AKIRI KUWA MCHAWI NA ANAKULA NYAMA ZA WATU SEHEMU YA 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 176

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 года назад +7

    Subhana Allah bahati yako dada Mwenye Enzi Mungu ana kupenda kwa kweli zidisha imani kwa wingi,Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab na atu hidi wote allahumma ameen yaarab jamian

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 3 года назад +5

    Subhanallah Subhanallah pole ndugu yangu mtihani mungu Atunusuru sisi sote umma wake bwana
    Mtume rehema na Amani Ewe juu yake Subhanallah

  • @idrisaabdillahibpxkijykbs4162
    @idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 года назад +12

    Sheikh Salum Mardhiya ni jirani yangu Welezo pale.Allah amjaalie afya njema na maisha marefu

  • @issapilipili7722
    @issapilipili7722 3 года назад +2

    Habar nzito Sana mungu mkubwa Sana, wanajifnyaga mafund Sana Hawa wachawi, subhana Allah Allah Akbar

  • @adamsalim6863
    @adamsalim6863 3 года назад +1

    Salam aleykum sheikh itakuwa vizuri tukizipata na sisi hizo dua InshaAllah

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 года назад +6

    Subuhanalla jazaka llahu hery mungu amuhifadh mardhya wetu na Allah awaangamize wachaw wote

  • @walidabdulkarim1055
    @walidabdulkarim1055 3 года назад +1

    Subhanallah Allah akuhifadhi na ahifadhi waislamu wote Allahuma ameen

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 3 года назад +14

    Hio dua tuijue jamani sheikh Mardhiyya

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 3 года назад +2

    ALLAHU AKBAR ☝️. LAILAHAILALLAH MUHAMMAD RASULULLAH! 🤔 Yaa rabby tuctiri waja wako na mitihani mizitto kama hii na mengine.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 года назад +4

    Allah akuongeze Dada yetu katika mwanga huu ,wa Nuru

  • @kariukijohn148
    @kariukijohn148 3 года назад

    Yesu ndiye njia taja tu jina lake bas utapona dada Zangu waislamu njoni mpoke uzima wa Milele.

  • @madinakheri487
    @madinakheri487 3 года назад +4

    Wachawi muogopeni Allah jaman, Mimi siwapendi kabisa waharibu sana maisha ya watu

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 3 года назад +10

    Allah Akbar, Sheikh wangu Salm Maridhia Mwenyez Mungu akuhfadh kw kla la Kheir kuanzia ww had familia yako. Japo kua Wanga wanajutia uwepo wako

    • @hashimmhashim2663
      @hashimmhashim2663 3 года назад

      اللهم آمين يارب العالمين

    • @mwalimjuma7374
      @mwalimjuma7374 3 года назад

      S/alykum.
      Naomba kuuliza Huyu sheikh salum mardhia anapatikana wapi?

    • @jinamwige9614
      @jinamwige9614 3 года назад

      6 y

    • @jinamwige9614
      @jinamwige9614 3 года назад

      Vg

    • @khurtumhussain9064
      @khurtumhussain9064 3 года назад

      Subhanallah huo mtihani,sheikh Maridhia maomba dua kwako ya kuondosha mitihani Insha allah,

  • @anitacizaa413
    @anitacizaa413 3 года назад +11

    Subuhanallah Allah akbar Allah atukinge nawa chawi polesana dada yetu
    Allah amuzidishie Shekhe Mardhiya umuli mukefu .wenyekheri na baraka.❤️🙏🤲

  • @ummyhaji5835
    @ummyhaji5835 Год назад

    Mungu amssamehee mama huyu na SS atusitirii🤲

  • @ummunowtharaddoussiyaljabj740
    @ummunowtharaddoussiyaljabj740 3 года назад +2

    SubhaaanallAh Allah atuongoze, lakini pia tumtegemee Allah jamani tuache kumtegemea kiumbe wa Allah, turejee kwa Allah jamani, Yaa rabby tuongize na tustiri, Aamin Yaa rabby.

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 3 года назад +6

    Hizi Hadithi tushazizoea kwa Davista Mata, tofauti yake hii ipo Kizenji zaidi.
    Tunawaomba mtoe sana visa vya aina hii, vina mafunzo mazuri sana.

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 3 года назад +1

    Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu.

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 года назад +8

    Masha Allah Watamaman, Zinjibar tv very emotional story😢😅 so much to learn from it, very brave lady..

  • @hamzaselemani209
    @hamzaselemani209 3 года назад +1

    Allah umzidishie shekhe sarim maridhia

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 3 года назад +2

    Ewe mwenyezi mugu mwingi mpatie shekh salum marthiya maisha marefu yenye afya na barka azidi kusaidia waislam na wasokuwa waislamu yarabi

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 года назад +1

      Ameen yaraab alamiin

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 3 года назад

      Tapeli tu yule na mpenda mizigo

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад

      @@mangofish9079 🤣🤣🤣🤣Wajinga Waliwao Stori Yoooote Kumbe Tangazo La Biashara.

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 3 года назад

      @@mangofish9079 alikutapel nn akhy?

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 3 года назад

      @@salimsaid7200 sawa kwa kuwa we ndy alivykwambia haina neno

  • @saidomar1408
    @saidomar1408 3 года назад +3

    Allahumma ajirna Minal mushrikiin ya jabbar

  • @jamilajumaa2980
    @jamilajumaa2980 3 года назад +7

    Yarab stara kwa sisi viumbe wako na hii mitihani mikubwa ya dunia

  • @amourabdallanassor7978
    @amourabdallanassor7978 3 года назад +4

    Subhanallah laa ilaha illa anta subhanaka inna kunna mina dhwalimiin

    • @salimhamad7965
      @salimhamad7965 3 года назад

      Innii kuntu minadhaalimiina ndio hii sawa

  • @zahormbwana690
    @zahormbwana690 3 года назад +1

    shekh salum asibabu t aliy mrejesha allah mungu atusamehe mazambi yetu ishaallah

  • @aa-bk3ej
    @aa-bk3ej 3 года назад

    Daa pole sana dada mungu ndo kila kitu

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 3 года назад +1

    Mh...dunia ina majaribu Sana m/mungu atunusuru na haya majanga

  • @legend9805
    @legend9805 Год назад

    Zinjibar tv tafadhalini jaribuni kuondoa hizo background sound. Jazakallah kheir

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 года назад

    SUBHANNA ALLAAH SASA TUSAIDIENI NA HIZO DUWAA PIA TUZIJUWEE KWA KUJIKINGA NA MAJANGA KAMA HAYOO PLZZZ ,PLZZ, PLZZZ NA INSHAALLAAH KWA RAHMA ZAKE ALLAAH AZIDI KUMLINDA NA KUMHIFADHI NA KUZIDI KUMNUSURU HUYU NDUGU YETU BIBI FATMA YAARABY AHIFADHI HILI NA MENGINEYO NA KWA KIILA WENYE MITIKHANI HIYO YA LAANA ZA KISHEYTAAN NASI MMUNGU ATUPE MANUSURA NA HIFADHI YAKE ALLAAH NA YAARABY ATUPE KHAATIMA NJEMA YAARABY🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @rahmapesazangu934
    @rahmapesazangu934 3 года назад

    Wanga wabaya Sana Allah awaadhibu

  • @mwachipangahalima2504
    @mwachipangahalima2504 3 года назад

    Inalilalah waina ilaiyhi rajiun 😭😭😭umekufa katka hal hyo utaenda jbu nin 😭😭😭😭 yaaraby tuongoze katka njia Bora yaaraby 🤲😭😭😭😭😭

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 года назад +1

    Subhaana Llah! Yapo hayo. Allah atuepushie mbali.

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 года назад +1

    Allah azidi kuku kinga na akuzidishiye imani na sisi pia aturaisishiye pia kutuniya tungali na akili timam

  • @HakizimanaZainab
    @HakizimanaZainab Год назад

    Subhanallah dua ni silah

  • @amirkhamis3162
    @amirkhamis3162 3 года назад

    Pole xana mama mkwe kwa matatizo mitiani ya kidunia

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 3 года назад +2

    Dunia inamambo na mitihani yake pole sana dadangu

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 года назад +1

    Allah akbar Allah akbar Allah akbar

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 года назад +4

    SubhanAllah

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 года назад +2

    Pole dada tubu kwa mola wako

  • @mariamfatuma9137
    @mariamfatuma9137 3 года назад +3

    Asalaam aleiykum warahmatulahi wabarakatu ss sheikh wangu mtu akitaka Kuja huko kwako ana kujaje ama ana fikaje? Pia mm nami niko na tatizo kama hilo na nigeomba pia mm niondolewe na huwo mzigo nita kupataje sheikh

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +2

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 3 года назад

    Allah Akbar Allah Atuhifadhi

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 года назад +1

    Hasbunallah eaniimalwakil yarab tustir waja wako alhamdulillah Allah amekuoa Yarab tuongoxe katika njia iliyonyooka😭😭😭 Subhanallah mtihan Allah atustir yarab rehmatik 😧😱

  • @omarsalim5389
    @omarsalim5389 3 года назад

    Allahu akbar allah atakuhifadhi wewe na sisi sote na balaa za uchawi

  • @azgaraligulamhusseinnargis5949

    Loooh hawa mashangazi wbaya

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +4

    Subhanallah

  • @fatimafa3434
    @fatimafa3434 3 года назад

    Dah pole sana wajina

  • @Awatee
    @Awatee 3 года назад +4

    Subhana ALLAH

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 года назад

    pole saaan Allah kareem

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад +2

    Pole sana dada etu

  • @azizazzzz8043
    @azizazzzz8043 3 года назад

    Subuhaallah Allah Akbar

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 10 месяцев назад

    Mungu awalani wanga

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад +2

    Allah atuhifadhi na ubaya wa viumbe vyake Subuhannallah

  • @zahrathassan5199
    @zahrathassan5199 3 года назад +2

    Shekh salim mardhiya nahitaji kumjua na mimi nimpeleke mwanangu anasumbuliwa na masheitwani naomba msaada ili nimpate niko dar

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 года назад

      @@mamussi6872 yuko hapo kwa screen hapo

    • @zahrathassan5199
      @zahrathassan5199 3 года назад

      @@mamussi6872 sawa shukran

    • @Zinjibartvzanzibar
      @Zinjibartvzanzibar  3 года назад +1

      Naitwa Sheikh Salum Mardhiyyah namba Zangu ni +255756876777 whatsap n call

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 года назад

      @@Zinjibartvzanzibar Tangazo La Biashara Pumba Wacheni Kupotosha Watu M.mungu Anawaona.

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад +2

    Subhanallhaaa

  • @jamilarajab4610
    @jamilarajab4610 6 месяцев назад

    dua gan iyo tufundishe

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 года назад +4

    Shangazi kaliwa yeye Allah atuongoze

  • @popoali6641
    @popoali6641 3 года назад +2

    Number two

  • @sarajohn4703
    @sarajohn4703 3 года назад +1

    We ndug mtangazj Maridhya hawez kumrejesha mtu eka saw kauli yko

  • @thuglifeforever7042
    @thuglifeforever7042 3 года назад +1

    Subhaanallah

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +3

    سبحان الله

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 3 года назад +1

    Muifanye ndefu kidogo

  • @abuunuumanabdallah3922
    @abuunuumanabdallah3922 3 года назад +1

    Allah atupe nusra yke mtihn

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 года назад +1

    Subbbna Allah

  • @azizazzzz8043
    @azizazzzz8043 3 года назад

    Subuhanallah 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @zawadi9998
    @zawadi9998 3 года назад

    Allah tustir wajawako yaaarabi wabaya niweng

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +2

    Nimewahi

  • @welcome-qk6ps
    @welcome-qk6ps 3 года назад +1

    Hasbiyallahu waneema lwakil zidisha imani Allah kareem raheem tunaomba hiyo duaa nasi tufaidike

  • @sharashoka5260
    @sharashoka5260 3 года назад

    Umeolewa mama

  • @hamzaselemani209
    @hamzaselemani209 3 года назад +1

    Shekhe naomba kuliza vp Kuna kharama yakukutana na shekhe

  • @aishaaisha4695
    @aishaaisha4695 3 года назад +1

    Allah atustir yaraby

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 3 года назад

      Huyo shaykh mwenyewe alikua ana ona vipi mpaka asitake kusimuliwa

  • @nurshariff2546
    @nurshariff2546 3 года назад +1

    Natumai hii ni tru story isiwe baadae tuskie no acting

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 года назад

    Duh pole

  • @khalfaniseleman7344
    @khalfaniseleman7344 3 года назад +2

    Sheheh unapatikana wapi

    • @ashamtwana7691
      @ashamtwana7691 3 года назад

      Shekhe unapatikana wapi pia naitaji naomba unisaidie na shida na ww

    • @ashamtwana7691
      @ashamtwana7691 3 года назад

      Naomba naomba naomba namba zako

  • @sophiasophia4668
    @sophiasophia4668 3 года назад

    Ata mimi nimerogwa naitaji msaada nitampata huyo sheikh wapi

  • @harounsuleiman5231
    @harounsuleiman5231 3 года назад

    Tunataka iyoo duwa alokuandika kwa karatasi

  • @aishasuleimantabwara4954
    @aishasuleimantabwara4954 3 года назад

    No. Ya sheikh salim tuweekeni hapo

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад +1

    Nimtihan sana

  • @mwachipangahalima2504
    @mwachipangahalima2504 3 года назад

    😭😭😭😭😭subhana Allah

  • @latwifamaliki9341
    @latwifamaliki9341 3 года назад +2

    Subhana'Allah😢😢

  • @selemanali5053
    @selemanali5053 3 года назад

    Shehe dua gani hio

  • @cadhimberec1286
    @cadhimberec1286 3 года назад +2

    Tuwekeen hyo namba ya shehe maridhia wengine tuna mama zetu wadogo wanga tunataka tuwanusuru

    • @Zinjibartvzanzibar
      @Zinjibartvzanzibar  3 года назад +1

      +255756876777 Salum Mardhiyyah

    • @cadhimberec1286
      @cadhimberec1286 3 года назад

      @@Zinjibartvzanzibar Asante shukran sana

    • @thaaneyamohamed6143
      @thaaneyamohamed6143 3 года назад +1

      Pole sana

    • @mamushabani6181
      @mamushabani6181 3 года назад

      Yaan miye naoteshwa km hivyo muda mwingine naenda makaburin nataka kupaishwa na ungo yaan ni jiran yangu namuona kabisa ila Allah ndo anajua na huwa akitak kufanya ubaya nakuwa naosoma dua sana anashindwa yaan uchawi Allah atunusuru kabisa

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 года назад

      @@Zinjibartvzanzibar HABARI KUBWA HII NDUGU ZANGU ALLAH AWAHIFADHI KWAKILA HALI,..
      WAZO LANGU FANYENI INTERVIEW NYINGI KAMA HIZI NA MZISAMBAZE MITANDAONI ILI KUHAMASISHA UMMAH UREJEE KUMTEGEMEA ALLAH.
      HALI NI MBAYA SANA HASA KWA MAMA ZETU NA DADA ZETU WANAKIMBILIA MAKANISANI NA KURITADISHWA KWA MATATIZO HAYA.
      SABABU HAWAONI KAMA DINI YA UISLAM INAZIWEZA CHANGAMOTO HIZI.
      MAKAFIRI KWA USHUHUDA KAMA HUU WANASAMBAZA NA KUWAAMINISHA WATU YESU ANAOKOA KISHA KUNDI LA WAISLAM WASIO NA IMANI WANAKAMATWA MTEGONI.
      KWAAHIYO MASHEIKH ALLAH AWAWEZESHE MTUMIE NJIA HII ITASAIDIA ILI WENYE CHANGAMOTO HIZI WARUDI KTK DINI YAO KUTAFUTA UFUMBUZI.

  • @زينبتنزانيا-غ2ه
    @زينبتنزانيا-غ2ه 3 года назад +2

    Duuh dada pole Sana Allah azidi kukupigania natetemeka mimi huku omani jamani

    • @umfarid247
      @umfarid247 3 года назад

      Mungu awalaani wachawi awaunguze spa spa duniani kuwadhulumu wenzao

  • @mariamfatuma9137
    @mariamfatuma9137 3 года назад

    Mm sio mukaazi wa huko kwenu mm ni mukaazi wa Kenya

  • @sikudhanjuma3987
    @sikudhanjuma3987 3 года назад

    Iyo dua tafadhal naomba muniandikie hpa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад +1

    Duu inauzunisha polesana Allah kabila

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +2

    اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎

  • @maimunajailosi4452
    @maimunajailosi4452 3 года назад

    Kila kitu kinamwisho

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 года назад

    Mitihaniii

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 3 года назад +1

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    Mi nauliza uyo ukhti kashaolewa??

  • @amourabdallanassor7978
    @amourabdallanassor7978 3 года назад +2

    😭😭😭

  • @MohamedMahmoud-ze7cn
    @MohamedMahmoud-ze7cn 3 года назад +2

    Naweza kupata namba za shekh

  • @hamadamour4188
    @hamadamour4188 3 года назад +1

    Napata kigugumizi kwa hii simulizi manake ukiliza ..

  • @sarajohn4703
    @sarajohn4703 3 года назад

    Zinji Tv msipeleeke watu Kwny shirki na kumtegemea mtu kama ndo mwenye tiba za za uchawi Bali wapeni watu tawhid wapate wamtegee Allah na sio tiba za mtu

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 года назад

    Hakuna kufupisha tupe story yote ili sisi nasi tupone

  • @sharashoka5260
    @sharashoka5260 3 года назад

    Pole sana

  • @amenamaashaallahyasheikh3457
    @amenamaashaallahyasheikh3457 3 года назад +1

    Allahu akbar

  • @amandasaloon1652
    @amandasaloon1652 3 года назад

    Sawa dada pole ila huyo SHEHE anatumiya dawa sisi kwa YESU tunatumiya neno tu na mtu anafunguliwa

    • @hadijayusufu9414
      @hadijayusufu9414 3 года назад

      Amand huna haya wew Yale mafuta ya upako ulijua yameshuka kutok mbinguni unavosema kwa yesu ni neno labd usichojua ni kwamb Iman bla akili ni bure Amanda saloon

    • @hadijayusufu9414
      @hadijayusufu9414 3 года назад

      Pole ndug Allah akufanyie wepes na udum ktk ibada kwa Allah kila zto huw jepes

    • @nasraabbas9265
      @nasraabbas9265 3 года назад

      Ulijui unalolisema dada , makanisani mnapewa mafuta ya upako Kila kukichaaaaa,

  • @saidsadi1135
    @saidsadi1135 3 года назад

    Fjt

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 года назад +1

    Subhaana Llah! Yapo hayo. Allah atuepushie mbali.