There is more important issues that the parliament should focus on. There are worrying reports that corruption and stealing public funds have taken worrying proportions after Magufuli 's death. If this parliament is serious it should focus on such issues and not on outdated dress codes
Muwe na msimamo Kama ni sketi na gauni iwe hivyo kwa wanawake na Wala sio vaa suluali isiyo bana Sasa kwani hiyo inawachanganya hata hivyo msifaniane hivyo iweni na staha ni wakati gani wa kumuonya mwenzio
🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔 tanzanian rules are so petty like she is just ok very representable nothing is wrong with it ,,,,,, in Kenya what matters is speech ( your opinion in the parliament discussion is all that matters" and if Tz still practice this basi kimaeendeleo mtazidi kubaki nyuma
Ukweli siku zote ni mchungu,endelea kuwafahamisha baba kwani binaadamu wa sas hapo ndipo tulipofikia unapotaka kuondosha uovu na tabia chafu ktk jamii ww ndie utakaeonekanwa hauna maana ,sas endelea tuu hvy hvy na sio kwa huyo tuu hata akiwa kiongozi wako usione tabu kumfahamisha,kikubwa ni kufuata sheria za "kibunge"ambazo ndizo zinazokuongoza kufanya hayo kwa hapo ulipo,mm binafsi yangu nikupongeze kwa hilo big up mkuu💪💪💪....
Ni tamaa tuu za mizee hasa mizee ya kiislamu..yanataka kuleta Dini kwenye bunge..hivi ndo mambo yanaanzaga..muda si mrefu watataka bai bui bungeni kwa wanawake wote.smh
Kuna mavazi yanayomuakilisha mwanaume pia na mavazi yanayomuakilisha mwanamke kwa sasa uhakilishaji huo ni tatizo kubwa sana maadili au tamaduni umetoweka usipomkagua mtu vizuri utamuandikisha jinsia sio yake.imekuwa hata ukipeleka maiti mochwari hawakumini kuwaeleza Huyu jinsia gani mpaka wamfungue nguo sehemu ya siri je hatuoni hilo tatizo upande wa mavazi kwa pande zote mbili kikeni na kiumeni tunakuelekea mila zetu wa afrika zinatoweka hata heshima ya makabila na mafunzo yao itakuwa histori tu na ndipo ilipotokea kupolomoka kwa maadili yetu kila kabila ilikuwa na heshima zao juu ya mavazi na nk
Sina sheria ya kumtaja mtu Ila chunguza kwa makini kuna baadhi yao ukiwaona mavazi yao na muonekano wao usipoambiwa huyu mwanaume au ukiambiwa huyu mwanke utoamini je mtu huyo angevaa nguo husika italetaje shida ya utatanishi.
Mizee ya aina hii ingetolewa maana akili imeganda hayaonagi mbali, kama suruali tu inakufanya uvuruge mada ya Barabara jee ukiona taiti si utasimamisha ujenzi wa Barabara nzima pumbavu zako
@@darajalakidatukilomgi2362 kwani Kati ya Hilo bunge lako na Hao wanawake wako na Allah kipi muimu kwako? Mana Hilo vazi Allah ndio alie likataza bunge lafata amri za Allah tu
Na kwa mungu tutasema tumedhalilishwa.... wanawake tunatakiwa tujistiri mungu ametuumba maumbo mazuri sana tusiwashuhulishe wanaume wengine wazee wetu wanapata shida sana hawa watashindwa mpk kuchangia bajet😄
Alichonikera mjadala mzito na muhimu wa Barabara unajadiliwa kauvuruga kisa suruali, ovyo kabisa hili Baba, huwa analala tu ndani ya Bunge hatoi mchango wowote
Apa naona kunahaja ya kumuomba radhi mdada wawatu kazililishwa kwakweli na kuonesha kuwa ni jasili aliludi Tena bungeni labda Kuna mengine yaliyo jificha ila sio mavazi
Km mnakosa miongozo mje huku tuwape manake tuna mambo mengi yakujadili kuliko mnakaa mnaanza kuangaliana suruali, kwanza huyu mbunge alikuwa anafanya nini hadi kaona suruali ilobana
Kuna mavazi ya wabibi na wamama mbona yupo vizuri tu Watu wengine wanavaa mavazi malefu pia nguo pana lakini lakini ni malaya na waxinzi aache ushamba yeye kama anamtaka aseme
Sijui watu wanasema nini hawamuoni Raisi Samia mavazi yake anayo vaa huyo dada yuko smart kweli lakin blouse yake ingekuwa ndefu kidogo ikafika kwenye magoti
Noo no noo hajaonewa mtu apo, kila mmja anatakiwa aatathmini mandhari ya eneo husika.. Mfano kuna ofisi za serikali, binafsi je nini kinachohitajika😇 usituvalie suti twende disco au croptop twende ofisin😁
Ndio shida ya kuweka Wabunge Wazee wasiojitambua, hapo kaona Mbunge kijana atema mada nzito nzito kaanza kumuogopa, sasa wewe Mzee ulitaka wavae madera Bungeni?
This is the reason why there needs to be an honest conversation about how women are regarded and treated in this society. Why was he trying to look at her backside? This is business attire and he had the nerve to refuse to apologize. He should be the one to be penalized for his clear misogynistic thinking. He should have been minding the business his constituents sent him to Dodoma to deal with not what others are wearing... The arrogance.
Huyu baba hana la kusema Bungeni ndio maana anaangalia wanawake. Mzee hana la maana. Hii nguo ni yakawaida tu. Mmempa umaarufu. Babu kalee wajukuu wakayi umekupita Bunge liwachie vijana au inawekana hufai sasa usongo unakuumiza wenzio wanafaidi. Utabaki kulalama mambo huna babu. Tumekutuma Bungeni kutuwakilisha sio kutizama matako ya watu. Huezi rudi nyumbani waende wenye kuchapa kazi. Umepoteza muda wa Watanzania kwa upuuzi wako.
Hata mbunge mwenyewe aliye leta hayo malalamiko hajui tofauti kati ya T-shirt na shirt au brauz!! badala ya Kujadili mambo ya muhimu analeta mambo kuangalia wenzake na kutamani!!🙈🙈🙈
@@bahatihassan5413 jina tu unaitwa bahati, Mvuto wako wa kubahatisha afu eti nyoko nyokoo. Unavyo hangaika kuwafanya wenye mvuto waonekane wabaya kama wewe😂😂😂😂
🤔 mtazamo wangu pia yuko sawa and very smart beautiful woman but labda kosa lake ni jiumbo zuri la kuvutia alilobarikiwa na mola wake 😉😁❤🇨🇭🇹🇿
Jameni wewe ni muislamu jina tu, wanawake tumeambiwa tujistiri
Kujistiri ndio vazi la mwanamke
Kwani Bungeni pia wadanga?!!!😅😅😅😅😅😅
@@Sandra39823 toka huko.
@@lexq-sm6lq kafungue RUclips channel yako
Hao wamezoea, Mh. Spika wasizuiliwe nje, wachomolewe Mjengoni humohumo ili wajifunze, Bunge sio Pub.👏👏👏👏👏👏
Mzee kanyimwa kitumbua hehehe
She is very decent official and smart hana tatizo ata kidogo
There is more important issues that the parliament should focus on. There are worrying reports that corruption and stealing public funds have taken worrying proportions after Magufuli 's death. If this parliament is serious it should focus on such issues and not on outdated dress codes
Muwe na msimamo Kama ni sketi na gauni iwe hivyo kwa wanawake na Wala sio vaa suluali isiyo bana Sasa kwani hiyo inawachanganya hata hivyo msifaniane hivyo iweni na staha ni wakati gani wa kumuonya mwenzio
Nguo ipo vizuri tu maybe alimtongoza akamkataa
mm naona alimtamani tu, nguo ipo sahihi kabisa
Ana bifu lake to labda alimtaka akamkataa tatizo lipo wapi apo
HAPO HUYO BABU AMECHEMKA. WANASAIKOLOJIA HEBU WASAIDIENI WAH. WABUNGE WAJE NA WENZI WAO. MAANA VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI HAPA DODOMA HUCHUKUA MIEZI KADHAA. MACHO HAYANA PAZIA. BINTI HUYO KAONEWA. POLE Mh. Dada yetu hujatukana mtu. Tulia tuu Mh. Amina
Akovizuri isipokua watanzania niwanafki mbaya sana..
Usiseme watz,mkenya mmoja akikosea sidhani kama utapenda kujumuishwa wote
Kama hii nguo sawa inashida gani huo uonevu
🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔 tanzanian rules are so petty like she is just ok very representable nothing is wrong with it ,,,,,, in Kenya what matters is speech ( your opinion in the parliament discussion is all that matters" and if Tz still practice this basi kimaeendeleo mtazidi kubaki nyuma
At least we are not dying from hunger like you
Kweli,,Ameonewa Sanaa,,Hayo mavazi yana ubaya Gani..
Kama alivaa vizuri asingetoka.mbona kwa kutajwa tu naye akalithibitisha kwa kutoka
Tanzania inanyanyasa sna wanawake sna..wakati Rais ni mwanamke.
Kuna sheria acha kuongea tu
@@makulaikuku6909 sheriaza kishenzi kunyanyasa mwanamke
Kahaba wewe
Ukweli siku zote ni mchungu,endelea kuwafahamisha baba kwani binaadamu wa sas hapo ndipo tulipofikia unapotaka kuondosha uovu na tabia chafu ktk jamii ww ndie utakaeonekanwa hauna maana ,sas endelea tuu hvy hvy na sio kwa huyo tuu hata akiwa kiongozi wako usione tabu kumfahamisha,kikubwa ni kufuata sheria za "kibunge"ambazo ndizo zinazokuongoza kufanya hayo kwa hapo ulipo,mm binafsi yangu nikupongeze kwa hilo big up mkuu💪💪💪....
Hiyo nguo Bado sijaona shida labda kama kuna jinsi nyingine inavyo onekana
Ameonewa
Kama yuposawa. Kazalilishwa Nini mnao msapoti wote Hamna akiriti😊
Ni tamaa tuu za mizee hasa mizee ya kiislamu..yanataka kuleta Dini kwenye bunge..hivi ndo mambo yanaanzaga..muda si mrefu watataka bai bui bungeni kwa wanawake wote.smh
Huyo mbunge wa nyang'hwale hana hoja, darasa la nne la mkoroni, kazi kushambulia wabunge wenzake.
Kwanza baada ya kusema ndo aliwapatia attension wabunge kumwangalia, ila yy hyo aliyemusema mwenzake ndo anaonekana anapenda matako tu hyo
Mimi naoni ni mavazi mazuli jamani
Labda anamtaka akamkatalia. Mbona iko sawa tu.
Mimi nilicho.fahamu ndugai amemuambia akabadilishe guo Basi ingieni uchi bungeni
Amekataliwa mzee baba 😂😂😂
Mbunge mbona kavaa vizur kabisa
Yuko wp Mdee wakumtetea mbunge aliye tolewa nje?Ndugai unafeli wapi?uzinguaji umeingia hadi bungeni
Kuna mavazi yanayomuakilisha mwanaume pia na mavazi yanayomuakilisha mwanamke kwa sasa uhakilishaji huo ni tatizo kubwa sana maadili au tamaduni umetoweka usipomkagua mtu vizuri utamuandikisha jinsia sio yake.imekuwa hata ukipeleka maiti mochwari hawakumini kuwaeleza Huyu jinsia gani mpaka wamfungue nguo sehemu ya siri je hatuoni hilo tatizo upande wa mavazi kwa pande zote mbili kikeni na kiumeni tunakuelekea mila zetu wa afrika zinatoweka hata heshima ya makabila na mafunzo yao itakuwa histori tu na ndipo ilipotokea kupolomoka kwa maadili yetu kila kabila ilikuwa na heshima zao juu ya mavazi na nk
Wewe ni Muongo,huyo dada apo haonekani kama ni Mwanamke?
Sina sheria ya kumtaja mtu Ila chunguza kwa makini kuna baadhi yao ukiwaona mavazi yao na muonekano wao usipoambiwa huyu mwanaume au ukiambiwa huyu mwanke utoamini je mtu huyo angevaa nguo husika italetaje shida ya utatanishi.
Uonevu sana,,,dada kaonewa sana
Safi sana kazi ya mama samia
Nguo haina shida kabisa..
Hii mizee mingine!!
Mizee ya aina hii ingetolewa maana akili imeganda hayaonagi mbali, kama suruali tu inakufanya uvuruge mada ya Barabara jee ukiona taiti si utasimamisha ujenzi wa Barabara nzima pumbavu zako
@@darajalakidatukilomgi2362 Mpaka ina boa.😈😈
@@darajalakidatukilomgi2362 😂😂😂😂😂 kavurugwa hana sera kwanza kamdhalilisha si angempa ata kipeji kiaina sio kuongea pablic
Huu ni uonezi na udhalilishaji wa wanawake, ifike mahala wanawake tuandamane kupinga mfumo dume
Kwa nn usiandamane kwa wanawake wasio fata dini kwa ajili ya Allah?
@@sjfamily8121 Tunaongelea Bunge hapa Wanawake, Dini na Alah imetokea wapi?
@@darajalakidatukilomgi2362 kwani Kati ya Hilo bunge lako na Hao wanawake wako na Allah kipi muimu kwako? Mana Hilo vazi Allah ndio alie likataza bunge lafata amri za Allah tu
Na kwa mungu tutasema tumedhalilishwa.... wanawake tunatakiwa tujistiri mungu ametuumba maumbo mazuri sana tusiwashuhulishe wanaume wengine wazee wetu wanapata shida sana hawa watashindwa mpk kuchangia bajet😄
Tena eti kukatazwa kuvaa hivyo tu ndio kudhalilisha, lakini wanavyo ingiliwa kinyume na maumbile sio kudhalilishwa, wapuzi Sana
Anataka wajifunge vitenge bungen mbona n vazi nzur
Sulual jamani haijabana sana kawaida tu
Hivi nguo kama jinzi kuna baadhi ya ofisi za serikali hazitakiwi kwa nini kama hazitakiwi zinaingizwa nchini na serikali inachukua kodi
JINZI INAFAA SEHEMU FULANI C VAZI LA KIOFSI HATA WAPI
Kuna mizee mimalaya ukute limenyimwa namba
Umbo lake Zuri tu angekuwa mwenye umbo baya isingemkaa ivyo maumbo yamekuwa kosa,🤣
Atakuwa alikua anatayzo nae mbona nguo nzur tu au alimtongoza jaman dohhh zambi kweli yaaan
Huyo baba ana kisa nae.
kamkosea sana ana shida uyu mwanamke
Alichonikera mjadala mzito na muhimu wa Barabara unajadiliwa kauvuruga kisa suruali, ovyo kabisa hili Baba, huwa analala tu ndani ya Bunge hatoi mchango wowote
Wivu na matamanio ndio mingi hapo
Pole yake
Amevaa nguo inayomfit...au alitaka avae nguo za kukua naz? Duuuh.....!
Itakua kamkataa 🤔
Hiyo suruali ni bwanga s]kabisa huyu mzee ametumwa nini na wana jimbo lake
Nguo iko sawa kabisa wamemuonea
Nguo ni mbaya Sana Kwan kiutamaduni wa Tanzania
Iyo ni wivu Sasa
Kabs
Ikibidi wachapeni viboko hapo getting watakaokeuka kanunun za bunge kuhusu mavaz
jamani huyu dada ameonewa kabisaaa tena kapendeza wala nguo hazijambana
Amevaamuzuri sana tuachechuki
Apa naona kunahaja ya kumuomba radhi mdada wawatu kazililishwa kwakweli na kuonesha kuwa ni jasili aliludi Tena bungeni labda Kuna mengine yaliyo jificha ila sio mavazi
Huyo jaama ni Tamaa,hakuna kilicho mpeleka bingeni zaidi ya kwatongoza wanawake tu afatiliwe mshamba huyo
Vazi halina shida kabisa huyo mzee aseme anataka nini Kwa huyo mdada
Ametongozwa kamkataa hapo
Jaman watoe sare za bungeni
Mwanamke harusiwi kuvaa suruali sio tu ya kubana..hayo mavazi ni ya kikahaba
Km mnakosa miongozo mje huku tuwape manake tuna mambo mengi yakujadili kuliko mnakaa mnaanza kuangaliana suruali, kwanza huyu mbunge alikuwa anafanya nini hadi kaona suruali ilobana
HAKUNA UONEVU HAPO BUNGENI HAKUNA BIASHARA YA UKAHABA AKAVAE BAR SIO BUNGENI HAYO MAADILI SAFI YAJE MPAKA MTAHANI
Kuna mavazi ya wabibi na wamama mbona yupo vizuri tu Watu wengine wanavaa mavazi malefu pia nguo pana lakini lakini ni malaya na waxinzi aache ushamba yeye kama anamtaka aseme
Sijui watu wanasema nini hawamuoni Raisi Samia mavazi yake anayo vaa huyo dada yuko smart kweli lakin blouse yake ingekuwa ndefu kidogo ikafika kwenye magoti
Ukifika kwenye magoti hiyo itaitwa gauni siyo sketi tena lkn Mbona yuko vzr?
@@samwelmarwa9903 kwa vile amevaa suruali
Noo no noo hajaonewa mtu apo, kila mmja anatakiwa aatathmini mandhari ya eneo husika.. Mfano kuna ofisi za serikali, binafsi je nini kinachohitajika😇 usituvalie suti twende disco au croptop twende ofisin😁
Yupo sawaaaa hayupo UCHI
Mmezaliwa na nguo? Uonevu tu
Ndio shida ya kuweka Wabunge Wazee wasiojitambua, hapo kaona Mbunge kijana atema mada nzito nzito kaanza kumuogopa, sasa wewe Mzee ulitaka wavae madera Bungeni?
Nasikiza nikiwa kenya
This is the reason why there needs to be an honest conversation about how women are regarded and treated in this society. Why was he trying to look at her backside? This is business attire and he had the nerve to refuse to apologize. He should be the one to be penalized for his clear misogynistic thinking. He should have been minding the business his constituents sent him to Dodoma to deal with not what others are wearing... The arrogance.
Nguo haina tatizo
Ipo crip inaonesha vizuri hadi Ramani ya CHUPI anaonekana matakoni. Hii picha niyambele.
Kweli Kabisa Bola Alivotimuliwa Mana Siku Moja Bunge Itakua Bar.🍺🍺
Huyu baba hana la kusema Bungeni ndio maana anaangalia wanawake. Mzee hana la maana. Hii nguo ni yakawaida tu. Mmempa umaarufu. Babu kalee wajukuu wakayi umekupita Bunge liwachie vijana au inawekana hufai sasa usongo unakuumiza wenzio wanafaidi. Utabaki kulalama mambo huna babu. Tumekutuma Bungeni kutuwakilisha sio kutizama matako ya watu. Huezi rudi nyumbani waende wenye kuchapa kazi. Umepoteza muda wa Watanzania kwa upuuzi wako.
wazo langu mm hizo kanuni zishuke kwa hadi kwa wananchi kama kweli tunalinda heshima na utamaduni wetu
Awakomeshe siku nyingine awavarie gauni letu na renye mkia mrefu sana kama ra bibi harusi
Mtoto kapendeza nn shida
Uonevu tu nimejisikia vibaya kudhalilishwa dada wa watu
Hata mbunge mwenyewe aliye leta hayo malalamiko hajui tofauti kati ya T-shirt na shirt au brauz!! badala ya Kujadili mambo ya muhimu analeta mambo kuangalia wenzake na kutamani!!🙈🙈🙈
Korea vazi kama Hilo lime pigwa marufuku kwa nchi Zima sio bungeni tu Sasa kama huyu kaonewa wale walio Korea nao watasemaje
Ushasema korea
@@kabelwalungumilo8026 ulikua wataka niseme wapi tanga?
@@kabelwalungumilo8026 au bukoba?
Mbona hiyo nguo ni kawaida na bra yke sio mbaya, kwan hapo shule ni uzalilishaji tu wamwanamke mwenzie angemwita pemben basi sio ivyo mbele za watu
Mbona huko pies sana au wavae dera.
Ukosefu wa hoja za msingi ndiyo unakuta mbunge kakaakaa tu hana hoja kazi kudandia hoja za wengine sasa anatafuta kiki!
Tunaelekea korea sasa ikipigwa vita hizi suruali wanawake tusivae itakua pow tz
Una wivu tu, kisa huna mvuto unataka kila mtu asivutie.
@@lexq-sm6lq ilikua natizama wenye mawazo mgando km ww pole mwaya sio kila mwenye shepu nzr avae suruali nakupa pole sana
@@bahatihassan5413 jina tu unaitwa bahati,
Mvuto wako wa kubahatisha afu eti nyoko nyokoo.
Unavyo hangaika kuwafanya wenye mvuto waonekane wabaya kama wewe😂😂😂😂
@@lexq-sm6lq babu cjui bibi sina mda wakujibishana naww kwani hatuwaon nipishe usinizeeshe mm shepu nzr akili yko ilipo mpumbavu waheed
Wengine tunapenda na tutaendelea kuvaa,usiyependa kuwa huru kutovaa
Ame zalilishwa haki
Ttz sio mavazi ttz ni kanuni za mavaz zilizo tungwa, ikiwa bunge hawatekelezi wanacho kitunga sisi wananchi ni akina nan tusizivunje,
Safi xn yaaani nimefrah kwel
Kwa asiejielewa atasema ameonewa nawengi wetu hatujielewi lzm tubadilike mabinti kuvaa uchi ni ushamba na ujinga
Mfyuuuuuui
Shameful for those women why are they still sitting with colonizers 👎
Huyo mbunge alikua anataka wote wavae hijab kama waarabu?
Nice
sioni tatizo kabisa
Blouse ingeteremka kidogo, isioneshi maumbile yake
Yupo sawa hayupo uchi
SAFII SANA
Ameonewa saaana sikubaliani kabisa na wabunge wasio na points za kuchangia wanaibuka na petty issues.
Na ww vaa kama haina shida
Me to she ok
Kwa kitaa yupo sawa lkn bungeni kunamavazi wanayotaka wabunge wavae
good eshima
Huyo analeta udini.kama
kwakweli walimuone sasa kwaza huyo mubunge nimnafiki kabisa labuda alikuwa anamtaka kaniuzi
YULE MZEE HAKUTUMIA BUSARA KUMTAJA HADHARANI HUYU DADA MAANA KWA BUSARA ALITAKIWA KUTOA TAARIFA YA JUMLA NA SIYO KUMSHAMBULIA MOJA KWA MOJA!!
Ameonewa tuuu