I love zabron singers even the way they conduct themselves they maintain the standard of SDA church no dancing in their music may God bless you as you continue to work in his field 🙏
Napenda sana Nyimbo za Emotional yani zinazogusa moyo kwa hisia ya kukusogeza Karibu na Yesu, Hasa wakati Wa Maombi, Good Song My Brother, Bwana Akulinde Mno
Am compelled to say that this is not your voice. It's a heavenly voice and you Japhet is just the custodian. More blessings kaka. Big support from Kenya!
Barikiwa San.. Sana Kaka MUNGU azd kukupigania .. usonge mbele daima 🤝 usikose uzima wa milele kwa kwel wimbo mzr San umenibariki San na unabariki watu daima nakubariki milele na milele🙏🙏
Hata huku Thailand tunabarikiwa sana na nyimbo zako nzuri zenye messages za Mungu according to the scriptures.Hakika YESU KRISTO ni kimbilio,ukimkimbilia yeye na kumpatia maisha yako hawezi kukuacha kamwe.Isaya 41:10 "Usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe ,usifadhaike kwa maana mimi ni MUNGU wako, nitakutia nguvu nam nitakusaidia,naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. Ubarikiwe sana Japhet
A great song I love it so much.May God continue blessing you abundantly na akupe uwezo pamoja na hekima ya kuziandika nyimbo Zingine nyingi.Hakika wewe ni Wa baraka.
You never know how many you uplift Tru your songs ,may you never luck let's show up by just liking this msg if u love there songs.you gotta love ,like and comment and share from Kenya
Amen.this song really it gives me hope ..time nakosa amani kule kazini 😭ninapopata majaribu ya kila njia napaki kujiuliza maswali but nakosa jibu but jibu ni mungu tu anitie nguvu
Japhet this is not your voice...it is a heavenly voice,,may the Lord take the stage and have his way for you are just a vessel and nothing more... when he's done may he take the glory for we are satisfied just to see him glorified ❤️
Ubarikiwe sana japhet zabro kwakazi nzur unayo ifanya MUNGu aku bariki
Nimezoea kuona nyuzo za watu wengi but wimbo huu imenibariki sana
Mungu akutumiye zaidi
Tegemeo ni Yesu tu ku maisha yangu 😭😭😭😭😭
I love zabron singers even the way they conduct themselves they maintain the standard of SDA church no dancing in their music may God bless you as you continue to work in his field 🙏
From Kenya Nairobi..confirming that for sure Jesus is a permanent and not temporary
Nyimbo zinafariji na kutia nguvu hata Kama umekata tamaa ,msonge mbele daima
YUPO TUUUU YESU,,, Mungu ni mwema Daimaaaaaa, IMEKAA VEMAA SANA,, Nipo Dodoma Safii
Wow!Napenda nyimbo Zako sana,nizakutia moyo.Much love from Kenya 🇰🇪
Kenya we love and appreciate how God is using you Japheth,you're a blessing in this generation
Indeed 💃💃💃💃
Napenda sana Nyimbo za Emotional yani zinazogusa moyo kwa hisia ya kukusogeza Karibu na Yesu, Hasa wakati Wa Maombi, Good Song My Brother, Bwana Akulinde Mno
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏Be blessed Mwimbaji
MuNGu mupereke viwango vyajuzaidi japhet Unasauti🎇🎆🎆 zuriyanikama kinanda Naomba upokeezawadi🙏💅❤️❤️🙏💅⌚🎤🎸🎧
Napenda sana nyimbo zako Bwana azidi kukuinua viwango vya juu
Amina yesu ni jiwe kuu la pembeni lsraeli🇮🇱
Im a Namibian fan i thank you for translating the song as it gives me even more strength to worship. Keep on praying for us indeed there hope
wow wimbo mzuri. keep up jafeth
Am compelled to say that this is not your voice. It's a heavenly voice and you Japhet is just the custodian. More blessings kaka. Big support from Kenya!
Amen mtumish Mungu akubarik ufke vwango vya juu zaid katka huduma ya utumish kwa njia ya uimbaj
Yuko hapa tu. Such a good song.
Love from 254
Wow just feeling blessed 🙏🙏,,,,,big up zabron may Almighty continue nourishing you,🌟🌟
Barikiwa San.. Sana Kaka MUNGU azd kukupigania .. usonge mbele daima 🤝 usikose uzima wa milele kwa kwel wimbo mzr San umenibariki San na unabariki watu daima nakubariki milele na milele🙏🙏
Hakika Huu wimbo Umenigusa...Huu lazima Utakubarikisha Ndugu yangu...Mungu akubariki
Hata huku Thailand tunabarikiwa sana na nyimbo zako nzuri zenye messages za Mungu according to the scriptures.Hakika YESU KRISTO ni kimbilio,ukimkimbilia yeye na kumpatia maisha yako hawezi kukuacha kamwe.Isaya 41:10 "Usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe ,usifadhaike kwa maana mimi ni MUNGU wako, nitakutia nguvu nam nitakusaidia,naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. Ubarikiwe sana Japhet
Wimbo mzuri sana unaoinua tumaini na kufariji popote palipo na kukata tamaa. Barikiwa sana Zabron!
Am always singing this
song watching from Saudi Arabia 🇸🇦 l know one day God will make away for me 😢
NICE AND GOOD ONE ,,, Japheth ...
A great song I love it so much.May God continue blessing you abundantly na akupe uwezo pamoja na hekima ya kuziandika nyimbo Zingine nyingi.Hakika wewe ni Wa baraka.
You never know how many you uplift Tru your songs ,may you never luck let's show up by just liking this msg if u love there songs.you gotta love ,like and comment and share from Kenya
Unajua sana mkuu mziki mzuri ndio huu 🤲🤲
Amen!! Yesu yupo tu kwa ajili yetu!
Always hua nakaa nasubiri nyimbo kutoka kwako broo🙏🙏🙏🙏hujawahi kuniangusha Mungu akutie nguvu
Amen nyimbo zako huwa zinanibaliki sana
Evengelist Kennedy Rasugu from Kenya,I love your music
Congratulations zebron naipenda nyimbo zako mungu aendelee kukuinua ❤️❤️❤️❤️❤️
I love this guy's humility..
Wimbo wenye kutia moyo zaidi..
Angelic voice 🙏..
Barkiwa sana🔥💯
Wimbo mzuri Sana my brother
Amina kaka wimbo umenitia nguvu
Mungu akuweke Mahal alipo kusudia, jitahd tu kushuka ili yeye awe juu
My best Gospel Artist. Watching u from Zambia.
Hata sasa yupo hapa tu.ubarikiwa kwa wimbo wenye kuleta matumaini.
Mungu azidishe Karama yako Japhet.
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri sana
Asante Sana Kaka halleluah barikiwa Sana 🙏🤝🤝
Your humility will take you far ......I like search songs after my job ...am blessed already
Kaka Japhet Mungu akubali kwayako sautu nzuri
Amen.this song really it gives me hope ..time nakosa amani kule kazini 😭ninapopata majaribu ya kila njia napaki kujiuliza maswali but nakosa jibu but jibu ni mungu tu anitie nguvu
I love your songs Mr Japhet.God bless you,from🇧🇮
Am blessed and pleased with your vocalisation indeed you are avesel much love from ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika Mungu wa mema yote aendelee kukuinua Japhet
Nice 👍 song my Gospel star ✨✨ shukran 🎸...... (🎙️)..............
Am in Tanzania I like to listen your song,b'ecause it touches my life
Am never blessed unless niwasikie mkiimba wote wewe na mke wako.
Nafarijika sana kupitia nyimbo zako Mungu akubariki
Humility in this guy is definitely what makes him thrive. God bless you bro
I love your songs coz nikiwa jini zanitia nguvu na kuniinua!...much blessings bro!...from Kenya...eldoret...
Hongera sana kazi saafi sana Mungu akubariki.
💯💯💯
Amina . Barikiwa sana kaka
Nabarikiwa Sanaa na nyimbo.zako stay blessed in your life
Japheth you never disappoint we love you here in Kenya
My best singer I love your music very much may the almighty keep you going well with your songs keep it up bro
Mungu aendelee kukutumia hakika nabarkiwa sana na nyimbo zako bro
Nyimbo zako tamu bro
More love from Qatar..barikiwa
Barikiw sana mtumishi nyimbo zako zinanifariji
Amina mzidi kubarikiwa huo wimbo huwa unanifariji sana nikiwa kwenye magumu
Mwite yesu yupo hapa tu ..Amina
Napendanyimbozentu
Barikiwa! Kwela Yusu Yupo Tu! Mulungu Agutongele
Hongera sana kaka,na Mungu azidi kukuinua na kukubariki,.
Japhet this is not your voice...it is a heavenly voice,,may the Lord take the stage and have his way for you are just a vessel and nothing more... when he's done may he take the glory for we are satisfied just to see him glorified ❤️
The only true friend you can always have is Jesus. Feeling blessed.
Asante kwa kuizungumzia nafsi yangu mungu akubariki zaidi,😌
Hongera Mwalim wimbo mzuri Sana. Mungu aendelee kukubariki zaidi uzidi kusonga mbele. Mungu pamoja nawe🥰🙏🙏
Japheth you never disappoints. Good job👏👏and amen to God 🙏
Na barikiwa san ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Great song... loving it from kenya..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waooow again a nice song I love your songs sana may god bless you
Proud of KAHAMA son of KAHAMA gold city
Your songs bless me alot...may God our God bless you and your fellow team...Amen
Ubarikiwe mtumishi
Baraka tele kaka, wimbo wa kutia nguvu na kutupa tumaini. Asante kwa wimbo huu sasa🙏
Hongera sana fundi wa nyimbo za injiri
Ukiwa na shida yupo tu....I love this song
Kazi nzuri Mungu azidi kkuinua my brother
Yupo hapa tuuu.... Kisii watching
To the Zabrons
I’m always blessed to listen to your songs
Please can you write the lyrics here in Swahili? I want to learn this song
God bless you bro your de one of my favorite & best singer 💪🙏
Barikiweni sana mkuu kwa Karam kubwa ambayo Mungu amewapa!
Just watched Mwingi bus tragedy requiem mass.... and just got this song, I feel consoled, I wish the affected families would listen to this
Very true it is we do
Very true we do @Oli A
Hallelujah. He's Emmanuel, the God who lives with his people!
Japheth!!!! you are truly blessed amazing massage
Good Sana nakukubaliiiiiii
Mungu aendelee kukitunz kipaji chako jay kaz nzuri🥰
Hongera kwa kazi nzuri...nasikiza kutoka Kenya...hope one day you will come Kenya..
Niko hapa from kenya
Hongera kwako,Ubarikiwe wimbo unagusa maisha yetu
I love all your songs they are all my favourite may almighty God bless you
Yupo hapa tu nabarikiwa sana
Hongera Zabron unatubariki sana huku Kenya 🇰🇪
Comes rain comes sunshine,u always uplifts me spiritually.Can we like and share this 🖤💖.
Stay blessed.
Nimekupenda kiukweli unaimba vizur
Nice Song my bro Mungu azid kukutumia Viwango vya juu