Bc km ni biashara hao aliofanya nao deal ndo wamechomesha kila kitu..psychology yangu inaniambia ht hao wanaowaita wezi inaonekana ni watu kbs wanaomfahamu IN &OUT kbs ..na sometimes walishamfanyia Research huyu jamaa kuwa ana tabia ya kuweka fedha kwa gari
We mtangazaji wakat unahoji jiwekee maik ili tusikie unamuuliza muhsika swali gani yani mahojiano yako hayako sawa mana anayejibu hatujui umemuulza swal gan
@@Yana_queen1wafanyakazi wa bank baadhi sio waaminifu wanashikiana na majambazi kuwapa atarifa za wateja, jiulize mara nyingi haya yanawakuta wateje waliotoka bank wanajuaje
HAIINGII AKILINI;MILIONI 70 UNAZIWEKAJE KWENYE GARI KIZEMBE? HALAFU WATU WAKO HAPO MBONA HAKUNA KINACHOFANYIKA? NAONA NI KAMA MCHONGO FULANI UMEFANYIKA;SIAMINI KAMA NI WEZI HAO:::::
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Kavaa vizuri kapendeza kumbe ni mwizi kweli siri ya mtu na tabia yake Mungu ndiye ajuaye
Bc km ni biashara hao aliofanya nao deal ndo wamechomesha kila kitu..psychology yangu inaniambia ht hao wanaowaita wezi inaonekana ni watu kbs wanaomfahamu IN &OUT kbs ..na sometimes walishamfanyia Research huyu jamaa kuwa ana tabia ya kuweka fedha kwa gari
Hao wanapatikana mara moja na watashikwa kama kuku.wasiotaka kufanya kaz kwa jasho .
Yaan hiii ishuuu inaonekana ni watuu wanaomfaam cz magar ykoo mengi hpooo
Ila kweli ajari eti haina kinga ila nyingine zina kinga. Utaachaje pesa zote kwenye public area?
Na nyie kanisa, pamoja na camera muweke pia walinzi,, mfano magari yasitoke kabla ya ibadan kuusha, n.k.
Napenda sana wali upo hapo
We mtangazaji wakat unahoji jiwekee maik ili tusikie unamuuliza muhsika swali gani yani mahojiano yako hayako sawa mana anayejibu hatujui umemuulza swal gan
Jamaa washamba sana unaiba mbele ya CCTV 😂
Wenzetu wana hela kweli.mimi siwahi kushika hata m2.
Yaani unaacha pesa kwa gari zinaonekana namna hiyo. Something fish
Kweli
Jmn yaani watu washajiheba Kweli unai a mchana kweupe hivo jmn
Walioiba hawana bahati CCTV camera tena wamekuja na gari zen plate number aisee
Hapo polisi wasipo wapata watakua wameamua tu 😢
Mnakuja kuiba kanisani kwetu mshindwe na mtakamatwa mchana kweupe
Aliyeibiwa itakuwa keshawajua waliomwibia...
Ni wizi wa aina gani ambao haukubaliki na unastahili adhabu kali?
Dawa Yao kama Kongo kuua tu Hawa mbwa
Angeingia nazo kanisani jamaani zaidi ya mmillioni 70😢
Kwan alijua yatatokea ayo
Kwa hapo sidhani kama watapona maana wameonekana clear kabisa
Kuonekana sio kitu....ila kuwakamata ndo issue.
Huyu atakuwa hatoagi fungu la kumi
Hawa wamemfatilia kutoka mbali.
Milion 70 yote ya nn anaacha kwenye gari anaakilinkweli
Ndugu kuna wary hiyo ni petty cash kwao
Mengine ni kumjaribu Mungu
Yaani bwana mmiliki wa pesa alijisahau sana
Ololoo
Hivi kweli mtu unaendaje nan hela nyingi kwenye ibada jamani si angeingia nazo kanisani
Wezi ni watu wake wa karibu aliohesabu na kuagana nao anakoelekea 🎉
simulizi ni nn
Simulizi ni mazungumzo.
Bank pia wanachangia
Hebu tueleze kivipi ndugu
@@Yana_queen1wafanyakazi wa bank baadhi sio waaminifu wanashikiana na majambazi kuwapa atarifa za wateja, jiulize mara nyingi haya yanawakuta wateje waliotoka bank wanajuaje
@Miriam ilo nalo nenoKhalid
Kwanini atembee na ela nyingi ivyo
Zabiashara unakut mtu ameuza vzur jmos jpl utapelekej bank nakama nizampesa
Aliyechukua anafaham mchongo mzima
Aliechukua nin
Kwa hiyo ni simulizi haina ukweli kuwa ni milioni sabini
Wezi wameweka plate namba fake ya gari wakimaliza mchongo wanaitoa wanaweka nyingine,
Awakujua kama kutakua na cctv ndio maana wamevunja kiocha gar
Wanaonekana wazi kabisa watakamatwa
HAIINGII AKILINI;MILIONI 70 UNAZIWEKAJE KWENYE GARI KIZEMBE? HALAFU WATU WAKO HAPO MBONA HAKUNA KINACHOFANYIKA? NAONA NI KAMA MCHONGO FULANI UMEFANYIKA;SIAMINI KAMA NI WEZI HAO:::::
Ao niwatu watatu wanachor raman wanajifany kuzugazuga nanipes ya biashara
Shangaa