MWENEZI WA CCM ATAKA KUHOJIWA NA POLISI AWAJUA WATEKAJI ''wananchi jitokezeni kujiandikisha''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 55

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Месяц назад +1

    Sasa umepewa uwaziri au? Sio greenguard. Unahangaika ukiwa wapi? Hongera sana. Chawa mkubwa. Mbinu yenu tumeishaigundua, mnataka kesi zenu mzigeuzie Chadema, kwani watu hawaoni? Chadema siku hizi wana bunduki na sare za polisi!!

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Месяц назад +2

    Chadema wanadola kwani acha ujinga

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 Месяц назад

    Elezea kiongozi mwezako alisimama huko Bukoba alisema nini mnaharipya Mama mtaleta Vita tusifike huko !!

  • @SaugoNdemo-tx4le
    @SaugoNdemo-tx4le Месяц назад +1

    Njaa!

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 Месяц назад

    Yaani ningekua karibu ningekuzibua bonge la Kofi,Kwa hiyo serikali imeshindwa. Kuwakamata chadema isiyo na Dola,huu upuuzi jifungie ndani na mkeo muelezana

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam 28 дней назад

    Vichwa maji hawataasha nchi hii wanaotunyima haki ss wanchi wanyonge. Maadili yamekosekana ktk safu ya uongozi kama kwel hayo yalikutokea mbona hukuongea kipindi hicho. Mmeelemewa na maovu yenu mungu anaanza kuwashughulikia mnajisema wenyewe..

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 23 дня назад

    Kufa ni lazima ukijiona sana jeova yupo

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali Месяц назад +1

    Jingawewe nani mwenye majukum ya kulinda

    • @Sam-h9d
      @Sam-h9d 27 дней назад

      Wewe umefiata maokoto tuu acha ukuda

    • @Sam-h9d
      @Sam-h9d 27 дней назад

      Ulilipoti wapi?? Na kwanini hukutoa taalifa polisi? Hivi Hawa chadema Wana nguvu kiasi gani? Hadi waachwe? Kama chadema wanahisika kwanini hamtoi taalifa ili wawekewe mtego??

    • @Sam-h9d
      @Sam-h9d 27 дней назад

      Acheni uongo na uchawa

  • @KilongeHenry
    @KilongeHenry 12 дней назад

    Njaa ilikupeka acha uongo ulikuwa na umuhimu Gani Hadi utafutwe acha uchawa mtu mwenya akili anaelewa mbonaha hueleweki

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s Месяц назад +1

    Liongo kwel linatafuta teuz

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 Месяц назад +1

    Takataka ww

  • @Sam-h9d
    @Sam-h9d 27 дней назад

    Watanzania wa leo sio wamwaka 1947 hawadanganyiki chadema hawana jeshi la polisi chadema hawana mahakama chadema hawana mabochozi sasa kama wanahusika na uovu wa kuteka watu mnawaachaje??? Ccm wanainterejensia kama chadema wangekuwa wanahisika wangesha kamatwa; ninyi mnao jifanya machawa ikosiku watatekwa watoto wenu kama sio nduguzenu acheni ujinga; kwahiyo hatawaliompiga tundulisu risasi wslikua chadema???

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z Месяц назад

    Kumbe na wewe huna akili eee Sasa wakamateni tuwajuwe kma ndio wao musipoteshe watu😊

  • @EstherSamwel-vk4wb
    @EstherSamwel-vk4wb Месяц назад +1

    Huyu jamaa ni navi makubwa

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 Месяц назад +1

    Wewe ndo uko sahihi?

  • @DaudaBilikesi
    @DaudaBilikesi Месяц назад

    Bila shaka waliokuchagua kwa nafasi hiyo wamekusikia na sasa wanajipiga kifua kuwa wanaye 'bonge la kiongozi' !

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Месяц назад +1

    Chama cha wauwaji

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 Месяц назад +1

    Kiki,tu,huna,lolote,chawa,mmoja,tu,kama,unawajua,si,ulitakiwa,uende,polis,hapo,unataka,cheo,tu,maana,unanunulika,,acha,kutupotezea,muda

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 Месяц назад +1

    Acha uchawa choko wewe.Hata kama watekaji ni CHADEMA si serikali ifanye upelelezi,ikibainika wawapeleke mahakamani.

  • @barozabwimba3654
    @barozabwimba3654 Месяц назад +1

    Chawa

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 23 дня назад

    Chadema ndiyo wauwaji halafu wanasingizia aliserek

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 21 день назад

    Wenzako wameona ngoma nzito wamenyamaza ww ulikuwa wapi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +1

    Mungu haongopewi

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 Месяц назад +1

    Kwenye,hii,i ch,kutakuwa,na,chama,cha,majambazi,,tutawajua,tu

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 Месяц назад

    Acha ujinga basii we mpuuzi

  • @Sam-h9d
    @Sam-h9d 27 дней назад

    Ulienda ccm kusakatonge

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 21 день назад

    Mtatajana tu we twende tu mdogo mdogo

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 Месяц назад

    Chawa,

  • @AronSambo-g4u
    @AronSambo-g4u Месяц назад

    Alaa! Et wataje

  • @AkwiliniQawoga
    @AkwiliniQawoga Месяц назад

    Chakula

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Месяц назад

    Hii.ndio.sababu.tunahitaji.wachunguzi.wa.nje.wachunguze.kati.ccm.na.chadema.nani.wwtekaji?

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Месяц назад

    Gold Chen kaka brother

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад

    YAN SIO CCM SIO CHADEMA WATE N WALE WALE KILA MTU ANAMADHAIF YAKE

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 21 день назад

    Mipango ya maporini kule au we hujasikia mkuu watanzania sio wajinga kiivoo

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Mwenyekiti wa banisheti akimbia Kijiji maboga yapo

  • @peterbangari4273
    @peterbangari4273 Месяц назад

    Yani wewe hata uchawa hauuwezi kwajinsi unavo ongea unaoneka a unatunga uongo ushauli kama kimya

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 28 дней назад

    Kama wao ni wauaji sheria hairuhusu kuwakamata chadema,mshamba ni wewe au Rais kusema drama?

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Месяц назад

    Tunataka mawakala wa upinzani waandikishwe sasa hivi nasikia watendaji wamekimbia na kufunga ofisi

  • @AmosiPeter-z3g
    @AmosiPeter-z3g Месяц назад

    Wewe. Nimuganga. Njaa acha ujinga ww mpumbavu unaongea ujinga tu ungekufa ingependeza maana unatamaa na madaraka unaongea iliupewe nn mjinga mkubwa wewe ni nani ufute usajili wa chama wewe ndio mtekaji unaonekana tu unauchu sana na madaraka

  • @NicolasMMwanambuke
    @NicolasMMwanambuke Месяц назад

    Bs wachunguz wa njee waje tuone kama unaowataja

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d Месяц назад

    Kwanza Polisi gani wa kuihoji ccm wewe mwani musitufanye wajinga sisi

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 28 дней назад

    Kwenda zako wewe bwege huna lolote Fisadi kama Fisadi bora ufe ni wanini mjinga wewe muongo mkubwa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Mbukwenyi sobai saitar

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Месяц назад

    Labda watoto wako

  • @peterbangari4273
    @peterbangari4273 Месяц назад

    Wewe ni mwongo usifikili unawaelezea wajinga

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m Месяц назад

    Tahira ww

  • @Gaetano64
    @Gaetano64 Месяц назад

    Unaongea uchoko wewe pumbavu

  • @innocentmlacky
    @innocentmlacky 12 дней назад

    Nendaaaaa makujinga

  • @gaspermsunga8686
    @gaspermsunga8686 Месяц назад

    Una uchu WA MADARAKA wewe.

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m Месяц назад

    Mpumbavu wewe