RAMADHAN KWENYE BIBLIA😱😱 !!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 мар 2024
  • @StraightPathDawah Tunajitahidi kufikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani. Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. kwa mawasiliano zaidi tafadhali tupigie kupitia nambari zetu zilizoko kwenye screen yako.

Комментарии • 94

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 3 месяца назад +7

    Ma sha Allah shekh ramadhan Allah akutunze kwa kila changamoto yenye kukukwaza na kukuumiza akupe nguvu na afya nakutakia mfungo mwema na crew yako yote

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 3 месяца назад +8

    A.alaikum sheikh Ramadhan Allah akufanyie wepes ktk asbab zako za kujipatia rizki na nakutakia Ramadhan kariim

  • @Fumokale
    @Fumokale 3 месяца назад +5

    MASHAALLAH...Ramadhan kuria...Ramadhan karym❤

  • @zanzibar-hf7vh
    @zanzibar-hf7vh 3 месяца назад +6

    mashaallah Allah akupe tawfiq

  • @kennedyabulala8919
    @kennedyabulala8919 3 месяца назад +6

    Fantastic comparative religion...Kazi mufti ya daawa I love it...

  • @SakinaAbdallah-mo4dh
    @SakinaAbdallah-mo4dh 3 месяца назад +4

    Mashaallah!!! sheikh Ramadhan ALLAH akupe tawfiq

  • @raniahmamu2586
    @raniahmamu2586 3 месяца назад +4

    ❤❤❤❤ Masha'Allah... Alhamdulilah

  • @user-vj4vy6mg6n
    @user-vj4vy6mg6n 3 месяца назад +4

    Mashallah allah akupe nguvu uzidi kufanya ijtihad

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 3 месяца назад +5

    Asalam Elkum Sheikh Ramadhan President Ruto anakatanza pombe wambiye wakristo

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 3 месяца назад +4

    Mashaallah Tabaraka Rahman.

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 3 месяца назад +3

    MashaAllah Allah barik inshaAllah

  • @OlosticDeBoss
    @OlosticDeBoss 3 месяца назад +13

    Mashaalah shelkh unafanya kazi Poa mungu akubariki sanaaa

    • @NasirKasim-wy5dz
      @NasirKasim-wy5dz 3 месяца назад

      Asalam alaykum mungu akujaz kilalakheri mniko namanga nimejifunza mengi kwenu

    • @user-vh2wy8bz3e
      @user-vh2wy8bz3e 3 месяца назад

      Allah awazidishie

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mq 3 месяца назад +6

    Kazi poa sana ustadh napenda daawah yako na elimika na kufunza wengine Allah akulipe hizi kheri

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 3 месяца назад +4

    Ujumbe umefika shukran Ramadhani kuria

  • @abdirahimkala1621
    @abdirahimkala1621 3 месяца назад +3

    Masha Allah...good job bro

  • @HamadaShala
    @HamadaShala 3 месяца назад +1

    Allah akulind ramazani🇲🇿🤲

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 3 месяца назад +2

    Ma sha Allah

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 месяца назад +1

    ALLAHU AKBAR

  • @jaybajay9973
    @jaybajay9973 3 месяца назад +3

    Mashallah

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 3 месяца назад +3

    Huyo msomaji wa leo ndio mzuri anafaa kwa kusoma maandiko

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 3 месяца назад

    Allah barik ustadh Ramadan nkikosa dawah yko wallah narudia zote za mwanzo Allah ukupe afya na kheir nyingi Kwa kazi ufanyayo

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 3 месяца назад

    MashaAllah Jazzakkallahukheir Ustadh Ramadan...Saum maqbul

  • @user-lj1bd5yr8w
    @user-lj1bd5yr8w 3 месяца назад

    Mashaallah tabarakallah Allah akulipe kilalakher shekh

  • @user-hj4xt4og6q
    @user-hj4xt4og6q 3 месяца назад +1

    Keep on sheikh, may Allah give u strength inshallah

  • @nurdinkassim
    @nurdinkassim 3 месяца назад

    Mashaalah shekh upo vizuri kutoka kueneza dini ya mungu hivyo ndivo mitume walifanya kuwafikia watu wengi mungu akupe nguvu zaidi yakufanya kazi hiyo

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 3 месяца назад

    Mashallah mashekh wetu Allah awahifadhi awape subra

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 3 месяца назад +2

    MashaAllah Tabarakah Rahman

  • @amirasman8044
    @amirasman8044 3 месяца назад +2

    Bro assalamualaikum warahmatullah wabarkat,

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 3 месяца назад

    Mashallah shelkh mungu akulipe kheri inshallah Kwa kz unayofanya

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 3 месяца назад

    Shekh RAMADHAN msomaji uyo usimuache anasoma vizuri sana adi raha

  • @aminadughow9812
    @aminadughow9812 3 месяца назад +1

    Mashallah shiek mungu akubarika

  • @alialkindy6690
    @alialkindy6690 3 месяца назад

    Mungu akuzidishie ilmu na rizki njema

  • @AliTumbo-pn9eh
    @AliTumbo-pn9eh 3 месяца назад

    Mungu Akupe wepesi kwa jambo la kheri

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 3 месяца назад +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @user-ke7dy2xh8b
    @user-ke7dy2xh8b 3 месяца назад +1

    MashaAllah.

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 3 месяца назад

    Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu nawapenda kw ajili y Allah.saum makbul in sha Allah

  • @user-fc6uf6be5u
    @user-fc6uf6be5u 3 месяца назад +1

    Mashallah wabarak fiqi

  • @user-vi9yc5jo2s
    @user-vi9yc5jo2s 3 месяца назад +1

    Masha allah❤❤❤❤❤

  • @SaumuMwongeli-ss7zr
    @SaumuMwongeli-ss7zr 3 месяца назад

    Mashaallah wsiogope wesilmu nidini ya haki

  • @user-fb6cf7pk1d
    @user-fb6cf7pk1d 3 месяца назад

    guud work

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 3 месяца назад +1

    Hii channel naipenda❤

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 3 месяца назад

    Mashaa Allah Mashaa Allah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 месяца назад

    Mashaallah Allahu 💖💖💖

  • @judieyasmiin9789
    @judieyasmiin9789 3 месяца назад

    Mashaallah mwenyezi mungu akubariki❤

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv 3 месяца назад

    Allah Awalipe

  • @lulkul7784
    @lulkul7784 3 месяца назад

    Mashallah ❤️ sheikh

  • @abdullazizmohammed7015
    @abdullazizmohammed7015 3 месяца назад

    Ramadhani Kareem

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 3 месяца назад

    MashAllah kaka Ramma ahjaaaab Saana

  • @xaliimacabdullahi-lb8iz
    @xaliimacabdullahi-lb8iz 3 месяца назад

    MashaAllah ❣️ USTADH

  • @user-jy8ub8ot2i
    @user-jy8ub8ot2i 3 месяца назад

    Kaka mungu akujalie kwa kazi kubwa unayo fanya

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 3 месяца назад

    Ramadhan karim

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d 3 месяца назад

    Mungu akupe nguvu sana

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 3 месяца назад

    MashaAllah tabarakallah

  • @shahidcali2926
    @shahidcali2926 3 месяца назад

    Ramadan Karim

  • @abdiabdullahi2937
    @abdiabdullahi2937 3 месяца назад

    Mashaallah sheikh

  • @ahmedbashiirsalat1300
    @ahmedbashiirsalat1300 3 месяца назад

    Keep going bro

  • @Farhan-cp1vx
    @Farhan-cp1vx 3 месяца назад

    Mashaa Allah

  • @ismailmohamed7730
    @ismailmohamed7730 3 месяца назад +1

    اللهم بارك

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 3 месяца назад +1

    Saum Maqbul Sheikh Ramadhan

  • @kamole3
    @kamole3 3 месяца назад

    ManshaAllah ustadh Ramadhan, I love how you articulate yourself. Keep the solo dawah. InshaAllah

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 месяца назад +3

    Ramadan bin kaguo usiwaache hivyo hawA wape Daawah zaidi waonyeshe maandiko ambayo wakiyaona na kuyasoma wataelewa ukweli

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d 3 месяца назад

    Hio ndio ajabu ya bibilia imeandikwa kwa kiswahili lakini maneno yake yamejifunga funga hadi ufafanuliwe vizur maneno ndipo uelewee hili linanishangaza sana

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 месяца назад +1

    Yesu alifunga siku 40 Usiku na Mchana Lakini Muhammad alishindwa kufunga siku 40 mchana na Usiku kwakuwa hakuwa na Uwezo wa Kimungu kama Yesu hivyo akaamuru Yeye na Umma wake wafunge masaa 12 badala ya 24. Kufunga Ramadhani imekuwa ni kama kubadilisha Usiku kuwa Mchana maana waislamu wanakula Usiku kucha Mpka Saa 10Asubuhi Halafu wanafunga Mchana. Hapo mtu atakuwa ameshiba Mchana kutwa na huku anasema amefunga.

  • @ianlukejr.4926
    @ianlukejr.4926 3 месяца назад +3

    Of course, mnatumia Quran kuniambia ati Mwenyezi Mungu hana mwana. Pia mimi natumia Bibilia kuwaambia Jesus is the Son of God. Hakuna mahali penye Bible imesema kuwa Mungu alizaa. The Son means the Word, which was there from the beginning - "Let's make man in our own image." We are all created by God, but we are not all God's children (1 Corinthians 8:6; Romans 11:36; Colossians 1:16). Pia si kila mtu umwitae mwanako umemzaa? Tunakuwa wana wa Mungu tunapo okokelewa and adopted into God's family through our relationship with Jesus Christ (Galatians 4:5-6. La mwisho, before Abraham, hakukuwa na Judaism, Islam or Christianity. He is the father of nations and religions.

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 3 месяца назад

    Uliyemsilimisha labda anaharakaharaka yakwenda miangaiko yake Bora ungemalizana Naye ndo ungewahoji wengine mungemuelekeza madrasa za bure za watu wakusilimu

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 месяца назад +1

    Kwanini Mnahubirivna kutaja jina la Mungu kwa lugha ya Kiarabu badala mtumie lugha yenu ya Kiswahili Au Kikabila chenu? Mungu anasikia lugha zote za Duniani na sio kwamba Ukisali Kwa kutumia Kiarabu ndio Mungu anasikia au ndio mtu arasamehewa. Waswahili na Mataifa mengine mjifunze kupenda na kutumia lugha zenu na sio za Waarabu.

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 месяца назад +3

    Mtu akisema kuwa dini ya ukristo ni ya ukweli yafaa umwambie atoe ushahidi. Ukimuacha itakuwa hatojua ukweli. Juu uislamu ndio dini ya ukweli

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 3 месяца назад

      Ukianza kuwauliza maswali magumu watakimbia wakiwa wakaidi ndio unawauliza maswali ya kuwaweka sawa

  • @nayef3903
    @nayef3903 3 месяца назад +1

    Na huyo mwengine asema alikuwa muislamu akawa mkristo huwa sawa ni waongo yafaa ungemuliza asomee surat fatha na kul ya ayuha qafirun ndio utaweza kujua jee walikuwa waisilamu ama ni wakristo

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 3 месяца назад +1

    Tokyo n turki apo ndo watu waliwaita wafuasi wa yesu wakirsto

    • @molee2339
      @molee2339 3 месяца назад +1

      Sio Tokyo.
      Ni ANTIOCH au ANTAKYA, in Turkey.

  • @laclassic1336
    @laclassic1336 3 месяца назад

    Wakristo tukiondoa ushabiki wa kuzaliwa nao kuhusu hii dini yetu, mnatuelezaga ukwel kabisa,maana wakati mwngne mpaka maandiko ya BIBLIA mnayotusomea ni kwel yanasema HIVYO,lkn ili tushinde hoja inabidi tuyakatae au tukuambie kuwa HUNA ROHO MTAKATIFU 😅😅😅😅

  • @nzoyisabaegide
    @nzoyisabaegide 3 месяца назад +1

    wewe Lamadhani chunga sana wacha kuchanganya watu jina Kristo si paulo na baranaba walimupa Yesu
    wa Kristo ni watu wanamucha Kristo wanaamini yeye ndio aliokowa ulimwengu
    sababu ya maovu ya Adamu na Hawa
    hiyo ndio ilimuleta Yesu duniani
    aliitwa jina Kristo juu ya kazi alifanya kazi ya kuokowa ulimwengo
    WAFILIPI 2:9-11
    MATHAYO 1:16
    MARIKO 8:29
    SOMA MAANDIKO NA MUACHE KUJIFANYA

  • @zanzibar-hf7vh
    @zanzibar-hf7vh 3 месяца назад +1

    ni ipi hukmu ya kurtadi?

    • @SalehAbdallah-zx2cq
      @SalehAbdallah-zx2cq 3 месяца назад

      hkumu ya kurtad ni kuuliwa

    • @zanzibar-hf7vh
      @zanzibar-hf7vh 3 месяца назад +1

      @@SalehAbdallah-zx2cq mkwanza mashaallah, kwa kuwa unajina la baba yangu mzazi pili ahsante kwa kunijibu

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 месяца назад +1

      Biblia katika Kumbukumbu 13:6-10 ina majibu sahihi

    • @molee2339
      @molee2339 3 месяца назад

      ​@@SalehAbdallah-zx2cq
      Porojo zako

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 месяца назад +1

    We kama unajiamini usifuate watu ambao hawana uelewa mtafute bishop ngonyani

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 3 месяца назад

      Hehe

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 3 месяца назад

      Uyo Bishop km kweli anajiamini angelikuw na yeye anafanya km ivo afanyavyo shekh ramadhan na mabishop na mapasta wanashindw hilo kwasababu wanajua Dini yao haina ukweli wowte na hawana uthibitisho na maandiko ndani ya biblia yanayothibitish kuwa ukristo ndio dini ya kweli.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 3 месяца назад

      Uyo Ramadhani kashafanya mdahalo mpk na Ndacha ambae kenya nzma wanamtambua ijekuw huyo unomtaja ambae hata hajulikani.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 месяца назад

      @@dulividuli5237 kujulikana sio tija kwani ndacha unaemsemea ni wakaida sana

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 месяца назад

      @@dulividuli5237 kweli unachekesha tena nakupa bure , Kwa akili ya kawaida pdri au mwinjirist au maaskof unaweza kulinganisha na mashehe wenu ambao hata shule ajakaenda ni lapili m2 kaacha shule afu anakuja kua hostaz, wakristo na watafiti wote wakristo wameenda shule toka enzi za kinapaulo paulo alikua ni msomi tena wa elim ya juu luka alikua doctor

  • @alanngabonziza
    @alanngabonziza 3 месяца назад +1

    Wenye dini potofu waendelea kukosa kufundisha dini yao,fundisha dini yenu bwana,swali langu bado ni nani kaandika quran,kwanini waomba jiwe nyeusi,a religion standing on lie

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 3 месяца назад

      Hehe

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 3 месяца назад

      Ttzo lako unaropoka tu hutak kuelimishwa ukiwa tyr kutak kuelimishwa utauliz kiustaarabu kabisaa.

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 2 месяца назад

    Mashallah

  • @january4793
    @january4793 3 месяца назад

    Mashallah