Unatoa nafasi ya kuigiza na wasanii wakubwa kwa wadogo kwenye kazi zako,unaandika story katika namna ambayo inaeleweka na inavutia kuifuatilia na pia haitupi nafasi ya kutabiri kinachofuata, kupitia vitu kama hivi unastahiri kabisa kupewa maua yako 🙌🙌🙌
All the way from United Arab Emirates nawatch Clam kwa Mpigo. Next episode tunaingoja kwa Mpigo Tena Zaidi.... next huyu Dem amkumbuke ama vipi wenzangu?? Likes basi
Kwa mtazamo wangu kwa kuwa ule ni wimbo ambao ulishaimbwa kitambo inaonekana yule mwanafunzi anaufahamu. Yaani ni kama mawazo yamegongana wazungu wanaita coincidence.
ila wacha tu mm ninachonigusa moyo sana ni huu wimbo anaouwimba clam hakina ninapousikia moyo wang unakuwa na simanzi sana kwa machungu niliyoyapitia huko nyuma hakika unajuwa sn💯
Kabisa Clam una act Na kutusahaulisha Marehemu Kanumba! Mungu akujalie naninakutakia mafanikio we ndiko Bongo movie star. Wana Burundi tunakusapoti kinoma
Tamthilia inatueleza kwamba kuna MAISHA magumu sana ndani ya jela pale tu unapokuwa mnyonge na kutuonesha kwamba kuna vitu vingi vinafanyika ndani ya jela pongenzi kwenu juu ya yote movies ni mzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Clam Sema hii ya4 umetisha Sema umeizogeza sana mbele ulitakiwa ungeanzia kule kule shule ulipo wachoma visu wanafunzi wenzie na Kisha tungeona unapelekwa maakamani tungeona unaukumiwa miaka mingap na ulivyo fika jera ungeonesha akili zimeludije mpaka unaanza kukumbuka matukio ya nyuma Sema co mbaya sana umetisha👊
Nimerudii kuangalia hii part 4 clam kwa sababu ya Charles maana ni juzi tu ulipoipost nikamuona sai hayupo tena pigo kubwa sana Allah ampe kauli thabithi😭😭😭
Oya clam we ni m2 aina gan mi nkajua baada ya kuwaua wale walo mbaka Sasha na Sasha mwenyw kufalik movie itakua mwisho na kama itandelea itakua mbovu lkn idear ambayo mtu wa kawaida awezi we ni geneus kka kwenye tasnia ya filam we ni tz1 itafute Africa Sasa una uwezo mkubwa sana.mungu ibarik Kaz ya clam vevo
Wangapi tunaoangalia huku tukisoma comment tujuane. Clam vevo never disappoint ❤🙌🏼🙌🏼
Tuko wengi hapa 😂😂
❤
Mimi nimo hapo
BLESSINGS MUSIC MWANZA
Naitwa clin❤
Unatoa nafasi ya kuigiza na wasanii wakubwa kwa wadogo kwenye kazi zako,unaandika story katika namna ambayo inaeleweka na inavutia kuifuatilia na pia haitupi nafasi ya kutabiri kinachofuata,
kupitia vitu kama hivi unastahiri kabisa kupewa maua yako 🙌🙌🙌
💯
❤❤❤
Kabisa
Angau kwa wiki utoe episode 2
Best friend ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama tunafatilia Best friend gonga like huyu Clam fundi anajua sana 100%
❤❤❤❤❤❤❤ yani anajua adi ana jua tena
❤❤❤❤❤❤❤ yani anajua adi ana jua tena mungu amfikishe mbali zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaaah
Hiv hiz like zinawalipa mnakela kila mtu wakwanza nipen like mnazingua
Hakuna mwingine naipenda sana brother
Huyu sasa ndio msanii namba 1 kwa kuigiza Afrika mashariki. Clam vevo usipoteze mwelekeo ww ndio ndoto yetu kwenye kuigiza kwa sasa NEVER GIVE UP BRO
Nakubali Clam. Nakufuatilia toka Kenya.Wale wa Kenya naTanzania gongeni like hapa tafadhali
Tuko pamoja kutona Kenya ❤❤
Creativity on Another Level..... Umeweza sana mwanang Ridhiwan ..... Yan Umecheza kama Pele oyaaaa weeee Chukua maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂 Acha niongeze maua na makopa❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🎉🎉🎉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😍❤️❤️❤️❤️❤️
Mbona haina sauti hii mv
@@freshunityentertainment2194labda simu yako
@@freshunityentertainment2194zima simu alafu washa sauti itakuja tu
@@freshunityentertainment2194tafuta simu
Jamani kama ulisubiri Best Friend kwahamu kama Mimi weka like yaku cheka 😅❤❤
Kweli nakuhona kanumba wa badaye serious Kali sana best friend 🥰🥰❤❤❤
😂😂😂😂tupo
Clam ni mwamba... kama mumeangalia na khisia mpka macho yakaota machozi gonga like ya Clam Vevo.🎉🎉🎉
Ya kwetu hayaota machozi ila yametoa machozi. 😆
@@sikudhanimohammad7692😂😂😂😂 i see
@@sikudhanimohammad7692😂😂😂
😂😂😂😂 aliumiza sana huy kaka duuu
Kazi nzuri sema apo kwa wafungwa mara nyingine mjitahid wawe wote wamenyoa naona wengne na viduku
❤❤❤❤
Mashallah Story Nzuri,Mungu Awajaze akili,Afya,Umri na Ubunifu
Mimi Nadhani ndio wakwanza chawa wa clam kutoka Nairobi❤ nipeni like bana
❤🎉❤❤
Sio siri Naipenda hii series pamoja na miziki yake kwa ujumla. Congratulations once again #ClamVevo
Oy season 5 vp bad haijatok
@@JoshuaLwogakuwa mpole mambo hayahitaji haraka
@@KhadijaAli-z2y Duuuhh nzur san wanachelewexha mno 2nakosa utam
Nimependa kwakwer
@@JoshuaLwoga mambo mazuri hayaitaji haraka
Kwasasahivi Clam anaigiza filam sasa sio comedy za zamani.. Hatua nzuri sana...
Clam vevo type yako nazikubali ele ndakindaki❤❤❤❤❤
Unajua sana boe mungu akutangulie Kwa Kila ukifanyacho
Mmmh jaman kila mtu wakwanza mbona hamsemi wakat na wa mwisho 😊😊😊😊 lakini washiriki wote wa best friend hongeren kwa kaz nzur ❤❤❤❤❤
Wale wa kusoma comments wakiendelea kuwatch mko wapi,leta like bana hata 5,clam good work from Kenya we appreciate your work ❤❤🙏🙏
❤❤❤
❤❤❤
Wa kwanza kutoka Kenya..Clam vevo all the way..Best content now in Africa💪🔥🔥🔥
All the way from United Arab Emirates nawatch Clam kwa Mpigo. Next episode tunaingoja kwa Mpigo Tena Zaidi.... next huyu Dem amkumbuke ama vipi wenzangu?? Likes basi
Clam unatisha broo fanya uonekane hata kwenye vipindi vya television Kama sinema zetu ivi naamini hakuna mpinzani kwako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chukua Maua Yako Kijana Mzalendo wa Kitanzania Unayewakilisha Taifa letu kwa filamu zako nzuri 🤝
Amepona vp namuona hakunji tena shingo
@@esterpaul6314pale gerezani alipigwa maramoja kwenye kichwa akapona hapo hapo
@@esterpaul6314ngumi 👊 aliyo pigwa na bahilamu
kazi safi Clam 👏👏 na kwan ulipigwa ukarudisha fahamu😅
Jamani kumbe Clamu ulikamatwa pole ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Good job awakuwezi 2023
Umetishaass mwamba clam vevooooooooo
Bongo moviel ilisinzia lakin clam VEVO anaifufua Kwa Kasi san hatimae tumempata kanumba mpya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo jamani naomba like zangu ata km ni kumi😊😊😊❤❤❤
Sio kweli
❤ ckupingi clamu Ila kwa ufanisi nataka nijuze kitu kimoja je apo uyo mwanamke aliyeimba nyimbo yako aliwai aikia Ila ngoja nikuachie mwenyewe 🎉
Kwa mtazamo wangu kwa kuwa ule ni wimbo ambao ulishaimbwa kitambo inaonekana yule mwanafunzi anaufahamu. Yaani ni kama mawazo yamegongana wazungu wanaita coincidence.
@@nivardmwageni2171dah umejaribu vizuri kwasababu angekua yule Sasha angekua kashamaliza shule mana hadi clam karudi Mzee jela
Jamniiii Yaan Clam anatisha Sana,,,,,😂nipeni like Mana nmekula mtu wa kwanz kbsaa kutizama part 04
Umekula😂
Ata mm nasubilia kumpa pongez zakee🎉🎉🎉🎉🎉
Clam hii imetisha aki congratulations broo team Kenyan team strong like mkipita
Jamani nataka wimbo Maisha magumu bila ya pesa nani kaimba,,,,,big up Vevo.
Much love ❤ from Burundi 🇧🇮
Seem gan dear
Kabisa
Wa kwetu
Burundi moja
Wakwetu🇧🇮
Mm ndyo wakwanza kuitizama filamu hii hongera sana clam
Cram nimekua wa kwanza kucheq best friend naombeni like zen jmn
Basi na hii nyimbo ya ndani ,ntapataje
Hiyo song iko RUclips kweli clam please😢 nimekufuatilia mno you are so talented
Clam pokea zawadi ya kenya tunakupenda sana kwa kazi nzuri wako mpendwa RAZTON COMEDIAN fan wa kwanza kutoka 🇰🇪 kenya
Hamchelewi kusema clam ni mkenya😆😆😆
Hii part 4 mumejaribu kuleta mapema😊😊😊,nipeni like wangwana❤❤😂
Jamani hii movie ninzuri sana msiwe mna chelewesha nawaomba ❤
Dar akika nilidharau sana hii move ya best friend kumbe nzur hivi Clam big up bro. dah kwa hiki kigongo hatar sana Nakupenda sana bro
Uyu CLAM VEVO ni kama YANGA Yani unstoppable Guy ameshondikana uyu mwamba au mnaonaje wenzangu ♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥
kazi anafanya nzuri ila apo kwa yanga mwanangu umezingua
@@janethmgimba3084😂😂 kabisa
Kweli kama yanga bwanaa❤❤❤❤❤❤
Wa kwanza from DRC,nipeni like zangu jamani🎉
🇨🇩
We're here
Mwenzangu uyo
1k likes challenge naona clam hajachelewa kutoa part 4 kazi nzuri na maua yake wapi?🎉🎉🎉❤
Amechelewa sana
Mwishoni kaandika watch out part 4 na hii nadhani ndio part 4.
Weeeh bonge la training. Hii series inakuwa tamu zaidi❤
C.vevo big up sana.hii kali sana.❤❤siko huluuuu,...zile nde..tititi ...mapenzi yanaumiza anaumizaaaa laah duuh big up sana
Yaani namkubali sana hili group linajuwa linahitaji pongezi Kwa jinsi wanavyo wakilisha kazi zao
Allah awabariki
Kweli hii ndio zaidi ya kali,Bailam hoyeeee
This level of creativity is quite amazing Clam. Stay blessed
King 👑 clam vevo
Clam wewe ni sharukhan mtupu
Clam very talented and his creativity is on another level
ila wacha tu mm ninachonigusa moyo sana ni huu wimbo anaouwimba clam hakina ninapousikia moyo wang unakuwa na simanzi sana kwa machungu niliyoyapitia huko nyuma hakika unajuwa sn💯
Kabisa Clam una act Na kutusahaulisha Marehemu Kanumba! Mungu akujalie naninakutakia mafanikio we ndiko Bongo movie star. Wana Burundi tunakusapoti kinoma
kama ulikuwa unaisubiri part 4 gonga like zakutosha hapa🤜🤛💚💛
😢😢kaimba vizur sana❤❤❤
❤❤❤
Tamthilia inatueleza kwamba kuna MAISHA magumu sana ndani ya jela pale tu unapokuwa mnyonge na kutuonesha kwamba kuna vitu vingi vinafanyika ndani ya jela pongenzi kwenu juu ya yote movies ni mzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Ahahahahhaa
Na atasema
Badooo hajasemaa😎😂
Naomba like zangu wa kwanza
Tunao ijua ist ya steve mweusi like zenu big up sana kwa company wote wakalii nawakubari saana👊👊
yani nashindwa kuamini mwamba natoa choz dah movies hii inahisia kali sana,,,🙌🏾🇹🇿🔥🔥🔥
Pure talented kenyan we accpt clam vevo content really amaizing.
Going far clam vevo🎉 ❤❤
jamn km unakubali anachokifanya uyu jamaa gonga lyk apa 💪
CLAM VEVO IS THE NEXT KANUMBA
SO I GIVE YOU THE NAME TODAY THE GREAT CLAM VEVO🎉❤❤ BECAUSE you are not a comedy but you are an actor ❤❤❤
Exactly
nakubali kaka clam we unakipaji kikubwa
Clam vevo hakika nimtu noma san fanya kazi kaka mungu kakupa kipaji
Clam é um crativo e ativo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Moçambique aonde bro
Wakwanza leo nipeni like zangu, na kama unamukubali vevo mwaga like apa 😂😂😂ati muchumba😂😂😂clamu utasema mupaka useme 😂😂😂
Am the first one big up for clam.weka like kama unamkubal clam💪💪💪
Ukweli clam anazid kuibuka na mbinu mpya za uigizaji Mwamba huyu anazid kuwa juu zaidi ni hatari
Mungu akuweke kijana 🙏💕
Jamaniii mm wakwanzaa naomba n like zanguuu.... ❤ Best friend
Wa kwanza leo @254..likes zangu jameni nipeni...kazi nziri Clamu na kundi lako
Much love from Kenya🎉❤❤
Tanzania Comedy Going To Another Level
Am From Kenya But Loving The Content❤❤❤
ruclips.net/video/Ael4vK8ciYI/видео.htmlsi=Vx2XmZNBRGLt8_-F
Same here❤
Enjoy ❤❤❤ tunawapenda pia
Clam upo juu sana hakika unamzidi mpaka kanumba
Ile ngumu ni kama ilimeristore baadhi ya mafaili😂😅,,kama umeipenda hii episode nipeni likes zangu😅
Imerudisha hadi shingo😅😅
@@ZainabKasiga-jy3sf 🤣🤣🤣kweli
Big up kwa Bhailam 😂
Charles ndo yupi hapo
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️ Clam Vevo wewe ni Simba tuna kupenda saaaaaana ❤️❤️❤️ Congo 🇨🇩
Vizuri sana kwa Fundi wetu clam ila tunasubiri part 5 🎉🎉
Yaya Clam Vevo bwana tuna subiru sasa ( 5 )part❤️🇨🇩
❤kwa clam na teim nzima hakika bongo move sasa ni ya clam
Nipeni like zngu mm n w kwnza leo ❤team clam tujuane na wanaolikubal hli movie gonga like yko😊
mimi ndiyo wakwanza Léo kutoka Congo kama unamukubali clam gonga like apa
Mimi Léo hapa wakwanza kabisa nipeni like zangu nyingi sana nazistahili
Clam Sema hii ya4 umetisha Sema umeizogeza sana mbele ulitakiwa ungeanzia kule kule shule ulipo wachoma visu wanafunzi wenzie na Kisha tungeona unapelekwa maakamani tungeona unaukumiwa miaka mingap na ulivyo fika jera ungeonesha akili zimeludije mpaka unaanza kukumbuka matukio ya nyuma Sema co mbaya sana umetisha👊
Big up kwa kikundi chote guys mumeweza mashaallah team nzima
Wawoooo watu WA Burundi tujuwane kwa link❤❤❤
❤❤❤
😂😂 mchumba amekuja geto i’m the first to comment please likes zenu tu😂❤
Clam never needed a doctor or a miracle to straighten his head ONLY one blow n he is fine😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂wallh
Kazi ya Bailam hiyo….agahahahah
Clam niatwa BROWN mi msani toka congo kweli na kubali kazi na tamani uni unge kwa groupe
Kama ni group hata mm nime❤❤❤❤
Cram vevo jmn anajuwa ten anajuwa San salut kak pambn
Sema clam ampigwa akarudi normal anyway much love❤❤❤ from 254🇰🇪
Umeona eeh
BIG UP YOURSELVES... Mnafanya Kazi Nzuri Sana Team BEST FRIEND
✌️✌️VevoClam🤟 Kanumba's grand son in acting
Burundi we there ✅
😂😂😂😂daaaah best friend inazidi kuwa tamuuu❤❤❤🎉🎉
Nimerudii kuangalia hii part 4 clam kwa sababu ya Charles maana ni juzi tu ulipoipost nikamuona sai hayupo tena pigo kubwa sana Allah ampe kauli thabithi😭😭😭
😢😢😢😢inauma
Ata mi nimekuja kuangakia tena aise yaniuma sana
😭😭😭
Charles 😭😭😭😭😭😭😭🙏
Amiin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Best friend n moto..kwan salsha mwigine kazaliwa au..acha tuone next episode 😂weka like❤
Just wow such an amazing one.......be blessed clam and your team following from saudi 🇸🇦 👏🏼 ❤️
Wa mwanzo kutizama best freind naombeni likes zangu ambae anafatilia best freind tia like apo
Clam wewe noma 100%😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Aseeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kaka unajitahid Sana hii ep 4 mpaka umenipa mzukaa aiseee umeipga kisomi zaidi brother Kama Kuna chance plz 🙏🙏🙏
Jamani mimi sijapata like hata siku moja basi na mimi Leo naomba
Pole dada uko wapi
Woyooooo CLAM you're a genius 😊..I watch this movie from Qatar 🇶🇦
No one will ever replace clam in bongo movie
Oya clam we ni m2 aina gan mi nkajua baada ya kuwaua wale walo mbaka Sasha na Sasha mwenyw kufalik movie itakua mwisho na kama itandelea itakua mbovu lkn idear ambayo mtu wa kawaida awezi we ni geneus kka kwenye tasnia ya filam we ni tz1 itafute Africa Sasa una uwezo mkubwa sana.mungu ibarik Kaz ya clam vevo
Clam vevo uko namba 1 tunampenda gisi unacheza