Mungu akuinue Kwa mema yote ulonitendea sitasahau mungu alikonitoa ,Basil ulisimama pamoja nami wakati mgumu mno sitasahau, japo nilipitia nilipitia shida lakini uliniheshimu bila kujali napitia magumu mungu akumbuke ulipojitoa kwaajili yangu
😭😭😭😭huu wimbo nikama nimeimbiwa mimi 26/4/2022 I almost went crazy loosing my mind totally,nikaa hospital 1month hopeless 😔,niliona gizaa tuu mbele yangu 😭😭machozi ilikuwa chakula changu. 🙏🙏💪💪 For now I thank God alinivusha ni mzima .
Tiktok family less gather here for our song finally the video is out.....nice bro much love from Team strong💕💕💕💕💕💕💕💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪pls if you love this song less gather here for our very own less appreciate him
When I listen to this powerful song ,it reminds me of 2017 when my dad found his brother who had hanged himself to death but family members said he was the one who killed him,but God manifested himself and fought for my dad
Mungu azidi kuwa nawe milele❣️❣️❣️❣️na akuongezee maarifa mengi. You are the only Luo mwenye anaimba Kiswahili ili kueneza nyimbo zako zieleweke na kabila zote humu chini. Be blessed 🙏
😭🙋🏽♀️🇰🇪huu wimbo wa Basil huutia moyo wangu nguvu sana 🙋🏽♀️🇰🇪😭🙏🏽Mungu amenitoa mbali🙏🏽Basil niazime na skiza tune code ya huu wimbo nikipigiwa simu unaimba kwa ringtone ya simu yangu🙏🏽
And that's how i found myself here from tiktok helping that mother with a kid nikasikia weka wimbo ya basil ya kiswahili Good job i like a thousand times
Hii nyimbo Leo ndio nimeilewa vizuri waaah i lost my bro nimehangaika kutafuta msaada bt Mungu amenivusha Leo tumezika. Niko in love with the song ♥️♥️♥️♥️♥️🤗🤗🤗🤗🤗
Ndio nimefika huku ak huu wimbo unanikumbusha this year my son passed away watu wakanitenga nikakuwa depressed I bled for 3good months but i thank lord am alive to testify His Glories ❤be blessed brother🙏🙏your going far
Mungu akuinue Kwa mema yote ulonitendea sitasahau mungu alikonitoa ,Basil ulisimama pamoja nami wakati mgumu mno sitasahau, japo nilipitia nilipitia shida lakini uliniheshimu bila kujali napitia magumu mungu akumbuke ulipojitoa kwaajili yangu
Aaamen mam nakupenda
Kweli KABISA yani MUNGU Ni mwema
Shida Ni kwawote
Ni mungu Kila kitu
Km
Amen amen
Can't get enough of this song....God bless you brother... leaving this comment so that every time someone likes,reminds to listen to the song🙏🙏
Aaaamen and Amen
😭😭😭😭huu wimbo nikama nimeimbiwa mimi 26/4/2022 I almost went crazy loosing my mind totally,nikaa hospital 1month hopeless 😔,niliona gizaa tuu mbele yangu 😭😭machozi ilikuwa chakula changu.
🙏🙏💪💪 For now I thank God alinivusha ni mzima .
Ooh my God wat wonderfully God we serve
Ati 2026 mbona sikuelewi pole lakine mwenyezi mungu ako pamoja nawe
It’s the beats for me 🙌🙌
🎉🎉thanks
Tiktok family less gather here for our song finally the video is out.....nice bro much love from Team strong💕💕💕💕💕💕💕💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪pls if you love this song less gather here for our very own less appreciate him
What we have waited for
We are here kwa mpigo 🤞🤞✌️😀😍😍
Imagine 2 days nhome n mungu tu
@@mauamaua1228 Si uko sawa aki baby girl,mimi hadi next year 😅😅
@@jerusaakinyi3957 ata ww utamaliza 2 ucjali
Haki huu wimbo unanigusa sana.....ubarikiwe sana
🎉🎉Amen
😢😢😢😢aki bona hii wimbo inaniongelelea Mimi mashinda yalitufanya tukaachana na mpenzi wangu,,,,
this song soothes, admonishes. Barikiwa Pro.Basil. Nasubiri sana video ya siku kuu song
Kama uko apa 2025 weka like 🥰💯💯❣️
Amen 🙏, barikiwa sana huu wimbo naipenda sana, mungu azidi kua pamoja nanyi
If u can remember where God took you from u will subscribe and comment likewise and Bless God for me🙏☑️☑️
Done
Wow nice song song basil,amazing song,then audio 1 ni pesa gapi? I want to come to your studio
Wooow alililiiiiii. This is great brother. Keep going. Sky is the limit.
Mtumishi nyimbo zako zinanibariki ila vazi hilo la suruali sio poa.
Nikuulizie hii wimbo unaaza aje
My love to this song is on the other level ❤❤may God continue blessing u
How many kamba wako hapa na hawaezi toka🙏🙏🙏💪
Nko apa na siez toka
niemee vaaa
The song 🎵 is very touching 😢😢
Kwakweli huu wimbo huniguza sana keep going bro may God bless the work of your hands
😢😢😢kwa kweli cwez xahau aliko nitoa christo yesu😢❤❤❤
When I listen to this powerful song ,it reminds me of 2017 when my dad found his brother who had hanged himself to death but family members said he was the one who killed him,but God manifested himself and fought for my dad
Mungu akubariki Basil nice song
Nimejaribu kudownload kwa Tubidy ainekani nilipenda sana iwe ringtone yangu kweli Mungu amenitoa mbali
Mungu akujalie basil good songs
Amen❤❤❤
sitasau alikonitoa mungu na najua anazidi kuniinua.barikiwa basil na mungu azidi kukuinua pia barikiwa brother
🎉🎉 Amen
Naupenda huu wimbo wa Basil yangu yote🇰🇪💃🏽🎤🙋🏽♀️
🎉🎉🎉Amen
Who is here 2025🎉
Na mungu azidi kuku inua wewe uko sawa baraka kuenda mbele
Very nice song. Much love from Kenya. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwani Sio mkenya ...I thought he is our fellow Kenyan
@@AgnesKalinga-ku5seqààaa
Can't get enough 😢😢💔💔
Haki niliyapitia Mengi machungu😭😭😭lakini MUNGU kanivusha,hakika MUNGU ni mwaminifu.huu wimbo wanitoa machozi kila mara nikiskiza.
Asante mungu umbali umenitoa akika sitosahau 🙏🙏 umenivuta chozi pamoja n kuniondolea aibu
Blessed song en touching the heart siezi sahahu nilikotoka mungu ni Mwema siku zote
Mungu nimwema alinivukisha
Huu wimbo kweli umenikumbusha mbali sana...much Love from Kenya 🇰🇪
Ubariliw sana mpendwa kwa ujumbe wako mzuuuuur 🙏🙏🌷🌷
Ameen amenitoa mbali sana na sitaogopa kusimulia makuu yake ndani ya maisha yangu ,kama ningali hai🙏
Nice song nkisikia tu nalia 🙏🙏🙏
Mungu azidi kuwa nawe milele❣️❣️❣️❣️na akuongezee maarifa mengi.
You are the only Luo mwenye anaimba Kiswahili ili kueneza nyimbo zako zieleweke na kabila zote humu chini. Be blessed 🙏
Aaamen
It's God and God only 🎉🎉🎉🎉🎉
I don't know the language but thank you so much for presenting Jesus christ
❤AMEN siwesi aliko nitoa huyu Mungu 🎉
Waw nilikuwa na tafuta video ya hii wibo sana good song I can't stop watching😍😍😍
Mungu akuinue Sana na akubariki Hadi uvuke
Amen
Since 4-9-2020 my accident day I come to realize Mungu pekee ndio Rafiki wa kudumu na ni mlele... Pesa
🙌🙌🙏🙏🙏💃💃💃🕺🕺🕺👯 Ni Mungu 🫂🙏💯
Powerful song 💓💓God is great alinipigania depression was to kill me,I thank God it never winned indeed alinivusha🙏🙏
I love this song mungu akulinde Basil najua mungu atanivusha NAMI cku moja nishinde jaribu
Amen
😢😢siwezikusahau penye mungu wangu alinitoa ki ukweli the song is hitting❤❤❤ 🙏 🙏 🙏 🙏
😭🙋🏽♀️🇰🇪huu wimbo wa Basil huutia moyo wangu nguvu sana 🙋🏽♀️🇰🇪😭🙏🏽Mungu amenitoa mbali🙏🏽Basil niazime na skiza tune code ya huu wimbo nikipigiwa simu unaimba kwa ringtone ya simu yangu🙏🏽
🎉🎉Amen
I can't stop praising and worshiping my God through this music 🙏🙏🙏🙏
Siwezi sahau mahali ulinitoa Jehova ,,,,utukufu wote ukurudie Mungu hakika huu wimbo umenitia nguvu Sana
It's by his grace..I thank God for my life today
Ni Mungu ni Mungu tu🎉
Naupenda huu wimbo,one day i will testify
Wimbo mzuri ila mavazi hayaendani kabisa na ujumbe.
Wako tu Sawa bana
Exactly eead kumbukumbu la torati 22:5
Siwezi sahau mahali mungu amenitoa.....ni mungu wa upendo🙏
Iyo Ngoma nmesikia mrng qwa citizen inatia moyo Kwa wale waliokata tamaa... 🙏🙏🙏🙏
Mimi kama Mimi ni MUNGU tu hakuna lingine 😭😭🙏🙏
The song is on another level congratz, mungu wa rehema 🔥🔥🔥🔥
Waw I kyk everything about you the real song
Thanks
2023...the biggest blessing is being alive... Thank you God it can only be you Papa 🙏...now carry me through 2023 in Jesus name Amen
Hakika n MUNGU tu 🙏🙏🙏
Ajuye Mimi zaidi mungu.i will never forget were I come from.But God has done it I not be the same glory to God 🙏❤❤❤
Ni mungu aliniweza🙏🙏🙏🙏🙏🙏
And that's how i found myself here from tiktok helping that mother with a kid nikasikia weka wimbo ya basil ya kiswahili Good job i like a thousand times
Good song follow from lraq it's touching b bless
The song is very motivate and sensitive be blessed all
Hatutasahau tulikotoka mtumishi
This song sends me to a river emotions. It reminds me of how God has been gracious,merciful and loving to bring me this far alive and still strong
Wenye tuko gulf hii wimbo ni yetu,mko wapiii,pita na like
Nasikia sahii, 25 Dec 2025
Wacha mungu aitwe mungu,much love winnie from Kenya
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ni mungu tu
This song Is On another level 🔥🔥
Thank you God
Im here again testifying my storyyy 😭🙏
Thank you for making me reach where iam..
Be blessed Basil❤️
This song make me remember my life God is faithfully 💗💗💗🙏🙏🙏
Wonderful song watching from Qatar,kenya fun
This song reminds me the year 2020 lakini niliona mkono wa bwana, thanks for those who stood with me may your pocket never luck🙏🙏 powerful song💪💪💪
Hii nyimbo Leo ndio nimeilewa vizuri waaah i lost my bro nimehangaika kutafuta msaada bt Mungu amenivusha Leo tumezika. Niko in love with the song ♥️♥️♥️♥️♥️🤗🤗🤗🤗🤗
🥲🥲 pole sana dear
Ni God maze.......need to show the singer love ...more likes please.....❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Welcome to your church
Very powerful song....God grace has been so sufficient 🙏
Ndio nimefika huku ak huu wimbo unanikumbusha this year my son passed away watu wakanitenga nikakuwa depressed I bled for 3good months but i thank lord am alive to testify His Glories ❤be blessed brother🙏🙏your going far
Ooh My God
Can’t wait kushuka na hi Wimbo Jkia soon team strong hello❤❤❤
I serve a living God,a miracle worker. He took me through it. I will never fear praising your name God. A living testimony.
Oh yes,,
My favorite song
Wapi likes za my producer.
Kila siku huu wimbo unitia nguvu zaidi nahisi kubarikiwa kila wakati na kila siku
Amazing song.....kweli anazidi kunipeleka mbali
Mungu akubariki sana hii nyimbo ni nzuri sana 🙏 God bless you 🙏 💖
May God be with you in His ministry,this song make me feel better,acha mungu akuzudi basil kuendeleza injili
Enyewe amenitoa mbali, thank you bro hiyo ni wimbo ya ukumbusho
Wow, this song makes me cry now, in fact, only God brought me down, only God healed me, only God empowered me, only God lifted me up❤
Aaamen
Mungu akuinue zaidi na zaidi
An inspiring song .. congratulations 🙏 the song reminds me my past life and how obtained salvation in Christ and how am progressing in my life
Sitasahau ulikonitoa Mungu wangu 🙏🙏
Naelewa penye Mungu amenitoa ....Amen🙏🙏
😭😭😭😭🇧🇭🇧🇭Mimi najua MUNGU wangu amenivusha kwmengu ,,
I bless the name of the Lord ,,,,,, glory 🙏
Huu wimbo ni WA maana kwangu bro,akika mungu ni mkuu, kwenye amenitoa ni mm najua
Wow this song is so touching 🤗🤗🤗🙏🙏🙏🙏🙏Keep going brother much love may God keep on blessing you 🙏🙏🙏🙏🤗🙏🤗🤗
Mungu akupe maisha marefu nakupenda sana
Aamen dear
A very nice song indeed.we worship a faithful God
Nko hapa nacheza wimbo huu ila sitosheki nikiiskiliza.....Be blessed brother Basil🇰🇪
GOD Bless u Basil. This is a very nice song indeed!!!! May D living God Expand ur territories in Jesus Name!!!