Biashara ndio kama hiyo,njia mbalimbali za kufanya biashara hii zimejadiliwa hapa ,na keki plus tupo kwajili ya subscribers wetu. Kama umekuwa ukitamani kufanya biashara hii basi sasa ndo wakati wake,unaweza ukatengeneza nyumbani au ukanunua uliotengenezwa ukapaki nakuuza. Wale subscribers mliopo mbali mnaweza kutuagiza. Lengo letu ni kuinuana na kutengeneza kipato . kama una swali ,maoni,au ushauri tafadhali acha comment yako utajibiwa
Asante,nafarijika sana nikisoma comment kama hizi@Love Bird sababu naona kweli mchango wangu unawafikia wahitaji..asante kuwa subscriber na kusapoti kazi yangu. InshaAllah Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi sote.
Kwanin ubuyu unakuwa mchungu? Yan huna ladha nilishwa kula wa namna hiyo ni mchngu , afu mengine ni inachubua je zinasababishwa na nini msaada ili tusifanye makosa km hayo maan mim mwenyew napenda kuuza kitu kizur
Ubuyu kuwa mgumu mara nyingine ni sababu ya sukari kukauka sana na kuupika ubuyu moja kwa moja kwenye moto baada ya kuuchanganya na sukari ,kwaiyo sukari yake itakuwa kama ya visheti itakauka... Uchungu labda rangi imezidi sana na sukari kuwa kidogo kwaiyo uchungu wa rangi ukasikikai,au rangi mbaya,
Jagi linaingia lita1 na robo...ila hata ukitumia la lita1 sawa tu...sababu bado utaichemsha sukari kupunguza maji ili iwe nzito...kwaiyo tumia kipimo chochote cha maji,kidogo zaidi itaokoa muda wako pia
Biashara ndio kama hiyo,njia mbalimbali za kufanya biashara hii zimejadiliwa hapa ,na keki plus tupo kwajili ya subscribers wetu.
Kama umekuwa ukitamani kufanya biashara hii basi sasa ndo wakati wake,unaweza ukatengeneza nyumbani au ukanunua uliotengenezwa ukapaki nakuuza.
Wale subscribers mliopo mbali mnaweza kutuagiza.
Lengo letu ni kuinuana na kutengeneza kipato .
kama una swali ,maoni,au ushauri tafadhali acha comment yako utajibiwa
Naomba mawasiliano dad Instagram unapatikana vp
Kekikpus.youtubechannel
Kama una ubuyu kilo 2 maji yanatakiwa kiasi gan
Umeeleza vizuri sana
Kwenye kukauka nd inanipa shida nifanyje
Ubarikiwe sana 🥰
Shukran sana allah akufungulie milango ya baraka
Mashallah ALLAH barik
Asante kwa maelekezo upo vizuri.asante.
Karibu
Shukrani,
Umeelezea vzur
Samahani kwan we upo sehemu gan
Niambie nikusaidiaje,feel free
Ubarikiwe sana dia
Asante sana
Asante mwalimu
👏👏👏karibu sana
Asante Kwa elimu ubarikiwa dear
@pendo Amina..nashukuru.ubarikiwe zaidi dear
Assante hilo jagi ni dogo ama nikubwa shukran
Mmm nimeipenda hiyo
Asante sana dear,
@@kekiplus1andonly Nimefanya ubuyu Jana lakin sukari hajakoleaa Naweza kurudia kutia ingine au haitawezekana?
Wow! Asnt sana dada barikiwa mnooo umeniinspire sn naanza leoleo mazoezi dada
umeshaanza?unaendeleaje?
Asantee saana maana natamanii nikaifanye lakini kwa sasa siko tz
Shukran dada
Karibu sana
Habari.sukari umeweka kilo ngapi?
Wewe ni super
@astidija asante,mimi na wewe wote wasuper
Mbona wakwangu haukauk?
Naomba unisaidie ili ukauke
:hayi
Shila unaiweka ikiwa ya moto kwenye mabuyu kiongizi
Nimependa elimu hii,uko vizuri dada.
Kama unauza jumla naomba namba zako ninahitaji ubuyu.
0789902906
Nimeenda ila me wangu haukauki izur nisaidie niweze kuukasha
Nikitaka ubuyu uwe mbichi usiwe na ule ungaunga ,, nifanyaje
Naweza PATA mafuta ya mbuyu kwako
Huwez Tunis sukar nyeupe?
Ahsante Dada masomo mazuri sana
@Astidija kashemeile asante sana pia..nafurahi unaponufaika.
Kama nikitaka kupima maji kwa gm napima gramu ngapi maana ma jug yanatofautiana
Mamy naomba kufahamu Hilo jagi ni la ujazo gani?
Uta fall ubuyu yake sukari msidiri na maji check link iyo kwa ufundi zaidi
ruclips.net/video/awtc_4jrIzU/видео.html
Asante,nafarijika sana nikisoma comment kama hizi@Love Bird sababu naona kweli mchango wangu unawafikia wahitaji..asante kuwa subscriber na kusapoti kazi yangu.
InshaAllah Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi sote.
Habari dada naomba kuuliza ubuyu ukiwa kilo 5 maji yanakuwa kiasi gani na sukari kiasi gani?
Mbona ubuyu unakuwa unangara km uleubuyu wazanzibar
Kama ubuyu umepika ukawa hauja toka vizurj unaweza kurudia tena naomba majibu
Km nataka kutengeneza ubuyu kindoo sukar kias gan
Ubuyu kindoo kuna kubwa na ndogo kwa ujuzi zaidi check link iyo ruclips.net/video/awtc_4jrIzU/видео.html
Nataman kufanya hii biashara nipo Musoma
Fanya dear,inalipa
Ubuyu kilo moja sukari kiasi gani??
Sukari pia kilo moja ndio cha Kwanza kabisaaa
Naomba mawasiliano yako please niko nataka nifanye biashar hiyo please naomba
Njoo instagram inbox
Kekiplus.youtubechannel
ruclips.net/video/awtc_4jrIzU/видео.html link iyo
Kwanin ubuyu unakuwa mchungu? Yan huna ladha nilishwa kula wa namna hiyo ni mchngu , afu mengine ni inachubua je zinasababishwa na nini msaada ili tusifanye makosa km hayo maan mim mwenyew napenda kuuza kitu kizur
Ubuyu kuwa mgumu mara nyingine ni sababu ya sukari kukauka sana na kuupika ubuyu moja kwa moja kwenye moto baada ya kuuchanganya na sukari ,kwaiyo sukari yake itakuwa kama ya visheti itakauka...
Uchungu labda rangi imezidi sana na sukari kuwa kidogo kwaiyo uchungu wa rangi ukasikikai,au rangi mbaya,
Mamii jagi ulotumia linalita gapi ili niweze kujua sijaelewa aina ya jagi samahani
Jagi linaingia lita1 na robo...ila hata ukitumia la lita1 sawa tu...sababu bado utaichemsha sukari kupunguza maji ili iwe nzito...kwaiyo tumia kipimo chochote cha maji,kidogo zaidi itaokoa muda wako pia
Ubuyu inakauka kwenye sufuria au vp
Hapana
@@kekiplus1andonly shukran