Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mm naonanga babangu akieda kununua mbuzi anatuma mtu ako na nguvu Dio akiiinua iyo mbuzi mwenye anauza asione iko na kilo mingi 😂😂😂😂😂.sio kama uyu Wa mbote karibu akunie 😢😂😂😂😂
😂😂mzae anashangaa na kitambi mpaka anapapasa😅
Huku ni wapi niambieni nifike nibuy mbuzi
Yaani mm nmetembea leo as if nlkua na nyinyi...kazi poa mbote
Nyma..Kwa nyama
Weee tupostie anything tutalike ,tucomment na tushare😂
Huku ni soko wapi twende na my brother
Hio ni kondoo Sio mbuzi
Song title please 24:30
Tuned mbote🥂
Mbote huyo mzee anaguza kitambi kama mimba.
Huyo mzae ni vibe kabisa
Weee ata hamngojei nyama ikatwekatwe kwa amani weeeeeh
Utakula stori ukingoja😂😂😂
Umetuweka sana
My brother mbote 🎉
Gai mbote pombe tena😂😂😂😂
huyu jamaa hukua vibe
Unataka kusema aje kuhusu mbote
🎉
Awesome, keep going...tunangonja hio day ya sikukuu tuone wife😂
Kazi nikukula
No 1
Muthee akonsawa na rwimbo
nataka 5 acres ?
Mbote maasai wanaona mmaajabu mtu ako na kitambi,ungemwambia ni kitambi ya pesa🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo Kwa wife umetuchocha😂
Huku ni wapi 😂ata niliwa nathani ni kiseran
Tuned
Hiyo soko mlinunua mbuzi iko wapi specifically?
Ewuaso
Ewuaso Kedong
Ma mbote we wana ati dream ya mburi ni ki??😅😅😅😅
Ìno nì ng'ondu ti mbùri
Hii beast yako imetoka huko kwote aje ikiwa na taa ya fuel? 🤣
Wee mbote na njohi 😂😂😂dikamera daa
Ilimea huoni hiyo tumbo
yani mbote hutafuti mbuzi unatafuta pombe
huku kanaweza enda😂
Gwatho 😂😂
Ukiskia ni Low ni Low
Gùku
Kau gathenge nikagira muno..kuhorera ta gathemba
Huku ni bisli
Nilikuwa nimeona kama ni BIssil but soko ya BIssil ni kubwa
Mbote nlikuwa karibu nikuulize kwani huapload video 😅
Haiya guku nikuo gwatho mi huskia tu
Huyu mjama nimjinga sana anaweja kukanyaga shingo hanauruma
Team mbote let's grow together guys ❤
Done, nipitie
Pitia kwangu@lovenest001