Na mashabiki wa yanga ni mambumbumbu.. Wameshinda mechi Tatu wameshafunga kama Timu bado mbovu inahitaji Marebisho.. Lakini simba pamoja na ubora waoo lakini bado viongozi wanasema wanataka kuongeza mashine. Mpya. Hapo ndo tofauti ya Timu bora.
Wangekuwa bora wangeleta wachezaji bora kama Al Ahly na mamelody sundown, hizo hela wanazofadhili vilabu zaidi ya sita ili wapate matokeo waendelee kubeba ubingwa kwa mbeleko, wangeekeza zaidi kuleta wachezaji bora wa kupambana klabu bingwa. Inafikirisha sana😢😢😮
Ila hawajui kama wanawakomaza Simba kucheza kwa ubora zaidi kimataifa, wao wàache wacheze kwa kufanya wanayoyafanya mwisho wa siku huko mbele hakuna bahasha Wala vikao.
Mnajisahaulisha Kwamapenzi Ya Hovyo Mnasahau MechibNa Yanga Waliwaumiza Wachezaji Wa Yanga Wawili Aliumia Boka Akaingia Kibabage Nae Akumia. Kila Mmoja Apambane Nahali Yake
Alafu kaka 🐸vyulala wameusika pakubwa sana🐸lakin mungu yupo ubaya wao utajulikana tu misindano yao itajulikana tu tuvute subla tu vitakuwa azalan sun tu
Sasa kama wanacheza na mashabiki wa yanga Walianza kusema hawamtaki injinia. Baada ya Luigi kumuendea Kimbo? Injinia kaamua kujiongeza kuhonga Timu pinzani na marefa. Ili. Wapate matokeo..
HILI SUALA LA FEI TOTO KUSAJILIWA SIMBA,KWANINI LINAONEKANA NI SUALA MUHIMU SANA? FEI NI NANI? ANA UMUHIMU GANI KWENYE TIMU YA SIMBA? KWA MAANA HIYO BILA YEYE SIMBA HAITOBOI? ACHENI UPULULU HUO WA KUELEZA VITU AMBAVYO HAVIPO.
Wanahonga Hadi TFF duuuuu hakika mpira wa bongo unatawaliwa na mahongo tuuu na bd tunawaletea Ubayaaaaa Ubwelaaaaaaa tuuu mwanzo mwisho si kwa wakubwa hata wadogo
Utadhan Tff wamekula rushwa! Ligi yetu imeuzwa kinachochezwa ni vichekesho tu. Timu inafungwa kwa penati hewa kipa anacheka. Goli linafungwa kwa mkono na wachezaji pinzani wote wameona kisha wanakwenda katikati kuanza mpira bila hata kulalamika kuna ushindani kweli hapo ? Kuna timu imenunua timu za ligi kuu zaidi ya 6 ili isipate upinzani inapocheza nazo. Na hayo yameonekana wazi bila kificho. Tff inajifanya haioni. Wakadhamini na Aly Ahly ya Sudani kama wanaubavu huo basi. Matokeo ya rushwa hizi ni kuburuza mkia kwenye clab bingwa ambako hakununuliki.
Safi sana bro umeongea vizuli sana mungu akuongoze bro simba nguvu1 ubaya ubwela❤❤
Na mashabiki wa yanga ni mambumbumbu.. Wameshinda mechi Tatu wameshafunga kama Timu bado mbovu inahitaji Marebisho.. Lakini simba pamoja na ubora waoo lakini bado viongozi wanasema wanataka kuongeza mashine. Mpya. Hapo ndo tofauti ya Timu bora.
WAMEFILISIKA KI FIKRA NA KIUCHEZAJI.....NDIOMAANA WANATAKA SIMBA IFUNGWE LAKINI DAFARI HII UBAYA UBWELA❤
HZI TIMU ZIKICHEZA NA SIMBA HUWA WANAKAMIA SANA ILA IKICHEZA NA YANGA HUWA WANALEGEZA KM HUAMI I UTAONA WATAKAVYOCHEZA NA SIMBA
HUWA WANA AHIDIWA PESA WAKICHEZA NA SIMBA ILE GAME WALIAHIDIWA ML100 KAMA WANGESHINDA
Watoe ahadi washinde cuf champion
Wangekuwa bora wangeleta wachezaji bora kama Al Ahly na mamelody sundown, hizo hela wanazofadhili vilabu zaidi ya sita ili wapate matokeo waendelee kubeba ubingwa kwa mbeleko, wangeekeza zaidi kuleta wachezaji bora wa kupambana klabu bingwa. Inafikirisha sana😢😢😮
❤❤❤❤❤❤❤❤
WALIKATAA GOLI LA KIBU D REFA ALIFELI SANA
Hakika bro,goli safi nilishangaa sana why limekataliwa
Hiv mbona wanavyo fanyiwa simba kwayanga havifanyiki? Au wanayanga ndio wanao watuma? Kwamaana yanga ingekua inafanyiwa ugum na vitibwi wasingekua wanapata ushindi kabisa.
Wanaotoa hela ni Watu wa Yanga
Ila hawajui kama wanawakomaza Simba kucheza kwa ubora zaidi kimataifa, wao wàache wacheze kwa kufanya wanayoyafanya mwisho wa siku huko mbele hakuna bahasha Wala vikao.
Sema wangehama na nchi
Sema wangehama na nchi
Mnajisahaulisha Kwamapenzi Ya Hovyo Mnasahau MechibNa Yanga Waliwaumiza Wachezaji Wa Yanga Wawili Aliumia Boka Akaingia Kibabage Nae Akumia. Kila Mmoja Apambane Nahali Yake
Alafu kaka 🐸vyulala wameusika pakubwa sana🐸lakin mungu yupo ubaya wao utajulikana tu misindano yao itajulikana tu tuvute subla tu vitakuwa azalan sun tu
Broo upo sahihi yanga iki cheza mpira kaka mpira. Tutawaonea huruma Sana.. Ila mipango ndo inawapa fraha.
Hata huyo unayeongea nae nae arinuna arafu nakaa nae mtaa mmoja
Huyo mwandishi ni utopolo
Simba ss hatutishiwi nyauuuu na tumewapiga watoto waoooo waliowatuma fyoko fyokoooo
Ndo maana mpira africa haukui janja janja nyingi
Walikamia sana kwasababu ya kuahidiwa pedha
Asikuumize kichwa huyo muandishi, Utopolo huyo.
Nyie mtabebwa mwanzo mwisho ubingwa wenu
Tatizo ni TFF wanapewa rushwa na GSM ili wafumbie macho ushenzi unao endelea kwenye ligi ya hovyo
Goli la kibu lililokataliwa halina tofauti na goli lililokubaliwa la makambo tbr dhidi ya...malizia.
Wampe refa waoooo yuleeeee wa Simba na Yanga tenaaa pesa
SINGIDA WALIAHIDIWA HELA HAO WANAOAHIDI KUTOA HELA HAO NDY WANAOHARIBU MPIRA. NDY MAANA MPIRA WETU HATUENDI MBALI. SNGIDA WALIKAMIA SANA NA RAFU SANA
WALIAHIDIWA ML 100 ASEEE
Simba tunashinda Kwa nguvu ya MUNGU tuuuuu wale wahonga hera wazidi kuhonga timu zinazocheza na Simba
Kuna utopolo walivunja meza.ya watu kwenye vibanda umiza
Sisi tunaonewa
Wewe mwandishi choko nini?
Sasa kama wanacheza na mashabiki wa yanga Walianza kusema hawamtaki injinia. Baada ya Luigi kumuendea Kimbo? Injinia kaamua kujiongeza kuhonga Timu pinzani na marefa. Ili. Wapate matokeo..
Hili lakufungwa singida wamefungiwa wengi nakubaliana nawewe
Amethibitisha wap mbn kuna waandishi wa habari wa hovyo tena unamwita allaahbila aibu
Basi wakatoe pesa tenaaa mzunguko wa pili hata caf wakatoe hongo matopolo
We kavae madaso
WAONGOO HAWAAA
TFF ijitafakari ligii inavurugika magoli mengi ni ya mchongo ligi inavurugwa Karia amka kaka aibu ni kubwa mpira unaharibika
UBAYA UBWERA,,WAAMBIE HAO NYUMA MWIKO,,TUMEKAA SANA JUU YAO,,GSM ATENGENEZE MAJAKET BADALA YA BLANGET,,MAANA BARIDI NI KALI...OYAAA.
HILI SUALA LA FEI TOTO KUSAJILIWA SIMBA,KWANINI LINAONEKANA NI SUALA MUHIMU SANA? FEI NI NANI? ANA UMUHIMU GANI KWENYE TIMU YA SIMBA? KWA MAANA HIYO BILA YEYE SIMBA HAITOBOI? ACHENI UPULULU HUO WA KUELEZA VITU AMBAVYO HAVIPO.
Kabisa ni km bongo movie na ndio maana kimataifa wanasuasua sn
Pesa za ahadi zimewaponza
Tumechoka na hili la Fei Toto, let’s I story zingine
Mwandishi mwenyewe kichaa
Sawa
Kalikataa goli halali la kibu,
Wanahonga Hadi TFF duuuuu hakika mpira wa bongo unatawaliwa na mahongo tuuu na bd tunawaletea Ubayaaaaa Ubwelaaaaaaa tuuu mwanzo mwisho si kwa wakubwa hata wadogo
yan uyu mwandish wa habar nimsenge sana we ni mchawi fs
Wataelewa tuuu Hatutishwi
Chezeni mpira. Acheni maneno midomo yenu itawaponza. Yanga hii hakuna wa kuifunga tena.
Heeeeehhhhhh!! Mara hii? Ndo Yanga hii unaifungaje eti?
Kafirweee kwanza
Nikwelihakunawakuifunga utaona
kamdomo yangaitafungwatu
Mwandishi hana ajualo
Hvy hvy wanavyocheza tunacheza naoo hvy hvy kidadeki zaoo
Leteni wachambuzi siyo comedian. Sikilizeni Miraji Maramoja podcast zake unafurahi, hapa unasikiliza hakuna analysis yoyote
Singida Jana walikuwa kama mataira kulaumu kila kitu
Ovyo kabisaa
Kwanini timu huwa zinaahidiwa pesa kwa ajili ya kuifunga Simba tu na sio timu zingine?
Haaaaaaa watapata taaaabu sana
Mtangazaji hujui kuhoji wee chura jumla.
Utadhan Tff wamekula rushwa! Ligi yetu imeuzwa kinachochezwa ni vichekesho tu. Timu inafungwa kwa penati hewa kipa anacheka. Goli linafungwa kwa mkono na wachezaji pinzani wote wameona kisha wanakwenda katikati kuanza mpira bila hata kulalamika kuna ushindani kweli hapo ? Kuna timu imenunua timu za ligi kuu zaidi ya 6 ili isipate upinzani inapocheza nazo. Na hayo yameonekana wazi bila kificho. Tff inajifanya haioni. Wakadhamini na Aly Ahly ya Sudani kama wanaubavu huo basi. Matokeo ya rushwa hizi ni kuburuza mkia kwenye clab bingwa ambako hakununuliki.
Tff wamesajiliwa na gsm na injinia na shindano na uchawi,tff wanaharibu mpira sn
Tff wenyewe ni yanga ndiomaana wanainyamazia yanga inayobebwa
Waandisha makuma san
Tff wameajiriwa na gsm na injinia
Huyo mwandishi katumwa huyo
Si umtie kibao huyo mbwa anaekuhoji
Nyie ni matapeli kichwa cha habari ni tofauti na kinachosemwa pumbavu nyie