Haya hivyo inathihilisha wanawake sio waaminifu kwenye ndoa. Unamkuta mwanamke jmn mzuri mke wa waziri anapata kila kitu Lakin anaenda kwa kina engonga du mm nawakaumu wadada kusalitu ndoa zao
Nanyinyi munaongea msivyo vijuwa sasa kati ya mwanaume na mwanamke nani anapaswa kuwa na matamanio zaid yn mwanamke ndo anatakiwa ashangaiwe akifanya hivyo lkn kwa mwanaume hii ni kawaida San na niwachache hao sabab sisi kuhusu tendo ndo kitu pekee kinacho tuendesha had kulala machimboni kuiba kuwa lengo tupate tendo kwa urahisi zaid na mwanamke tumtakae sasa yule jamaa alikuwa tayari asha jipata hivyo alikuwa na uwezo wa kuongea na yeyote😢wala cyo dawa
JAMAA HANA BAYA Tomba Tuuuu Madem aooo
Huyu kungwi inaonekana angekua GUINEA angepita na bantazar mana bila aibu anasema yuko vizur yule baba
Ila huyu jamaa kafanana sura kam Januari makamba😂
😂😂
Kabisa AISE me nkajua n januar
Nanyie tayari mshamtamani basi apo vicheko vyenu tu vinaonesha tayari mnataka mupime anakitugani ndani yke
Kwa kweli kichaa cha dogi
DIVA UNAPENDAGA KUNGWI SANAA HADI RAHA MAHANA UNAMUOJI KILA MUDA ILA MM NIKIKUOMBA INTERVIEW WALA UNIJIBU
Haya hivyo inathihilisha wanawake sio waaminifu kwenye ndoa. Unamkuta mwanamke jmn mzuri mke wa waziri anapata kila kitu Lakin anaenda kwa kina engonga du mm nawakaumu wadada kusalitu ndoa zao
Hapa mnatupanga peleka huko.heti mtu kua kaolewa kutoka na mwingine unashangaa je kweli yanatoka kwenye moyo au mdomon tu.
Baba kadhalilisha familia, na yuko vizuri mpuuzi yule.😅😅
HAWA WAWILI WENYEWE WANA M TAMANI ki Siri Siri...😂
Huyu mama kungwi si alikua anaji stiri kwenye kichwa asaivi shungi pia kali tupa
Mm mwenyewe hata mia tatu naweza fikisha
Huyu ndo mwamba hakuna uchawi wala mdogo wa mchawi.mwamba mno .
Mwenye videos za uyo jamaa tuwasiliane tafadhali🤣 nijifunze kitu
Taamaa tuu za wanawake hamn kitu apo ni tamaa na kumtoa mkeo ndan nyumban kwake akatafute km ww unavotafuta ww kumbe unafeli
Ni kweli kabisa hiyo ni tamaa yetu wanawake kwasababu hawajabakwa
Uyo dada anaongelea puani
😂😂😂😂😂sasa wewe siunaona mtu anamafua au
Ako na mafua jamani hata huwezi uliza hivyo inajieleza kabisa
Nataka niwabatazar na nyie...
Wanaume hawaji wanachokitaka
Mwanamm na kicha wanawamke je Wana nini
Nanyinyi munaongea msivyo vijuwa sasa kati ya mwanaume na mwanamke nani anapaswa kuwa na matamanio zaid yn mwanamke ndo anatakiwa ashangaiwe akifanya hivyo lkn kwa mwanaume hii ni kawaida San na niwachache hao sabab sisi kuhusu tendo ndo kitu pekee kinacho tuendesha had kulala machimboni kuiba kuwa lengo tupate tendo kwa urahisi zaid na mwanamke tumtakae sasa yule jamaa alikuwa tayari asha jipata hivyo alikuwa na uwezo wa kuongea na yeyote😢wala cyo dawa
Bhas msiwe mnaoa sas kam ndio maisha mnayotaka make sio hali ya kawaida iyo
Najiuliza tu mbona wote wameonekana kupenda na hakuna hata mmoja aliye onyesha kuwa hapendi,mpaka mke wa mjomba ake amefurahia kabisa 😂😂
Mke wa mdogo wake pia yaani jamaa ni balaaa tupu mama Mchungaji 😂
Yaani umalaya hauji isha 🙌@@LucyNgowi-r2o
Bartazar ni suleimani wa sas😂😂
Dida anaongea vibaya
Ndio ujue nyie wanawake bado hamna sifa mnazozitaka
Ila mimi nilichogundua wanawake wengi hawafaid mapenz, maana nimeona video za huyo jamaa hajui vizur afu wamama wanasema ni hatar akati hanizid mimi
Wao ndo wanagongwa!!!
Unatoaje mawazo hayo kama mwanaume!!!