TAFSIRI YA NDOTO KUOTA UNALIA USINGIZINI | KUOTA UNAKUMBUKA MADHAMBI YAKO UNALIA"SHK ABUU JADAWI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 13

  • @mussamatondo-w3h
    @mussamatondo-w3h 11 дней назад

    Mbona mashekh mnatupotosha kila shekh anatueleza tofauti kwa jambo moja inamana mnasoma tofauti au kuna uislamu tofauti

  • @Khadijamlongo-uu7uu
    @Khadijamlongo-uu7uu 2 месяца назад

    Assalamualaikum warahama tullah wabarakatuh je mwanamume akimuota mkewe analia huku anampa pole

  • @AminaMakombo
    @AminaMakombo 2 месяца назад

    Sheikh mm uwa naota sana ndoto ya kuona shamba yn natembea nakutana nashamba lina mazao km vile ufuta umetoa maua..meng na mibamia imezaa xn au mpunga umezaa xn uwa inajirudiarudia xn iyo ndoto ya shamba

  • @HajiMillinga
    @HajiMillinga 4 месяца назад

    Sheikh xmhn nimeota mama yangu anakufa sijuhi kazidiwa lkn me nimemshika me nikawa naliaa, sijuhi maana yake sheikh nisaidie kwa hili na tongea hii ndoto imenitokea nimekuw mtu wa tofauti sana naona kama nuru imekuja

  • @MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn
    @MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn Год назад

    Aslahm Alaykum warahmatullahi wabarakatuh mom bomb kujiunga na group la ndoto

  • @AmissaBintikapiki
    @AmissaBintikapiki 3 месяца назад

    Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh namimi nimeota nalia kwakuomboleza naniko mjamzito naitaji dua niko bujumbura

  • @OmanRuwi-mi2gm
    @OmanRuwi-mi2gm 6 месяцев назад +1

    Shehe mimi nimeota baba ananipiga nakunikanda miza kifuani nikawa naria sana nakusema wewe sio baba yangu nashura siya baba basi nikaria sana

  • @AgataRapaz
    @AgataRapaz 2 месяца назад

    Nimeota na ex mume wangu Mimi nalia

  • @alfanfddgfd1662
    @alfanfddgfd1662 3 месяца назад

    Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatu,,,,shehe number yako ya WhatsApp Insha Allah kuna Mindoro siifahamu tafsiri zake

  • @StellaPius-o8z
    @StellaPius-o8z 5 дней назад

    Samahani naukilia mtu alie kufa au upo kwenye mkusanyiko wa watu Tena upande wa baba au wamama ina maanisha nn

  • @hassantorab9231
    @hassantorab9231 Год назад

    Asalamu alaikum shekh mimi nimiota leo naliya ,tulienda ku chimba kaburi baada yaku maliza nika ingiya ndani alafu naanja kuliya , nika kumbuka namna namimi kuna siku ntazikwa