Jezi za simba ni bora sana rangi haijachakachuliwa ubora wa hali ya juu zaidi hakuna kama simba sc jezi ni moto sana kuna wengine wamezindua jezi zinakaa vitenge bado rangi ya jezi zao hasina uhalisia yani ni utopolo ni mascammers wa hali ya juu
Huyu mwijaku anazingua,jezi hazitolewi bure bali zinauzwa yaani uzi mzuri kama huu Simba hata waseme unauzwa laki moja nipo tayari kuununua, siyo yale madekio ya jangwani
Me sio shabik wa mpila kivile lakin jezi ninayo iyona nzur ni jezi ya young African Simba kweny jezi watasubil sana afu yangu wanauz jez lakin watu bdo wanazingombania ila zaa Simba zinagawia buree tyu 😂😂😂 mbona maajabu JEZI KaLi ni ya Yangu Acheni Ushabik
Simbaaaaaaaaaaaaa ❤❤❤❤
Mnyamaaa🦁🔥👌
Jezi za simba ni bora sana rangi haijachakachuliwa ubora wa hali ya juu zaidi hakuna kama simba sc jezi ni moto sana kuna wengine wamezindua jezi zinakaa vitenge bado rangi ya jezi zao hasina uhalisia yani ni utopolo ni mascammers wa hali ya juu
Uchafuu
Jamani blue ni kali balaa
Jezi za simba ubunifu ovyo kabisa make mie mshabiki wa simba lakini ailidhishi
Very nice ❤❤❤
Iy blue nimeoelw nitainunua
Hizi jezi ni nzuri Ile noma hajachakachuliwa
Kweli. Chawaaaaa
Mwijaku dah sio pw d c wa
Huyu mwijaku anazingua,jezi hazitolewi bure bali zinauzwa yaani uzi mzuri kama huu Simba hata waseme unauzwa laki moja nipo tayari kuununua, siyo yale madekio ya jangwani
Tetroni na makolo wakuwatenganisha n kifo tu
Mimi nasikiliza sauti ya semaji la caf
Jezi nzuri kweli hizo
Ubaya ubwela🎉🎉🎉
Jezi ni kali ila structure ya jezi bado kidg
Safii
Me sio shabik wa mpila kivile lakin jezi ninayo iyona nzur ni jezi ya young African Simba kweny jezi watasubil sana afu yangu wanauz jez lakin watu bdo wanazingombania ila zaa Simba zinagawia buree tyu 😂😂😂 mbona maajabu JEZI KaLi ni ya Yangu Acheni Ushabik
Kwanza wewe mwenyewe hueleweki Kama ni shabiki au siyo shabiki😅😅😅😅
Tetroni fc
Mbona jezi izi Kama mmezipaka mafuta zinaumiza macho
Hakuna atakae nunua jezi.yanga kwa sasa.zoote ni mbaya na zimepoteza uhalisia wake
Bei gan
Jezi zinaumiza macho
Kama za utopolo
Kama zinagawiwa bure wewe inakuuma nini?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwijaku kweli kazuramimba
Wakati jangwani jezi Zina gombaniwa huku jezi ya mnyama ni bureee😂😂😂😂
Huna akili jezi watu mashabiki wapatao milion 45 nchi nzima zitadodaje mijez ya kudoda ni ya yanga mana mashabiki wao ji wachache milion20
hakuna jezi hapo ndio maana mun gawa jezi 😂😂😂
Majezi yanagawiwa kama takataka😆😆
Nawewe unataka au
@AishshibnShibani nitake radhi aisee bora nitembee kifua wazi🤣