NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 7 месяцев назад +354

    Kama upo single kama mimi gonga like uku tukijipongeza na goma la jux ft diamond nainjoy

  • @edgercyprian964
    @edgercyprian964 6 месяцев назад +28

    Daaaah huyu dada anaupendo wa dhati sana kwa huyu jamaa ila nayependwa hajui kam napendwa sijui kwa nini wadada kama hawa huwa hawapati watu sahihi au wanaume huwa hawapati watu sahihi yaani hii ipo kote kote yaani sijui huwa ni kwa nini dada muache utapata akupendae hiyo anaonekana anakupotezea muda tu mdogo angu utapata chaguo lako achana na huyo mbana Nywele kama mwanamke amenikwaza sana😢😢

  • @magrethmartin1668
    @magrethmartin1668 7 месяцев назад +22

    We dada ni mzuri sanaa you don’t deserve this man 😊

    • @derevamsomi
      @derevamsomi 6 месяцев назад +1

      unajuaje hadiserve...unajua anapewaga nn😂😂

  • @Abgaelizah
    @Abgaelizah 8 дней назад

    Pole kipenz wanaumehawa baba yao nimmoja

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 7 месяцев назад +142

    Sema dada cute alafu mstaarabu sana anapaswa kuwa na mwanaume anayejitabua

    • @abubakaliyahaya2968
      @abubakaliyahaya2968 7 месяцев назад +4

      Kweli kk Dem anajielewa

    • @JosephEpimack-y4l
      @JosephEpimack-y4l 7 месяцев назад +6

      Hawezi kua mstaarabu na hiyo blich kwa kichwa

    • @AmourSultan
      @AmourSultan 7 месяцев назад +2

      Bleach na Ustarabu Ni moto na Maji

    • @EmileLugendo
      @EmileLugendo 7 месяцев назад +5

      Mungu amsaidie, tatizo wanaume wanachanganya wife material na Slay queens

    • @judithsijaona9875
      @judithsijaona9875 7 месяцев назад +2

      Yes

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 6 месяцев назад +32

    AMBAO TUNAPAMBANIA GULF 🇴🇲 HATULILII MPZ TIM FULUS GONGA LIKE HAPA👇👇👇😂

  • @_kijanampole
    @_kijanampole 7 месяцев назад +278

    Wazazi wapo zao nyumbani gafla mtu anaona mtoto wake analilia mapenzi 😂😂

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 7 месяцев назад +3

    Mwenyezi Mungu naomba uniongozee vyema bint yangu kuuma mwili haki ya Mungu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 месяцев назад +62

    Kiredio mwenyewe alishasemaga anafurahia watu wakiachana😂😂😂😂😂 hayo machozi ya dadaa Kiredio roho yake nyeupeeeee😂😂😂😂😂

  • @MsKalie-09
    @MsKalie-09 7 месяцев назад +37

    Uyu dada mstaharabu sana jmn nimependa buree❤

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 7 месяцев назад +108

    Ila mwanamke akikupenda na akakuamini ukimvunja moyo analia sana

    • @JacklineShirima-hn1yt
      @JacklineShirima-hn1yt 7 месяцев назад +2

      si moyo tuu ata kichwa😂😂😂😂

    • @sneckyBoe
      @sneckyBoe 7 месяцев назад +1

      Kwan jamaa kamvunja moyo wap mbn dem ndo kazngua anamprank vp bhana ata ungekuwa lazma ujue n kwel utapanick tu

    • @hadijahalifa-s4z
      @hadijahalifa-s4z 7 месяцев назад

      Fcss_​@@JacklineShirima-hn1yt

    • @AmaniOmari-ev2gu
      @AmaniOmari-ev2gu 7 месяцев назад

      Haaaaahaaaa ​@@JacklineShirima-hn1yt

    • @Oman-h8r
      @Oman-h8r 6 месяцев назад +1

      Basi ndo mtuonee huruma tunapo wapenda mtutendee hakika jamn 😅🙌

  • @essyrugomora4561
    @essyrugomora4561 6 месяцев назад

    Aisee namshukuru mungu mpka nimekuwa bibi sikupitia hii yesuuu wanangu Ole wenu

  • @SiloohMilosevic
    @SiloohMilosevic 6 месяцев назад +5

    Dah! Demu anampenda mkali hadi rahaaa ❤❤🎉🎉 eeh MUNGU nipe nipe mtoto mwenye UPENDO Kama huyuuu😮

  • @RizikiMakayaShabani
    @RizikiMakayaShabani 6 месяцев назад +1

    Mimi naipend kazi zaredio zinatuweka wazi mungu akubariki sana

  • @loycejackson7684
    @loycejackson7684 7 месяцев назад +3

    Dada angu wewe ni mzuri sana tena sanaaaaaaa nakuombea kwa Mungu umpata mwanaume utakayeendana naye ila hapo hapana mshikaji hakupendi😢daaaah huyo dada Mungu akupe wa kufanana na wewe

  • @esterjohn1073
    @esterjohn1073 3 дня назад

    Kwenye sekta ya kula kiredio uko vizuri😂😂😂😂😂😂

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 7 месяцев назад +158

    Single tunaejoy sana kuona mambo kama haya😂😂😂

  • @khamisomar5659
    @khamisomar5659 6 месяцев назад +1

    We kiredio utavunja zinaa za watu kibao,, hongera sana ila unawajengea kanisa lao

  • @AsnathMtamila
    @AsnathMtamila 7 месяцев назад +41

    Jaman hyu msichana kaniliza sana.

  • @AkxaEdwin
    @AkxaEdwin 5 месяцев назад

    Machozi na mapenzi ni pete na kidole, Wanaume 🙌🙌

  • @yollandamushi677
    @yollandamushi677 7 месяцев назад +97

    Ambao hatujui kulilia mapenzi gonga likes

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 Месяц назад

    Uyu mshenz analia sababu Aendelee kuzin sio Mlilie Alie kuoa sio mnamkosea mungu

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha 7 месяцев назад +7

    Kiredio mnafiki 😂😂😂eti anaomba msamaha.Afu Demu gani huelewi RED FLAGS #MOVEON

  • @OllerDesononline6333
    @OllerDesononline6333 6 месяцев назад +2

    Huyu dada muigizaji mzuri xanaaa Bongo movie wampe kazi.

  • @MariaPeter-kv3qk
    @MariaPeter-kv3qk 7 месяцев назад +35

    Sema huyu dada anaongea kipole😅

  • @doymatata4702
    @doymatata4702 6 часов назад

    Duh binti anajidhalilisha mwanaume anaonyesha hamuhitaji duh chizi Sana huyo dada duh😂😂😂

  • @AgripinaMasinde
    @AgripinaMasinde 7 месяцев назад +5

    Yaan wew mwanamke pumbavu sanaaaaa kujibembeleza kwa mwanaume unaboa sana

  • @Fayson-u9r
    @Fayson-u9r 5 месяцев назад +1

    Huyu dada anajua kuvaaa❤❤

  • @Denatha_50
    @Denatha_50 7 месяцев назад +61

    Mwanaume mweupe mlambalamba lipsi.. mbeba kikoba like cha ally afu mfuga nywele raniiiii mai frendiiiiiiiiiii😂😂😂

    • @mejgodsgal1340
      @mejgodsgal1340 7 месяцев назад +1

      runnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn🤣🤣🤣🤣

    • @esterrupia8470
      @esterrupia8470 7 месяцев назад +1

      Ni hatali Kwa huyu mwanaume ovyoo

    • @rahmarashid9904
      @rahmarashid9904 7 месяцев назад +1

      Run away😅😅😅

    • @Privia-s8s
      @Privia-s8s 7 месяцев назад +1

      Running 🏃🏃🏃🏃

    • @JamillahEliya
      @JamillahEliya 7 месяцев назад +2

      Hahahah dada anataka kubembelezwa km mm ndo jamaa naghair naondoka zangu spend ujinga

  • @NasrahMarco
    @NasrahMarco Час назад

    Oooh johari unajuwa matatizo yako toka shuleni angalia yasitibuke huko😂😂😂😂

  • @AnnaBukuku
    @AnnaBukuku 7 месяцев назад +17

    Ushaambiwa nilikuwa namtafutia sababu sa ya nini kumng'ang'ania. Mtoto mjinga sana.

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw 7 месяцев назад

      Umesahau huu ndio ule mwaka😂 mapenzi shikamoo🙌

    • @elinapetro7136
      @elinapetro7136 7 месяцев назад

      Hajamga'nga'ania ila Ali ndio anamvuta angalia video yote ndio ucoment

  • @hadija_makange
    @hadija_makange 7 месяцев назад +1

    Pole dd inauma sana namm ishanitokea ilinipa tabu kuzoea ila nilivyojikuta nitaweza weeeeee ni nilishukuru mungu na niliweza mpaka ss nimecmama na nimepata zaidia ya yule Shwain

  • @vannapple1
    @vannapple1 7 месяцев назад +34

    Mdada kaigiza vizuri sana,Very romantic and anafanya kwa hisi sana.Nusu nitoke chozi asee😅😅

  • @vailethhossen8171
    @vailethhossen8171 6 месяцев назад +2

    Singo singuleshen amen

  • @SalmaAlly-it8iv
    @SalmaAlly-it8iv 7 месяцев назад +20

    Duuh 😂😂 bola mie ninavyopenda wali mahalage kama mtukufu kuliko mapenz tangu nipigwe na kitu kizito sinahamu. Na mapenz kabisa kuusu kupenda nampenda baba yangu na mama yangu 😂😂

    • @anniemagayane2984
      @anniemagayane2984 6 месяцев назад

      Maharage yana nazi ?? 🤣🤣🤣

    • @SalmaAlly-it8iv
      @SalmaAlly-it8iv 6 месяцев назад +1

      @@anniemagayane2984 😂😂😂😂

    • @kuruthumsaid9719
      @kuruthumsaid9719 6 месяцев назад +1

      Mtukufu atamuuwa mume wa Kim kwa njaa 😂😂😂😂😂

    • @anniemagayane2984
      @anniemagayane2984 6 месяцев назад

      @@kuruthumsaid9719 🤣🤣🤣 kwamba dk sifuri tuu mme ashakula🙌

  • @jacquelinerutaya2204
    @jacquelinerutaya2204 7 месяцев назад +1

    Daah😢 nmelia sana, mapenzi mapenzi mapenzi 🙌🙌🙌🙌

  • @WINNIFRIDAVALENTINE
    @WINNIFRIDAVALENTINE 7 месяцев назад +28

    Kiredio ungemshitua uyo dada na kibao kashaambiwa alikua anataftiwa sababu Aachwe badala aendelee na maisha mengine analia apokelewi simu😂😂😂😂😂 ifike mahali wanawake tujue thamani yetu

    • @agnestemu8382
      @agnestemu8382 6 месяцев назад +2

      😂😂😂😂😂yaani apigwe ht na bomba kichwani

    • @magangamwidaghat4324
      @magangamwidaghat4324 6 месяцев назад +3

      Ally anajiona hand Sam ndio maàna ana mliza mrembo wa watu ally shame on you

    • @jumanyassy8062
      @jumanyassy8062 6 месяцев назад

      Mapenzi hayajatibiwi huo ni Ujinga ...​@@magangamwidaghat4324

    • @makatamauwa1996
      @makatamauwa1996 6 месяцев назад +1

      Hahahahahahahahhah!!!! Kashasahau uyo.... wanawake bana akili zetu dhu

    • @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
      @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

  • @CarineWay
    @CarineWay 5 месяцев назад

    Jameni murudiane muna pendeza kwa kweli ❤❤❤❤

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY 7 месяцев назад +69

    Single guys gonga like tuki jipongeza

  • @OLEDAUDI
    @OLEDAUDI 7 дней назад

    kiledio unahalibu sana mahusiano yawatu kwajili ya maslahi yako binafsi hivi unavyoona watu wanavyoumia huwa unajiskiaje😢😢

  • @winniedeo6191
    @winniedeo6191 7 месяцев назад +11

    Kiredio mnafiki sana😆😆😆🙌

  • @clementineselemani6699
    @clementineselemani6699 7 месяцев назад +2

    Shukuru Mungu kakupatanisha na kiredio na akavunja mausiano,kuna vitu tunapitia kwenye dunia ili tupate watu saihi we sema asante Mungu akuletee saihi .apo kwa kumpigia nimeumia 😫

    • @clementineselemani6699
      @clementineselemani6699 7 месяцев назад

      Wanaume wengi wembamba awana mapenzi 🤣kujumlisha na izo nywele

    • @ShukuruSemwenda
      @ShukuruSemwenda 6 месяцев назад

      ​@clementhaineselemani6699 haaaa

  • @saddamikoi37
    @saddamikoi37 7 месяцев назад +15

    Nilisha mliza dem kama hvyo kilichonitokea mungu mwenyewe ndo anajua

  • @rowland_skipper
    @rowland_skipper 2 месяца назад

    Jamaa mwishoni kamuuliza kiredio swali zuri sana aise kuwa wao wafanya challenge hizo sitution zinazotokea baadae wanavifurahia

  • @imavel_01
    @imavel_01 7 месяцев назад +222

    kilichobaki ni kujifunza biblia😂😂

  • @GetrudeChengula
    @GetrudeChengula 7 месяцев назад +2

    Na kweli ambao tuko single tunainjoy kuona mnakomeshwa achan usalit

  • @jemampanda5361
    @jemampanda5361 4 месяца назад

    Eti I still need her🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila wavulana Kheeee 🙌🏾🙌🏾

  • @cliniusdawson8046
    @cliniusdawson8046 7 месяцев назад +3

    An mdada anabembelezwa ila ndo anazd kuwakaaaa🔥🔥🔥😅😅😅🙌

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 7 дней назад

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃unalilia mapenziiii hapanaaaaa

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 7 месяцев назад +50

    Mapenzi yanaumaaa asikwambie mtuu shid nikwamba kwanin simu haupokei majibu ni kwamba wamekuchok na anamwamnkee mwinginee anajifany tuu😅

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 7 месяцев назад

      Usha wahi jigonga kidole kwenye kucha, kama hujawahi, POA

    • @pilicharo4123
      @pilicharo4123 6 месяцев назад

      ​@@aaaaaah290😂😂😂😂

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 6 месяцев назад

      Hahaa.. kumbee enh😂

  • @CherryEdward-r6s
    @CherryEdward-r6s 5 месяцев назад

    Namuangalia huy aneliliwa najikuta nacheka tu maish hay wat want macho ya kuchezea😅😅

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 7 месяцев назад +14

    Demu anazidiwa uzuri na mchizi ilo Ni tatizo....demu mwenyewe pacome zouzou

    • @AnethKayombo
      @AnethKayombo 7 месяцев назад

      Hahaha eti pacome

    • @Bennie77
      @Bennie77 7 месяцев назад

      Daaah! Mbingu utaisikia tu mwanangu😂😂😂😂

    • @youdya
      @youdya 7 месяцев назад

      pacome au yao yao huyu dem😂😂😂

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 7 месяцев назад

      😂😂😂😂 jamani tofauti mavazi

    • @Craypotter
      @Craypotter 7 месяцев назад

      😅😅😅

  • @graceangel2808
    @graceangel2808 6 месяцев назад

    Mxiuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilivyo sijui kubembeleza mahusiano.

  • @ShekhaSalum-y9e
    @ShekhaSalum-y9e 7 месяцев назад +3

    Kiredio nakupenda sna kutoka leo jamn umefanya kt kzr sna❤

  • @amdee99
    @amdee99 7 месяцев назад

    Heri ning'ang'anie wababa wababa wababa bila kujali jambo lolote😂😂

  • @HafsaAbdullah-zm4qo
    @HafsaAbdullah-zm4qo 6 месяцев назад +2

    Sipat picha leo wakipata yaan kitanda kitajuta kuwafahamu dah!!

  • @IreneMushi-y2d
    @IreneMushi-y2d 5 месяцев назад

    Ww kaka mke huyo na huji kupata wakukulilia tena mungu atakupa wakukuliza

  • @KevinPhilberth
    @KevinPhilberth 7 месяцев назад +8

    Mm nimefurahia sauti

  • @YovinaSanga-pb7yq
    @YovinaSanga-pb7yq 6 месяцев назад

    Jaman dada Pole sana msamehe tuu hajui atendalo. Duuu ila madada ni mpole

  • @Sweetnaah
    @Sweetnaah 7 месяцев назад +11

    Nilivyo kisirani huo muda wa kujielezea hivo natoa wapi 😂😂😂

    • @SaidChilaza
      @SaidChilaza 7 месяцев назад

      Ningekuwa nishamchamba na mitusi juu

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 7 месяцев назад +1

    Dada jitahidi mnapendana .Ally tulia ugomvi haufai❤

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian 7 месяцев назад +5

    Mwanaume mbeba kimkoba na mbana nywele ndo analiliwa 😂😂😂. Jinga kweli hy dada

    • @Jordan-ov4yc
      @Jordan-ov4yc 7 месяцев назад

      Nihatariiiii😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @witneyjerry2587
      @witneyjerry2587 7 месяцев назад +2

      Gemu😂

    • @NellyHadrah-wy2vh
      @NellyHadrah-wy2vh 7 месяцев назад

      Hahaha😂😂 Nicheke kidogo uwiiii mapenzi haya jmn hpn bora kuwa single.....

    • @lutfiyahsaidi6666
      @lutfiyahsaidi6666 7 месяцев назад

      😂😂😂 mapenzi upofu

  • @prismilammbando3761
    @prismilammbando3761 7 месяцев назад +1

    Mkaka anampendaaa sanaaa jamaniii!!! The guy anakupenda sis😘😘

  • @WinnieKeita
    @WinnieKeita 7 месяцев назад +4

    Huyo sio binadamu ..Hilo ni pepo dada ,achana nae asikuumize kichwa😂

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 7 месяцев назад +1

      Nusu nijiue, na nikiwaambia fala mwenyewe ni huyu hamtoaminii😂💔,mapenzi upuuzi tu

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 7 месяцев назад

      Kiredio mi nakubali , umemuumbua huyo msenge kumanina zake ,
      Kwanza demu hashtuki hadi jina kadanganywa 😂, mfatilie vizuri ally sio jina lake 🤣fala kweliii huyo 🤣

    • @PerpetuaJackob-sg5yq
      @PerpetuaJackob-sg5yq 7 месяцев назад

      Wenyew wamependana co waacheni jmn co vizuri

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 6 месяцев назад

      ​@@PerpetuaJackob-sg5yqmh ,wapi buanaa, ila wanaume mh😂

  • @AnnaSevelini
    @AnnaSevelini 6 месяцев назад

    Mwanaume mwenyewe si amempata Mr right uyu

  • @connan9923
    @connan9923 7 месяцев назад +6

    Sema mwanamke akiwa analalamika huku analia ukilegeza tu unazidi mpa point 🤣🤣🤣

  • @faridairema8790
    @faridairema8790 6 месяцев назад

    Woii mungu nisaidie kizazi changu

  • @FrankUlomi
    @FrankUlomi 7 месяцев назад +33

    Wakuu nipe like zangu me ndio wakwanzaa leooo

    • @abdiyjaaz8180
      @abdiyjaaz8180 7 месяцев назад

      Ndugu zkoo wanajua km unalilia mapenz sema ikisikiliza nyimbo y rema itampunguza asil

  • @DaheerK
    @DaheerK 6 месяцев назад

    Aibu naona mm uku

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 7 месяцев назад +2

    Yaani huyy dada nawaza Analia nn yaani siamuachee aendeee kshasema alikuwa anatafutiwa sababu sasa aendeee na maishaa

    • @abbtsa3060
      @abbtsa3060 6 месяцев назад

      Wewe naye unaroho mbaya tu

    • @samiakikwete1762
      @samiakikwete1762 6 месяцев назад

      @@abbtsa3060 rohombaya yann sasa

  • @elizaminja4249
    @elizaminja4249 7 месяцев назад

    he he he wewe dada wewewe wewewe kimbia ufe wewewe!! 😂😂😂😂 wewe kaka Mungu anakuona

  • @Calvynpaul-fv8kb
    @Calvynpaul-fv8kb 7 месяцев назад +11

    kiredio ama kwely we silaha adimu 📷🙌

  • @phorahmahaza638
    @phorahmahaza638 6 месяцев назад

    Mapenz weeee mapenz jmn eeeh uwiiii wazazi wenu wako na tabu Sana kutazama watoto wao wanateswa na mapenz hukuu njee 😂😂😂😂

  • @habibamahendo9758
    @habibamahendo9758 7 месяцев назад +14

    Sijui kwnn nimekwazika😂😂😂😂

    • @ABELUrioG
      @ABELUrioG 7 месяцев назад

      I wish n jue 😊

    • @decredo4293
      @decredo4293 7 месяцев назад

      mi mwenyewe sijuii an😂😂😂😂

  • @proviuskatunzi
    @proviuskatunzi 7 месяцев назад

    hv hapo mwanamke n nan na mwanume ni nani 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀

  • @rosemsaki1111
    @rosemsaki1111 7 месяцев назад +15

    HUYU DADA UNAFORCE MAPENZI HUYU KAKA WALA HAKUPENDI

    • @SabinaNyiti
      @SabinaNyiti 7 месяцев назад

      Kweli kabisa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 6 месяцев назад

      TABIA ZA WANAUME AU WANAWAKE WAPUUZI WANAPOPENDWA KWELI NDIPO WANAPOLIDHARAU HESHIMA WALIOPEWA KISHA WANAENDA KUTOKOMEA KULE KUSIKOKUSUDIWA

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 6 месяцев назад

      Umetumia na herufi kubwa kuonesha msisitizo😂💔

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 6 месяцев назад

      Kwakweli​@@WinnieKeita

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 4 месяца назад

      Tena uyo kak alivyo sikia wakale chakula cha bule akatoa meno

  • @JulithaOliva
    @JulithaOliva 6 месяцев назад

    Uyu kaka mmh nevetrust na kibegi amebana nywele anamwonekano mzuri kuliko dada😂😂

  • @EmileLugendo
    @EmileLugendo 7 месяцев назад +2

    Ila huyu kaka Mungu anamuona, ani mkavu ht kujutia kw alichokifanya....dada continue ktft pesa plzzz maisha ya kulilia wanaume sahv yamepitwa na wkt kpnz😢

    • @WinnieKeita
      @WinnieKeita 7 месяцев назад

      Pepo hiloo😂

    • @EmileLugendo
      @EmileLugendo 7 месяцев назад

      @@WinnieKeita tn kemea kbs😂😂

  • @AvuraKashindy
    @AvuraKashindy 4 месяца назад

    Oya acha useng dem anakupenda

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 7 месяцев назад +6

    Huyu kaka hakupendi dada😢😢😢😢😢😢kimbia uvunjike yaniii hakupendii i swear 😢😢😢😢 nakuonea huruma dada hiki kikaka kinaoneksna ndo kinakua pole bby

    • @suzanbegas4139
      @suzanbegas4139 7 месяцев назад

      DadaHakupend Huyo🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

  • @IkramBaby-i2j
    @IkramBaby-i2j 6 месяцев назад

    Dada kampenda sana mkaka ndomsana ina muumawa anufunze kukubali tu naku.uacha uyo siwahatiyake mambomenhi

  • @ABELUrioG
    @ABELUrioG 7 месяцев назад +13

    Njoo zanzibar kiredio😁😆😁

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 6 месяцев назад

    M nimemuelewa mwanaume kwakweli wanaume wanakandamizwa sana

  • @CatherineShirima-fj4sj
    @CatherineShirima-fj4sj 7 месяцев назад +11

    Masingo hatutaki pressure kama hizi kabisa tupo bize na kutafuta pesa😂😂😂

  • @Aileth-pp4on
    @Aileth-pp4on 7 месяцев назад +1

    Wasichana wanaolilia wapenzi ni mbwaaaaaaa😂😂😂wanaume ni wengi ety wanalilia mtu mmj mhhh mnajizalilisha saan 😂😂😂😂😂😂😂

  • @SostenesAluminium
    @SostenesAluminium 7 месяцев назад +4

    Kadada kajanja kweli kanazunga kuondoka ningekuwa mimi ningesema nenda😂

  • @stacyalfred7108
    @stacyalfred7108 6 месяцев назад

    Nimeliaaaa na me jmn nimejikuta naliaaaa😂 kaka muongo huyoo lakin😂😂😂

  • @Dannny690
    @Dannny690 7 месяцев назад +9

    Wakagongane kwanza kabla ya msamaha, alafu msamaha wenyewe ndio ufuate.
    Nawaza tu kwa hizi akili zangu😂

    • @FaridaRamadhan-de1ys
      @FaridaRamadhan-de1ys 7 месяцев назад +2

      Wakitoka hapo wakaogelee beach 😂😂

    • @zahrababygarl1568
      @zahrababygarl1568 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @Dannny690
      @Dannny690 6 месяцев назад

      😅😅😅😅😅​@@FaridaRamadhan-de1ys

  • @DaheerK
    @DaheerK 6 месяцев назад

    😂😂😂nikililia mapenzi njoo mnichimbue kuma yangu yoteee nibaki waxiii

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 месяцев назад +18

    Huyu mwanamke anakosea sana kujielezea sana.

  • @HashPappytz
    @HashPappytz 4 месяца назад

    Kuna watu wanalilia mapenzi sku hizi eeeeh hii ni maajabu😊

  • @pillyramadhani3726
    @pillyramadhani3726 7 месяцев назад +5

    Aloooh nani mwenye no za huyu kaka Kuna ten linazagazaga😂

  • @WilliamSumuni
    @WilliamSumuni 7 месяцев назад +1

    Kulia mtu unapaswa kulia nyumbn sio kama apo unalia mbele ya adui kweli 😮😮aaah sio sawa

  • @JoyceElias-bd3kt
    @JoyceElias-bd3kt 6 месяцев назад +2

    Alipagawa na uto tunywere🤣🤣

  • @sheinmpayo
    @sheinmpayo 7 месяцев назад

    Alex anasema niomgelee kiredio mm mwanaume mwenzio😂😂😂 keredio ww jamaa utapigwa mawe unafufua sana makabuli ya ma legend

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 7 месяцев назад +5

    Kiredio embu lete namba nina kakayangu kama Ukoo tunahitaji aoe na huyu atamfaa😊😅😅

    • @Husseinommy15
      @Husseinommy15 7 месяцев назад

      Jamaa fala sana ww😂😂😂😂

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 6 месяцев назад

    Wanawake bwana. Mtu kasha kwambia alikuwa ana kutafutia sababu bado unajiliza jiliza... 😂😂😂

  • @MussaMbii-u1y
    @MussaMbii-u1y 7 месяцев назад +7

    Muhindi aliye chokaaa😂😂😂😂

  • @asiagabriel9240
    @asiagabriel9240 6 месяцев назад

    huyu dada kwani ajui jagamaster au jack Daniel ni Nini analiliaaa umbwaaaaaaaaaaaa😂😂🙌

  • @adamsphonestz
    @adamsphonestz 7 месяцев назад +5

    Mtu kakutapika waziwazi na bado unaendelea mpigia,ouch