Swala sio kwamba Hana zuri ndugu yangu tusipende kadanganywa Wajua kama unajua Mpira fananisha na maneno yake Mchome usiambiwe Mchezaji Mzuri wakati Mchezaji akiingia Uwanjani hakuna kitu twende na Uhalisia Mchezaji Mzuri hajitafuti Mwezi kwenye timu mpya
Mwangalie vizuri naona kama apo kwa nyuma yake Kuna ubooo umemwingia izo sio akili zake
Nyoko wewe nakutamani ? Nyoko wewe
Huyo jamaa Sio mtu mzur anaichafua Sana smba
Profile Kama hz hukiifungu baat mbaya dislike anaoij watu wa kuichafua tmu
Tutakupaka mafuta
Hana Zuri kwa simba yani watu wa mpira wanaisifia simba yeye bado anatuponda
Swala sio kwamba Hana zuri ndugu yangu tusipende kadanganywa
Wajua kama unajua Mpira fananisha na maneno yake Mchome usiambiwe Mchezaji Mzuri wakati Mchezaji akiingia Uwanjani hakuna kitu twende na Uhalisia
Mchezaji Mzuri hajitafuti Mwezi kwenye timu mpya
Ungeenda kumlisha wewe
Huyu jamaa ana tutafuta sana ila siku yake inakuja
Ni mkweli , anaongea facts
Ipi ss nchi yetu ya amani uwezi kumpangia mtu maoni yake labda ww ndio inakuja mbwa wee