AHMED ALLY AFUNGUKA KWA UCHUNGU WALICHOFANYIWA SIMBA UWANJA WA CCM KIRUMBA/HATUKUBALI TUNAENDA MBELE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 33

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 дня назад

    Hongera kuu wa mkoa Mwanza Mungu akupiganiesanaaaaawanza kwanza

  • @FaidhaJumanne
    @FaidhaJumanne 3 дня назад +3

    Pamba haina uwezo wa kushindana na koro msilie lie hapo na nyinyi ndo mmeleta ubaya ubwege 😂😂😂tulieni

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 3 дня назад +2

    Wazee wamezuiliwa wasimwage dawa wanalia lia mungu simama Nass pamba

  • @GodfreySimomayalla
    @GodfreySimomayalla 3 дня назад

    Haya ni maneno ya uchochezi

  • @francismasanje9355
    @francismasanje9355 3 дня назад +1

    Ninyi mmezoea kujisifia na kulalamika kuwa vita ni kubwa hiyo slogani yenu manaake nini ubaya ubwela ninyi ndiyo mlileta vita hiyo vita mnapenda kusema sema kwa nini akataliwe mkuu wa mkoa kuingia?

  • @AFRICANVILLAGE-l8x
    @AFRICANVILLAGE-l8x 3 дня назад +5

    Mkishenyetwa mshapata sababu 😅😅😅😅😅😅

    • @patrickkibiki8697
      @patrickkibiki8697 3 дня назад

      Mpuuzi mmoja Mpira una kanuni na Sheria zake ingewa kwenu he?

    • @gracendumbaro5196
      @gracendumbaro5196 3 дня назад

      Kama Tabora na nyuki

    • @GeradGmwambe
      @GeradGmwambe 3 дня назад

      Sio tabora Hawa tabora ndo washenyetaji

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дня назад

      Kama Simba na yanga Mmoja kapigwa mfululizo mara 4 sijui Naye kazaminiwa na GSM ????

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 дня назад +1

    KESHO KADI NYEKUNDU UPANDE WA KEKUNDU😂😂😂

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 2 дня назад

      @@josephgalandu128 😜😜😜😜😜😜😜

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 3 дня назад +3

    Huyu msemaji mwoga. Yanga Bingwa

  • @FrankMartin-i2u
    @FrankMartin-i2u 3 дня назад

    Kama nyinyi mlisha shenyetw na tbr sy wote. Simba ni 🔥🔥🔥

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 3 дня назад

    Hakuna wa kukufunga,yanga waliwawekea vidole??

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 3 дня назад

    Unafiki tyu kulilia tyu mshazoea iyo mechi lazima pamba wapewe nyekundu. Au penalty ya mchogo

  • @BabatStarkid
    @BabatStarkid 3 дня назад

    Ata kwamlandege ulijitaba ivyo

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 3 дня назад +2

    Ee MUNGU saidia Hawa ma kolo wakashenyetwe

  • @GodfreySimomayalla
    @GodfreySimomayalla 3 дня назад

    Huu ni uchocheziii

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 дня назад

    Kisugu ni mchaji wa Yanga😂😂😂😂

  • @JumaJux-u4q
    @JumaJux-u4q 3 дня назад +1

    Kwenda zakoo huko

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 дня назад

    Uongozi ni dhamana. Mkuu wa mkoa kua makini

  • @AminKassim-d9n
    @AminKassim-d9n 3 дня назад

    Ahmed ali anakula ubuyu ulimi mwekundu kama jezi yao

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 2 дня назад

      @@AminKassim-d9n 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JosephManyahi
    @JosephManyahi 3 дня назад

    Napatajee hiyooo jez semaajiii,

  • @AlexSamweli-jj9tt
    @AlexSamweli-jj9tt 3 дня назад

    mmeshaingia mkenge kesho lazima mshenyentwe kudadeki zenu

    • @emanuelsam1543
      @emanuelsam1543 3 дня назад +1

      Matokeo yakiwa tofauti na unavyoombea iwe utafanyaje??

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 3 дня назад

    Kisugu yeye ameisha anza kuilaumu Yanga 😂😂

    • @samochristopherroche9953
      @samochristopherroche9953 3 дня назад

      Kisugu hanaga akili,na ndio maana alitumbuliwq

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дня назад

      Ni kweli na tulivyo mkanda yy kisugu na makolo wenzake itakuwa wamezaminiwa GSM.

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 3 дня назад

      ​@@awetumtengera1147Yani ukisoms comment za UTOPOLO ndiyo unagundua pale kweli kwenye nguo zao za ndani kumejaa kinyesi 😂😂😂😂😂😂😂

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дня назад

      @@peterkandaya565 ujumbe umefika, hakuna asiyekuwa na kinyesi.