Kiukweli shaikh kipozeo ndiye angetakiwa awe mufti wa tanzania kwa juhudi kubwa za kuwajulisha watu kheri anazozifanya shaikh allah akulipe kheri duniani na akhera na usichoke kutupa fawaaid
Wallahi mola akuzidishie umri napenda kusikia mawaidha ya huyu shekh yaani ukweli uwasema na kukufurahisha mola akujazi kila lakheri na afya njema uzidi kutuilimisha Ameen yaraab
Asalam aleikum warahma tullah warakatu m mungu mtukufu akupe umri mlefu shewangu ili wengi waweze nufaika na mawaidha yako napia mungu kwa rehma zake atujaalie mwisho mwema.
Hebu kweli Sh. huyu anakuaga na stress kweli??? sababu sikosage kucheka ninapo fwata mawaidha yake. I like that Sh. Mashalah.
Kiukweli shaikh kipozeo ndiye angetakiwa awe mufti wa tanzania kwa juhudi kubwa za kuwajulisha watu kheri anazozifanya shaikh allah akulipe kheri duniani na akhera na usichoke kutupa fawaaid
imamu mponda
Hii akili ya hv ikienda bakwata inaharibika mazima
mashaallah allah akulipe kila la kheri kiongozi wetu
Subhannallah. Allah akulipe kila la kheri sheikh hilali kipozeo.
Asalamu Alakum shk hilale. Watu wa rufiji. Kama unavyo penda dini ya Allah. Namimi nakuombeya mapenzi ya M. Mungu. Ya dumu
kwako. I
Ameen ❤
Allihabibi shekhe kipozeo ,gawa dawa Allah atakuripa
Kila Mawaidha ya Sheikh kipoozeo Uwa sikosagi kucheka.
Samaki mwenye kiu ndani ya Maji l
Samaki mwenye kiu ndani ya Maji hata mimi 😂😂😂
Ya Allah tujalie Sisi na ma sheikh wetu umri mrefu ili watuelimishe
Mashaallah Sheikh Kipozeo Mawaidha yako mazuri sana.
Allah akujaalie kher in Sha Allah Sheikh wetu zidi kujulisha kher ndugu
Ma sha Allah! Sheikh Kipozeo una present vizuri sana. Shukran sana.
Allah Akbar.. sheikh wewe Mungu akuhifadhi. ..mimi napenda mawaidha yako mno
Allah Akbar napendasana Sauti yako
Mashallah mungu akubaliki Sana kwa ku2pa dawa amdulilai wabllamin
mungu atuepushe na shetani
Umesoma mashallah na napenda jinsi unajua kuikabili hadhira
Wallahi mola akuzidishie umri napenda kusikia mawaidha ya huyu shekh yaani ukweli uwasema na kukufurahisha mola akujazi kila lakheri na afya njema uzidi kutuilimisha Ameen yaraab
Jazaakumullah Kher
Mungu nimwema
i love ur sermons sheikh kipozeo....allah akuhifadhi
Mzee wa kupoza Aise huyu kiukweli ni Sheikh ambae nanae muelewa sana. Mungu amlinde popote aendapo Inshaallah
Asalam aleikum warahma tullah warakatu m mungu mtukufu akupe umri mlefu shewangu ili wengi waweze nufaika na mawaidha yako napia mungu kwa rehma zake atujaalie mwisho mwema.
Maashaallah
Jazakumullahu kheir Sheikh Kipozeo
Allah akbar mashallah sheikh Allah akupe umri zaidi na hekma yake
Mashallah kila nafsi itaonja mauti allah tujalie tuwe miongoni mwa watu wema
Jazakallah Kheir SHEKHE Hillal Kipozeo
sheikh allah akijaalia kwa kutuelimisha kupitia mawaidha yako uwaga unatuelimisha mno allah akujalie shukran
JazakaAllah kheir
Ma shaa Allah jazzakallah khayra
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH
Sheikh Nakupendea hicho2
Allah akulipe kheir
Allah wakbar
Allah aku bariki
mashaallah
Allah akuhifadh shekh
Allaah nimukubwa masha Allaah
jazakallahul khayr ya akhyl kareem
shukraan sana Masjid Mtoro. tunafaidika sana kwa kweli
Maaasha Allah nimefurahia kisa cha baba aliechukua epo na mzazi mtu. nimejifunza kitu Maasha Allah. ucha Mungu ni mzuri sana
Subhanalha mashalha
mashaalah sheikh
Mashaallah
maasha allah
Nimependa sana
Subhannallah. Allah akulipe kheri kwa elimu unayoitoa
Salehe Nassib mashaallhaa
Mashaallhaa
takjbiirr Allah Akbar
MASHAALLAH..!!
Mawaiza ya kujua njinsi ya mtume Mohammed rasul laah
Ma Sha Allwah
hahaha minahis ndo maana umeitwa kipoozeo coz mawaidha unawapooza nahao wanatamani waendelee kukusikiliza nimecheka sn mungu akulipe kheri
Masha allah
Subhana Allah
Mwamba kipozeo ktk ubora wake..
مشاءالله
Subuana Allah
kweli kabisa
ok sheikh
Allah Akbar
Upo sahihi shekhe wewe ni mkweli
Nakuelewa sana
Mzee wa mizigo mbona unapenda sana matako unafila nn
Mwenyezi Mungu akusamehe kwa maneno yako.
Allah akusamehe kwa maneno machafu
Naomba kisa cha as-habilkahf /watu wa pangoni
ماشاالله!! شيخ هلال
'
P
Ap
Mawidha yako mazuri
Shekhe mbona hujafika Zanzibar
Shuk'ran
Magoriyakagere
SRIFU rubatimatog
Vp hakuna mawaidha mapya ya Sh. Kipozeo?
Wgy
Ya Allah tujalie Sisi na ma sheikh wetu umri mrefu ili watuelimishe
Allihabibi shekhe kipozeo ,gawa dawa Allah atakuripa
Mashaallah
Alhahu akbaru Alhahu akbaru Alhahu akbaru Alhahu. 😂😂😂😂
mashaallah
Mashallah
mashaallah
mashaallah