JUMA FAKIH ) AJA NA ARABIC QASWIDA MASHAALLAH MASHAALAH OFFICIAL VIDEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 278

  • @ZainaMussa-zh7ch
    @ZainaMussa-zh7ch Год назад +2

    Jumafak nakupenda bureeeeeee

  • @rashadyabdalla2734
    @rashadyabdalla2734 Год назад +1

    Ustadhi juma fakki amin mungu amekupa kipaji kikubwa allah akuzidishie ktk kusoma qaswida km hii mashaallah mm nimeikubali xn. One love Aqz

  • @halimaponda812
    @halimaponda812 3 года назад +3

    Mashallah mashaallah mashaallah mashaallaaaaaah qaswirda zote nzueri lakini hii kiboko mashallah ndoa ya mawarda

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 года назад +3

    Juma faki nakupenda unavyosoma qasida nakuomba unisomee qasida ya mapenzi tumia jina husna iwe ya kiarabu. From canada thanks

  • @zaitunimustapha9718
    @zaitunimustapha9718 3 года назад +2

    Mashaallah hongera maalim juma Allah azidi kukuweka Zaid na Zaid uzid kufanya vizuri hakika Allah amekutunuku sifa nzur na maadili mazuri endelea kutunza hongera Kaka 👏👏👏👏💓💓

  • @halimajuma6015
    @halimajuma6015 5 лет назад +8

    Mashallah kweli hii qaswida nzuri sana iko kwenye maadili mazuri jmn

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 лет назад +7

    Ukali wa maisha unapungua kidogo tukiskiliza kaswida mana ngoma ngumu kweli

  • @yssraali6961
    @yssraali6961 3 года назад +1

    Mashallah nimeipenda cos uyo Ali anajitahidi kwenye gardaí sa wenziwe

  • @aminayasin9895
    @aminayasin9895 3 года назад +1

    Mashallah mashallah kaswida nzuri kaka faky wew unajua sauti yako tu inavutia sana 🌹🌹🌹🌹🌹💕💝

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 5 лет назад +4

    Maashallah maashallah maashallah, hii kaswida kali sna imefunika kaswida zote za lepa

  • @maulidhamad5022
    @maulidhamad5022 6 лет назад +16

    Sote tuseeme kwapamoja! MASHA'ALLAH.

  • @fatmashaban3657
    @fatmashaban3657 2 года назад +1

    Mashallah kiukweli huwa mnanikosha sana kaka Juma

  • @JaliaAmir
    @JaliaAmir 11 месяцев назад

    Mashaall raha sana ALLAH azid kiwabarik kipaji chemaa

  • @yunussally8233
    @yunussally8233 4 года назад +2

    Napenda can kaswida kama mimi mpemba halisi

  • @mwanapilikaiama4013
    @mwanapilikaiama4013 3 года назад +2

    Mashaallah qaswida nzuri sna

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 лет назад +2

    Maa sha Allah hichi kitu c mchezo mm nabaki nalia tuu thnx Qadiria pmj na ndg yng. Juma faki

  • @NadzuwaAmina
    @NadzuwaAmina 7 месяцев назад

    Jumfk mwenyezi mungu akuzidishie ❤❤❤❤

  • @abadalaali7736
    @abadalaali7736 5 лет назад +3

    ( وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ )
    لقمان (6) Luqman
    Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.

    • @abdalaselemani3510
      @abdalaselemani3510 4 года назад

      ما استفدت منك حول هذه الآية وضح لنا حتى نستفيد منك يا أخي الغالى

  • @ibrahimabdallah4960
    @ibrahimabdallah4960 5 лет назад +1

    Masha Allah mungu awabariki kwa kaz mzuuuuuuuuuuuuuuuuuuur

  • @charifhadidja
    @charifhadidja 2 года назад

    Masha allah..
    Héri N'a baraka
    Insha allah 🤲🙏🤝

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 года назад

    Njooni na canada hatuna hizo casida njooni mtakuwa kipao mbele juma faki. Harusi zao huku doroooo.

  • @mundhirmauly1591
    @mundhirmauly1591 3 года назад +1

    Masha Allah qaswida nzur kama arabic

  • @zuleykhaahmad9124
    @zuleykhaahmad9124 3 года назад +1

    Mashaallah kakaa maneno mazuri

  • @shadidamossi8153
    @shadidamossi8153 5 лет назад +1

    Mashallah ustdhi juma faky mungu akuzidishie kipajii chako ameen mashallah kwa mara nyengine mashallah

  • @ShufaaShuu-s2p
    @ShufaaShuu-s2p Год назад

    Mashaallah warda nzur❤❤

  • @habibaabdallah5285
    @habibaabdallah5285 6 лет назад +4

    mashallah qaswida nzur hongeren wnaqadiria kwa umoja wenu mungu atuzdishie daima pia hongera bwn harous kufanya nusu dini

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 5 лет назад +2

    Huyu jamaa hatari sana mana faki anajitahidi sana ila kuufikia ufundi wa maalim juma kazi ipo....jamaa akisoma utapenda asimalize.....#maashalla

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 лет назад +6

    mashllah lepa kwa kutimiza sunna ya mtume Allah akupe killa LA kher kweny ndoa yko Inshllah

  • @khurshidmerali7146
    @khurshidmerali7146 5 лет назад +1

    Mashaalah azidi kukuonvezea kipaji

  • @saidsheha9120
    @saidsheha9120 2 года назад +3

    This is one of the best from Ustadh Juma Fakih.

  • @nuhadam47
    @nuhadam47 6 лет назад +1

    masha-allah kaswida mzuri sana nimeipenda bure.

  • @bibiemohd3847
    @bibiemohd3847 4 года назад +1

    Kwa kweli Sina la kusema .

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b Месяц назад

    Nipo oman❤❤❤❤

  • @HijraKasim
    @HijraKasim 2 месяца назад

    Mashallh mashallh mashallh mashallh mashallh

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 6 лет назад +1

    ukitaka kujua kama qadiria wameachwa mbali ni ahli madina sikiliza hii na ile alioisoma tanzania one sheikh hafidhi kumsomea huyu jamaa lepa yaani kawaacha mbali sana tena sana

  • @chidychidy5507
    @chidychidy5507 3 года назад

    Juma fakky u po vzr kk mashallah

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 лет назад

    Hio style ya kucheza ya kutikisa kichwa nimeipenda sana hongera suma ww ndio umeijua Kuchezesha kichwa vzuri

  • @saidsheha9120
    @saidsheha9120 2 года назад +1

    Mashaallah. Mashaallah mashaallah.

  • @mariamzawady9397
    @mariamzawady9397 4 года назад +1

    Kheri MaashaAllah❤

  • @hadijaidd9132
    @hadijaidd9132 Год назад

    ❤ mashaaalhaa jazakakumulhau khayra

  • @rehemamohammed401
    @rehemamohammed401 5 лет назад +1

    Ntakua na choyo nicposema Mashaallah Mashaallah

  • @magozanzibar6780
    @magozanzibar6780 4 года назад

    Safi Sana kijana nakukubali kabiiisa

  • @abtwalibirashid4725
    @abtwalibirashid4725 5 лет назад +1

    safi sana juma fakky ni hatari kwakweli

  • @salhakhamis4629
    @salhakhamis4629 5 лет назад +1

    Mola awadumishe daima ndoan inshaallah

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 лет назад +2

    Masha Allah ni nzuri sana nimeipenda

  • @HijraKasim
    @HijraKasim 2 месяца назад

    Mashallh mashallh mashallh

  • @fettyally333
    @fettyally333 2 года назад +1

    He salum Rashid nakuona shekh wangu

  • @hamzaathumani8651
    @hamzaathumani8651 Год назад

    Mashallah kwel kwel

  • @leontineyusuf1817
    @leontineyusuf1817 3 года назад +1

    Mashallah 💕👌👍🏾👍🏾👍🏾

  • @alisalima2401
    @alisalima2401 Год назад

    Qaswida masha Allah
    Your Qaswidas have another vibe...
    👏

  • @FathiyazaidiSalum
    @FathiyazaidiSalum 3 месяца назад

    Juma faki Allah akulinde nawabaya 7:49

  • @haleemahissa5449
    @haleemahissa5449 2 года назад +1

    Mashaallh 👌 🙏 💯

  • @loseslonyo7837
    @loseslonyo7837 2 года назад +1

    Halaliyakomaalim

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 6 лет назад +1

    MashaaAllah safi cna shekh juma

  • @mohdomar109
    @mohdomar109 6 лет назад +7

    Iyo style yakucheza naomba muiendeleze ni nomaaa i feel like muko kwa amu qaboos

  • @fettymussa5932
    @fettymussa5932 4 года назад +3

    Mashallah 😍

  • @fatmakhamis8605
    @fatmakhamis8605 4 года назад

    Yaani kama kasida illivyo mashaallah

  • @ashuraali8205
    @ashuraali8205 6 лет назад +2

    Mashaallah ipo sw sana

  • @hasnuuomar8080
    @hasnuuomar8080 6 лет назад +1

    Hongera bwana haruc na ustdh juma harc masha allah

  • @joharymussa5820
    @joharymussa5820 3 года назад +1

    Mashaallah👏👏

  • @ummyyazeed4298
    @ummyyazeed4298 6 лет назад +1

    Mashallah nmepnda sana

  • @hassansalim198
    @hassansalim198 5 лет назад

    Mashallha mungu awazidishie ishallha

  • @khadijasuleiman4627
    @khadijasuleiman4627 6 лет назад +2

    Maashaallh kher in shaallah

  • @UmmiMuhammad-hg2pe
    @UmmiMuhammad-hg2pe 8 месяцев назад

    Mashaallah ❤

  • @khadijahaji2970
    @khadijahaji2970 6 лет назад +2

    wow!! zote kali ela hii noma zaidi mashaaAllah ....Allah awazidishie vipaji vyenu Aqaz..k

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 6 лет назад +2

    Kama tupo oman vile mashaallah mashaallah kaka unanimaliza

  • @hadijasilima4115
    @hadijasilima4115 5 лет назад +1

    Mashaallah Mashaallah

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 6 лет назад

    Mashaallah mwenye ndoa lkn pongezi pia kwenu AQAZ asanteni sana

  • @ibrahimmenjano3961
    @ibrahimmenjano3961 5 лет назад +1

    Dogo we noma nimekukubali

  • @alyyyussuf8065
    @alyyyussuf8065 6 лет назад +1

    Masha Allah naipenda htrii

  • @mubarakakilango3708
    @mubarakakilango3708 6 лет назад

    mashallah JUMA faky nakadiria kwa pamoya

  • @allyhajj2459
    @allyhajj2459 2 года назад

    Mm nashaur midund ipungue

  • @rabiaissa7731
    @rabiaissa7731 4 года назад

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallaaaaaaaaa

  • @gablieryemanuel7233
    @gablieryemanuel7233 4 года назад

    Mashallah Allah amjalieee

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 года назад +1

    Mashaa Allah 💕

  • @mramour7481
    @mramour7481 5 лет назад

    Lepa umependza sna

  • @barkesimba5511
    @barkesimba5511 5 лет назад +1

    Mashallah..mashallah

  • @Qawarira
    @Qawarira 4 года назад +1

    mashaallah😺😺

  • @ShemsaAmour-t9c
    @ShemsaAmour-t9c Месяц назад

    mashallah❤❤❤❤

  • @khadigappi3618
    @khadigappi3618 6 лет назад

    Mashallah mashallah kaswida nzuli shekhe juma fakky

  • @didababy2765
    @didababy2765 4 года назад

    Mashallah sauti

  • @aliabdullah6725
    @aliabdullah6725 5 лет назад +3

    Qadiria (Aqaz) ndio mabingwa wa ivo vitu wengine wanaiga tu ila ni hatari sana Juma fakiih (fundi )

  • @khamisali2012
    @khamisali2012 3 года назад

    Khamic ali

  • @mohdomar109
    @mohdomar109 6 лет назад

    Kiza ni shida unaenda mule muleee daah yaani mashaAllah

  • @shadyaharuna1247
    @shadyaharuna1247 3 года назад +1

    Mashaalah mashaalah 🥰🥰🥰

  • @saiedsuleiman1837
    @saiedsuleiman1837 6 лет назад +1

    Hii Kali ajjab

  • @aishaomar4012
    @aishaomar4012 6 лет назад +3

    بارك اﷲفيك أستاذجمعۃ

  • @natashahosen1719
    @natashahosen1719 4 года назад +1

    Mashaallah 😘😘😘😘🌹

  • @عليالبلوشي-ي6د
    @عليالبلوشي-ي6د 6 лет назад +1

    Mm nakupenda ww future vision unaweka vedio tunaona

  • @fathimaali8039
    @fathimaali8039 6 лет назад +1

    Masha allah masha allah masha allah nice

  • @shemsachudy2275
    @shemsachudy2275 5 лет назад +2

    MASHAALLAH, km ilivyo qaswida yenyewe

    • @sulemadevu1014
      @sulemadevu1014 4 года назад

      Mnajua kutoa qswida Allah awape nguvu zaidii inshaallah

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 6 лет назад +1

    muko vzur aqaz mumejitahd

  • @mabovuhomefurniture
    @mabovuhomefurniture 5 лет назад

    Mashaaallh inapendeza

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 6 лет назад +1

    Kimenoga mashallah na mm naitaka ndoa ya mawarda😁😁😁hamu ya kuolewa imenijia

  • @azizamkindi1784
    @azizamkindi1784 6 лет назад

    Mashallah harus ALLAH akulipe

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 4 года назад

    Mashaa Allah

  • @wahidaabraham7723
    @wahidaabraham7723 5 лет назад +2

    Masshaallah qadiria

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 лет назад +1

    iko sw qasda mashllah ust juma

  • @buthaymaahmad557
    @buthaymaahmad557 4 года назад

    Aahaa mashallah

  • @mariamukhamisi6985
    @mariamukhamisi6985 6 лет назад

    Mashaaallah Mashaaallah kwa kaswaida Nzur