!
Duuuh unaongea kwa maringoooo mnooo,asante
Natamani hata nimuone sura huyu binti maringo😂😂😂 mmmmh anisameh piaa yaweza kua hajabadilika akanijia usiku buree
@@abdimohamed3953 pia anaonekana ni pisi kali
Wivu huoooo😂😂😂😂😂
@@pilimusa7770 😂😂😂huoni unywele uleee itakua hvyo
Kk Davi unasmile tu😄😂😂😂
Part two plz
Davistar uko juu 💪💪💪
Davie umekuwa mcute this 2021😋
Wow leo tuko na dem kwenye story ❤️❤️
Show kal chapa nembo Davistar
Yeeeee baba👍👍👍 11
Kk Davi unamwangalia dem wala hupesi wala kuangalia kwengine😄😂😂😂
Lete hii stori unasubiri nini mpaka saa hizi?
Kaka Davistar jicho unalo mwangalia huyu binti unanitia wasi wasi 😁😁😁😁
Vista hongera malizia simulizi🇰🇪🇰🇪💯
Kama kawa kama dawaa pamoja sana wadau
Pamojaa
Jameni
Kesho nami ntakuwa wa kwanzaa 😂😂😂
Insha Allah
Story ziko sawa hizi🤭🤭
Mr mata niko locked 🇰🇪
Fire
Part 2
MTU makini love u
Pamoja
Jamani Huyu beauty ungetuonesha sura 😁😁maana Naona atatupiku mchumba Wetu 🤣🤣
tumuone 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisaaa
Ila anaonekana pisi kali😂
Wivu huoooooo
@@pilimusa7770 mm Sina wivu Ila roho yaniuma 😕😕
Mmmmm mwanamke leo lakini si ganda la ndizi
Please Davistar story ya watoto , ya school every people under 18 years is less interesting, story ina giving watu mafundisho ni ya watu wazima
Davistar tuletee muendelezo please
kabsa
Kazi nzuri bro
💥🔥
Ila huyu dem mzuri sana aiseee
Mwenzetu umemuonaje 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@videozaaj1069 venye anageuka na huo mkono wake
Dakika 8 nimekua wa 108 duuuh🤣🤣🤣🤣 kwani mnashindaga humu
Kabisaa😂😂😂😂😂
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣
Haya saaaasa ’ davista leo umepata mchumba huyo..!
😂😂😂😂
I wish mume wangu awe na sauti nzur Kama davistar
Haloooooo😂😂😂
@@pilimusa7770 yani we si ukitolewa ngeu ndo utaacha umbea wako mi simo uko
@@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂😂.
Majini matatu kwampigo pole mwanangu wewe kama mwanangu wakwazaa
Awe pole 🤔
@@ayshamahariq6665 hakika mana.mitihani.hiyo kufufuxaa watu na kisu
@@nurafedrick378 kabsa 🤔
Mwendo wakuficha suraa mmmm tuende nayo
Ewaaaaaa sauti tamuuu na muruaaaa! Huyu binti lazima atakuwa Pisi kali 😜😜
hahaha
Kaka Davistar hii ndio ile story yako pendwa??...nadhani sasa kumekucha tukae vizuri
MTU MAKINI HILO JICHO UNALOMLIMA HUYO MTOTO MHHH...
Mbona kama sielew dav tunaenda mbele na kurud nyuma ama hii Mike si ya zamani 🤔🤔
utaelewa tuuu😀😀
@@ayshamahariq6665 😀😀😀😛
Kibubu kimevunjwa
@@shizaarfred4059 😀😀😀😀
Du hatali
👏👂👀
Nipe namba zake
Yea
Halafu mbona ni kama pisi ya kwenda..
Davista mata mr .Fact embu tupia namba yake kwanza..
Anisimulie vzr
Mtihani mkubwa pole mdogo wangu duuh
Huyo ni mwamba humuwezi utapotea ukiwa bado kijana!
@@DavistarMataMediaDM 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@DavistarMataMediaDM Mpe aje tuletee mrejesho 🤣🤣🤣
🙏
DAV unapendelea wanaume dakika 19 wanawake dakika 36 rekebisha hiyo tabia🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aproxmate. Wanaume wamehojiwa wanagapi hadi akaja huyu mwanamke mmoja..
Kwel usawa na hak uonekane
Bro unge achia sura tumuone dada yetu ana sauti nzuri kinoma na anajuwa kusimulia
Wapi likes za @pill musa
Nishakupa 😂😂😂😂
Nimependa anavyoongea sauti yake duuh
🤣
@@credo7837 hata wewe pia umeipenda sauti yake😜😂😂
@@pilimusa7770 akuu😂
@@credo7837 ndiyo😂
@@pilimusa7770 kwenda uko wew hujaipenda saut yake🤣
Kwa mala ya Kwanza davista umeweka dakika nyingi 😄😄😄😄 36
umeona eee😋😋
Credo chezea mrembo ww amenasa 🤣🤣🤣🤣
@@sapnaabdallah1084 kanasa wp nipe pole nmekua w mwishoo😭😭
@@ayshamahariq6665 ww siku hizi umekuwa WA mwisho unanini!!?? Ulikuwa unaturingia WA Kwanza Sasa kiko wapi? 🤣🤣🤣
@@sapnaabdallah1084 hahahaha kweli kanasa
Dhuuuhh Ayo mambo yakuota vitu vyakweli biliwahi kunitokea,Ila baadaye vikaisha nikawakawaida
Kwaio tunaingoja story yako nikutumie no ya davista
Mr mata poa
Pisi kama Pisi😜😜😜
Online
Inaonekana hii ni ingine kali
Tupo pamaja dv mi nipo naweww😙😚😚😚😚😊😎🙏🐓🎤🍍🔥
mimi nipo hapa maputo msumbiji, mpenzi wangu nae mtoto wake wakike nae anavyo hivi vitu.
Mimi pia nipo Tete lakini ni vigumu saana DAV kuja huku msumbiji tatizo Vita😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Story hii ya zaman au mona umetumia li mic 🎤
umeona eee
@@ayshamahariq6665 🤪
@@ayshamahariq6665 mmmm
🙄🙄
ufukunyuku🙄
wa mwisho😭😭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
💃💃💃💃hasara yako hahaa 🤣🤣
Tuko pamoja maaa wa mwisho ata usilie
@@sapnaabdallah1084 mkorofi wamcheka shoga angu wewe
@@aiyamhassan1321 Alikuwa akinicheka nikiwa wamwisho Sasa zamu yake
@@sapnaabdallah1084 ncheke😥😥😥😥
1
Ivi mchumba wangu zabron kaingia mitin jomon
Kabisaa. Maana kimya kweli. Tunamiss chief Gikalo
@@pilimusa7770 nikweli kabisa zabroni juu zaidi
@@pilimusa7770 kasepa zabron
Np
CAPE town online
Makin davstr
Pepo mchafu ashindwe wakukimbizaa watu nakisu ulirushiwaa jini wakuua mtu
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
🤝🤝
@@ayshamahariq6665 sana my
Sauti IPO gudi
Pili njoo mama na jirani yako
🇰🇪🙏💬
No one always
Muongooo🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@@sweetie6934 😅😅😅😅
Vp
@@tonywambua9505 akaaah😔😔😔
Nini karibu 254
Kuchelewa nayo
pamoja kipenzi😘😘😘😘
Pole kesho basi ulipoti mapema
@@fatmaalrshdii7615 in shaa Allah
Tupo
Muongeaji duuh🤔🤔
htr
@@ayshamahariq6665 😃😃
@@credo7837 😀😀😀😀
@@ayshamahariq6665 unacheka nin umenisusa uko
@@credo7837 xijakususa nlikua xkuon 🤝🤝
Show show....
Hamna mtu ananikwaza kama anae dislike video zetu kwan lazima af ukute nae katoka gamboshi nn ushindwe na ulegee popote ulipo na roho yako mbaya
Karma for the ladies..