KAULI NZITO ILIYOTOLEWA NA OFICI YA MUFTI ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 15

  • @saidhomie3368
    @saidhomie3368 3 года назад +1

    Subhanna Allah, siku moja tu, mlango kufungwa imekua kesi kubwa ya kunyanyaswa na mtu aseme msikiti ufungashwe urudishe ulipotoka, au warudishiwe wa Omani? Kama kakusudia hivyo basi huyo anachuki za kupandikizwa, na hayo pats faida yoyote ile, Bali chuki hutia maradhi, tena yasio tibika, tujifunze katika matokeo na kauli kama hizo, na itakua bayana hatojificha kamwe, sasa amepata faida gani wenzio kujua una tabia mbaya na nyoyo chafu, Allah atustiri na aibu kama hizo.

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 3 года назад

    Tufanyeni ibada kisha tuombe Allah autingize ktk pepo yake kwa huruma na neema zake kama alivyo mneemesha mtume wetu Muhammad (s.a.w). Sio kwa ibada zetu ikiwa wanazuoni au wasomi wa madrasa hio wame sema kweli maneno hayo basi niwaz wanasoma na chuki moyoni.allah atunusuru na mabalaa hio hali ni mbaya na zinaleta chembe za kinafik ndani yake

  • @azamukha510
    @azamukha510 3 года назад

    Mtihani kweli

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 года назад

    Ilo ndo tatizo la kuwa kila mtu muandishi wa habari,wanahisi kila habari ni taarifa ya habari Allah atusaidie

  • @azamukha510
    @azamukha510 3 года назад

    Mtihani. Sisi. Wazanzibar

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 года назад +1

    ofisi ya wanafiq wakuu

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 11 месяцев назад

    Nyi wachokozeni wa Oman mtaona kwanza hamjiwezi

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 года назад +1

    Kama ni hivo walifanya kosa na fitina kubwa sio vizuri waislam tujitahidi kufata mafundisho na maelekezo ya dini yetu ya uislam

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 года назад +1

    ofisi ya mufti ni ofisi ya wanafiq

  • @samsungjprime-xx8re
    @samsungjprime-xx8re 3 года назад

    Maoni yangu mimi afatiliwe huyo alosambaza hizo fitna alochukuwa video akarusha akamatwe afahamishwe alivo fanya sio vzr kusambaza habari za fitna na uwongo

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 3 года назад

    Wana dawa walikuja kuomba kibali cha kwa sheikh mkuu cha kuhuburi dini wakanyimwa.aibu kwa wasaidizi WA mufti.viongozi WA mufti mkuu. Kunauzembe mkubwa na wamwinyi

  • @1964AliK
    @1964AliK 3 года назад

    Nikuchukuliwa hatua za kisheria aliefanya hivyo ili iwe funzo kwa wengine.

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 3 года назад

      Achukuliwe hatua gani ukamshataki wapi? Kwa sheria zipi, za kikafiri, waislam tunapokoseana huwa tunatafuta suluhu kwanza na kuweka mambo Sawa na maisha yakaendelea, usishangae kulikuw na kitu nyuma ya pazia haiwezekani wala haiingii akilini mtu anafanya usafi miaka 4 Sasa asijuwe kwamba siku fulani kuna darsa

    • @makamesilimaali
      @makamesilimaali 3 года назад +1

      Waislamu tutumie simu katika kuendeleza uislamu na Wala si kutoa madhaifu ya waislamu... Kwani hakuna mkamilifu ila Allah.

    • @AlexanderLacazet
      @AlexanderLacazet 4 месяца назад

      Wewe unaezungumza hapa ni munafiq Tena mnafiq