Hi 👋 I'm Prince Teddie kutoka Kenya 🇰🇪na ninaipenda sana kazi ya Baba Joan...najua ni vigumu sana kwake kupitia comments zote ila naomba tu kama Kuna mtu anaeza mfikia na ameisoma comment hii mwambie naomba kujiunga na kundi lake🙏 ...naomba tu tafadhali mwanzo ni vizuri kujiongea I'll be so greatfull if I get the opportunity to join the family. THANK YOU 🙏
Mbona mnatuzingua na vi mb vyetu vya mawazo hembu tuleteen muendelezo 😂😂😂😂
Jamani nawapenda wote sana 2 l love somahi❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Hello zujati mabo vipi
Jamani nawapenda wote mumeshikilia nafas zenu kiuakika❤🎉
Very nice 😮😮😮😮🎉❤❤❤❤
Sasa mbona munacherea kutupa muvi yakufata wakati unafika shemu nzuri😂😂
Kwann Hamtoikwa wakati mnatuchelrwesha
I love you guys
Twasubiri episode 32aki
Haya Sasa awakute
Tupatieni hizo part nyingine tuko bored
Jameni kwani sauti imefanya je?
Hi 👋 I'm Prince Teddie kutoka Kenya 🇰🇪na ninaipenda sana kazi ya Baba Joan...najua ni vigumu sana kwake kupitia comments zote ila naomba tu kama Kuna mtu anaeza mfikia na ameisoma comment hii mwambie naomba kujiunga na kundi lake🙏 ...naomba tu tafadhali mwanzo ni vizuri kujiongea
I'll be so greatfull if I get the opportunity to join the family. THANK YOU 🙏
Kwanini mnatugandisha
Baba karobo na kundi lako jamani hamna maendelezo ama ndio imeisha hvo tmechoka na marudio jamani😢
Leteni burudani
Tupatieni hizo part nyingine tuko bored